TABIA ZA MTU MWENYE WIVU ULIOPITA KIASI/JEALOUS

  Рет қаралды 4,460

Lazaro Samwel

Lazaro Samwel

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@masterkey536
@masterkey536 2 жыл бұрын
Kweli
@bushimani1544
@bushimani1544 Жыл бұрын
Sio kweri Kuna watu wasabisha watu wawe ivyo
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel Жыл бұрын
Ni sahihi pia
@rithamahindo7194
@rithamahindo7194 3 жыл бұрын
Nashukru sana kwa somo lako kwazia leo nimeacha wivu
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
Thank you coach,
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 5 жыл бұрын
Karibu sana
@frademyindustry3751
@frademyindustry3751 6 ай бұрын
Mwalimu ni jinsi gani naweza kujilinda na mtu mwenye wivu Kwa sababu ni aduitayari naitaji kujinda nifanyeje
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 6 ай бұрын
Usimshirikishe mambo yako,lakini badilisha tabia au vity ambavyo vinafanya mnakuwa karibu na kujua mambo yako ambayo yanapelekea anakuwa na wivu
@rosepeter415
@rosepeter415 4 жыл бұрын
Nilikuwa nataka kumuacha mpenzi leo hii dah basi nimehairisha kumbe ni wivu unanisumbua
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 4 жыл бұрын
Nafurahi sana kuona umejifunza kitu kizuri na kimeokoa mahusiano yako
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Haha rose baba pole ata mimi nawivu sema naukontroo
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi aliniacha kisa kaambiwa nina mwingine kadanganywa na nilimwambia sio kwel lakin akawa bado ana hasira analiongolea na akaja kunikatia mawasiliano
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel Жыл бұрын
Poleee sana…Ndio changamoto zenyewe za mahusiano muda mwingine
@liberatussylvanus5477
@liberatussylvanus5477 3 жыл бұрын
Nimekuelewasana kaka
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 3 жыл бұрын
Karibu sana ndugu
@RayhanMbongolo
@RayhanMbongolo 9 ай бұрын
Kumbe watu wenye wivu ni wagonjwa wa akili
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 9 ай бұрын
😂
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Wivu unasababisha muachane
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel Жыл бұрын
Ni sahihi
@gracepata6163
@gracepata6163 3 жыл бұрын
Jinsi ya kuepuka wivu
@LazaroSamwel
@LazaroSamwel 3 жыл бұрын
Kuna kitu ulijifunza kwenye video hii?
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 62 М.
Joel Nanauka:Kwanini unachelewa kupata unachokitaka?
7:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 81 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
MITIMINGI # 941 JINSI YA KUPATA UJASIRI UNAPOTAKA KUSIMAMA MBELE ZA WATU
16:00
Wivu unasaidia nini kwenye mapenzi?
13:17
EastAfricaTV
Рет қаралды 3 М.
KUPONA UCHUNGU - JOEL NANAUKA
6:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
TABIA ZINAZOPOTEZA WATU - JOEL NANAUKA
6:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 30 М.
DALILI ZA MUME/MKE HATARI - JOEL NANAUKA
10:47
Joel Nanauka
Рет қаралды 49 М.
Je,Nani awe Mentor wako?
7:00
Joel Nanauka
Рет қаралды 15 М.
SABABU ZA KUPOTEZA MARAFIKI WAPYA KILA SIKU
13:03
Lazaro Samwel
Рет қаралды 260
Dr. Chris Mauki: Je mpenzi wako ana wivu? Jiulize haya matano!
9:13