TAREIKH YETU MSIMU WA TATU (SILSILA 8): Utawala wa Sayyid Barghash 1870 - 1888 (Sehemu ya Kwanza)

  Рет қаралды 1,771

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Күн бұрын

Sayyid Barghash bin Said Al Busaidi anatajwa kama mwanamageuzi na mwanamaendeleo. Ndiye aliyejenga Beit Al Ajaib na kuanzisha sarafu rasmi ya Zanzibar, mbali ya mengine mengi makubwa ya zama zake. Hii ni sehemu ya kwanza ya jinsi alivyoingia madarakani na kutawala.

Пікірлер: 7
@kassimhaji1141
@kassimhaji1141 2 жыл бұрын
Zamani tuliendelea kuliko sasa dah! Mtihani huu. Tumerudi hatua mia nyuma halafu tunajipongeza mungu tusaidie
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
Shukran kwa kutuelimshha taarek
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
Shukrani nyote kwa kutuelimisha taarekh ya Zanzibar na Oman iliyofichwa na kupotoshwa makusudi kwa kisingizio cha Utumwa ili kuhalalisha Ukoloni na Mapinduzi dhidi ya Uislam.
@saidhamad7504
@saidhamad7504 2 жыл бұрын
Asant sheikh Riadh kwa maalumat. Unatukumbusha Mzee Ameir bin Sudi(Shahid) rahimahullahu
@salumhamed5074
@salumhamed5074 29 күн бұрын
Mashallah
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 2 жыл бұрын
Mashaallah zanzibar imepoteza kila kitu ilikua ni bustan kweli
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
tunawashukuru sana kwa elimu hii,haya yote hatufundishwi mzungu ametufanya wajinga sana waafrika,siku zote mzungu hufanya uongo kuficha ukweli,hata ulaya walipofuta biashara ya utumwa ilikuwa si katika misingi ya utu
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,5 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 87 МЛН
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
Pharaoh - Kings of Ancient Egypt documentary
3:43:02
The People Profiles
Рет қаралды 209 М.
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:51:48
The Sound Narrative: The Preservation of the Qur'an in Sunni Islam | Dr. Ali Ataie
3:02:21
Muslim Community Center - MCC East Bay
Рет қаралды 212 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,5 МЛН