Mke wangu alitaka kunidhalilisha katika familia yake kwa kusema mimi ni dhaifu kitandani, dada zake wote walipiga kelele kuwa sio kweli. Uongo tu kuwa mkweli Aaahhh😂😂😂😂 Like za Aaaahh🇲🇿❤️🇹🇿
@MrTiba_T.v5 ай бұрын
Dada walikujua moto wako au walikua wanakutetea 😅😅
@ABDURAZACKRAMADHANI5 ай бұрын
Duh
@issakzakalia24854 ай бұрын
@@MrTiba_T.vnand 0:00
@中塚孝幸-g6m4 ай бұрын
1:38 😂
@JonasJustinian-c4h4 ай бұрын
Ko adi dada zake wanaelewa duuh
@mmBrian-rw4jh5 ай бұрын
Kuimba t kuoa waaah 😂😂steven nakukubali mwanangu❤🎉 nipeni like pia team strong 💪💪💪
@aviwaomar4395 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Salina.son_1236 ай бұрын
😂😂kuimba tuu kufanya kazi ahhh Hoya steve fans nipeni likes zangu wakwanza leo 😂❤❤ show love
AMBAO NI TEAM STIVE WEKA LIKE HAPA ,,, TUMKOMESHE SHAFII BRAND MJINGA YULE,,, KUONGEA TU ,, KUOGA AAAAAH!!!!!
@MohammedAli-cv1qw5 ай бұрын
Kucomment tu kulike aaah
@MerlinaKubadesha5 ай бұрын
Kjibu 2 za wenzio kuandika yako ahaaahahah😂😂😂😂
@stevensilungwe416 ай бұрын
Mimi ni wakwanza kutoka 🇿🇲 Zambia. Nipeeni likes zangu hapa.
@JOAKIMKIFARU5 ай бұрын
kula TU kuoga aaah stivu jau huyu
@MerlinaKubadesha5 ай бұрын
Kugogea kobasi kiludisha aahahaha😂😂😂😂
@OkitoKapalataКүн бұрын
Leo acha niandike ,jamn nawakubali wote wanao cheza kwenye hii movie asa mzee wetu baba halima na baba kipesile Doris piya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mauwa yenu kutoka kongo
@anithawimbe34405 ай бұрын
Yaani wimbo umetrend sana Steve Una ubunifu wako binafsi
@ElizaMatikila4 ай бұрын
❤
@IbrahimAmos-r2y25 күн бұрын
Kazi iko vizuri mybest artist sema nikushauri punguza vinywaji vyenye baridi kupita kiasi mdogilo wangu,sauti hapo imekuwa inakwruza mno
@BramoMag6 ай бұрын
Kuangalia tu Kutia like aaaah🤣🤣🤣
@JustinDamas-my6rs6 ай бұрын
Hizo like unakula au
@BramoMag6 ай бұрын
@@JustinDamas-my6rs kuuliza tu kuoga aaaah
@tundalamaua98186 ай бұрын
🤣🤣
@JustinDamas-my6rs6 ай бұрын
@@BramoMag 😅haya bhna
@alicegathigi24596 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@AimaaOmary-u7k4 ай бұрын
Nyimbo nzur mungu atajalia utafika mbele zaid endelea kupambana ❤❤❤
@BrayoComedian-ro8kh6 ай бұрын
Steve kali bro like yangu wapi
@RehemaJuma-x1q5 ай бұрын
Steve kweli mbunifu Big up kwako
@IbrahimuBaruty-ds8xl5 ай бұрын
Tulokuja kuangalia comment ya davido like apa😊😊😅
@Mmbondotalents5 ай бұрын
Umeiona?
@EdiAboolo5 ай бұрын
MIM NILIONA ILA KWASAS AIPO TENA
@MerlinaKubadesha5 ай бұрын
Mbn me sijaona kabisa, kazi kuongea 2u kuwa na uhakika aaahhahah😂😂😂😂
@meselemanikujeza87034 ай бұрын
Pia mm 😂😂😂kumbe nko n wenzangu😅
@PaulBisare5 ай бұрын
Huu wimbo nmeangalia zaid ya Mara kumi 🎉
@kimwalove6 ай бұрын
Kama umekuja kunglia comment ya DAVIDO tujuane GONGA LIKE
@AbdulJuma8176 ай бұрын
tumepigwa na kitu kizito 🤣🤣🤣
@wamuyungustarboy1276 ай бұрын
Mm huyo nabado bautafuta
@Maady_is.6 ай бұрын
Yaani hapa nilipo nimeshika magoti hooii nimezunguka kila kona simuoni
@MerlinaKubadesha5 ай бұрын
Umeongea kabisa😂😂😂
@MerlinaKubadesha5 ай бұрын
Kazi kusema kutokuwa na uhakika ahahahahah😂😂😂
@misalabacharles27285 ай бұрын
Acha Kuchekesha Sasa Maana Hata Kuimba Unajua Balaa
@raphaelvarane-rv9bv6 ай бұрын
Mimi hapa wakwanza kutoka Uganda 🇺🇬 nawapenda sana team mweusi Family,Steve mweusi kuliya kwenye sahani ila kusukala aaaaah 😅😅😅
@PhilipoKayombo-uv9hu5 ай бұрын
Mzee baba ongera sana unaupiga mwingi. 𝐊𝐰𝐚𝐢𝐥𝐨 𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐤𝐮𝐤𝐚𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐲𝐚 𝐚𝐚𝐡!!
@jossarMugisho5 ай бұрын
We noma baba shafii ni mshamba anananganiya vithu ambavyo avi muusu
@jonestarek11632 ай бұрын
Le rythme du song ci est très bon . Faire oublier ces soucis.
Wow wow wow.... Umeflow vizuri sikutarajia big up bro
@charliecharles72635 ай бұрын
Mweusi ukona kipawa cha kuimba Tia bidii pia hii side ndio maana nakutambua kutoka hapa kenyaa
@DavidMashaurikisungundaАй бұрын
Kumbe Stevu mweusi ni msaanii wa singeri🎉🎉🎉
@KINYONGAMASAUTIY5 ай бұрын
Saf San ngoma Kali umetishas stivu
@FranciscoM-LouАй бұрын
Hakuna mutu anae ni toa stress kama we Stive mi ni M-Lou a young talent wa muziki toka Congo muni tafutiye kiki huko Dar jamani
@MelchBauma5 ай бұрын
Ku imba tu, ku lake aaaaaah 😂😂😂🥰🥰🥰🥰 namu kubali Steve mweusi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@BernardSimplis5 ай бұрын
Ukweli Steve Jobs ❤🇨🇩🎼💯+🇨🇩+🇹🇿
@FrancisWagatwe2 ай бұрын
Kula nauli tu😂😂😂
@RuhuneKabose5 ай бұрын
Stevu unajuwa kuiba sana mauwa unastaili🎉🎉
@SaloumSaiddh-l6dАй бұрын
Steve mweus apewe maua yake,,,,,
@David_fc_mobile6 ай бұрын
Wakwanza Mimi nipeni like zangu
@jadevevo965 ай бұрын
🎉
@djmandara17632 ай бұрын
Good music
@AbiTech965 ай бұрын
Kuigiza tuuu ku oa aaahhhh😅😅😅 Steve from 🇨🇩
@GIRIPELUKAS4 ай бұрын
Nakupenda sana mweusi ira nami nikicheza comedy as naitaji sapoti kutoka kwenu nacheza kwa kikundi cha IBINEZEREZA TV au giripe lukas 😂😂😂🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ please nisapoti😢😢😢😢
@Ngaofamily-dj26 ай бұрын
Nice one..mkulanga zima tuko nyuma yako
@paulyne5625 ай бұрын
Umetisha ndugu yangu steve
@mumberearistote85186 ай бұрын
Different talents stive 😅😅😅 from Congo 🇨🇩 mkowa Kasindi board
@Kingstonbagamoyo5 ай бұрын
Big up sana ujumbe mzuri,stive,Mpe hi mzee wa kimanzichana dirctor
@Sesedaremathe5 ай бұрын
Mke wangu alitaka kunidhalilisha katika familia yake kwa kusema mimi ni dhaifu kitandani, dada zake wote walipiga kelele kuwa sio kweli. Uongo tu kuwa mkweli Aaahhh Like za Aaaahh🇲🇿️🇹🇿
@philemonmagesa55485 ай бұрын
Hao dada zake walijuaje au ulipita na mashemeji?
@flavahkid8787Ай бұрын
𝑊𝑎𝑡𝑐ℎ𝑖𝑛𝑔 𝑙𝑖𝑣𝑒 𝑓𝑟𝑜𝑚 𝐾𝑒𝑛𝑦𝑎🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@allysimu68565 ай бұрын
Nyimbonzuri kutoasapoti aaahhh
@VeronicaAssi-e4uАй бұрын
Kudanga tu kuao Ahaaa weka like 300 kama ❤❤❤Steve mweusi😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉😂😂
@RuhuneKabose5 ай бұрын
Stevu watuwako wanajuwa kuchenza vizuri
@ismailIbrahim-f7sАй бұрын
Chonjo kabisa
@samzetboykenya64556 ай бұрын
Shabiki mkubwa hapa tokea Kenya 254 kuogaaa😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪leta likes
@NuriaHalake-n8c5 ай бұрын
Wow Steve mweusi....hongera
@NCWolfOfficiel5 ай бұрын
Endeleye mziki bro mziki wako una ni furahisha kuliko ma vidéo comedy zako ❤❤
@YAGA_BOYАй бұрын
Kutobwa tu kuzaa aaaha
@JohnKamau-sy1um4 ай бұрын
Wakwanza kutoka Kenya Steve kuoga aah
@anuambosehemmanuel2 ай бұрын
I like aahh ❤😂
@Zahara-or3cf5 ай бұрын
We steve hii ni nyimbo au comedy
@aisha-j4x2 ай бұрын
Kazi tunayo na tunatamba nayo🔥🔥🔥🔥🔥moto sana
@gun60jgt406 ай бұрын
M lijua tu hii itakuwa Kiki ya ngoma mpya ya Mweusi hakuna cha shafii wala shafoo❤❤❤
@Zeinabmea5 ай бұрын
Steve mweusi ni mmoja tu .penda sana wewe🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@Mwangijr226 ай бұрын
Kuamka 2 kutandika aaah 😂,from Kenya ❤❤
@CharlesMs25Daghaly5 ай бұрын
Kwl we ni moto wa Mayele na Max ❤❤❤❤ kila pand mnawez kbs nawakubal kinoma Steves mweup na jopo lot
@e7bits_tz6 ай бұрын
STEVE🔥
@edgarlaurian-d8w5 ай бұрын
🎉🎉
@Mnyatucomedytz5 ай бұрын
🎉.
@abdiyjaaz81805 ай бұрын
Konka usiwe unacoment ktk account za wasaniii ww mtu mkubwa
@stellahpeter18085 ай бұрын
Upo Hadi huku na kukubali sana mm shabiki yako naomba muendelezo wa yule dada anae jiuza ili maisha yaendelee nimesubiri weee hujatoa 😢
@KimoiAbraham-l5r4 ай бұрын
Kali ni kali tuu konde salute you ati "moyo unadunda tena"
@KareemKamota-ck7uy6 ай бұрын
Kutunga zako kuiba nyimbo za watu aaah mbrazil njoo umuone stive kashakuibia uki😢😢😢
@AugustinBitendelo2 ай бұрын
Towa zingine ngoma chef,nakukubali
@lamonaizerke5 ай бұрын
As Genz wa Kenya I think stevo is more than Diamond wait and see.........,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JohnaliMabruki3 ай бұрын
Belemi 😢ulitaka uwa mtu aisée wetù mwana 🙏🙏 bog song
@Johnrexshiti6 ай бұрын
Love from Kenya,, comedian number one in Tanzania and all East Africa 😍😍😍
@GiftLaswai-u8q5 ай бұрын
Mungu amjalie afike mbali zaidi hapa kaka yangu mungu atakunyoshea mapito yako wnye husda hawatakukwamisha kwa maneno yqo
@Abdulaziz-tb1gd6 ай бұрын
Kila mtu anasema yeye wa kwanza kwenye comment lkn kuwapa like wenziwe aaaah😂😂😂
@RashidiPatient-lq7rk5 ай бұрын
Aaaaaaaahhhhh! Ni kali sn ngoma hili kabisa 🎉🎉.
@desireirambona57015 ай бұрын
Kugombana tu kusimama upigwe aaah❤
@Sakina-w5p5 ай бұрын
Uko sawaa@ dogo nakutazama from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nakupenda
Nyimbo yako kali sana inavutia inasikilizika mala yakwanza kusikia kwenye muv ya da tuu
@SinemaZaChina6 ай бұрын
ujawai kuniangusha mwanangu nakukubali sana
@Mnyatucomedytz5 ай бұрын
🎉🎉
@janetdundul38585 ай бұрын
😅😅❤❤❤❤❤ DJ
@KelvinKhan-u6r5 ай бұрын
Mweusi kuimba tu kuowa aaaaaah 🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@saidabukromarnasib59066 ай бұрын
Waaaah Steve your amazing duuuu
@ashleystellaАй бұрын
Kunwatch 2,kunsupport Aah😂
@djtonnytzofficial62535 ай бұрын
Kuzalisha wadada wa watu tu kuudumia aah
@GabrielAlphonce-l4o5 ай бұрын
Nimewapenda saaaaana na hakuna mzimu hapo,bali tabasam to u
@GriphineJonesGriphine6 ай бұрын
Leo mm wa kwanza wapi likes zake steve famille
@EmanueliWildausoni3 ай бұрын
Huyu msanii kabaki bongo wengne wote machawa wa ccm na serekali mama mama mama ujinga mtupu
@gotitv_16 ай бұрын
KUIMBA TUUUU KUINGIA TRENDING AAAAAAH
@MichaelMsunyunhoАй бұрын
Kusoma tyu kufaulu aaah
@tovumaster92046 ай бұрын
Umetish nakukubar by tovu master toka bukoba
@SmithAfandeАй бұрын
Nakubali Bro wangu Umeza
@stanleymwalikhitsi5 ай бұрын
Uyu naye Hana pesa ila kureject finance bill aaaah😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@elizabethdaniel39085 ай бұрын
Ngoma Kali Sana ndugu sema video jalibu kubadilishaga badilisha location
@jumakivuma52475 ай бұрын
Steeve ni hazina ya taifa wew kukataa tu kukubali aaah
@LilOmmyCrazyOfficial6 ай бұрын
❤Leo gongeni like hapa za mama samia ili baadae nimpelekeh nazo. Hikulu 😂😂😂🎉🎉🎉 Ila Steve 😂😂😂
@LydieAdele2 ай бұрын
Force et courage a toi🎉
@AbuubakarySalumu6 ай бұрын
Nakubal kaka ❤❤❤❤
@TALLUBOY5 ай бұрын
Steven kama umiandika Mwenyewe unajua kuimba na kuandika naweza kukuita Songwriter broh hili ilikuwa hit Sjajua nini kilicho sababisha Kutofanya vzl uku mtaan hi track Au ulitoa muda watu wamiachia Mizigo Yao ya kwenda
@MerlinaKubadesha5 ай бұрын
Daa h hakika anajua , kazi ksifia 2 kutunga yako😂😂😂😂