Jamani sulemani ujafia jela unakuja kuuliwa hivyo kweli nimeumia kwa kweli nimekumbuka alivyotoka jela na kumfata mtoto wake alipomuona mtoto wake alifurahi sana poleni family Mungu ampe pumziko la amani 😭😭😭
@zainabubalama88692 жыл бұрын
Kuna Watu wanaunyama hata Simba anaafadhali. Poleni Sana wafiwa kwakuondokewa na ndugu yetu
@mariamsalim93112 жыл бұрын
Tumekumiss zahir welcome back
@amanisalum1638 Жыл бұрын
Kabla ya kulaumu kuna haja ya kufanya tafakuri ya kina sana.Nyuma ya jambo hili lazima kuna lililojificha.
@mariamsalim93112 жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi rajiun Allah amsamehe makosa yake
@user-xh7xf2ki3r3 ай бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiuun Allah amrehem kaka Suleiman nimeumia sana kiukweli japo ilishapita
@laymashabani8322 жыл бұрын
Dah yaani nimeumia kama ni ndugu yangu vile😭😭😭 binaadamu wabayaaa
Zahir kaka pole msiba wetu lkn ww nikikuona hapa najikuta na uzuni tu
@mariamnjama39632 жыл бұрын
Haya mauwaji yalipangwa kitambo sana japo dhana c mbaya ,alifungwa miaka yote hyo maskn hakufa ila lazma aliekewa Nia yakuangamizwa maskn,Mungu ailaze roho yake pepon 🙏
@animallovers34732 жыл бұрын
Kiukweli hyu kaka ameteseka sana yaan imagine amepelekwa jela mungu kamsaidia katoka watuwanakuja kumuuwa tu jaman mungu ailaze roho yake mahali pema nimeumia sana
@adilmohamed211719 күн бұрын
Msiba wetu mungu atupe subra
@eyabdimaha36982 жыл бұрын
Mimi fikira zangu zinaniambia mauwaji yalipangwa juu yake ila Allah anajua zaidi binadamu tumekuwa wanyama sana
@rahimaaaaa56822 жыл бұрын
Atamm nais ivyo😭😭
@umsulaiman74682 жыл бұрын
innalillah waina ileih rajioon 😭 polen sana kwa msiba wa ndugu yetu Suleiman Allah amrehem amsameh makosa yake ampe qaul thabit amjalie janat ferdaus amiin yarab Allah akupeni subra msiba mzito Allah awafarij
@happymchomvu67662 жыл бұрын
Huyo bos wake Akamatwe ukweli utajulikana jaman hzi ni nyakati za mwisho daah😭😭😭😭😭
@salmalopezsalmalopez5242 жыл бұрын
Inna lilahi wainna ilah rajiuna daah! Allah ampe kauli thabiti nahisi hao watakuwa panya roud tu
@imusultan99182 жыл бұрын
Ww kumbe dia unazojia
@Aida-qh3jq2 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajighun poleni sana
@magrethmbuma30452 жыл бұрын
Watu wapole nao wanavitu vyao fulani fulani hiivii.....Pumzika pema Seleman
@yasodishonest97922 жыл бұрын
😭😭😭jamani mbona sielewi kauliwa kikatili kweli yani kama wamechoreshwa kulipa kisasivi😭😭wapo waliotuma mauwaji hayo wallah siobure
@ismailmatari9162 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajighuna..dah selemani story yake nimeanza kuifuatilil leo. Kufungwa kutoka jela hadi kumpata mwanae. Siku hii hii nafungua clip nyingine nakuta ameuawa. Dah...! Nimeumia sana😭😭😭😭 mungu amlaze mahali pema maan yate yaliyomkuta yeye ndia alimuandikia hivo. Mbele yake nyuma yetu tumtegemee mungu kwa kili mitihani inayotupata. Pole mama sela pole ndugu wa sele pole wanakigoma pole watanzanie wote kwa ujumla😭😭
@ukhutfatumah11542 жыл бұрын
Innalillah wainnah illah lajoun Binaadam wa Sasa aise kheir ukutane na mnyama mkali polin Lakin sio binaadam WA Sasa wallah 😭😭
@yasodishonest97922 жыл бұрын
😭😭😭jamani mbona sielewi kauliwa kikatili kweli yani kama wamechoreshwa kulipa kisasivi😭😭
@victormutua40432 жыл бұрын
Tanzania munamambo kweli kila saa kuuana tu Allah awasaidie
@aminaabdalla99492 жыл бұрын
Dah banaee hata unaogopa
@muniraabdulrahman56562 жыл бұрын
Zahiri wewe maisha ya watu unaweka rehan kwa kweli huku kujitangaza kwnye media ni mtihani ukiwa mkweli wa mambo yanayokysibu wewe na maisha yako basi utafatiliwa uuliwe
@florenceamata57052 жыл бұрын
Dinadamu wa.egeuka kuwa wanyama RIP salemani
@munirachangawa29282 жыл бұрын
Mhhh mtihani kwa kweli binadamu wabaya.na roho zao mbaya.ubinadamu kazi
@aishaissa25122 жыл бұрын
Poleni wafiwa Allah awape subra kwenye kipindi kigumu 🤲
@binthkhamisi10972 жыл бұрын
Pole sna...mybe hao ni wale panya rod...
@leiratykisura67182 жыл бұрын
Aisee toka baba yetu maguful amefariki matukio ya mauwaji yamekisiri jmn mbaka inakela mungu tusaidye jmn hii nchi imefkia pabaya
@ukhtyrehemaabdy2830 Жыл бұрын
Dah seleman kimekukuta nn tena
@user-ur6zr7wc8n2 жыл бұрын
Inalilahii wainailahii rajiuniii mungu amlazee Mahala pema peponi
@munakhamis9822 жыл бұрын
😭😭😭Sele wa Maxmum mung akupe kaul thabit hii ni fumbo mung ndio unajua kun nn kat yake
Sijui mapany rod seleman pumzik kma aman kak umeniumiza kwakwel😭😭😭😭😭 kak suleiman nafs yak itawalaan hawa viumb waliokufanyia iki kit
@samiamamy10112 жыл бұрын
😭😭😭Dah ngumu kuamini pumzika kwa amani sele wetu😭😭😭🙏
@zuweinaalhabsya87732 жыл бұрын
انا لله وانا اليه راجعون الله يرحمه ويغفر له ويسكنه فسيح جناته يارب
@abdijibarmaalim31732 жыл бұрын
Its painful saana sorry for the family...that's well planned within family revenge ndio maana they also kill mwenye bodaboda with no evidence...waah better awe kwa jella very sad
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
Pumzika kwa aman mpenzi wetu😭😭 mbele yako nyuma yetu🤗🤗😭😭
@OmanOman-sb9oz2 жыл бұрын
Jamani kapitia magumu katika dunia
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@OmanOman-sb9oz sana😭😭😭😭😭😭😭
@marryamyusuph16992 жыл бұрын
Inalilah waina ilahi rajiun.
@hawamkamba50 Жыл бұрын
😳😳😳 mtumeeee!!! Uyu kaka kafariki maskini niliwahi kuonana nae alichangamka mno nikawa najiuliza nimemuona wapi akasema kama unafuatilia maxmum tv basi ndo mimi duhhhh!
@angle36006 ай бұрын
😢😢😢😢
@ridhwanfaki97382 жыл бұрын
Inasikitisha sana binaadam tumekosa Imani kwa wenzetu
@khadjaiddlis2832 жыл бұрын
Innalillah wainnairaihy rajiunn
@mariamkitwana61482 жыл бұрын
allah amrehem selemani
@Rose-ue2ho2 жыл бұрын
Sasa vipi simu yake umepatikana kama walikusudia kuiba? Wamemuuwa mwenye boda boda kwasababu asije kusema wakakamatwa au kakataa kumuacha walikuwa wanapambana wote.
@SamsungGalaxy-kx2zj2 жыл бұрын
Ukweli wa kifo cha sullema wafatishe simu yake itakuwa ni katika wanawake walio kuwa wanawasiliana nae kwa kutaka kuolewa hakuna wengine
Hyo mume aliyeoa mwanamke aliyezaa n Suleiman ndo alipanga huo unyama
@amisamussa44332 жыл бұрын
Duuh inaumaaaa jamani kaka wawatu jamani miaka20 jela leo kifoni pumzika kwa amani sele
@nemajaquecene91672 жыл бұрын
Innalilah wainahilllah rajuun
@fataomedia70502 жыл бұрын
Daaaah so sad
@mariamgodfrey532 жыл бұрын
Suleiman kumbe ana ndugu zake jamani na alisemaga hana ndugu dar.
@Inzaghi8092 жыл бұрын
Nazani aliwuwawa nawa police kwaju alikuwa anataka kusema mambo anapatikana jela
@malkavoice25702 жыл бұрын
Samia naye aangalie wa kuwasamehe wengine ni vibaka kweli ukiwatazama usoni sivyo walivyo rohoni. Huyu sele inaonekana kabisa alishindikana hadi gerezani
@salimharrasy7047 Жыл бұрын
Kushtumu ni dhambi. Jela ukiwa umeregea utakufa kwa njaa. Kuna shughuli za ushoga ukiregea unageuzwa. Kwa hiyo uhalisia wa maisha ya jela inabidi uwe smart.
@felisteredward8922 Жыл бұрын
😢😢 looh jaman mbona km mtu analipa kisas iv
@latifairakoze42562 жыл бұрын
innalilah wa inna ilah rajiun
@salhamohamed92402 жыл бұрын
Mie nahisi walio wakata mapanga itakuwa ni watu wanao wafahamu na ndio mana wame muuwa na bodaboda kuondoa ushahidi
@zwinaalhabsi6642 жыл бұрын
Inasikitisha kwa kweli
@rosenaheka51372 жыл бұрын
Maximum tv tunawapenda. Ila mtangazo yatawaharibia. R.i.p Seleman
@maximumtvonline2 жыл бұрын
Tunasubiri yatuharibie..
@rosenaheka51372 жыл бұрын
Kuanzia Leo hutaona nikiangalia Chanel yenu. Nikiangalia mnivunje mguu
@minakhamiskhamisi61932 жыл бұрын
@@rosenaheka5137 unamaanish nin kusema hivo ach kutisha wezie bwana ww km hutaangalia wengn tutatizam
@rosenaheka51372 жыл бұрын
@@minakhamiskhamisi6193 mm matangazo yananikera . Ila maximum tv wakocvizuri tuu. Co kwamba nawatisha. Ww angalia tuu
@siasia54692 жыл бұрын
@@rosenaheka5137 ndugu hayo matangazo ndio yanayo walipa wenzio kwaio ni vizuri kuyatazama mpk mwisho
@mwanamisakulembwa11472 жыл бұрын
Inalillah wainaillahi rajiun 😭😭😭 R.i.p
@ridhwanfaki97382 жыл бұрын
Innalillah wainnailayhi rajiuun
@SihabaAbdallah-li6dx3 ай бұрын
Yani niksi zimeaza kwakina uyo mwanamke walomtia NDANI
@luludisniper24362 жыл бұрын
Yani siamini naumia Sana Kwa kweli
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
😢😢😢
@felisterandrew8741 Жыл бұрын
Jaman mh
@salamanauthar4802 жыл бұрын
Zahir ulikua wapi jamani tumekumiss sana kaka
@maximumtvonline2 жыл бұрын
Nimerudi
@salamanauthar4802 жыл бұрын
@HAMIDA RASHIDI iddi gani kipenzi huyo dereva bodaboda au?
@olivajoseph16972 жыл бұрын
Maybe ni panya road Bado wapo
@jojikeneth90242 жыл бұрын
Duuuu! Hii hatari sana
@user-vn2ni9vm4b2 жыл бұрын
inawezekana ndo hao panya rodi
@teddymwageni17632 жыл бұрын
Inamaana aliyewaua wanamfahamu ndo maana bodaboda kauawa pia kupoteza ushahida
@ifgodsayyes.nobodycansayno17962 жыл бұрын
MIMI PIA SIAMINI DAH SO SAD 😭😭😭😭😭 KWA NINI UUWE MWENZAKO NAUTA KUFA REST IN PEACE.
@roselambert67002 жыл бұрын
Dunia hii ina watu wakatili sana
@charitylulu88722 жыл бұрын
Inalilah wainailahi lajiun
@aminaabdalla99492 жыл бұрын
Wanafanana poleni hatasisitunahuzuni pia tulimzoea kupitia MXimu.
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Mtihani mtu kumuwa
@rahma61892 жыл бұрын
R l p Selemani
@aminaabdalla99492 жыл бұрын
Hapo ikokitu sibure
@cheiknamouna20582 жыл бұрын
Kuanzia leo natoa password kwenye cm yangu nimejifunza jambo moja hapa 😭😭😭😭
@zeddydaqueensy46122 жыл бұрын
Kweli kabisa maana hatujui mambo yanayokuja mbeleni
@mwanaherhussani7425 Жыл бұрын
😢😢😢
@salamaseif41832 жыл бұрын
DUu hii dunia
@hadijahadija46992 жыл бұрын
Pumzika.kwa.amani.sele.wetu.
@yasodishonest97922 жыл бұрын
😭😭😭jamani mbona sielewi kauliwa kikatili kweli yani kama wamechoreshwa kulipa kisasivi😭😭wapo waliotuma mauwaji hayo wallah siobure