TAMKO la WAZIRI MASAUNI kuhusu HALI YA Nchi... asema NENO kuhusu jeshi la polisi

  Рет қаралды 691

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni amelipongeza jeshi la polisi kwa kuendelea kuhimarisha hali ya usalama nchini ambapo amesema kwa kipindi cha mwisho wa mwaka ajali zimepungua na matukio ya uhalifu kwa mwaka mzima yamepungua.
‘'Nalipongeza jeshi la polisi kwa kuweza kudhibiti ajali za barabarani ambazo zilifululiza kidogo kipindi cha katikati, Kipindi cha mwisho wa mwaka ajali zimepungua, Hata matukio ya uhalifu kwa ujumla siyo tu mwisho wa mwaka kwa muda wa mwaka mzima hali ya usalama katika nchi imeendele kuhimarika’'
Masauni amesema hayo leo Januari 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam.

Пікірлер
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН