SIRI ZAVUJA : MANABII NA WACHUNGAJI WASHUSHUANA HADHARANI // KIBOKO YA WACHAWI KUFUNGIWA KANISA

  Рет қаралды 14,527

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 2 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe Sana nguo yako uwo Msalaba siyo wa kweli
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 ай бұрын
Wewe mwenyewe amujui maana uyo mtumishi wa Mungu anafanya kazi naa kumbuka paulo mtume alipingia kelele mbakaa waka mfunga kwaiyo mbarikiwa yuko sahihi Sana sana
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 2 ай бұрын
Namkubali sana sana muandishi msomi arusha anajitambua
@beatricekagali1048
@beatricekagali1048 2 ай бұрын
Watumishi wa Mungu kuweni na hekima sio kushambuliana
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 2 ай бұрын
Ukweli unauma tulieni sindanno ziwaingiee
@ErickIsaya-o3u
@ErickIsaya-o3u 2 ай бұрын
Acha hizo we mwenyewe mwizi tuu
@markmashauri9310
@markmashauri9310 2 ай бұрын
Mbona pastor Amanda amumuonyi anavyo wapiga madongo au mnamuogopa kwa sababu nawa mzalamo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Yeyote anayejiita nabii ,,kimbilia mbali kabisa. Dunia ya leo hakuna nabii.Mi waongo na wezi wakubwa😢😢
@markmashauri9310
@markmashauri9310 2 ай бұрын
Mbona ktk kongamano la mwezi wa sita la kiboko cha wachawi,mzee waupako alikuwa mgeni lasimi wakongamano hilo,aliwanyooshea vidole, manabii wanao mpiga vita nabii dominic kiboko ya wachawi,kwamba muache malamoja tabia yakumsakama kiboko nakumpiga vita, na mkiendelea mtafirisika unabii wenu,naakasema dominic kiboko ninabii wakweli pia unabii wake ni mkubwa sana akuna anaemfikiaa
@EliyaMwangobe
@EliyaMwangobe 2 ай бұрын
Lakini sio ndio mnavyofanya ? Hananja ni kiboko yenu maana nyie mitume wa Leo mumetumwa kutajirika wenyewe kwa kupora Mali za watu !
@khamis9187
@khamis9187 2 ай бұрын
Rais wa wapiga hela bongo RWHB...
@roselyimo3676
@roselyimo3676 7 сағат бұрын
Tutakubali TU kuwa Yesu alishamaliza kazi ndio maana haya tunayaona kwa viongozi wa dini.. vibanda vya mahanisi vivunjwe. Makaburi yatakanyagwa TU siku si nyingi. Na kwa Nini Kunagawanyiko wa madhehebu??? Yesu ni mmoja amegawanyika??? Katoliki, protestant, penteloste nk kwa Nini???? Yesu Yuko wapi?????
@JanetMwaijumba
@JanetMwaijumba 2 ай бұрын
Ana Imani ya kitoto Sana mwaki
@hafidhali3020
@hafidhali3020 2 ай бұрын
Ukristo ni utapeli,hapa ni kupiga pesa tu
@tinnabernard3538
@tinnabernard3538 2 ай бұрын
🎉Wewe nani Mungu peke yake ndiye anayehukumu wewe unaona uko safi
@masanullahuzuni
@masanullahuzuni 2 ай бұрын
Wakosiane wa Imani kivipi kwa hiyo CCM wasikosolewe na chadema Huyu Rais vipi maana sisi tunajua asiyetaka kukosolewa ameshindwa
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 2 ай бұрын
Mnasemaje kuhusu raslimali za nchi hii maana Kama wewe Ni nabii wakweli Lazima Mungu amezungumza na ninyi manabii waambie viongozi wa nchi juu ya Nini Mungu amesema juu ya Tz kwakuwa sisi wananchi wa kawaida tunasikia tu kutoka kwa wana siasa ,nanyinyi mko kimya tu
@agneskighenda3795
@agneskighenda3795 2 ай бұрын
Mtumishi unayemsema anafungua macho wakristo wengi…achana naye.
@prosperswatty7431
@prosperswatty7431 2 ай бұрын
Akili mbovu. Ukirstu si mmoja? MNN̈
@austorb.nyondo2708
@austorb.nyondo2708 2 ай бұрын
Mmekuwa wezi mno mpaka sasa ukristo wetu umegeuka kicheko na usanii. Tunachekwa mno mno na watu wa imani zingine kwa sababu ya ujinga ujinga wenu wa kujiita manabii kumbe ni matapeli. Yeye anakosoa ukristo kwa sababu yeye ni mkristo na ni mchungaji mbobezi tofauti na nyie matapeli wengi mliolipuka sana hapa nchini
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 2 ай бұрын
Mnatakiwa mchapwe kabisa matapeli katika injili
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 2 ай бұрын
Huyu pia niiongoni mwa wanafiki kama alimkosa kwa cm kwann asipeleke barua serkali za mtaaa mtangazaji acha unafiki
@pastordanielchenya
@pastordanielchenya 2 ай бұрын
Uongo raisi wa mitume na manabii ni DR, JOSHUA A.MWANTYALA
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 2 ай бұрын
Kanisani ni mahali pa kufurahi sasa mchungaji anune?acha pastor aendelee
@e.a.g.tjerusalemchurchomur2315
@e.a.g.tjerusalemchurchomur2315 2 ай бұрын
Ww acha imani feki waislamu hawana ufeki wa ivo
@EliyaMwangobe
@EliyaMwangobe 2 ай бұрын
Halafu nyie mitume na Manabii ni waoga sana wa injili ya kweli ! Mnawaibia watu Mali zao huku hamuwahubirii kweli ya Kristo ya kukemea dhambi !
@JanetMwaijumba
@JanetMwaijumba 2 ай бұрын
Mwakipes akili yake anatakiwa kuombewa
@marthanatumwa
@marthanatumwa 2 ай бұрын
Rais ni mmoja tuu,anaitwa JOSHUA
@godsonprosper6657
@godsonprosper6657 2 ай бұрын
Ww mwenyewe mwaongo umekalili maandiko
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Ac h eni kuwaibia watu ktka jina la u n abii na miujiza feki😢😢
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 2 ай бұрын
Ila unavipointi hahaha hata km watakataa
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 2 ай бұрын
Huyo jamaani baadhi yawachawiwengi wapigaramuli madhawabuni kama wenginewengituwaliowahi kutokea sehemumbambali zaulimwengu.nameisho wasiku kui shiakuangamiza kwahalaiki wauminiwao hizinguvu zashetani madhawabuni zinashikakasisana nyakatihizi dunianikote walahakuna ubishi.wanatimiza yaliyo tabiliwa.
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 2 ай бұрын
Endeleen kuwapunguza akili watu
@amedesamki425
@amedesamki425 2 ай бұрын
Mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache lakini mtumishi anatakiwa ahuburi ukweli wa injili kwamba wanadamu wamtii Mungu na lkùshika imani ya Yesu
@AsinaMalilo-sw2ic
@AsinaMalilo-sw2ic 2 ай бұрын
Wewe pia unatuhuzunisha
@augustinetemu3733
@augustinetemu3733 2 ай бұрын
Kwahiyo daktari ambaye hajawahi kuugua kichocho hawezi kutibu kichocho? Hamna mantiki hapo😎
@SelfMsham
@SelfMsham 2 ай бұрын
Yesu alisema yeye ni alfa na omega sasa nyinyi mnaojiita manabii mmetumwa na nani?ninyi ni waganga wa kienyeji mnajifanya mnatabiri ni ushetani tu mnaoufanya
@kilianjulius9882
@kilianjulius9882 2 ай бұрын
Bado hamjasema manabii mtasema tu,,,, kumbe na wao wanaraisi ... ni waganga wa jadi waliokuja kwa njia ya ulokole
@calvinlema6107
@calvinlema6107 2 ай бұрын
Imani mbona hata uchawi ni Imani ya watu? Mtumishi hatukuelewi siyo Kila anayejiita nabii ni nabii wa mungu wako manabii wa uongo . Ñabii mpaka uraisi ni utata!!!
@MamaBambala
@MamaBambala 2 ай бұрын
Leo umetoa pumba ya uongo wa hatari.ww ukipimwa kwenye mizani ya maandiko umepungua,.ww angalia wafilipi 1:15-17 na 2Timotheo 4:2-3.Na wewe ni rais yaani boss wa mitume kwa fungu lipi linalokupa ukuu huo?unawasimamia kama nani?Aliye juu ni Mungu tu.wewe ni walewale.
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 2 ай бұрын
Misalaba feki hiyo
@masanullahuzuni
@masanullahuzuni 2 ай бұрын
Pokea utajiri Rais wa manabii
@austorb.nyondo2708
@austorb.nyondo2708 2 ай бұрын
Kwanini unaogopa kumfuata kama una Yesu na roho wa Mungu? Mimi naamini wewe ndio mwizi mwingine wa kiimani na mdanganyaji mkubwa kuliko wengine. Unapaswa kukimbia kabisa kutoka kwenye utumishi huu
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
Hongea kuusu mambo yatowausu Waumini wasikilizaji wakusikilize himani za watu wacha huyu ni mtu wenu wakilisto waslamu tuwache usingize wewe mwenyewe kesho Utajita Mungu kabisa sio nabii tena 😂😂😢😢
@EllyElly-nf4rx
@EllyElly-nf4rx 2 ай бұрын
Bashando huna lolote, Mnatafuta hela tuu, hapo unatetea tu watu wasiijue kweli
@AsiaDismas
@AsiaDismas 2 ай бұрын
Hujakaa kiutumishi
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 ай бұрын
Wewe Ni Muongo mkubwa wapokee Hela Bila kufanya Kazi rais Wa mitume WA kweli ni Yesu pekee mkiambiwa ukweli hamkubari
@marthanatumwa
@marthanatumwa 2 ай бұрын
Weee siyo Rais wa mitume na manabii,Rais wa mitume na manabii tunamjuwa anaitwa JOSHUA,na havaagi hiyo misalaba uliyoivaa
@moseshaule586
@moseshaule586 2 ай бұрын
Hapa unamsema Hananja😂😂
@neemagewa5410
@neemagewa5410 2 ай бұрын
Hakuna nabii hapo wote ni mafala tu
@ZuhuraMnzava
@ZuhuraMnzava 2 ай бұрын
Sema Sema bababa
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 2 ай бұрын
Umjui kweli kiboko wewe mchungaji
@AsinaMalilo-sw2ic
@AsinaMalilo-sw2ic 2 ай бұрын
Mbn unakosoa wenzio wewe umechemka zaidi
@musaguga
@musaguga 2 ай бұрын
Hananja unasengenywa huku,njoo
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 2 ай бұрын
Hananja ndio mkweli namuamin mno
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 2 ай бұрын
Hananja hajawahi kumtukana mtu
@neemasanga5333
@neemasanga5333 2 ай бұрын
BASHANDO KAKAAKE NIKI SHABOKA TOKA UWE NABII WA UONGO, UMEJUA KUWATETEA MANABII WENZAKO, UNAYE MSEMA, AMEHARIBIWA NA GWAJIMA, ALIMUULIA MTOTO WAKE NA KUMJAZA UONGO, HATUKANI TU WATUMISHI, MPAKA RAIS, MKUU WA USALAMA WA TAIFA NK NK, NI WA KUMUOMBEA TU.
@IsmaliRachidi
@IsmaliRachidi 2 ай бұрын
Oya kiboko ninoma zaidi yako achana nae
@kassimchakachaka9217
@kassimchakachaka9217 2 ай бұрын
Huyu mwenyewe taoeli tu ndo maana anatetea matapeli wenzake. Huyo mzee anaye msema kanyooka anawafumbua macho wa Tanzania.
@sosom14
@sosom14 2 ай бұрын
Wewe ni mavi hananja yupo sahihi
@moseshaule586
@moseshaule586 2 ай бұрын
Kwanza ujue Hananja hajaokoka..
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 2 ай бұрын
Mkipigwa za uso mnachukia?? Nyie danganyeni wajinga wajinga tu! Raisi wa mitume?? Duuu kweli hii Dunia ya leo?
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 2 ай бұрын
Samahan kwani Baraza la mitume na manabii linamarais wangpi naomba tu jibu
@PeterJackson-uh2ik
@PeterJackson-uh2ik 2 ай бұрын
Wadumuo kutenda dhambi, Biblia inasema wakemewe mbele ya wotu, ili wengine wapate kutahayari/kuogopa (1Tim.5:20). Manabii na Mitume wa kipindi hiki, nashauri wachunguze pia uhalali wa hivyo vyeo vyao, je vinatokana na mafundisho ya Kristo? (2Yoh.1:9). Mtu anapoitwa mkosaji kwa kukemea uovu, vipi na yule anayesema ni nabii na kukemea dhambi siyo kipaji chake, unamuelewa yupi? Nyie manabii nyie!!!!!?!
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 2 ай бұрын
Kwani ni uongo pokeeni magari na utajiri fanya kazi ndo ufanikiwe
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 2 ай бұрын
Pumbavu wewe kabisa
@sosom14
@sosom14 2 ай бұрын
Unapuwa kubla
@eliudsinkala419
@eliudsinkala419 2 ай бұрын
Kaka nyie mitume ni WA Kikristo au?Nijuavyo Mimi upenteksti ni madhehebu ya Kikristo,unyie mpo sehemu gami
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 80 М.
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 86 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,7 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 16 МЛН
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 41 МЛН
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 59 М.
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 86 МЛН