Yule mkewe aliyetaka kugawana mali angefanikiwa tusingepata haya 😅 watanzania tulikuwa na ww wakat wa kesi Asante kwa kutukumbuka
@ambrose_vevo13713 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Dah nimecheka sana ndugu yangu
@raymondkimbe541613 күн бұрын
Akashtukiwa dadeki
@RaybonGeorge13 күн бұрын
@@ambrose_vevo137😂
@kibasamohamedi802912 күн бұрын
Duh safi sana
@godknowsbetter.635212 күн бұрын
😂😂😂 mwanangu umewaza mbali
@linnusaloyce655912 күн бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuimarisha nguvu zake uwezo wake na kuzidi kumpa moyo wa kujitolea ubarikiwe bro
@AhjuceAqeeb13 күн бұрын
Haya yte yanajengwa kwa iman jaman tujifunze kutoa kwa wenye uhitaji .kama Allah kakujaalia basi nawe mjali na mwenzako....Allah akuongoze braza na akupe mwisho mwema na akuongezeee zaidi..Inshaallah
@JayBoy-o7g11 күн бұрын
God bless you achraf hakimi❤❤🤲🤲
@Chriano_Cr713 күн бұрын
God bless him
@Economically-Growth-Musicians12 күн бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉🎉
@PaultibulaPaultibula13 күн бұрын
I promise if one day I get money I will do like this my dream is come (tunasema Asante)
@user-tn5ym5gd6s13 күн бұрын
Good 👍👍👍and thanks again very much
@timcee267013 күн бұрын
ukiwa na jicho la kuona mbali utagundua Hersi ana mipango ya malengo ya mrefu, matunda yataanza kuonekana 2030, hii ni misingi tu ya hayo malengo
@mtotowamanka13 күн бұрын
Xawa katoa,msaada hao wenye zamana watafanya kama.alivyo toa au ndy ma2mbo yao,watazila😢
@joctanmtambi89512 күн бұрын
God bless you more mr Hakimi
@omarymnuru874612 күн бұрын
Namuona Eng. Hersi katika level zingine..zakuwa Rais wa Mpira Barani Afrika...anayiyafabya katika soka ni makubwa sana
@jumakapilima729512 күн бұрын
Kabisa, sio Tu kiongozi wa Mpira Bali hata kuwa kiongozi wa serikali
@DjMswati13 күн бұрын
basi habarikiwe awe mchezaji mkubwa kama messi
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r13 күн бұрын
Duh!!!
@user-nt6fb2ky3t12 күн бұрын
Hana haja yakuwa kama mesi palipo panamtosha isitoshe kacheza na mess club Moja y PSG
@NunuKupela13 күн бұрын
Ally upo vzr yan yule lopolopo angeshukiza na kujimwambafire jifunze kwa mwenzio
@TedyElisha12 күн бұрын
Hakuna chakujifunz hapo wote ni malopolopo 2 Sema utaleta ulolopolop kwa wanaojielewa
@muzafarsharif946513 күн бұрын
walinzi wa bongo hata wanachekesha😂😂😂
@ghhhhy181212 күн бұрын
Mashaallah ❤
@JustenRaphael12 күн бұрын
Sana jomba
@fetychina396913 күн бұрын
Itakuwa mama mkwe amempatia hizo pesa amaana cc tunajua mama mkwe ndio kilakitu
@deedollarz714413 күн бұрын
Hashimu lugha mbagala
@RomanMwinyi12 күн бұрын
Awa wanaoji Fanya Wana ela kwetu apa atuonii ata misaaada Yao balii kujisifia2 Sasa sijui izo ela zao ZAA aina gani
@fahadmbawala73012 күн бұрын
Hii ndio misaada yenye Baraka kwa Allah sio misaada mpaka tukubali mashart fulani. Allah kupe umri na Afya njema bro
@efraimjohn495612 күн бұрын
Ahmed Ally hayupo hapa jamani
@drgeofreykupaza770712 күн бұрын
Visije vikapigwa na wabongo maana mm nililipia kompyuta nikaambiwa nisubirie kuna mzigo unakuja wa bei rahisi😂😂😂
@remidusmwanandenje-yy5gs13 күн бұрын
Muwe mnaiga sio kile kituko mlicho letaga eti manzoki ata msaada katka inchi amna😂😂 mumeona mwenzenu kamleta m2 kwa faida taifa limefaidika na waitaji pia duu mungu amuwekee enginer 🤲🤲🤲🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🎎
@linnusaloyce655912 күн бұрын
Nani kamleta kajileta mwenyewe uyo injini alijipeleka airport kumpokea to acheni majivuno ya kiaya ukweli nikwamba injinia alienda kumpokea tu ila cyo kamleta tofautisha kumleta na kuja yeye kaja kutembea to mapumziko yake
@TedyElisha12 күн бұрын
Wanapend kujipendkeza xana hao majini fc
@lovenessvisent940811 күн бұрын
Makofi kwa Samia Mimi nashindwa kuelewa Sio mnasifia tuu yeye amesimama pale kusimamia ilani au ajenda hivyo ni lazima atekeleze hayo kusifia wakati hahusiki hata hapo kwenye kikao duu
@remidusmwanandenje-yy5gs11 күн бұрын
@@linnusaloyce6559 kichwa kikubwa kukosa akili nimzigo wa xhingo😅 yanga bingwa adi 230🕺🕺
@omarysaid872511 күн бұрын
Jamaa hana majigambo na hana mambo mengi yan
@lulugama154712 күн бұрын
Mama yake alikubali pesa hiyo itoke😅
@MrMona_TZ12 күн бұрын
Hawa walinzi wa nn bhn nchi yetu ina amani kzi kutisha wageni tu maan wana sura ngumu kwel kwel agh 😅
@mrben22713 күн бұрын
Jamaa yup humble sana mwenyezi amjalie kil la kheir, amjalie mwisho mwema
@jumabakari108112 күн бұрын
Yanga wanamnyemelea
@akandungoma240412 күн бұрын
Safari ijayo mshawishi mess uje nae mkuu
@franccoz9413 күн бұрын
MANGUNGU VS ENGINEER HERS WHO IS A GOOD LEADERSHIP, MANZOKI VS HAKIM WHO IS A GOOD PLAYER
@user-ze1jf4qp3c13 күн бұрын
Washabiki wa yanga washamba San woooote mabubub yanga
@jjjhhb430012 күн бұрын
Mtoto wa mm
@johnshayo963512 күн бұрын
Misaada kila Kona hatari sana
@BaboumitengaMutenga13 күн бұрын
Wale wanaowachambaga waarabu kuwa ni watu wabaya "waraka wa tec tuonane hapa kuwajadili tena waarabu tafadhali😊"
@user-yd1pc8uy8x13 күн бұрын
Wapo wengi tu wabaya hilo halipingiki huyu kajitahidi🙂🙂
@mohdkhatib22313 күн бұрын
@@user-yd1pc8uy8xhata waafrika wapo wengi wabaya mmoja wapo ni wewe
@feisalboy670212 күн бұрын
Hawalisemei hili wamekaa kimya kazi Yao ubaguzi tu
@ahmedthuva316212 күн бұрын
Walitsks kumwambia studies in English
@HapsaHaji-bg5jk12 күн бұрын
wellcome Zanzibar Our Brother
@hamismusa731413 күн бұрын
Hizo kofia ndiyo zinavaliwa hivyo.
@markmushi894013 күн бұрын
Hiyo ni mizinga wa2 wa simba 2naita mnaombaomba gsm wenu awezitoa yee??
@chuzilapweza651712 күн бұрын
NI muda wa wachezaji wakubwa wa kiafrika kurudi kuijenga afrika yao
@ikrahtune13 күн бұрын
Mmmh nimesha sanuka uyu anatak kuwekeza kwenye timu ya yanga tayar nishaelewa janja zen mnatak aimiliki clab ya yang
@ClassicUsed-jg6ri13 күн бұрын
Hakimi mpira ushakufa kama chama
@yunusimchala656913 күн бұрын
Nahisi ww ni maskini wa akili kucheza psg useless mpira umeishaaa una nongwa ww mwenyewe wa hata buku hauna
@mohdkhatib22313 күн бұрын
Mchezaji tegemeo wa PSG ya Ufaransa. PSG ni mabingwa wa ligi one ya Ufaransa na ni moja ligi kubwa Europe na duniani.
@jumakapilima729512 күн бұрын
Sio Tu mchezaji tegemeo wa PSG Bali pia wa Morocco
@nellykira781213 күн бұрын
Kwa nn Hersi anamganda sana jamaa😂😂
@markmushi894013 күн бұрын
Hivi kwani serikari imeshindwa kufanya hayo adi aje m2 wa moroko aje afanye hivyo?
@mohdkhatib22313 күн бұрын
Ndo maana yake
@masoudmwinyikondo267813 күн бұрын
Mama ake anajua lkn km ametoa hiyo
@seifsuleimanali759513 күн бұрын
Ndugu zetu wa bara mnatuaibisha bordyguard wanini
@jumashedafa13 күн бұрын
Hujui kitu ww tulia
@user-mq4yq6rw1w12 күн бұрын
Inakuhusu nn
@SuleimanIbrahim-lp7qs13 күн бұрын
Mukiambiwa muache ushamba hamusiki sasa mbona ao mabaunsa wameondoka nyuma yanga mustutie aibu
@saidabdillahi810713 күн бұрын
Muarabu anateleza kama kambare yule mlimbwende alishindwa kumuibia kaamuwa zile pesa ambazo yule alitaka kuziiba azitowe sadaka
@saidsalimin13 күн бұрын
Zaidi ya cr7
@GibsonNtamamilo13 күн бұрын
Usumfananisge CR7 na uchafu huu.
@josephlorri43113 күн бұрын
Amegusa maisha ya waafrika wenzake. Ahsante sana rafiki
@muhseenmakpel504313 күн бұрын
Uyo cr7 unaemsemea aliisaidia morocco walipopatwa na janga la tetemeko katoa misaada kibao ikiwemo mahoteli
@davidsebastian66113 күн бұрын
Yanga nao wanatafutia sababu to
@user-yd1pc8uy8x13 күн бұрын
Ongea point mkuu
@davismuzahula90713 күн бұрын
Sasa mabodyguard wa nini, nani anashida na Huyu jamaa
@davidsebastian66113 күн бұрын
Tz kwenye mambo kama haya hawalaz Damu wambie kuwatekelezea wananchi hawana la maana kabisa vitu vya hivi hupewa promo na Yanga nao wanaoshea fuc..ng
@GibsonNtamamilo13 күн бұрын
Star wa PSG ni Kirian MBAPE tu wengine ni wachezaji wa PSG
@kshayofurniture294113 күн бұрын
Hujui mpira kenge wewe Mbape ni mchezaji wa Real Madrid, kaa hujui kitu si lazima uchangie utumbo
@josephlorri43113 күн бұрын
Dunduka ni mbumbumbu kila mahali.. huyu mwamba amegusa maisha ya watoto wetu wahitaji,tumpongeze hasaa..tuache itikadi zetu