Suma Lee - Muache aende zake

  Рет қаралды 14,070

BONGO ZA KITAMBO

BONGO ZA KITAMBO

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 3 ай бұрын
bonge la wimbo huwezi tena kusikia utunzi wa hivi. tutaishia kusikiliza matusi tu na uchafu wa wasanii wa hovyo. Tanzania music ilikuwa zamani so sad😢
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 26 күн бұрын
Suma hii nyimbo ni my favorite song for me
@chotarawakingoni8148
@chotarawakingoni8148 7 ай бұрын
Producer ROY BUKUKU ndani ya Studio za G2. Kmmk🔥🙌. Aendeleee kupumzika Kwa amani ROooY
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 5 ай бұрын
🙏
@nickbishati6030
@nickbishati6030 2 жыл бұрын
Nilikua naitafuta hii ngoma, asante kwa hii kitu
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 2 жыл бұрын
Endelea Kuangalia Ngoma Kali Sana Za Kitambo Zaidi
@sakinalwambano6062
@sakinalwambano6062 10 ай бұрын
​@@BongoZaKitambo55Kuna Jimbo Moja hivi nakumbuka chorus tuu. "anaenifanya nikose Raha ndie ninaemuimbia na kama kweli ananisikia hebu sogea *2" naomba itafute boss
@justinmashala6944
@justinmashala6944 2 жыл бұрын
Hili song la ukweli Sana big up kwa mwamba aliyoipandisha
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 2 жыл бұрын
Endelea Kuangalia Ngoma Kali Sana Za Kitambo Zaidi
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 Жыл бұрын
Tuko pamoja kwenye top 15 ya wasanii bora tz suma lee alikua hakosi jamaa alikua fundi sana
@jumakhaji1620
@jumakhaji1620 Жыл бұрын
Tunaomba mzigo mwingine wa Suma lee akiwa na Enika pamoja na Bob junnior 🙏
@chotarawakingoni8148
@chotarawakingoni8148 Жыл бұрын
Ngoma Tamu Sana ileee mwenyewe Naisubiria kwa Hamu iwekweee “Kama kweelii we ungenipendaaa mimii UNGENENaaaaaa kulikooo kunidanganyaaaaa oooooh”
@jumajumanne4997
@jumajumanne4997 8 ай бұрын
Dah i ngoma niliitafuta miaka mingi studio zote hakika nimeipata nilisha wahi penda dah ila nikaja achwa i ngoma inan farijigi sana
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 5 ай бұрын
Endelea Kuwa Nasi Soon Tunaanza Ku upload Nyimbo zingine
@Uyrvanology
@Uyrvanology Жыл бұрын
Natafuta auio ya huu wimbo, one of the best five 5 in Bongo fleva, this 2023 June
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 5 ай бұрын
Endelea Kuwa Nasi Soon Tunaanza Ku upload Nyimbo zingine
@khatibumtaki7425
@khatibumtaki7425 3 жыл бұрын
2008 ngoma kali adileo
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 3 жыл бұрын
Kuwa karibu Nasi Uzidi kupata za Kitambo zaidi
@abdallahmhando5107
@abdallahmhando5107 2 жыл бұрын
Umetisha sana kaka mkubwa!!
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 2 жыл бұрын
Endelea kuangalia ngoma kali sana za Kitambo zaidi
@abdallahmhando5107
@abdallahmhando5107 2 жыл бұрын
Kitambo sana!!!
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 26 күн бұрын
Penzi linadhamani hata kwa masikini penzi halitaki ufahari majivuno yanini.huu mstari unafanya hata asiye na kitu ajione anacho
@abdallahmhando5107
@abdallahmhando5107 2 жыл бұрын
Mkubwa kitambo sana
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 2 жыл бұрын
Endelea kuangalia ngoma kali sana za Kitambo zaidi
@GodfreyMasilamba-ht7sf
@GodfreyMasilamba-ht7sf Жыл бұрын
Ingia KZbin Sach,sense zake Suma lee
@thomaschessam9624
@thomaschessam9624 6 ай бұрын
My best fucking joints ever🤝🤝🙌🙌🙌suma lee
@athumanimaziku8415
@athumanimaziku8415 Жыл бұрын
Nai pakua vp jaman
@SomoO-r9m
@SomoO-r9m Жыл бұрын
We both pay the price....save your heart...am good i swear..i don't get back Kanye nimelost...call me brother....i won't see your naked
Suma Lee-Hakunaga HQ
4:25
fahmi salum
Рет қаралды 466 М.
DMA ft SUMA LEE wangu wa ndani
4:42
Juney sixsi
Рет қаралды 7 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Mandojo & Domokaya - Wanok Nok
5:00
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 431 М.
Je Utanipenda? Mike Tee feat Mad Ice
4:30
Mike Tee
Рет қаралды 96 М.
Hardmad  Tamala by Mika Mwamba production
4:52
Biorn Productions
Рет қаралды 448 М.
Suma Lee Ft Shirko - Maneno Maneno
4:25
BONGO ZA KITAMBO
Рет қаралды 3,2 М.
JEBBY FT AFANDE SELE   SWAIBA
4:50
DJ AnnoMaster
Рет қаралды 862 М.
Suma Lee - Apate Raha
3:45
EastAfricaTube
Рет қаралды 32 М.
Bwana Misosi Ft Suma Lee - Safari Ni Ndefu (Official Music Video)
4:55
Suma Lee - Utanikumbuka
3:56
EastAfricaTube
Рет қаралды 46 М.
Mandojo na Domokaya - Nikupe Nini (Official Video)
5:05
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 570 М.