TAREIKH YETU MSIMU WA TATU (SILSILA 6): Athari ya Kifo cha Sayyid Said

  Рет қаралды 2,202

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Жыл бұрын

Matukio mawili makubwa yalifuatia mara tu baada ya kifo cha Sayyid Said bin Sultan yote yakihusishwa na kuwania madaraka watoto wake na mkono wa Muingereza: mapambano kati ya Majid na Barghash na kugawanywa Oman na Zanzibar. Sheikh Riadh Al-Busaidi anasimulia.

Пікірлер: 9
@suadbarwani4117
@suadbarwani4117 Жыл бұрын
Ahsanteni Bwana Riadh na Bwana Ghassani kwa ķutuweleza kwa kufahamika habari ýa Utawala wa Zamani wa Unguja shukran.
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Жыл бұрын
Assalam aleiykum Warahmatullah Wabarakatuh Napenda kuwashukuru Sanaa napenda kuuuliza Hivi vitabu vya al-maruhum bwana issa vina patikana Wapi na pia Tunaomba majina Ya hivyo vitabu please
@user-zp8ot5qp2y
@user-zp8ot5qp2y Жыл бұрын
Vinapatkana Masomo Bookshops Zanzibar...
@mwalimuali1850
@mwalimuali1850 Жыл бұрын
Vitatu vya history yetu ya zanzibar muda ndo huu tunahitaji kusoma
@printmedia1422
@printmedia1422 Жыл бұрын
Kuzorota kwa unguja na zangebar uliaanza baada ya kuanguka walio saida kwanza kumfukuza mreno Yalio fuata ni msiba paka mapenduzi Leo mswahili amevunjwa vubaya sana....lakini misungi yake ime dumu paka lugha ime tambulika bara africa nzima Niwakati ya kurudi paka palipo haribika ili uswahili umfae mwafika asionekane kama hakua chochote paka kuja wageni Uswahili ni sura nzuri ya safari ya afrika
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc Жыл бұрын
Tunataka historia ya Bushiri aliejenga Mambomsiige. Kutoka kuwa tajiri Zanzibar na kuishia kupigana na kunyongwa na Wajerumani Tanganyika.
@mfyoko
@mfyoko 9 ай бұрын
Inasemekana wakati Barghash alipokuwa anatoka nje, kutokana na khofu aliyokuwa nayo basi ile barkoa aliyojifunika ilianguka, yule askari wa kibulushi aliyekuwepo kwenye gate aliona mbona 'mwanamke mmoja' kati ya waliotoka ana ndevu? Lakini hakuamini na alidhani labda ni mawazo yake tu, mpaka baadae waliposikia kuwa Barghash ameondoka kwenye nyumba ndiyo akatoa maelezo hayo. Hii niliisoma kwenye kitabu kimoja zamani sana.
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 Жыл бұрын
Je huyu Shekh Riyadh anaposema manuari anamaanisha nyambizi au meli tu? Kuna wakati anazungumzia karne za 114,15,16 na kutaja manuari,mimi hujiuliza je kipindi hicho kulikua na manuari?
@ramadhanijackson7832
@ramadhanijackson7832 Жыл бұрын
Anamaanisha merikebu...sio hizi manoari au nyambizi au sabmarine
TAREIKH YETU MSIMU WA TATU (SILSILA 13): Shujaa Mkwawa, Sultani wa Wahehe
1:02:20
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Kujikolonisha na Hatari za Wakati Tuliomo
21:57
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 315
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 87 М.
MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR NBS & OCGS
3:35
Nbs Tanzania
Рет қаралды 4,1 М.
Bi Mariam Hamdani, kichwa kilichojaaliwa mengi | GUMZO NA WALIMU
1:13:35
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 4,3 М.
LADHA ZA GHASSANI: Zanzibar Nchi Yangu (Zanzibar, My Country)
2:23
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 4,3 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42