TANZIA| SELEMANI AFARIKI DUNIA KWAKUPIGWA MAPANGA NA WATU WASIO JULIKANA

  Рет қаралды 58,390

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 599
@maximumtvonline
@maximumtvonline 2 жыл бұрын
*MWILI WA SELEMAN MFUNGWA WA MIAKA 30 JELA KWA SASA UMEHARIBIKA SANA..AMEPASULIWA KICHWA VIBAYA SANA MPAKA UBONGO WOTE UMEMWAGIKA..MWENZAKE BODA BODA AMESHAZIKWA MAANA WALIUWAWA YEYE NA BODABODA WAKE..SASA MWILI UPO VILE VILE KAMA WALIVOUKUTA BARABARANI PIA HAUJAOSHWA WALA KUCHOMWA SINDANO YA KUZUIA KUHARIBIKA..TUNAOMBA RAMBI RAMBI HARAKA TUKAUCHUKUE KIBAHA TUJE KUUSITIRI HARAKA IWEZEKANAVYO..* *TUMA MCHANGO WAKO HAPA TUWAHI KUMSITIRI* 0769364674 *HUSSEIN NKANA* *VODACOM MPESA*
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Subhana Allah. Mwenyezi Mungu amsamehe kila alipokosea. Innalillah, wainnaillaihi Rajjiun😭
@nusalim3389
@nusalim3389 2 жыл бұрын
Subhanallah,Inna lillah wa Inna ilaihi rajiun,Allahumma msamehe umrehemu kw rehma yako,
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amrehemu na amuongoze kwenye safari ambayo ameinza ya maisha mapya mbele yake nyuma yetu 😭😭😭
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 2 жыл бұрын
Khee subhanallah jmn uuwii kaka wa watu jmn daah innalillah wainna ilayhi rajioun
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Poleni sana maximum TV kwakweli inaumiza allah amjaalie nuru kwenye kabri yke amiin.
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 2 жыл бұрын
SubhAllah Innallah wainailah rajoon ewe mwenyeezi tunakuomba umuepushe na moto wajehanam umuondolee adhabu ya kabur na uilaze roho yake mahala pema peponi🤲🤲🤲
@zainabucharles6841
@zainabucharles6841 2 жыл бұрын
Jamani watz tumekuwa na roho ya kihutu khaaa poleni mungu apumzishe peponi
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
amina 😔😔
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 жыл бұрын
Inna lillah wa Inna ilayh rajiun 😭 eeh jamani hizi NI dalili zote za nyakati za MWISHO 😰😭kila MTU Kwa nafasi yake tuombe mwisho mwema hatujui siku ,mwaka ,DK,wala mwezi.HADI NAIGOPA WALLAH 😰☹️😔
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 2 жыл бұрын
Kabisa ya acha ty dunia imeisha yarab tujalie mwisho mwema 😭😭😭
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 жыл бұрын
Amin😭😭
@nadiahassan1359
@nadiahassan1359 2 жыл бұрын
Uwiiii jamani Inallilah Wainna ilayhi rajiun M.Mungu afanyie wepesi safari yake very Sad poleni all members of Maximum Tv
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 2 жыл бұрын
innalillah waina lillah rajiun zake mbele zetu nyuma Allah ampe kauli thabit
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 2 жыл бұрын
Innaa lillahi wainna ilayhiraajiuun,Allah ampokee hali ya kuwa amemridhiya,aamiin
@naamohamed1042
@naamohamed1042 2 жыл бұрын
Innalilah 😭 😭 😭 😭 😭 jmn mbona nimeshtuka hivi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
😒😒
@hawamussa197
@hawamussa197 2 жыл бұрын
Innalilah wainnairah rajiuni
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 2 жыл бұрын
Poleni sana jamani du!Tanzânia imefika huko!!!
@shekhas581
@shekhas581 2 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiun Allah amraham na ampe kauli thabit na atujaalie mwisho mwema 🙏
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 2 жыл бұрын
Pole kwa happy kumjua baba na kuondokewa mazima
@thulythatmustf3535
@thulythatmustf3535 2 жыл бұрын
Masikini Selemani jamoni wetu😭😭😭😭 Mungu amlaze mahala pema peponi. Ila jamani inauma Hawa watu wasijulikana watajulikana lini hasa??
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
yaan saiv tanzania inatisha jaman 😭😭😭
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Amiin 🤲 ya Allah
@monicaalfredpetro3811
@monicaalfredpetro3811 2 жыл бұрын
@@sifatiiman kweli binadamu.tumegeuka.wanyama.kwanini????? Eeee mola tusaidie
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 жыл бұрын
Wanajulikana Basi tuu Imani zimetoweka watu wamekua kama Majangili hawana huruma Unamkatili mwenzako bila sababu Allah Atamuhukumia
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 жыл бұрын
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun Allah Amsamehe makosa yake Suleiman wetu Wamemdhulumu
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 жыл бұрын
Inna Lilah wainna ilahy rajiun pole sana Allah ampe kauli thabiti allhhum ghafirhu warahamah wasikanatuh firijanna
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 жыл бұрын
Innalillahi Wainnah Illahi Rajiuun,Allah amrehemu ampe kauli thabiti,poleni sana Timu Maximum TV,masikini hana bahati na Dunia😥😥kasota jela miaka,katoka hata muda wa ku'enjoy maisha yake bado kauwawa!inauma kweli masikini binti yake alifurahi kuungana na babake,lkn baba kaondoka machoni pake muda mfupi tu'Allah amrehemu,watu wabaya!bora ukutane na mnyama hatokudhuru' kuliko kukutana na binadamu
@franciscaaugustino4305
@franciscaaugustino4305 2 жыл бұрын
Mungu Wangu . Mungu akupokee
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Juzi nimemkumbuka sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
Innalillah wainnah illah lajoun ALLAHUMMA GHUFIRLLAHA WARHAMHA WASKINAHA FILJANAT
@vero57
@vero57 2 жыл бұрын
Jamani Jamani, poleni sana wafiwa
@nonootnonot4516
@nonootnonot4516 2 жыл бұрын
Inallah wainallah rajiun allh akupe kauli thabity
@saumuabdallah6494
@saumuabdallah6494 2 жыл бұрын
😭😭 inna lillah wainna lillah rajiun Allah ampe kauli thabit mbele yake nyuma yetu
@Mazoea
@Mazoea 2 жыл бұрын
Nimestushwa na habari ya uyu kaka jamani
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 жыл бұрын
M/mungu ilaze roho yamarehem mahali pema peponi pole kwa familia
@ForYou-df8pi
@ForYou-df8pi 2 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake pema peponi inshallah 🤲
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu.
@fathmaoman1186
@fathmaoman1186 2 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah raj'uun. Yaaarab atuswamehe na utujaalie mwisho mwema
@asiacruiz5165
@asiacruiz5165 2 жыл бұрын
Allah amsamehe dhambi zake za Siri na dhahiri,poleni familia kwa msiba huu mzito
@Zahra1-wf4kj
@Zahra1-wf4kj 4 ай бұрын
Mungu akulaze mahali pema
@kakakakabeka624
@kakakakabeka624 2 жыл бұрын
Pole Sana.
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 2 жыл бұрын
Duuuuuh...Mungu ampumzishe mahala pema
@mozuusuleiman4702
@mozuusuleiman4702 2 жыл бұрын
INNALLILLAH WAINA ILAYHI RAJIUN. ALLAH AMSAMEH MAKOSA YAKE. NASI TULOBAKIA TUPEWE MWISHO MWEMA YARAB
@irenewile
@irenewile 2 жыл бұрын
Hata hajaenjoy masikini..
@hpmobilephone9951
@hpmobilephone9951 2 жыл бұрын
Wainalahi rajau mlaze mahali peama peponi amina amina rabiamina
@rehemalontinaremysaleh7807
@rehemalontinaremysaleh7807 2 жыл бұрын
R.I.P MAGUFULI Tanzania imerudi tena ile ali yake ya zamani Mungu akulaze mahali pema Sele
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
weeee muogope MUNGU kwani watu wasiojulikana wamerudi????
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
@@happinessmwenda2773 weee huon matukio
@wasalimie11
@wasalimie11 2 жыл бұрын
yenyewe inashangaza yaani tanzania watu kuuana kila siku kunani jamani ama mnatolewa kafara😳😳
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
Rest in happy daddy JPM tz imerudi misri tena bado HAIJULIKANI itafika wapi tukitoka misri
@wasalimie11
@wasalimie11 2 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 kuelekea kanaan😂😂😂
@ashuraomary8859
@ashuraomary8859 2 жыл бұрын
😭😭😭😭imeniuma jamani watu tun roh gum
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Msiba umeniuma kupta yote inaletwa umu huu wa uyu kaka ..wanaotangazwa wot wanaugua wanakuf lkn seleman wet uliletwa hapa tukahuzunika na tukalia kwa maisha yako na umeniliza na kifo chako ila kaz ya mung hanamakosa niseme Alhamdulillah kwa ili bikhosn lkhatma ya Allah😭😭😭
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
Binadamu wabayaa
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
😭😭😭
@ednambata9503
@ednambata9503 2 жыл бұрын
Mwee mungu ampe kauli thabiti! Na ampoungizie adhab ya kaburi
@sarahadam4535
@sarahadam4535 2 жыл бұрын
Sema mungu amuepushe na adhabu za kaburi**..sio mungu ampunguzie wengi wanakosea hapa
@fauziaomary8903
@fauziaomary8903 2 жыл бұрын
Inna lillah wainnaillah rajiun Allah ampokee, ampe kauli thabity
@mwajumawadesisi2896
@mwajumawadesisi2896 2 жыл бұрын
Mungu weee poleni sana kweli
@leylarashid314
@leylarashid314 2 жыл бұрын
Inalilalah wainailah rajiun namuonea huruma sana mwanae ajapata malez ya baba
@SalsabeelLtd
@SalsabeelLtd 2 жыл бұрын
Innalillah wainna lillah rajuin Allah Allah amrehem amsamehe alipokosea Amiiiiiin
@mamamama7352
@mamamama7352 2 жыл бұрын
Jamani tazania na eka eka zakuuwana poleni wafiwa mungu niepushe naaya majanga
@vero57
@vero57 2 жыл бұрын
Poleni sana, family,zahir, fabiani, mtoto wa seleman, inasikitisha sana
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 2 жыл бұрын
Innalilahiwanlarajinn mungu ampe kauli sabiti amsamehe makosa yake amin yarabilalamin poleni sana
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 2 жыл бұрын
Jamaniii Tanzania yetu kila siku sisi tumuombe Mungu jamanii😭atupe mwisho mwema sisi😭.. Watanzania🙏
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 2 жыл бұрын
Kwa kweli watu mpaka tunaogopa kuja kusalimia 🤲🤲🤲
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Mm tokea niishi oman najiskia raha wallah nalala kwa amani yote lkn nilipokua znz nyumbani loh tunaingiliwa na wizi kila siku mpk mtu unalala kwa wahka uck mzima unakesha apa nalala hata mlango sifungi hakuna anaekuuliza lkn Tanzania yetu inatisha wallah na kwasababu haichukui hukumu mbona uku watu wanaishi kwa heshima zote uku itokee mara 1 kwa mwaka na itokezee maana ukiua kusudi unauliwa umegonga mtu unalipia pesa sio ndogo mirathi inagaiwa kwa haki.
@momobakari9680
@momobakari9680 2 жыл бұрын
@@aminakawawa5800 aki this is too much now kila siku matukio tu ya vifo, subhana ALLAH
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 2 жыл бұрын
Salam alekum poleni Sana
@ablatuny5406
@ablatuny5406 2 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajiu’n Allah amsamehe makosa yake ampe kauli thabit na sie atupe mwisho mwema yaarab
@yayeissa4128
@yayeissa4128 2 жыл бұрын
Inna lillah wa Inna ilahyi raji'un.Alla ampe kaul thabit na amsamehe dhambi zake .Ameen Allahuma Ameen.
@ndalusanzekassim5902
@ndalusanzekassim5902 2 жыл бұрын
Innalilah wainna ilaih rajhun. Mwenyezimungu amjalie kauli thabit.
@ukhutykhadija9714
@ukhutykhadija9714 2 жыл бұрын
Ina lilahi waina lilahi rajiuna allah ampe kaul thabit polen sana jaman
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 2 жыл бұрын
Yarab Allah atuepushie na shari naona mauwaji Tanzania yamezidi siku hizi
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Inalilah wanaileh rajuuni subhanaallah mungu wangu tusitili yaarabi mungu ampe kelma thabiti yaarabi
@asiaoman3040
@asiaoman3040 2 жыл бұрын
Jmn seleman Mungu akupoke kk
@salhamohamed9240
@salhamohamed9240 2 жыл бұрын
Inna lillah wainna illaih rajiuun Allah ampe kauli thabit duuuh nimelia sn binadamu wabaya sn wallah yani unaua m2 kama kuku Allah atamlipia
@zainabnassoro1109
@zainabnassoro1109 2 жыл бұрын
Yani ukae jela miyaka yote salama uje nje ufe kirahisi tu pole Sana kwa family
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
yaan daaaah 😔😔
@fariarizaq7528
@fariarizaq7528 2 жыл бұрын
Oh my God poleni sana kwa family yake very sad wallah Allah Allah amlase mahali pema peponi inshaallah 😭😭😭😭😭
@lylieouko9569
@lylieouko9569 2 жыл бұрын
This is so saddening and heartbreaking 😢may his soul rest in peace!
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 2 жыл бұрын
inna lilah waina lilah rajung'un mungu amuondolee azabu yakabri
@mohanndgames8316
@mohanndgames8316 2 жыл бұрын
Nawaomba sana serekali yenu iyongeze doriya au ulinzi kila sehemu za hatari na kuwe na check point kila siku na kila mahala panapo hisiya za mauwaji ya kikatili mungu atawapa hapa hapa duniyani malipo ya kumkatili suleiman watabainika tu damu nzito kuliko maji inshaala myeezi mungu karimu yupo peponi suleiman
@helinahenry2363
@helinahenry2363 2 жыл бұрын
Daaahh mbona Tanzania sahv matukio ya kuuana yamekithri ndani ya week hii😭😭
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Kwa sababu bdo serekali haijakazania mambo hya ikikazania kweli yataondoka.
@momobakari9680
@momobakari9680 2 жыл бұрын
ALLAH ailaze roho yake pema peponi
@aminasaid7769
@aminasaid7769 2 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiuun..
@habtyaminasadala1943
@habtyaminasadala1943 2 жыл бұрын
Innallilah wainnallillah rajrun pumzika kwq aman Allah ampe kauli thabit
@salhakhamis4629
@salhakhamis4629 2 жыл бұрын
Ina lilah waina ilaih rajiun ewee mola msamehe makosa yake yy nas pia 😭😭😭😭
@samsungoman5626
@samsungoman5626 2 жыл бұрын
Innalilah wainna ilaihi rajiun mungu amlaze mahalipema
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 2 жыл бұрын
Inna lillah wainna ilayhi Rajiun Allah mrehemu ampe kauli thabit
@aishaissa2512
@aishaissa2512 2 жыл бұрын
Inalilah wainailah rajighuna Allah amuweke Mahalia pema 🤲😭
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 2 жыл бұрын
Mungu wangu jomon.... Rest in paradise seleman
@remiomar7154
@remiomar7154 2 жыл бұрын
innalillah wainnailah rajioun 😭 tumbo la uzazi limeniuma daah nimeumia Sana
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema PEPONI
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajion 😭😭😭😭😭😭
@zettyhassani2244
@zettyhassani2244 2 жыл бұрын
Yarabi astaguafilulah hata sikuwaza jmn huyu Kaka,mungu ampunguzie adhab yakabri
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiun 😭selaman jmn daah mungu ampe kauli thabit kaburin mwake inshallah 😭😭
@janetbabyboo2392
@janetbabyboo2392 2 жыл бұрын
Watu Wana wivu Sana...... inawezekana alichukiwa na watu kwa sababu alikua ameanza kujipanga kimaisha na alikuwa maarufu (star wa online tv) R.I.P
@amina3925
@amina3925 2 жыл бұрын
Poleni.sana
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 жыл бұрын
Innalilah rajiun Allah atujalie mwisho mwema🤲😭😭 Allahmdhulilah..Allah amaamehe madhambi yake🤲😭😭
@anifajonathan9250
@anifajonathan9250 2 жыл бұрын
Jamaniiiii,rip seleman😭😭
@noorlheyaljabri602
@noorlheyaljabri602 2 жыл бұрын
Ameen yarrabbiy
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Inalilahi wainailihi rajiuuni jajani duniya haina huruma nini kosa watu hata wakamuua jamani kumbe bora engekaa kulekule jela hadi roho inaniuma punzika kaka mungu akupe kauli thabit kwenye kaburi lako
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 2 жыл бұрын
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ😢
@nancyhassan8290
@nancyhassan8290 2 жыл бұрын
Ooh, my God 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️tena,, dah!
@wardawarda6535
@wardawarda6535 2 жыл бұрын
Innallilah waina illaih rajioun allah akurehem...
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Innalillahi wa inna ilaihi rajiuun 🤔 Subhanallah 😭
@salomeherman303
@salomeherman303 2 жыл бұрын
Sio mbaya kidogo ni mbaya sna we vp
@hamisihassan2620
@hamisihassan2620 2 жыл бұрын
Inna Lillah waina illakhi rajoon poleni sana ndugu wa Suleiman
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 жыл бұрын
Dar siji tena mambo yenyewe ndo hayo
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
yaan kunatisha kwa kweli
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Hatari sana
@fatumasuleiman6989
@fatumasuleiman6989 2 жыл бұрын
Rest in peace dah😭😭😭
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Mpk naogop mm yarabiiii 😭😭😭maisha haya duuu....mung tupe mwisho mwema na umlipe kinachostahik😭😭😭
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 2 жыл бұрын
Inna lillahi wa inna ilahi rajiun😭 subhanallah😭😭😭 Jamani, jamani, walimwenguuu! Why? Naam, kila nafsi itaonja kifo! Mwenyenzi Mungu ampe kauli thabiti! Poleni sana!
@noorissa6036
@noorissa6036 2 жыл бұрын
Inna Lillah waina ilayhi rajiuun sote ni WA Allah na kwake tutalejea
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Jamani jamani jamani kweli uyu ndugu yetu amefariki??😭😭😭😭 Kweli hii dunia sio yetu maskini.binadamu tubadilike tusiwalingie binadam wenzetu.uku sio kwetu🙏🙏🙏
@aishadaba7045
@aishadaba7045 2 жыл бұрын
Innalillah wainna illahi rajioun,wana adam tunaelekea wapi instead turudi kwa MUNGU tunaandamana na sheitwan msiba mkuu yarabby tujaalie khusnul-khatimah ..
@hamedahameed148
@hamedahameed148 2 жыл бұрын
Innalilah wainna ilayhi rajiun ALLAH amjaalie kauli thabiti mbele yake
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Inna lilah waina ilaihi rajiuun ALLAH atujaalie mwisho mwema subhana ALLAH
@mishikitendo4441
@mishikitendo4441 2 жыл бұрын
amiin yarabb
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
😭😭😭inalilah waina ilah rajion Allah amrehemu
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
Amiin
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 2 жыл бұрын
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Allah amrehemu amlaze pahala pema peponi inshaAllah amiin
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 130 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 18 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57