TAFAKARI YA INJILI YA SIKU, JUMATANO - 05-02-2025; JUMA LA 4 - KIPINDI CHA KAWAIDA MWAKA "C"

  Рет қаралды 1,173

St. Gaspar Media

St. Gaspar Media

Күн бұрын

Itukuzwe Damu ya Kristo! - Milele Amina!
◻️Karibu Mwanafamilia ya St. Gaspar Media!
◻️Hili ni Channel maalum inayomilikiwa na Seminari kuu ya Mt. Gaspari del Bufalo, Ipo mahususi kwa ajili ya kushare Taarifa mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Mafundisho ya TASAUFI YA DAMU AZIZI YA YESU , Uinjilishaji kwa njia ya Tafakari za Kila Siku, Nyimbo za Dini,na matukio mbalimbali ya Kanisa Katoliki ambayo tutakuwa tunayaweka katika Channel yetu ya KZbin @st.GasparMajorSeminary
◻️Pia kama utakuwa na Swali lolote kuhusu Damu Azizi ya Yesu, Shirika la Damu Azizi ya Yesu, Kumfahamu Mt. Gaspari del Bufalo unaweza kuuliza na kupata majibu humu.Karibu sana tushirikishane Tone la Upendo!
MAWASILIANO
📱 +255 673 673 313
📧Stgasparmajorseminary@gmail.com
@st.GasparMajorSeminary
#St. Gaspar Media Ndoto_inaendelea

Пікірлер: 13
@dominadomnick8623
@dominadomnick8623 20 сағат бұрын
Ee Bwana wangu YESU kristu naomba ukae ndani yangu nami nikae ndani yako AMINA. Roho wako mtakatifu aniongoze katika maisha yangu Amina sanaaa. Ahsante kwa tafakari nzuri fratery. Milele AMNA.
@kibadamabhuye8693
@kibadamabhuye8693 23 сағат бұрын
Ee Yesu uwe kiongozi na mwalimu wa watoto wangu na kwa wale wasio na waombezi
@SabinaOhindi
@SabinaOhindi Күн бұрын
Eee kristo naomba ulipungunxize maadui zangu wananinyia mambo ya kunihuminza roho yangu kristo wew ndio tumaini langu ❤❤
@BelinaRwebugisa
@BelinaRwebugisa Күн бұрын
Milele Amina 🙏🙏🙏
@japhethrogasiano-hp3lj
@japhethrogasiano-hp3lj Күн бұрын
MUNGU ibariki seminary ya kakola tunapataneno Baba
@LaurenciaErasto
@LaurenciaErasto Күн бұрын
Milele amina asante kwa tafakari nzuri MUNGU awabariki sana Amina. Roho wa MUNGU atujalie kuyaishi mafundisho haya ya Bwana wetu Yesu Kristu Amina
@rizikiBmassawe
@rizikiBmassawe Күн бұрын
Ahsante ahsante ❤❤
@flattummy6319
@flattummy6319 Күн бұрын
Eeh! Mungu uturehemu utujalie kumsikiliza Kristu katk maisha yetu
@juliuswanganga5769
@juliuswanganga5769 Күн бұрын
Amina. Asante sana kwa Tafakari nzuri 🙏
@judithmakuba6917
@judithmakuba6917 Күн бұрын
MILELE AMEN 🙏
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Күн бұрын
Milele Amina
@FlavianaPonsian
@FlavianaPonsian Күн бұрын
Milele Amina
Citizen TV Live
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 92 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 9 МЛН
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 1,8 МЛН
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 748 М.