TAMBUA WITO WAKO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 29,197

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 102
@mosesmligo9614
@mosesmligo9614 11 ай бұрын
Nimesikiliza watu tofauti tofauti sijawaelewa nashangaa kwako nimekuelewa adi basi ..we jamaa atari😂😂..be blessed mtumish wa Yehova
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 жыл бұрын
Wito wangu KUOMBEA Wagonjwa hospitali
@edwardsinkonde9878
@edwardsinkonde9878 2 жыл бұрын
🤝 mungu akutiee nguvu
@agnesmndala1335
@agnesmndala1335 2 жыл бұрын
Naomba tuungane tukaombee wote plz
@dominicemanuel748
@dominicemanuel748 2 жыл бұрын
Dah !!! Unatisha sana kaka
@stevensamwel4854
@stevensamwel4854 2 жыл бұрын
Kinachonitesa hapa chini ya jua ni kuona mtu ana shida yoyote ile awe mzima au mgonjwa na asa walemavu Ninajua na mauvu sana Tamara yangu ni kumsaidia kila nimuonae mbele yangu ata kusikia mtu ana shida ata jengo la kanisa lolote at msikiti nauzunika sana ila nashindwa uwezo wa kufanya, mtu kama mimi nifanyeje!
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 2 жыл бұрын
Mm nikisaidia watu wasiojiweza huwa napata furaha sanaaa. Na sauti hii inaongea na mm tangu nikiwa mdogo primary huko na nishaanza kuufanyia kazi ndani ya familia. Naomba Mungu biashara zangu zikae sawa zikue nisaidie wengi zaidi, ikiwezekana baadhi yao nibadili maisha yao kwa kuwajengea na kuwapa mitaji kujikwamua walipo. Yaaraby Nisimamie na uniongoze 🙏Nitafurahi sanaa nikivitimiza kabla sijaondoka chini ya jua hili.
@marypanga9291
@marypanga9291 2 жыл бұрын
Yeah kwangu mimi ni maumivu na sauti
@RuthNyalagu-sj9mz
@RuthNyalagu-sj9mz Жыл бұрын
Mimi passion yangu ni kuimba hasa nyimbo za kuabudu
@mikeroh489
@mikeroh489 2 жыл бұрын
Jambo la kwanza na la mwisho. Ni mambo niliyowai pitia kuhusu wito
@josephnyamhanga6411
@josephnyamhanga6411 2 жыл бұрын
Kaka unatisha sanaaaa Nataman Vijana wote wangekuwa wanasikiliza mawaidha yako
@sigelaluhunga1558
@sigelaluhunga1558 2 жыл бұрын
Vijana wenzangu tumtumie huyu ndugu yetu ni wa kizazi hiki mungu azidi kukulinda
@rehefehe8890
@rehefehe8890 2 жыл бұрын
Shukran brother nice lesson, mm napenda Sana kusoma nna plan mpaka nifike PhD, mungu akiniwezesha July naenda masomo India degree of anaesthesia, siwezi kukaa bila kufanya ibada nahisi mungu namkosea Sana mungu kila nikikaa nawaza ibada
@samwelmahimbo3694
@samwelmahimbo3694 2 жыл бұрын
Good your welcom , wengine tumeshalianzisha pande hz
@mohamedabbas6613
@mohamedabbas6613 2 жыл бұрын
Precisely truely brother
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen
@pilichuli4449
@pilichuli4449 2 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka
@agneskasiani9019
@agneskasiani9019 2 жыл бұрын
Dah nashukulu sana mchungaji Mimi napenda kuimba na nikiona mtu anaimba vizuri hasa kuabudu napata maumivu yaani Kama na Mimi nifanye Kama yeye Ila sijajua nifanyeje kufikia kusudi hili
@lissamaterere4733
@lissamaterere4733 2 жыл бұрын
Hello
@godfreymressa7103
@godfreymressa7103 2 жыл бұрын
Ahsante Joel ... Mungu pamoja nawe hakika
@meryfrank5272
@meryfrank5272 2 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka ata mm sijawahi kufurahia kaz ninayofanya mda mwingn ata wakubwa zangu mda mwingn wakitifanyia kitu ambacho chakifai naumia sana . Nataman ata niwaambie hii sawa ,
@lissamaterere4733
@lissamaterere4733 2 жыл бұрын
Hello
@martinrusato2361
@martinrusato2361 2 жыл бұрын
Kiukweli mpaka namaliza kuangalia video hii machozi yana nitoka umegusa hisia zangu KAKA JOEL NANAUKA Mungu akubali katika nafasi yako itambulike zaidi.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Hongera kwa kujitambua🙏🏼
@leonardmadelemo3043
@leonardmadelemo3043 2 жыл бұрын
Napenda kufanya biashara niwe international business man nataman tena sana tu,
@JoyceHaule-o7b
@JoyceHaule-o7b 4 ай бұрын
Kizazi cha sasa mna raha sana natamani watu kama Joel tungewasikia miaka mingi iliyopita
@isakariemanuel9524
@isakariemanuel9524 2 жыл бұрын
Kusaidia watu wasiojiweza! Yatima wajane walemavu na kuwapa hamasa,kwamba bdo wananafasi kwenye haya maisha🙏
@simonrwiza9553
@simonrwiza9553 2 жыл бұрын
Mungu amekufanya nuru kwetu
@mychanneltz4466
@mychanneltz4466 2 жыл бұрын
Best best ever your always at the top
@sosymavoice4390
@sosymavoice4390 2 жыл бұрын
Joel mungu akubariki kaz ya mikono yako
@hezronmangulamangula9718
@hezronmangulamangula9718 2 жыл бұрын
Asante kaka nanauka binafsi napenda kuwa mfanyabiashara mkubwa na kumiliki nyumba nzuri hapo nitakuwa ok
@rchrismbarikiwa
@rchrismbarikiwa 2 жыл бұрын
Nakupenda Sana Sir Joel umetumwa na Mungu Zidi kubarikiwa
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Ameen Ameen🙏🏼
@smithdonald2575
@smithdonald2575 2 жыл бұрын
Tunamba mafunzo ya hisa na uwekezaji
@yosephalupala2678
@yosephalupala2678 5 ай бұрын
Napenda kuwa sister wazazi hawakotayari
@amaaissa9713
@amaaissa9713 2 жыл бұрын
Ahsante kaka joel
@mohamedabbas6613
@mohamedabbas6613 2 жыл бұрын
Tunamshukuru Muumba Kwa kuwapa waja wake Power ya kuwaempower wengine thanks you bro 👍
@JonhPanga
@JonhPanga 9 ай бұрын
Asantee sana kaka kwa masomo yako kwan nazd kujitambua skad sk,god bless u.🙏🙏🙏
@moseschriss9448
@moseschriss9448 2 жыл бұрын
Kila unochokisema nikweli kabisa maana me HakunA kitu kinacho niumiza kichwa kama kuimba Asante mungu 🙏 akubaliki
@lissamaterere4733
@lissamaterere4733 2 жыл бұрын
Hello
@ericndahani5152
@ericndahani5152 2 жыл бұрын
I love you so much joel Nanauka The grace of God be upon you, leo wito wangu umekamilika, sina Mengi ya kusema lakini Najua Mungu amesema na Mimi,
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 жыл бұрын
Shukran Ndugu Nanauka Joel 📚📚📚📚🎙️.........
@mwl.mushionlinetv5925
@mwl.mushionlinetv5925 2 жыл бұрын
Asante Sana kaka Joel. Nazidi kujifunza toka kwako 🙏🙏
@afrikana_
@afrikana_ 2 жыл бұрын
Umenisaidia sana kwa mengi, nakumbuka kupitia kitabu chako cha mbinu sitini nilifanikiwa kufanye vyema kwenye masomo yangu ya kidato cha sita.. Miaka kadhaa mbele ntapokuwa mkulima tajiri zaidi Tanzania ntashuhudia ulivyonifungua akili,ndimi shadrack, asante nanauka joel
@Madam255
@Madam255 4 ай бұрын
Mimi natamani sana siku moja niweze kuwasaidia wanafunzi wanaoshindwa kuendelea kwenye masomo ili watimize ndoto zao
@mohamedngota8535
@mohamedngota8535 2 жыл бұрын
There is something that me restless
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mkuu
@lucasmganga3625
@lucasmganga3625 2 жыл бұрын
Bro uko vizuri sana maundisho yako yamenifanya biashara yangu isonge mbele sana kila panapo kucha pia umenifanya na mm nieleweke kwa watu kwa kuwafundisha kile ninacho jifunza kwako MUNGU AZIDI KUKUPA KHERI NA BARAKA NYINGI ZA KUISHI
@agnesmndala1335
@agnesmndala1335 2 жыл бұрын
Ooooooh asantee Sana bro, Mimi nimeshasikia wito wangu lakini sielewi nianzie wapi...hua hata naota ndoto nawaombea,wagonjwa wenye shida, nawashauri,...Mimi ni muuguzi lakini bado Kuna kitu kingine zaidi....naweza nikakuota nashida fulani na kikuuliza na kweli naotaga watu wengi na inakua kweli Sasa sielewi nifanyeje ili nikue katika hilo
@eliachengula9023
@eliachengula9023 2 жыл бұрын
Nice bro, you real teach me
@enockaward7346
@enockaward7346 2 жыл бұрын
Nakubari bro
@elizabethemanuel2122
@elizabethemanuel2122 2 жыл бұрын
Natalia doctor mkubwa san
@furahasanga2534
@furahasanga2534 2 жыл бұрын
2016, nilianza kusikia Mzigo wa wakujiunga na huduma Frani na niliamini kila mtu akijiuna Na huduma hiyo atavuka, nilitumia nguvu Kubwa kushawishi watu hata kukasilika nilipopingwa, 2017 Nilipita kipindi kigumu sana, nikiwa Bado nimechanganyikiwa, nikaamua Kuunga mkono huduma hiyo, maisha Yangu yalibadilika, najua kusoma na Kuandika tu, lakini tangu nitii sauti Ya ndani, nimeona Mungu akinitunza Kwa namna ya ajabu mpaka naogopa, nimepitia shida kama Zote lakini nilipo tii wito, yaje Yatakayo kuja moyo wangu umejaa Shukrani kwa Mungu, binafsi nimekwelewa sana, namshukuru Mungu kwa ajili yako, nimegundua Ukitii wito utakupa unacho kiihitaji Ubarikiwe sana.
@colinrichard4167
@colinrichard4167 2 жыл бұрын
Kupiga vifaa vya music yana nikisiki Mtu anapiga. Duh yan
@amanimakury9686
@amanimakury9686 2 жыл бұрын
Asante kutumia moyo
@barakacharles7749
@barakacharles7749 2 жыл бұрын
Thank you kaka mafundisho yako nimazuli sana balikiwa na mungu, napenda sana kukusikiliza nakumbuka kua nilinunua gesi na baiskeli na kuanza kujipikia nilipo sikiliza somo lako la uchumi hakika nilipo sasa sipo nilipo kua mungu akuzidishie maisha pia akupe mwisho mwema I love you nanauka
@frankmsangi
@frankmsangi 2 жыл бұрын
Broo kusudi lako linagusa maisha yetu💖🔥🙏Mungu akubariki sana broo katika kazi yako uendelee kufanya broo bila kuchoka🙏
@arichedayson4506
@arichedayson4506 2 жыл бұрын
Now I do understand I was blind, it was hard to understand my self, now I do . Thank you for your kindness umenisaidia mtu kama mm .May God bless you so you can touch other people and make changes.
@francoiskasangala7237
@francoiskasangala7237 2 жыл бұрын
Congo-Kinshasa I naku ku Bali and éle Zaidi n'a Zaidi kutu amcha
@cyriloemilian1345
@cyriloemilian1345 2 жыл бұрын
Asante sana mchungaji kwa mafundisho kwa sasa mi mhajiliwa wa kampuni binafsi apa dsm wito wangu nataka kuwa mfanyabiashala mkubwa nami niajili watu nishaanza kuchukua atua ila changamoto ni nyingi mchungaji
@mussamasegese4603
@mussamasegese4603 2 жыл бұрын
God bless you
@lucyloy7995
@lucyloy7995 2 жыл бұрын
Asante brother..Mungu akubariki..
@frankmsangi
@frankmsangi 2 жыл бұрын
kabla sijakuangalia broo napata shauku ya kukuangalia unafanya kazi nzuri sana broo nakukubali sana yan kila siku nakuangalia broo unanivutia sana katk maisha yang umebadilisha sana maisha yang kwa ujumla
@samsonisaack5145
@samsonisaack5145 2 жыл бұрын
Akika sikukosea kukufanya kua kama Rulu modo wangu Nashukuru Mwalimu wangu kwa Nondo unazo tupa kila Siku
@bestcakes7098
@bestcakes7098 2 жыл бұрын
Wito wangu kuandika vitabu jambo hili limezungumza ndani yangu kwa zaidi ya miaka 15
@gamavidal5067
@gamavidal5067 2 жыл бұрын
Ishara ambayo huwa nimeigundua ni kuwa na na maumivu haswa kwa watoto wasiojiweza kufikia ndoto zao haswa yatima ni muda mrefu sana ila nashukuru Mungu kwa kuwa sikuwa hi kujua kuwa Huo ndio wito wangu ila cha kipekee zaidi nashukuru Mungu kwa kuwa hata ninachosomea kinaniandaa kwenda kuwasaidia watoto wanaoishi mazingira magumu, nasoma nursing by now but I have strong feeling that nipo on good way to fulfill my purpose
@JenipherLeopod
@JenipherLeopod 11 ай бұрын
Asante sana kaka najifunza mengi kupitia vipindi vyako
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 8 ай бұрын
Kaka Noel mimi ni mwalimu wa shule private, lakini sauti yangu inaniambia niuze nyanya na mboga mboga ndo nitafanikiwa dahhh😭😭😭
@SaidiMalogo-hy3pe
@SaidiMalogo-hy3pe Жыл бұрын
Natamani niwe mponyaji
@zuudelight2155
@zuudelight2155 2 жыл бұрын
Thanks bro I have been hearing a inner voice in me ,but I have been working on it and let it go but through your message I am on it again
@andrewngarya2112
@andrewngarya2112 2 жыл бұрын
Kaka nawashukuru kwa namna mnayo tujenga kitabia na kiroho karibun dodoma mm kijana wenu fundi gereji sido
@sedekiakiza
@sedekiakiza 2 жыл бұрын
Unakuw San Kaka Barikiwa sana
@pilichuli4449
@pilichuli4449 2 жыл бұрын
Yaaaaaniiii unatupa nguvu kua kumbe tutaweza maana ndoto na ulipo haviusiani ila unajikuta unajiuliza kwani alikua vile amezaliwa navyo jibu hapana unawaza adi mpaka
@mohamedngota8535
@mohamedngota8535 2 жыл бұрын
God bless you Joel nanauka 🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Ameen 🙏🏼
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Shukraniii
@tedytitus7205
@tedytitus7205 2 жыл бұрын
Nasikiaga maumivu sana nikiwaona watoto
@jacklinentabo2380
@jacklinentabo2380 Жыл бұрын
Asante Sana kaka Joel, you make my thinking capacity to increase on a higher level day in day out, nmejitambua Sasa,, yaani umenifungua macho kabisaaaa!! Be blessed
@iddysalim6331
@iddysalim6331 2 жыл бұрын
No more talk brother 🙏🙏🙏
@africangoldenmusic8061
@africangoldenmusic8061 2 жыл бұрын
ukweli mtupu
@joowzeyboyjoowzee4474
@joowzeyboyjoowzee4474 2 жыл бұрын
Thank you
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Asntee
@ignassylivestar5346
@ignassylivestar5346 2 жыл бұрын
Kak Mungu akubariki 👌
@mathsnewdiscoveries
@mathsnewdiscoveries 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Pastor Joel Nanauka , naomba unisaidie kwa ushauri wako please ,Mimi niko Arusha napenda sana Hisabati na pia namshukuru sana Mungu kwa kunisaidia kuona alicho kipanda kwangu kipaji cha kuvumbua mahesabu au Hesabu mpya nimeshavumbua Theorems ,Formulas, Series, New numbers, Conjectures,laws etc in mathematics, naomba unishauri nifanyeje nizisajili duniani kwenye systems za elimu na mavumbuzi, naomba namba zako please. Ahsante.
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 жыл бұрын
Isaya 57:18-19,Zaburi 147:15.
@mwl.mushionlinetv5925
@mwl.mushionlinetv5925 2 жыл бұрын
Asante Mr. Reginald kwa mistari
@ShuhudaKaitano-oz7jq
@ShuhudaKaitano-oz7jq Жыл бұрын
Shalom... kwa ulivyo elezea hapo...najiona nipo.kwenye kipengele cha nne..for sure napenda kusikiliza nyimbo na mziki pia.. na nijambo ambalo ningependa kulifanya zaidi kusikiliza tuu...ila kuimba sijui na kupiga mziki sijui kabisaa..so how naweza jua kama hii ni kusudi calling...nitawezaje kuweka impact kwa watu kwa kusikiliza tuu?.. yaani how can it be calling
@ShuhudaKaitano-oz7jq
@ShuhudaKaitano-oz7jq Жыл бұрын
Namaanisha ntafanyaje ni zae.matunda yanayo dumu na kukaa...
@mcchristmass7647
@mcchristmass7647 2 жыл бұрын
Asante
@briansenga584
@briansenga584 2 жыл бұрын
Brother am Brian Kwa hayo yote manne kwakweli yote yanatokea ndani yangu sanaa mara ya mwisho ni leo asubuhi Yan napata sauti ya ndani na vitu ambavyo vinanipa maumivu Yan vinakuwa Kila siku yakipita masaa Yan mpaka naangalia video hii naona Kama unaniambia mm peke yangu 😌 kwakweli daaah najikuta Moyo unauma Sanaa naona Kama namzigo ndani yangu ambao ninadeni nao.
@divasteven5503
@divasteven5503 2 жыл бұрын
Ishara namba tatu inanihusu
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Kaka Mimi kwa sasa Ni Dereva BAJAJ be for nilikua FUNDI MAGARI Mechanics Yaani Nimejikuta nipo kwenye Udereva kwa SABABU Ya Pesa Tu ILA Moyoni huwa nakosa Amani kufanya Udereva
@auilg969
@auilg969 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mwl Joel, natamani sana nipate namba yako
@ibinwazir3635
@ibinwazir3635 2 жыл бұрын
See you at the top
@faidaruzamuka2218
@faidaruzamuka2218 2 жыл бұрын
Naimba namba Yako
@petrojackson7127
@petrojackson7127 2 жыл бұрын
Ndiyo kaka nilishawahi kupata hizo ishara lakini mpaka sasa sijajua wapi pakuanzia i need your help please
@emmanuelsimpokolwe8309
@emmanuelsimpokolwe8309 Жыл бұрын
asatesana bulo umeni imalishasana
@emmanuelsimpokolwe8309
@emmanuelsimpokolwe8309 Жыл бұрын
🇿🇲👍mungu akuzidishiye mahalifa
@godfreymressa7103
@godfreymressa7103 2 жыл бұрын
Ahsante Joel ... Mungu pamoja nawe hakika
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
A Ameen Ameen 🙏🏼
@gabrielmkailwa
@gabrielmkailwa Жыл бұрын
Nashukuru Joel niko kwenye kipindi kigumu kuyaishi hayo yote maana kila siku natamani kuyatimiza yale ninayoyatamani kuyatimiza kwenye jamii yangu. Ukweli ninakosa amani ninapowaona wahitaji na kuna mda hujikuta ninalia sana japokua uwezo wa kufanya jambo kwa ajili yao bado sina japo kwa kiasi nafanya. Ni dua yangu Mungu anisaidie kuacha japo alama ya mtu ambae hatajiita tena yatima au mjane kupitia maisha yangu. Ubarikiwe Joel
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 44 М.
Calculus at a Fifth Grade Level
19:06
Lukey B. The Physics G
Рет қаралды 8 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 121 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 18 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
JOEL NANAUKA: JE, UNAJUA KUSUDI LA MAISHA YAKO?
13:32
Joel Nanauka
Рет қаралды 57 М.
Watu Wa Mpito - Joel Nanauka
7:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
Maeneo Matano Pesa zikikojificha/Five areas where money hides.
9:57
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 9 М.
AINA ZA WITO WA KIMUNGU | EV.DANIELY JOSHUAN
5:23
RGC MINISTRY
Рет қаралды 1,1 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 267 М.
ONDOA NUKSI NA MARADHI ULIYOKUWANAYO KWA ZINGUO HILI
4:06
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 7 М.
NAMNA  YAKUTAMBUA  WITO WAKO-MCH ISAAC CHALLO
28:30
NY TV
Рет қаралды 4,5 М.