TATIZO LA GANZI MWILINI | HII NDIO TIBA YAKE | TATIZO HILO HALITO RUDIA TENA | SHEKH KHAMIS SULEYMAN

  Рет қаралды 42,205

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

TATIZO LA GANZI MWILINI | HII NDIO TIBA YAKE | TATIZO HILO HALITO RUDIA TENA | SHEKH KHAMIS SULEYMAN
#Masjid_Mtoro_Online_Tv

Пікірлер: 47
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 11 ай бұрын
Asantee shekhe HAMITHI..tutapona ganzi asantee
@Husna-s5k
@Husna-s5k 7 ай бұрын
Shukrani sheikh 🙏
@moefire6875
@moefire6875 5 ай бұрын
Ndaipataje Dawa iyo
@awesusaid102
@awesusaid102 3 жыл бұрын
Shukran . kuna msemo unaosema ,usimpe ndugu yako samaki ,mfundishe kuvua.maana yake isiwe kila anapohitajia akutafute na iwapo umeondoka au umekufa itakuwa ameumbuka.hii hutokana na tamaa kwamba akikufundisha yeye atakua hana tena kazi .watu wengi hawasaidii watu kwa ajili ya kupata radhi za Allah Bali lazima apate maslahi yake kwanza. Mfano mwema ni sheikh yussuf bin Ali anafundisha jinsi ya kutengeneza dawa wakati huo huo anafanya tiba katika vituo vyake
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 11 ай бұрын
Kweli kabisa
@aminakanduru1647
@aminakanduru1647 10 ай бұрын
Kweli
@rehemakazibure4858
@rehemakazibure4858 Ай бұрын
Sheikh,Mimi nahitaji dawa y kutibu Ganzi Naweza kupata wapi ?? Hapo ulipo
@hassanally286
@hassanally286 3 жыл бұрын
shukran sheikh kw darsa
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Ай бұрын
Binadamu tuna roho mbaya sana
@rehemakazibure4858
@rehemakazibure4858 Ай бұрын
Assalamualaikum, Sheikh ,Mm nipo SINGIDA TZ dawa ya ganzi napata wapi
@zahramnyazi
@zahramnyazi 9 ай бұрын
Shukran sheikh Sasa tutaipata wapi
@handsomehilali6285
@handsomehilali6285 2 жыл бұрын
Walykusalaam warahmatullah wabarakat alhamdulillah
@KhamisJumahussein
@KhamisJumahussein 9 ай бұрын
Aslam alaikum shekh wang mm naitaj izo dawa zote mbil je nikiasi gani? Mm nipo zanzibar
@fundijumakimbaru7622
@fundijumakimbaru7622 11 ай бұрын
Jamani kama ajatoa namba Wenda kajisaau ira mukitaka nendeni muriyokaribu msikiti wa mtoro k/Koo uurize nazani utapata pare maana kataja msikiti wa mtoro
@SophiRamadhani
@SophiRamadhani 10 ай бұрын
Àsalaam aleykum. Tunahitaji hiyo miti si maneno au biashara
@mohammedmbaruk2034
@mohammedmbaruk2034 Жыл бұрын
A.aleikum sheikh khamis ni pesa ngapi kwa pesa ya kenya DAWA TABIBU
@MWANAHARUSIKALLAGHE
@MWANAHARUSIKALLAGHE Жыл бұрын
Mimi Niko Tanga nitapataj hizo dawa shekh
@LeilaNdejembi
@LeilaNdejembi 2 күн бұрын
Inapatikan wap kaka
@rayaali7551
@rayaali7551 3 жыл бұрын
Shukraaan dr sasaa mbonaa huja tuelezeaa ni mimea ganii unayotakiwa kuchanganyaa na jinsi ya kuichanganyaa auu shekh umekusudia kutangaza biasharaa ? Kwasababuu sio watu woote watakao kuwa karibu na wewe ili waje kuipata hiyo dawaa wengine wako wanaishi mbali sana na wewe sasa nibora ikiwa umekusudia kusaidia au kuelimisha watu kwa matibabu basi tunakuomba tuelezee ni mimea gani inayo hitajikaa k atika kutengeneza dawa hiyo ili watu wajitafutie na kujitengenezeaa utakuwa umesha saidiaa na ni mojawapo ya sadakatuljaariya yako
@subilagalyimo9917
@subilagalyimo9917 10 ай бұрын
Nahitaji hjyo dawa ya unga ya gab Ya ganzi nitakupaje ili unitumie.?
@BahatMwinyi-p2p
@BahatMwinyi-p2p 10 ай бұрын
Izo sawa zote zinauzwa shilingi nga pi?
@fatihiafatihia478
@fatihiafatihia478 Жыл бұрын
Wengine Tukombalisana kaka Izotibaasili ukutunazipataje au Kunatibagani nyingine
@hawamohamed3435
@hawamohamed3435 Жыл бұрын
Naitaji Nina ganzi kwenye vidole vya mikono imenianza Nina wiki ya pill shi ngapi
@AminaIbrahim-jk6uh
@AminaIbrahim-jk6uh 5 ай бұрын
Tunaomba namba
@SharifaYaru-ev9su
@SharifaYaru-ev9su 10 ай бұрын
Taja namba hizo hapo hatuzioni
@SharifaYaru-ev9su
@SharifaYaru-ev9su 10 ай бұрын
Toa namba ya simu hizo hapo ni ndogo hatuzioni
@zainabhussein3217
@zainabhussein3217 Жыл бұрын
Dawa hiyo ya mafuta bei gn?mm naishi morogoro naweza kupata?
@athumanimtolela2613
@athumanimtolela2613 3 ай бұрын
Dawa tunaipataje wengine tunaishi mikoani
@zawadbakari8131
@zawadbakari8131 Жыл бұрын
Shingapi??
@KhamisJumahussein
@KhamisJumahussein 9 ай бұрын
Naomba namba yko ya what's app
@MarryJohn-e6t
@MarryJohn-e6t 2 ай бұрын
Kwan uwezi eleza bra kuongea kiisirau mnakela sana sio ote wanao kufatilia. Waisilam
@MariaSengo-cn5bx
@MariaSengo-cn5bx 11 ай бұрын
Shehe hata mm niko Morogoro Tz je tutumie dawa gani Shehe wetu..?
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Sikuelewi
@butugaeve3300
@butugaeve3300 6 ай бұрын
Nitazipaj hizo dawa?
@gloriosehakizimana3789
@gloriosehakizimana3789 2 жыл бұрын
Ninaweza kuyipata wapi iyo dawa mimi naishi holland
@habibaissa8799
@habibaissa8799 2 жыл бұрын
Dr uko hapa dsm na tutapataje hizo dawa na ni bwi gani tunakuomba utuambie inakopatikana dawa hiyo na pi elekeza jinsi ya kutengeneza na sio wengi watakaoweza kutengeneza ila wengi watapenda hiyo iliyo tayari ila tufahamu iliko na bei
@lucymuthoni5847
@lucymuthoni5847 Жыл бұрын
Hello Dr nitapata aje hii dawa
@shariffjuma1769
@shariffjuma1769 3 жыл бұрын
Inapatikana wapi hiyo
@hamidumvungi2580
@hamidumvungi2580 11 ай бұрын
Xtutapataje hizo dawa 🎉 na hujatoa mamba za simu mm Nina matatizo hayo Niko kilimanjaro
@zuwenahumoudy3198
@zuwenahumoudy3198 Жыл бұрын
Mh ukiwa na tatizo halafu in naakuwa maneno mengi kwa kweli tunakata tamaa sa mbona hatuambiwi hy.dawa
@habibaissa8799
@habibaissa8799 2 жыл бұрын
Unapatikana wapi au tukupigie aimu ili tupate hizo dawa
@hamisihaji7049
@hamisihaji7049 2 жыл бұрын
Shehe unaongea Sana
@MariamNgahega-rl4ht
@MariamNgahega-rl4ht 8 ай бұрын
Napataje hiyo dawa
@aomarabdul4821
@aomarabdul4821 2 жыл бұрын
Pemba
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 11 ай бұрын
Shemu.gani .Pemba ninatatizo la ganzi ya minguu
@djmacho5395
@djmacho5395 2 жыл бұрын
Unaongea sana, alafu unaongea kislam sikuelewi, maelezo mengi bila kuingia kwenye mada
@KhamisJumahussein
@KhamisJumahussein 9 ай бұрын
Naomba namba yko ya what's app
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 83 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA GANZI, DALILI NA MATIBABU YAKE.
18:36
MUHIMBILI MLOGANZILA TV
Рет қаралды 116 М.
IJUE FAIDA NA TIBA YA MTI WA HAUNG'ONG'WA |MPUMBUPAKA |SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
13:34
Diyaaraddii Duuliye Muse Bixi & Faankii Edna!
7:58
Sheikh Abdi Hersy
Рет қаралды 2,3 М.
LIVE: FAIDA YA MITI YENYE ASILI YA  KIVUMBASI
53:48
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 251 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН