PENZI JIPYA | NAMPENDA SANA MUONEKANO WAKE HELLO MR RIGHT

  Рет қаралды 180,305

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 311
@omarsakwa-zs2zy
@omarsakwa-zs2zy 11 ай бұрын
Lulu diva you're beautiful..congrats
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 9 ай бұрын
Eliza na zarish 😂😂mtakaa hapo kama mabalozi wa nyumba kumi😂
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 8 ай бұрын
😀
@HusseinTubile
@HusseinTubile 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@cheskongwavi4564
@cheskongwavi4564 Ай бұрын
Njoo uniowe
@pendochimammy5013
@pendochimammy5013 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 hahahaha yani nimecheka leo kkkkkllll
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 20 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@SashaOscar
@SashaOscar 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 leo Eliza limemkuta jambo 😅😅😅😅😅weupe wake huwa unamdanganya xana
@fayverenah
@fayverenah 11 ай бұрын
Duuuh masikini eliza haamini anachokiona😂😂😂😂amewakataa wengi sanaa😂😂😂
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 11 ай бұрын
Uyo zarish atafte hela aache upuuzi😂😂😂et nahitaji hela nyoko zke...😂😂😂
@RoseKesi-zj4yy
@RoseKesi-zj4yy 11 ай бұрын
We kaka unajuwa kuchangua apo umepata mke mwema ❤
@ModesterLevercatus-hh3rd
@ModesterLevercatus-hh3rd 7 ай бұрын
Uwakika kaka umepatachombo
@BJM-j2t
@BJM-j2t 11 ай бұрын
Uyu jamaa ameniboa na hiyo kutafuna tafuna😂
@monirangerera7155
@monirangerera7155 10 ай бұрын
Huwa maraya Hawa wanao tafuta boblishi
@BJM-j2t
@BJM-j2t 10 ай бұрын
@@monirangerera7155 wamekosa kutafuta wanawake inje wanaenda kununua hapo 🙆
@LadouceIranyibutse
@LadouceIranyibutse 10 ай бұрын
Umeona hajieshimuuuuuu
@bhokejaqulineelias4197
@bhokejaqulineelias4197 9 ай бұрын
Inamfanya mtu aonekane local Sana anatafuna Manini sasa😂😂😂😂😂
@theeaglefilmproduction4567
@theeaglefilmproduction4567 8 ай бұрын
Jamani nisameheni me napendaga2 kutafuta bablish et😅
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 11 ай бұрын
We miso misondo umepigaje hapo kwa Eliza 😂
@lydiagodfrey5959
@lydiagodfrey5959 11 ай бұрын
eliza anajiona sana tena kakomeshwa kabisa anajiona yeye ndoo mzur dunia nzima
@salummakenzi4846
@salummakenzi4846 11 ай бұрын
Leo lulu diva umevaa vzr umependeza dear love you
@guyndikumana4065
@guyndikumana4065 27 күн бұрын
Ningependekeza jambo moja , kama ikitokea Golden girl amezima taa, alafu wapo wengine wamebakiza taa, basi itakua vizuri zaidi Mr Right awaoji swali ili wajibu, maybe inaweza ikamsaidia pia Mr Right kuchukua uamuzi mzuri ❤️❤️
@JoyceMwangangi-qh6tf
@JoyceMwangangi-qh6tf 9 ай бұрын
Mtafuno mwiiingi jamani 😢😮😂😂😂 sijapenda
@SimherHamadi
@SimherHamadi 9 ай бұрын
Cheko la Aliya 😂😂😂
@eleanorkinadiali4721
@eleanorkinadiali4721 11 ай бұрын
Chewing jamaniiii😢😢😢😢😢😢
@Inglot63839
@Inglot63839 11 ай бұрын
Eliza kapigwa n kitu kizito😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@katolekiki368
@katolekiki368 11 ай бұрын
Eliza 😂😂😂yame mkuta na yeye
@levygasper7438
@levygasper7438 11 ай бұрын
Mr light nime mwelewa sana jama kaongea point hongela zake
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 11 ай бұрын
😂😂😂 safiii sana Elizabeth kibibi alafu anajikuta kachaguliwa na wanaume wengi sana kawakataaaa safiii kbs, kibibi atabaki apooo😂
@rehemamajama4670
@rehemamajama4670 11 ай бұрын
Hhhhhhhhhh jmn daaah Elza anatia hurum
@irenemacha5661
@irenemacha5661 11 ай бұрын
Eliz leo zamu yko kukataliwa😂😂😂😂
@neemapaul9073
@neemapaul9073 11 ай бұрын
Safiiiii sana mkaka my Hy ndie mkee wako
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 11 ай бұрын
Eliza malipo duniani 😂😂😂😂 kuna kaka uli mnanga
@greggoryisaac8485
@greggoryisaac8485 9 ай бұрын
Nitumie number nikutafute dada
@greggoryisaac8485
@greggoryisaac8485 9 ай бұрын
Sasa
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 9 ай бұрын
Mimi nikupe namba au uyo eliza wa mr right
@PeterMashauri-q2g
@PeterMashauri-q2g 11 ай бұрын
Duuuh leo nimekuwa wakwanza nipeni like zang
@HusnaHassan-tb4kv
@HusnaHassan-tb4kv 7 ай бұрын
Anaboa kutafuna uyoooooo aseee
@EmmanuelJonas-n9v
@EmmanuelJonas-n9v Ай бұрын
@@PeterMashauri-q2g kwan hizi likes mnazoomba mnafanyiaga nn 😂😂😂
@stellatwaah3242
@stellatwaah3242 7 ай бұрын
Kwanza niwapokeze lulu ❤pamoja na viongozi wake jamnii nawapenda sana🥰🥰🫂🫂
@JackineMdugala-xs8ht
@JackineMdugala-xs8ht 8 ай бұрын
Eliza Leo kaachwa mzuri❤😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂
@MwajumShaban
@MwajumShaban 11 ай бұрын
Eliza kaongea kama anaugomvi😂😂😂😂😂😂
@moussagiza3723
@moussagiza3723 7 ай бұрын
Namtafuta huyo eliza kama unazo contracts zake nisaidie
@AishaGor
@AishaGor 28 күн бұрын
Yan haowasichan wabaya Ndo wanakuanamaswalimengi 😂😂😂
@janerachel1622
@janerachel1622 11 ай бұрын
Eliza ULIKUWA unawakataa sana watu Sasa jifunze
@isabellamichael1025
@isabellamichael1025 11 ай бұрын
Hapa wakaka mnatakiwa mje magaidi tu 😂😂😂
@jennet6484
@jennet6484 11 ай бұрын
Eliza haamini kilichotokea😂😂😂
@rhodarichard4494
@rhodarichard4494 11 ай бұрын
" mim ni mwanamke mzuri naitaji matunzo bila hela siendi" Wanaume popote mlipo hebu jaribuni kuitafakari hii kauli😂😂😂,,
@GidiusAllenofficialTz
@GidiusAllenofficialTz 11 ай бұрын
hamna mke hapo atakutesa sana huyo daah yani wanawake wa ovyo kabisa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 ай бұрын
ELIZA LEO KAACHWA ANAJIONA MZURI😂
@khadijaabdhalla9669
@khadijaabdhalla9669 10 ай бұрын
Mzuri kweli Si uongo
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 10 ай бұрын
@@khadijaabdhalla9669 mbona haolewi anahangaika kujitangaza
@WiyalikaAssani-rm3og
@WiyalikaAssani-rm3og 2 ай бұрын
Jamani natamani nigalikuwa Tanzania nigelipata mke muzuri sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Ila Niko Congo kalemie
@katolekiki368
@katolekiki368 11 ай бұрын
Uyu zarich amna mtu kabisa Uta kaa Sana apo
@francengosha7157
@francengosha7157 11 ай бұрын
Unyama sana 🎉
@kakoxspgnewton
@kakoxspgnewton 11 ай бұрын
Najua mwenye ameona hii atanipea support
@gangmusicband3012
@gangmusicband3012 11 ай бұрын
Very nice 🎉
@jamesbutendeli4511
@jamesbutendeli4511 11 ай бұрын
Careen is so pretty and cool
@EliaKayuni-o8r
@EliaKayuni-o8r 2 ай бұрын
Hv Huwa mnapenda Hela au mnatafu mme wa kweli
@EsterNdalu
@EsterNdalu 11 ай бұрын
Safi careen ni mzuri sana
@Iamwitynes
@Iamwitynes 2 ай бұрын
Mwanaume unatafunajetafunaje hivyo mabigijiiiii
@NicemaryLema
@NicemaryLema 7 ай бұрын
Mtu a natafuta Kama mbuzi 😂😂😂
@amosmahona433
@amosmahona433 9 ай бұрын
Aaliah khaaaa!!!
@adamyassinmaisha5436
@adamyassinmaisha5436 26 күн бұрын
Ila eliza kwer kwer anatia huruma kabisa. Mumuoe jamani
@DianneZeberto
@DianneZeberto 11 ай бұрын
Eliza umekoma unazidi kuchaguwa sana
@ashamjeni292
@ashamjeni292 11 ай бұрын
Eliza aliringa sana na nilisema atakuja penda na asipendwe,pole yake😢😊😂
@EvaristeTchinkoma-oi5rq
@EvaristeTchinkoma-oi5rq 9 күн бұрын
Kukosekana kwa Doctor ... Kunapunguza changamsho na cheshi kwenye stage.
@jumamarere9790
@jumamarere9790 8 ай бұрын
Nainjoi sana
@alhilayali4200
@alhilayali4200 11 ай бұрын
Kumbe wakipenda wao ao wanawake kisha wakakataliwa huwa wanajickia vibaya ee uyo eliza alikuwa ana uhakika kuwa atachaguliwa yeye kwa uzuri wk kumbe hajui kuwa wanaume huwa hawaangalii sn uzuri wanaangalia maini me nimefrahi sn kukataliwa mn vipande vya nyuma yeye ndo mwanamke alie chaguliwa n wanaume zaidi y 5 wote kawakataa 😂 Leo kakataliwa yeye 😂😂😂
@florahfrancis1613
@florahfrancis1613 11 ай бұрын
Muosha huosha
@joyce55727
@joyce55727 11 ай бұрын
😁😁
@joyce55727
@joyce55727 11 ай бұрын
​@@florahfrancis1613muosha huoshwa
@banguha
@banguha 11 ай бұрын
Leo kaoshwa alafu hata sio mzur ni keupe tu
@primamapunda6112
@primamapunda6112 Ай бұрын
Wekeni nayawazee 😂😂
@Dorcaskiwale-ir6ec
@Dorcaskiwale-ir6ec 8 ай бұрын
Zarish ni mwehu kwa kweli
@abdultandala6576
@abdultandala6576 11 ай бұрын
Hata mimi ningechagua huyo black maana yuko normal hana mambo mengi✅✅✅✅
@ChimodleRen
@ChimodleRen 9 ай бұрын
Jamani huyo zaylish atolewe maana anaker nakuharibu pia
@HoseaEmmanuel-b9e
@HoseaEmmanuel-b9e 26 күн бұрын
wadad wote hawa point
@prijoseph4665
@prijoseph4665 10 ай бұрын
😂😂😂 Huyu jamaa namfahamu
@restypeter1141
@restypeter1141 11 ай бұрын
SS Eliza sikasema ni muslam inakuwaje anachagua wakristo au ndo Bora liende😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@FredyMwashitete-f6t
@FredyMwashitete-f6t 10 ай бұрын
Zarishi mpuuzi we nan kakudanganya wewe mzuri
@kizaikonsolat70
@kizaikonsolat70 11 ай бұрын
We misomisondo umpepigaje apo🤣🤣🤣 Eliza haaminiiii anachokionaaaa🤭🤭🤭
@jumwablandina5773
@jumwablandina5773 9 ай бұрын
Weeeeeh nkaliii hiii
@maurinemwesh5280
@maurinemwesh5280 11 ай бұрын
Inaitwa not everyone cup of tea Eliza 😂
@YazrinKajia-rk8fc
@YazrinKajia-rk8fc 9 ай бұрын
Mmmh Eliza wamuajiri tu auze hizo soda mana podium ishamzoeaa😂😂😂
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 11 ай бұрын
Hao wanaume ni waongo wangekua wanaulizwa na max wao wangeaibika
@abdulkarimaliissa4352
@abdulkarimaliissa4352 10 ай бұрын
Dada lulu like beautiful ❤
@Abdumfaume
@Abdumfaume 11 ай бұрын
Mr. Right anajua kuchagua kweli kaacha Eliza pisi kali..😅😅
@JosephDeogratias-up3im
@JosephDeogratias-up3im 11 ай бұрын
Eliza.... mwenyew ashaga mkataa mdau😂
@MwajumShaban
@MwajumShaban 11 ай бұрын
😂😂😂
@IddaJovent
@IddaJovent 4 ай бұрын
Zarishi Hela a nyoko kubabake
@rachelshirima818
@rachelshirima818 11 ай бұрын
Eliza kakasirika😂😂😂😂
@JacklineMdolwa
@JacklineMdolwa 9 ай бұрын
Hhhhhhh elizaa jogoo mnyonge 😂😂😂
@gracemugozi8436
@gracemugozi8436 11 ай бұрын
Mm jamani glady sikuelewi azae akasomeshe wake
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 11 ай бұрын
Eti mzuri nataka matunzo. Number huyo dada anajiuza. Shenzi
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 11 ай бұрын
Ila Eliza Ana gazba 😂😂😂
@neemaberny3598
@neemaberny3598 11 ай бұрын
Maisha yanaenda kasiii sana huyu glady nae anakosoa wanaume😂 sura kama mkuki wa mmasai😂..huyo zarish si alisema kwa siku anaingiza laki 6😂😂 imekuaje tena kaja kwenye kipindi kudanga😂😂
@CelinCelineort
@CelinCelineort 11 ай бұрын
apo kwenye sura kama mkukii😅😅
@angelamgalula8457
@angelamgalula8457 11 ай бұрын
Huyo glad angekua mzuri tungekoma😂😂😂 msomi lakin elimu yake Bado haija msaidia.. kingereza cha hovyo … pia pointless kila akiongea😂
@TabuMudi
@TabuMudi 9 ай бұрын
Elizabeth kuchamba kwingi ndio😮😮
@SefuHabibu-sn8cx
@SefuHabibu-sn8cx 11 ай бұрын
Eti mi mzuri unajiona lakini alafu sijui kwanini mibaya ndio inalinga sana
@nashatHashimmohamad
@nashatHashimmohamad 7 ай бұрын
Kupigwa ndio mapenz😮😮
@LucknessPeter
@LucknessPeter Ай бұрын
eliza anajikuta cake jaman
@MwitaManche
@MwitaManche 2 ай бұрын
Huyo kwenda kubeba mimi na X wake ni umaraya wake tu wala hamna sababu. Mi Mwita Manche wanyamongo.
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 11 ай бұрын
Jamn Eliza aliamni atachaguliwa 😅😅😅😅
@ASUKULUNYASSA-hf6wk
@ASUKULUNYASSA-hf6wk 11 ай бұрын
Uyu zarish nimjuaji tu, kila mwanamume anakuàga na kasoro kwake yy kila kitu kwake tatizo ajui kuchanganua mambo.
@Happinesabella3654
@Happinesabella3654 11 ай бұрын
Glady na Eliza katafute wanaume mtaani hapo tumeshawachoka kila siku mpo halafu nyodo nyingi wenyewe wabayaaaaa khaaaa!!!
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 10 ай бұрын
Brother nimekubali uchaguzi sahihi kabisa
@emmyfaustine4323
@emmyfaustine4323 21 күн бұрын
Hahaha Hana nyota bhna hahhahaahahhaha
@MarryOddo
@MarryOddo 8 ай бұрын
Dj mwendelezo jmn
@LovelyCoastline-il1lr
@LovelyCoastline-il1lr 9 ай бұрын
Mr right unatafuta sana
@omarsakwa-zs2zy
@omarsakwa-zs2zy 11 ай бұрын
Eliza you're cute
@NasibuBakari-k4u
@NasibuBakari-k4u Ай бұрын
liza siyo mwanamuke wakuishi nae anamundom sn unamupoja abandilike 😢😢😢
@RandB_Channel
@RandB_Channel 11 ай бұрын
Huyo Eliza Acha akome wanaumme wengi wame mupenda lakini anawakata .kajiona mzuri sana kazaniya kwamba watamuchaguwa yeye ona sasa mubaya anaondoka unabaki nauzuri wako apo😃😃😃
@niyonkuruconsolee7820
@niyonkuruconsolee7820 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@joyce55727
@joyce55727 11 ай бұрын
Ata huyo alio ondoka sio mbaya ukisema mbaya kwan kajiumba umeongea vzl ila hilo neno umekosea eti mbaya
@MagdalineProsper
@MagdalineProsper 11 ай бұрын
😂😂😂
@Lushinge27
@Lushinge27 11 ай бұрын
Glady fanya uondoke umekaa mda mrefu sana
@bhokesamo6369
@bhokesamo6369 11 ай бұрын
Tens mapema anajifanya kasoma sana anachagua chagua
@bhokesamo6369
@bhokesamo6369 11 ай бұрын
Tens mapema anajifanya kasoma sana anachagua chagua
@bhokesamo6369
@bhokesamo6369 11 ай бұрын
Tens mapema anajifanya kasoma sana anachagua chagua
@fabiannjovu2273
@fabiannjovu2273 11 ай бұрын
HIVI HAWA WASICHANA WANAOENDA UKU WANA AKILI. KWELII HAWA
@VailethSanga-n4i
@VailethSanga-n4i 11 ай бұрын
Hata wanaume pia wanaowafuata huko wanaakilikweli
@BerthaMwisu
@BerthaMwisu 11 ай бұрын
Zaylish mjinga sana Kaz kukosoa Mr right
@FarajaNgao-e8y
@FarajaNgao-e8y 10 ай бұрын
Jamani mnapima kwanza ukimwi
@IddaJovent
@IddaJovent 4 ай бұрын
Zarishi umekomaaaaaa San mpak umekuw bib yetu jaman acha ujing hat ukipat bwan wa ovyo sepa bhan mmezid na Eliza wako🤪🤪🤪
@roseafrael75
@roseafrael75 11 ай бұрын
Eliza huo weupe unakuzuzua unafkiri utamchanganya kila mwanaume pole mwaya leo zamu yako kukataliwa😮😮
@amoslucas1247
@amoslucas1247 11 ай бұрын
Malipo n hapa hapa
@ElizabethMchomvu-s2d
@ElizabethMchomvu-s2d 11 ай бұрын
Huyo eliza mshahili apo atafuti mume anatafuta danga Lizzy mdangaji mzuri huyu dada chamazi ukienda utamkuta sana
@roseafrael75
@roseafrael75 11 ай бұрын
@@ElizabethMchomvu-s2d 🤣🤣🤣siyo vzr
@aceeofficial255
@aceeofficial255 11 ай бұрын
Anachagua sana uyo eliza😂
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 11 ай бұрын
@@ElizabethMchomvu-s2d mwachen achague had azeek
@DandyDandy-wj4tv
@DandyDandy-wj4tv 4 ай бұрын
An Eliza sikupnd tyu kwa maneno Yako unajisikia sana
@sharifu-story4644
@sharifu-story4644 8 ай бұрын
Unauzur gan ww mbuzi wa kikongo?
@bhokejaqulineelias4197
@bhokejaqulineelias4197 9 ай бұрын
Nataka mwanaume mwenye six park awe mrefu handisome awe na funguo tatu za gari awe na nyumba ya ghorofa kumi plz im here waiting😢😢
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 8 ай бұрын
Umba wako unavotaka halafu umpe maokoto kisha akuoe mwenyewe
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 8 ай бұрын
😂😂Mimi nilijua tu.Eliza kutoboa ni issue,inabidi abadilike kwanza.Eliza kumuweka ndani shughuli
@African511
@African511 11 ай бұрын
Hakuna mke hapo bali kuna wake za watu walioachika kisa pesa,aloooo Dunia inaenda kasi sana.
@IddaJovent
@IddaJovent 4 ай бұрын
Af na we Mr right ach kutafna bhan unakera mitafuno Yako mibaya bhan.🤫🤫
@SsssWwaw
@SsssWwaw 10 ай бұрын
Aibuuu Kwa eliza
@amosmahona433
@amosmahona433 9 ай бұрын
WANAUme tunaangalia akili na tabia
@lazacklubava9789
@lazacklubava9789 5 күн бұрын
Mr right domo zenge wanatulia aibu
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
HOUSE GIRL EP 09 | S4 | LOVE STORY 💞💕
19:57
BUSATI TV
Рет қаралды 55 М.
DUNIA (Ep 34)
27:36
ASMA FILMS
Рет қаралды 152 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН