HELLO MR RIGHT HIGHILIGHTS : AMKATAA MREMBO BAADA YA KUAMBIWA SIRI HII, KIKOJOZI ? Q CHILLA & LULU

  Рет қаралды 56,897

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@fidelitekarigirwamuyangwa973
@fidelitekarigirwamuyangwa973 8 ай бұрын
Yani uyu nmkua nampenda nikiwa mudogo nakurara mpaka niwek nyimboyak ❤❤❤❤❤🎉
@AnnoyedCassettePlayer-fc4ze
@AnnoyedCassettePlayer-fc4ze Ай бұрын
Baraka ni mwanaume
@IsayaMollel-pg6wc
@IsayaMollel-pg6wc 8 ай бұрын
😢 watatu nipeni like zangu
@FikiriMwina-f1c
@FikiriMwina-f1c 23 күн бұрын
Hiv 🎉niulize hivi nikweli ❤hapo unapata kewa kuokabisa, au ni mchezo, kamasanaa?
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 8 ай бұрын
Kwan nyie waomba like mbn mnatabia za kimalaya sana mnaomba omba ovyo kwan mmelazimishwa mje muhaw kucomment humu? Achen ushamba wa kiswahili bwana😏😏😏
@ashamjeni292
@ashamjeni292 8 ай бұрын
Ongeza volume dada, wanakera😅
@GiftAbduly
@GiftAbduly 8 ай бұрын
Usituingilie bana kama uta like like kma hauta like pita kushoto
@elisharaphael8680
@elisharaphael8680 8 ай бұрын
Halafu najiuliza hizo like zinasaidia Nini maake wanaomba utafikiri ni vitu vya maana
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 7 ай бұрын
Ongeza sautiiii please 😂😂😂
@Khadijaasaid4533
@Khadijaasaid4533 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@rifathfransisco7821
@rifathfransisco7821 8 ай бұрын
Wa kwanza nupeni like
@PaulWilly-k6u
@PaulWilly-k6u 2 ай бұрын
anaekwambia kwel huyo ndo mke wa kwel
@sneckyBoe
@sneckyBoe 7 ай бұрын
Sizai, nina ukimwi, ni apo tu
@BoraHamisi-zl6xy
@BoraHamisi-zl6xy Ай бұрын
😂😂😂😂uwiiiiiiiii
@modricnoma3686
@modricnoma3686 8 ай бұрын
Nahisi itakuwa binti ana matatizo ya uzazi au ugonjwa usiotibika 😢😢😢
@MushuaSonda
@MushuaSonda 2 ай бұрын
Me namtaka huyo kwa chochote nitamvumilia tu kilamtu anamapungufu yake
@IddaJovent
@IddaJovent 4 ай бұрын
Sas huyu bint ni mficha maradhi kifo umuumbua badala angesem akasaidiw dah pole Ake.
@alexmwalingo5020
@alexmwalingo5020 8 ай бұрын
Mi ningeondoka nae hivohivo mtoto mzuri
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 8 ай бұрын
Me wapili nipen like hata mbil jaman
@officialtenendejr360
@officialtenendejr360 8 ай бұрын
Like ukipata unapata nn kila.mtu wa kwanza wa kwanza upewe lije
@sammahona8240
@sammahona8240 7 ай бұрын
Dem atakuwa na jinsi mbili
@favourfuraha
@favourfuraha 7 ай бұрын
I think so too
@FeywisNoel
@FeywisNoel Ай бұрын
hata mm nahis ivo
@poulmbogo1770
@poulmbogo1770 8 ай бұрын
Atakuwa alimwambia ana sicke cell jamaa akaona daah
@erizabethchanga636
@erizabethchanga636 8 ай бұрын
Sasa kwann wanakukataaa dr mbona dawa zipo za kuacha kukojoa usijali ukitumia hyo daya utaachaa kabisa polee
@Khadija1234-k8v
@Khadija1234-k8v 7 ай бұрын
Wengine vikojozi mtu umeshajijua unamatatizo kwann ukajiuze apo
@MuhammadMaulana-p2l
@MuhammadMaulana-p2l 7 ай бұрын
Mwanamke anaumwa ukimwi
@BoraHamisi-zl6xy
@BoraHamisi-zl6xy Ай бұрын
😂😂😂😂😂uwiiiiiii
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 8 ай бұрын
Duh hivi huyu mwamba aliambiwa nini😂
@nancyg8664
@nancyg8664 8 ай бұрын
😂yan jaman
@nancyg8664
@nancyg8664 8 ай бұрын
😂yan jaman
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 8 ай бұрын
Haiwez ikawa ukimwi labda ugonjwa mwingn tu labda unamuaibisha
@favourfuraha
@favourfuraha 7 ай бұрын
Labda ana jinsia mbili
@HappynesSimon
@HappynesSimon 8 ай бұрын
😢nilion kweny tv skuelew alimwambia nn
@nasfaiyogo3228
@nasfaiyogo3228 8 ай бұрын
Naombeni jina la huu wimbo mbona nimependa sana
@FrankShilingi
@FrankShilingi 8 ай бұрын
Mwambie anitafute nimsaidie aachane na tatizo hilo huyo binti
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 6 ай бұрын
Duh
@johanesjunnior3359
@johanesjunnior3359 8 ай бұрын
Anashikwa na mapepo
@johnshukuru6428
@johnshukuru6428 8 ай бұрын
akuna mwanaume ambaye anakubali kuchukua kikojozi ata kama unasura nzuri vipi mambo ya kulala kwenye maji aiwezekani
@nancyg8664
@nancyg8664 8 ай бұрын
😂😂😂
@esternashon4706
@esternashon4706 8 ай бұрын
😂😂😂😢
@Amourmelodiesbeats001
@Amourmelodiesbeats001 7 ай бұрын
We Jamaa Fala sana 😂
@PaulinaMachege
@PaulinaMachege 2 ай бұрын
@@johnshukuru6428 hhhhhhaaaaa
@lucksonbonfilsbrown907
@lucksonbonfilsbrown907 8 ай бұрын
Labda alimwambia kwamba anaumwa ukimwi mwamba hakakimbia
@BilihaniAdriano
@BilihaniAdriano 8 ай бұрын
nisahihi Kabsa hiyo ni HIV 😢😢
@rehemamgata224
@rehemamgata224 8 ай бұрын
Inawezekana
@nancyg8664
@nancyg8664 8 ай бұрын
😢nimewaza hvo pia
@freythamochu8459
@freythamochu8459 8 ай бұрын
😢😢
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 8 ай бұрын
😂 hana kisimi kaachwa ila kufirana mikunduni wanaume kwa wanaume na wanawake kufirwa kuna kisimi uko nyuma
@zuenakhassim
@zuenakhassim 8 ай бұрын
😅😅😅😅😅khaa wewe umenishinda tabia​@@dorcaskidoti249
@freythamochu8459
@freythamochu8459 8 ай бұрын
Myb she's positive 🥺
@AminaAhmad-m8t
@AminaAhmad-m8t 8 ай бұрын
Wa 4 leo jaman naombeni like zenu pliz
@musichealsTz
@musichealsTz 8 ай бұрын
mfungo umeshaisha, sasa tusharudi kwenye mavaz yetu yasiyo na stara
@MsigwaMsigwa-m2g
@MsigwaMsigwa-m2g 8 ай бұрын
Jaman m niko single
@JohnJustine-no1zv
@JohnJustine-no1zv 7 ай бұрын
Namm nipo single
@MsigwaMsigwa-m2g
@MsigwaMsigwa-m2g 7 ай бұрын
Dah pole
@johnfredy8809
@johnfredy8809 8 ай бұрын
Itakua dem kamwambia ana Kubwa kubwa
@onesmustop4band11
@onesmustop4band11 8 ай бұрын
Big NO.... Alimwambia kuhusu kuzaa ama ugonjwa wa sehemu siri
@rhodarichard4494
@rhodarichard4494 8 ай бұрын
Acha upuuz wako nawewe
@onesmustop4band11
@onesmustop4band11 8 ай бұрын
@@rhodarichard4494 alimwambia nn kwa maoni yako ?
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 8 ай бұрын
Ss iyo siri atawambia wangp si aondok apo😢
@ashamjeni292
@ashamjeni292 8 ай бұрын
Ndo nashindwa kuelewa pia 😢
@MgeniRamadhani
@MgeniRamadhani Ай бұрын
Hapana anaweza kupata
@jeanpaulluanga6780
@jeanpaulluanga6780 8 ай бұрын
Nachojuwa alimwambiya sex mpaka ndoa jamaa naye akagoma😁😁😁
@ChristinaEmanuel-li7pi
@ChristinaEmanuel-li7pi 8 ай бұрын
Me pia nimewaza ivyo
@esternashon4706
@esternashon4706 8 ай бұрын
Daaah una akili sana😂
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 8 ай бұрын
Nimejifunza kitu usimwambie mtu madhaifu yako nimelia sanaa
@MohdTryson
@MohdTryson 8 ай бұрын
Huwez jua ndo maana ikawa siri acha ibak hivyo akiongea waz yawezekana hata hilo jukwa akafukuzwa
@amirabdallah6984
@amirabdallah6984 7 ай бұрын
Dada ni mtu aliyenyoooka thus why akamuweka waz bro mapema
@bushbabytz
@bushbabytz 7 ай бұрын
alimwambia yeye ni mwathirika
@revelianalphonce993
@revelianalphonce993 8 ай бұрын
Alimwambia hawezi lizika na mwanaume mmoja lazima amsaliti tu jamaaa akaona kaaa!!!!!
@ziadamarcus9699
@ziadamarcus9699 8 ай бұрын
Mhhhhhhhh
@musichealsTz
@musichealsTz 8 ай бұрын
badilisheni uandishi, sio kikojozi. huo ni ugonjwa tuuu
@RamadhanMwinyimku-dw4od
@RamadhanMwinyimku-dw4od 8 ай бұрын
Nahisi ana jisia ya kiume
@nancyg8664
@nancyg8664 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 8 ай бұрын
😅😅😅😅😅​@@nancyg8664
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@NshomaSayi
@NshomaSayi 8 ай бұрын
Leo wa 6 like kwangu
@GabrielMaganga
@GabrielMaganga 8 ай бұрын
Kwani anashida ngan mwambie anipigie
@ashamjeni292
@ashamjeni292 8 ай бұрын
😂😮
@aishakimaro2795
@aishakimaro2795 8 ай бұрын
Labda alimwambia yeye kikojoz
@celestinemakolo3954
@celestinemakolo3954 8 ай бұрын
Labda hana kisim
@peterrobinson7093
@peterrobinson7093 8 ай бұрын
Kudadek
@HildaDogani
@HildaDogani 7 ай бұрын
😂😂😂
@BoraHamisi-zl6xy
@BoraHamisi-zl6xy Ай бұрын
😂😂koment zenu zinanichekesha uw😂😂😂😂
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
This bachelor really annoyed Dr Ofwenekebecsuse of Diana.......
2:03
UNAYAJUA MAHABAT WEWE! ONA HAPA SASA.
10:00
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 440 М.
KAMA UNABISHA NIPE MKONO  - KIMBEMBE
4:58
Wasafi Media
Рет қаралды 118 М.