Рет қаралды 5,829
Je, unajua kuwa Qur'an Tukufu inahifadhi surah, ayah na dua maalum za kukuwezesha kubadilisha yako yoyote? Leo tunakuletea siri hiyo! Kwa kutumia Surah hizi, utaweza kuvuka changamoto zako na kufanikisha malengo yako maishani. Hii ni siri ambayo wengi hawajui, lakini walioitumia wameona matokeo ya ajabu. Je, uko tayari kuijua? Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe kwa mafunzo zaidi kama haya ya Qur'an na siri za mafanikio! Safari ya kila mmoja wetu ni ya kipekee. Siri hii inaweza kuwa msaada unaohitaji kwa hatua yako inayofuata!
----------------------------------------------------------------------------------------
Maelezo yake:
Surah: AS-SHAMS, AL-LAYL NA AT-TIN
Ayah: KAMILI
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
Tia nia yako yoyote.
Uwe na Twahara kamili (Mwili, nguo na malazi).
Soma hizo Surah zote mara 7.
Soma Dua ifuatayo mara 1:
«اللَّهُمَّ اجْعَلْ لِيْ فَرَجًا وَمَخْرَجًا مِنْ أَمْرِيْ»
Insha Allah baina ya usiku wa kwanza hadi was aba utapata suluhu la tatizo lako.
Fanya faida hii mara 1, 2, 3, na kadhalika. Nafasi yako!
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
----------------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
**********************************************************************
Copyright © 2025 Mohamed Alidini. All rights reserved.
**********************************************************************