SIRI ZAFICHUKA | BAKWATA YAWAFUNGUZA WAISLAMU BILA YA KUONA MWEZI - Sheikh Salim Barahiyan

  Рет қаралды 12,035

IHSAAN TV

IHSAAN TV

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 7 ай бұрын
Mufti umechemsha sana kWa maneno yako
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 7 ай бұрын
Mimi nilikua simuelewi salimu abdarahimu lakini kwahili tuko pamoja
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 6 ай бұрын
BARAHIYAN NI HATARI KWA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAISLAMU. kzbin.info/www/bejne/eJ-1mpWQac5-hKMsi=29NLMGK22NsBklh9
@ALIHISAH-z2n
@ALIHISAH-z2n 7 ай бұрын
Kila mmoj na uelew wke mm nimemuelew vizuri mufti bila kutia makundi na itikati
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 7 ай бұрын
Sheikh mche mola nyinyi kila mwaka mwalisha waislamu kwa mwezi usoonekana wa falaki hayo hamuyaoni ila mufti akielezea yalio tokea hukonyuma na unasema bakwata wanatumiwa na serikali jee na nyinyi munatumiwa na nani kama si maamuma wa kisiudi
@ALIHISAH-z2n
@ALIHISAH-z2n 7 ай бұрын
Haw wnampinga kw iyo wmeelew vibaya wmepat nafac y kuongea..
@ahmadsleman5856
@ahmadsleman5856 7 ай бұрын
Waislamu hakuna kitu kizuri kama kusikiliza kitu uka kielewa kisha ndio ukaanza kuchangia kama utakuwa na elimu nacho kama huna ni kheri kukaa kimya tu ili ubaki kuwa salama kwa Mungu wako na sibusara kufata mkumbo tukawa sio watu wa kufata utaratibu pia tujitahidi kuchunga ndimi zetu kwani kila neno linaandikwa.
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 7 ай бұрын
Vibarakati
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 7 ай бұрын
Hii inaonyesha mkapa hakuwa mtu mzuri. Sasa BAKWATA ipo Sawa
@Zumitv-c1g
@Zumitv-c1g 7 ай бұрын
Swali langu ni kuwa Sunna ya mtume haipo kwenye suala la muandamo wa mwezi?? Kwa maana utandawazi umekuja kuondosha hiyo sunna??
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 7 ай бұрын
utuelezee juu wapi uko usitubabaishe mungu atatulipiyaa hawa bakwata wanatuvuruga sana waislamu wa nchi hii duuuu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 7 ай бұрын
Taasisi ya ya serkari hi yo
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 7 ай бұрын
@@salumjumaruhaga2513 Wewe yako ni taasisi ya manabii na mitume!
@hamishassan6784
@hamishassan6784 6 ай бұрын
kwa kauli hio unangoja nini kujiuzuru wewe na wote mliopo kwenye baraza hilo ili kupisha uchunguzi wa jambo hilo ambalo mmelikalia muda wote bila kuwafahamisha waislam na jamii kwa ujumla ili sasa ifike mahala chombo hiko kipate kuwa cha kuaminika na waislam bila ya kuwachonganisha na serikali yao kama vile ambavyo umesema?
@SALIMABDULLA-ro8rn
@SALIMABDULLA-ro8rn 7 ай бұрын
Sis tunajua zamani kwamba bakwata sio waislam
@abuukarata9653
@abuukarata9653 7 ай бұрын
Ni waislam sema ni sehemu ya serkali
@IbrahimLuhinila
@IbrahimLuhinila 7 ай бұрын
Nabado, bakwata mtabakia pekeyenu. Tumesha wajua nyinyi niwatu mnaetizama maslahi yenu binafsi na sio maslahi ya dini
@ahmadsleman5856
@ahmadsleman5856 7 ай бұрын
Tufunge akisema Shekh Barahani
@ShabaniRashidi-d2v
@ShabaniRashidi-d2v 7 ай бұрын
Kiongozi wa kiislam mwenye mamlaka kisheria kutoa fatwa ni yule anayeongoza dola ya kiislam khilafa,siyo aliyewekwa na dola ya kitwauti yenye kuhararisha mifumo ya riba,pombe,kamari,zinaa,demokrasia,watamtii bakwata wenzake,sisi tunawatii masheh wanaofuata haki,nabii S.A.W na makhalifa,walikuwa viongozi waliosimamisha khilafa walitoa fatwa dunia nzima,inatii siyo yeye kibaraka alafu umma umtii
@abubakarnyerere5263
@abubakarnyerere5263 7 ай бұрын
Mungu kaanza kuwaumbua na bado kuna mengi wameficha Allah awaumbue wanafiq😂
@HeriMohamedi-p6g
@HeriMohamedi-p6g 7 ай бұрын
Huyo shehe zuberi ni ibilisi
@ZuwenaOday
@ZuwenaOday 7 ай бұрын
Amiin
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 7 ай бұрын
Mbona pia kuna Siri ilifichuka kuwa Salim Barahiyani kaiba milioni 200! Au hujaskia wewe?
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 7 ай бұрын
@@HeriMohamedi-p6ghaya ndio mafundisho y wajiitao watu wa Sunnah! Matusi ndio manhaj yao! Kwani mbona kuna tuhma barahyani kaiba milioni 200? Au huna khabari hiyo!
@khamiskhamis9947
@khamiskhamis9947 7 ай бұрын
Mushafedheheka​@@muhammedaloufy4086
@nusalim3389
@nusalim3389 7 ай бұрын
Dini inaenda na misdaqia na uthibitisho na uwazi itabaki kuwa mwezi wa kimataifa ni WA ukweli zaidi Kuliko wa bakwata,kwsbb unasimamiwa live duniani na vyombo vikuu vya dunia zana za kisasa na watu wachamungu na pia haijakusanya watu wa aina moja tu maustadhi kama bakwata,wenzetu kwny kamati Kuna Kila aina ya watu Kila mmoja anasimamia uwakilishi wake kwsbb wanajua mwisho wa yote nchi ni moja na wote ni wahusika wa kufunga na kufungua
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 7 ай бұрын
Umepotea kabisa....wasaudia pia wako chini ya mayahudi😂😂 wanatangaza kwa oda kama huku
@Omar_Abdulrahim
@Omar_Abdulrahim 7 ай бұрын
​@@bakaribakari6444 una uhakika na hayo unayoyaongea au na ww ilimradi umeropkwa tu uwepo kwenye comments
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 7 ай бұрын
Juu wapi sasa mbona husemi
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 7 ай бұрын
Nashangaaaa juu wapi na nn ndio tunatakiwa kujua
@MwanaidMagasa
@MwanaidMagasa 7 ай бұрын
Ndio mana Allah SWA alisema iqraa kila muislam asome uielewe dini yako ina taka ufate nini umfuate nani na sio ushabiki hapa comments nyingi za wasomi na waelewa ila wachache ndio wakuburuzwa masking some kwani siku za kuishi Duniani ni cache z Akhera ni nyingi utajikuta unaondoka mtupu Duniani kwa kuburuzwa someni tafuteni ukweli,usahihi
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 7 ай бұрын
BARAHIANI WEWE UNATANGAZA MWEZI KAMA NANI?
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 7 ай бұрын
Za juu zipi ww munatuchanganya dini munaizia ugumu sanaaaaa iv wamesoma kweli hawa ila yote njaa hio
@SharifRashid-g1j
@SharifRashid-g1j 7 ай бұрын
Wewe ni Hani
@badrukheir4
@badrukheir4 7 ай бұрын
Ukisikia kupaswa ndo huku hatari kweli kweli
@AbdulysuleimanShemashilu
@AbdulysuleimanShemashilu 7 ай бұрын
Mzee kweli unasimamia selikal nasiio din
@allymanyika3502
@allymanyika3502 7 ай бұрын
Duhh 😀 hii hatari wallah,kumbe bakwata habari zenu za ibada mpaka mpate kutoka huko juu 😅😅sijui ni wapi huko juu
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 7 ай бұрын
Huyo Mufti ni mtu wa serikali sisi waislam hatumtambui kwanza ndo chanzo cha kuwagawanya waislam
@NzeyiwaboAbdul
@NzeyiwaboAbdul 7 ай бұрын
Mufti. Muokope Mungu usijifanyi kama. Nabi ivi hunahata. Aibu. Kuongea ongea. Kama. Mtoto acha hayomambo chekh
@laylayl5166
@laylayl5166 7 ай бұрын
Sasa mbona Kuna nchi nyingiitu hazikufunga nazo ximemfata bakwata ikiwa nyie viongozi ndio hivoo malumbanotu ya kuchafuana jesisi tusio jua dini vizuri tumfate nanii? Naombeni jibu maana. Hata hamleti picha nzuri nyotee niwatu wazima tumfate nanii Kati yenui
@amiriamiri-i6i
@amiriamiri-i6i 7 ай бұрын
Huko juu ni wapi mufti mbhn hujatuweka wazi jamani tujuee
@mokitaa8750
@mokitaa8750 7 ай бұрын
kwa hili mufti kateleza kama binadamu
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 7 ай бұрын
Kwani Bakwaata si ni taasisi ya watu wake, kwani Askofu mkuu wa Catholic ndio mkuu wa Wakristo wote, au ni wa taasisi yake tuu,
@AsnathFelix
@AsnathFelix 7 ай бұрын
Acha uchonganishi ww
@abiiclevertz
@abiiclevertz 7 ай бұрын
Hamna mashehe hapo wote wawili wanatafta sifa wazifa ili wajaze matmbo yao tena mijitu mizima na mvi zao na hina juu 😡 mambo hayo wafanye walevi wanafanya wao😡😡
@ABUUAMINAABDALLAH
@ABUUAMINAABDALLAH 7 ай бұрын
3:32
@mullahthematrix816
@mullahthematrix816 7 ай бұрын
Sasa umma usipoelezwa ukweli kwa kupitia vyombo vya Habari sisi tutafahamu vp ? Acha wasahihishane mimi na wewe tupime kwa akili na dalili then tumuache Allah atuongoze
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 7 ай бұрын
😂😂😂😂mbona mufti wa bakwata anaongea kama hajielewi?? au mimi sijielewi??? ebu msikilizeni vzr
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Nyinyi ndio hamujielewi ndio maana watanzania hatuendelei Kwa ujingaa mwingi na ubishii mwingi tulonao ,alichokisema mufti ni sahihi hapo wewe kichwa mchungwa ndio hujaelewa
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 7 ай бұрын
@@ABUUALLY-tv8rl na ile funga moja unayo daiwa kushailipa????
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 7 ай бұрын
@@ABUUALLY-tv8rl ahaa sawa kumbe mimi ndio sjaelewaaa!!! ok..... ila hii ni dini kuwa makini mufti ana kabur lake na ww una kabur lako msije mkalaumiana mbele ya safar kwa kuburuzwa bila kujielewa
@msabahaali758
@msabahaali758 7 ай бұрын
bakwata sio taasisi ya waislamu ni taasisi ya serikali na ccm wao wasijipe uhalali wakafanye vikao na maaskofu ndio waahirika wao
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 7 ай бұрын
Yako ndio taasisi ya uislam imeundwa nawaislam au kikundi fulani cha watu? Tuonyeshe jinsi taasisi yako hio ilivyoundwa jee waislam wote walishiriki au ni baadhi ya watu na itikadi zao?
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 ай бұрын
Wewe Mzee muogope Allah 😂😂 acha kujifanya huelewi alichokisema mufti kumbe wewe na hao unaokhutubia akili zenu kama za kuku hamuelewi 😂😂😂
@Omar_Abdulrahim
@Omar_Abdulrahim 7 ай бұрын
Mbna wajifanya zuzu ww tafuta elimu acha kuleta mipasho
@NzeyiwaboAbdul
@NzeyiwaboAbdul 7 ай бұрын
Mijinga. Ipo hapa. Tz. Sasa. Siku mlisubiri. Huyo. Mwenzi wa kitanzania ndomfunge. Mliuona. Ulikuwa wasiku. Ile. Ao. Niabu. Tu. Ndiyo. Mlibaki. Nao wapitevu
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 7 ай бұрын
Sasa huyu anapinga nini....mbona hapingi mwezi wao wanaotangaziwa na saudia ambao wako chini ya myahud
@Omar_Abdulrahim
@Omar_Abdulrahim 7 ай бұрын
Ww ndio haujielewi kbsa
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sports007tv4
@sports007tv4 7 ай бұрын
Sasa jiulize ni mwaka gan bakwata walifungua kabla yenu wahabi
@SharifRashid-g1j
@SharifRashid-g1j 7 ай бұрын
Wewe sege kafiri wewe
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 ай бұрын
we usimtukane mufti
BARAHIYAN NI HATARI KWA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAISLAMU
30:33
Mizani Online TV
Рет қаралды 6 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 115 МЛН
Je! Sheikh Kishki ni Salafy? | Sheikh Salim Barahiyan
7:56
IHSAAN TV
Рет қаралды 33 М.
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 6 М.
HUYU SI MTUME NI MCHAWI HANA LOLOTE | SHEIKH MSELEM BIN ALY
1:21:38
Mtu anaepandisha SHETANI afanye nini? | Sheikh Salim Barahiyan
10:13
KUNA MAKUNGWI KAZIYAO MATUSI TU //SHEIKH NYUNDO
19:13
arkas online tv
Рет қаралды 126 М.
FUNGA YA MTU HUYU NI BATIL SHEIKH MSELEM BIN ALI
1:15:07
J TV ZNZ
Рет қаралды 28 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18