TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ ASHUSHA GARI JIPYA, LA MABILIONEA

  Рет қаралды 221,535

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kuvuta Cadillac Escalade Black Edition 2020 mpya Kutoka kwenye maganda yake .
Hii inakuwa ni Cadillac Escalade ya 2 kwa Diamond kununua ndani ya Miezi Miwili ukiachana na Ile ya kwanza iliyovuja mitandaoni Wiki kadhaa zilizopita .

Пікірлер: 377
@gracejohn903
@gracejohn903 3 жыл бұрын
Mimi ninachojua jambo la kwanza muhimu ni kumkabidhi Yesu Kristo maisha ayatawale, maisha haya ni mafupi sana na yanapita tu, halafu inabaki historia tu, walikuwepo matajiri wanaotishia dunia leo hawapo tena, kuwa na Yesu Kristo ni fahari ya kwanza, mengine ni ziada tu. Mbarikiwe.
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 3 жыл бұрын
Yanatoka moyoni mwako haya maneno au wivu tu
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 жыл бұрын
Sasa na ww utamkula yesu?
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 жыл бұрын
Kwa duniani hakuna maskin wanaotisha,wameishi milele?
@mirumbeihema2589
@mirumbeihema2589 3 жыл бұрын
Umenena mama ndo jambo laheli
@elishankandajonathan4265
@elishankandajonathan4265 3 жыл бұрын
Barikiwa ya dunia yanapita ila ukiwa na Yesu Ni milele, itamfaidia Nini mtu kupata ya dunia na kuukosa uzima wa milele
@erickomondi007
@erickomondi007 3 жыл бұрын
Jamani pesa nzuri,wanaosema kwamba 'money can't buy happiness'... hawafahamu duka la kwenda kupiga shopping. Much love kutoka Kenya.
@jaraburukoka7528
@jaraburukoka7528 3 жыл бұрын
Nakubali sana millardiayo ww uko na moyo mweupe kabsa ila sasa mwijaku alipo yuko bize kutunga uongo wa kusema kesho
@hamisisha
@hamisisha 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@abdallahhussein5997
@abdallahhussein5997 3 жыл бұрын
Millard uwezi kushikilia Bomba kwa muda mrefu yaani uwezi kukaza. Umejizuia Sana kujishugulisha na diamond mwisho umechemka
@noonelike6382
@noonelike6382 3 жыл бұрын
Mxyuuuuu...dadeki!.. BONGE LA TUSI 🙌🤣🤣🤣
@chinamichael3340
@chinamichael3340 3 жыл бұрын
Tafuta pesa upunguze kujieleza.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
Kabsa kaka
@agneswangeci1926
@agneswangeci1926 3 жыл бұрын
🙏🙏inapendeza saa dogo !!!na usijibu wapuuzi Hbaba akowapi!! Ama Iko mfunguni mwakitanda Cha mamake akiumia wivu diamond mmunulie h baba pipi
@fatushabdi2786
@fatushabdi2786 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣simba anajua kuwakomesha hahahaahhahhaha
@Neworder11
@Neworder11 3 жыл бұрын
Hapa sasa album yetu itaenda mbele sana subur ije na R. RYC AFU TUTOE ALBUM .ila kuna mtu anasubiri uwepo na yy autembelee
@maxwellsanga3662
@maxwellsanga3662 3 жыл бұрын
yupo Kenya saa ii anazurura na kujiabisha na kiingereza kibovu
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
@@maxwellsanga3662 Nani uyo tena anaejiaibisha uyo jmn😂😂😂😂
@maxwellsanga3662
@maxwellsanga3662 3 жыл бұрын
@@kennyrogers4734 mmakonde 😂😂😂
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
@@maxwellsanga3662 😂😂😂😂😂😂kumbe mla chamaki nchanga😂😂😂😂😂
@meshack3266
@meshack3266 3 жыл бұрын
Ila maskin bhan wanamatambo et mtu yuko bize anasema izo hela ndog afu ukimcheki ana ata vits ya milion tatu
@allysanya8346
@allysanya8346 3 жыл бұрын
Hahahahahaaa hao ndio maskin jeurii hana kitu lakn dharau kama zote hahahhaha
@allysanya8346
@allysanya8346 3 жыл бұрын
Hahahahahaaa hao ndio maskin jeurii hana kitu lakn dharau kama zote hahahhaha
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Kweli kabisa 🤣🤣🤣
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 3 жыл бұрын
Yani brother huezi amin ninavokereka na huu upungufu wa mawazo wa watanzania? Unakuta jitu hata kodi ya mwenye nyumba halina afu linakalia oooh mondi kanunua gari sjui ya mwaka 2015 wakati mama/baba mwenye nyumba akija tarehe 30 unajifanya kuamka mapema asikukute home 🤣😂. Baada ya kujifunza tunaajirudisha nyumba na mijiroho mibaya ya kupinga kila tunachoona.
@meshack3266
@meshack3266 3 жыл бұрын
@@patrickmukundichalamila3038 acha tu inaboa kishenz
@hassanyanga7303
@hassanyanga7303 3 жыл бұрын
Diamond Ni 🔥🔥🔥🔥
@alainsypamuhindo1450
@alainsypamuhindo1450 3 жыл бұрын
Simba babalaooooo 🔥🔥
@twahamohammed1343
@twahamohammed1343 3 жыл бұрын
Forbes kweli ilimshoma kumweka nyuma ila hakuna haja kuprove anything kwa mwanadamu at the end of the day yote ya dunia
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
Dunia ina sehemu yke na akhera ni bora zaidi kwani niyenye kubaki😄😄😄
@masudimillanzi994
@masudimillanzi994 3 жыл бұрын
Huko ni kukata tamaa ya maisha nakurisisha wanao umaskini ukifa waje wateseke apah dunian ebu piga kaz ww umiliki mahela acha fikra mgando
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
Sidhani kama magari ni asset ya maana, ukisha register tu thamani inapungua by up to 30%. Hii ni fact tu. Na thamani inapungua kila siku. Lakini sio vibaya ukiwa nayo, your choice.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
@@kiatu sasa watu wasinunuwe magari🤣🤣🤣fikria.kwanza ndio utype
@kiatu
@kiatu 3 жыл бұрын
@@azizayassin3623 Wapi nimeandika watu wasinunue magari, nadhani wewe ndiye hukufikiri ulichoandika. Read between lines.
@claymomo5427
@claymomo5427 3 жыл бұрын
Dangote alhaj🦁
@florianmsigwa9314
@florianmsigwa9314 3 жыл бұрын
Tatizo barabara zetu na hayo magarii🤔
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 жыл бұрын
Wacha mondi abarikiwe choyo hana alafu ukimchikia mungu ndio anampa baraka zako ili uzidi kuteseka🤣🤣🤣🤣#VOTE FOR DIAMONDPLATNUMZ @BEST
@mathewdeus3036
@mathewdeus3036 3 жыл бұрын
Sasa waongee vizur mana wapuuzi wapo wapo
@itNeza
@itNeza 3 жыл бұрын
Diamond are forever. 💎
@lommysunday6268
@lommysunday6268 3 жыл бұрын
Hongela sana kk maana watu wanaongea sana
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 жыл бұрын
Dogo chenji anayo, wenye wivu tutaendelea kumsema vbaya.
@thomascharles9499
@thomascharles9499 3 жыл бұрын
Huyo ndo simba💪💪
@kennedyombewa7974
@kennedyombewa7974 3 жыл бұрын
Ngoja Nikanunue bando niangalie interview ya h mama na mwijaku.
@mariamjohn4668
@mariamjohn4668 2 жыл бұрын
Gari Kali xana pongez kwake simbaaaa
@eyasitiayubu6271
@eyasitiayubu6271 3 жыл бұрын
Kazi kazi mond
@tycoon9540
@tycoon9540 3 жыл бұрын
Mwijaku anazo gari kama hizo kama TANO hivi sema hajajitangaza tu 😀
@ramadhanichalachala549
@ramadhanichalachala549 3 жыл бұрын
Pepo ya Tajiri duniani anajitengenezea kila kitu ila moyoni anajijua kuwa Pepo ya mbinguni kuingia ni kazi sana kwake
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 жыл бұрын
Siri ya peponi anajua allah pekeaketu
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 3 жыл бұрын
Haimaanishi kuwa maskini na kutokununua vitu vya garama ndio utaingia peponi!? Unaweza ukakosa vyote vilevile!? Fanya kazi,,,toa sadaka, saidia maskini,sali au swali na ishi maisha mazuri!!"
@harbumdoe4538
@harbumdoe4538 3 жыл бұрын
Simba platnumz
@eenpaard3915
@eenpaard3915 3 жыл бұрын
Tanzania tumezidi ushamba
@romadanromadan4398
@romadanromadan4398 3 жыл бұрын
H baba haya vuwa nguo tupata harufu ya shombo🔇😂😂🦁🦁🦁mbili siyo moja simba
@lameckmichaelmagazi6345
@lameckmichaelmagazi6345 3 жыл бұрын
Wemavi unalijua chopa wewe? Mwambie alete njiwa Kama alivyo ahdi Uma. Sas gari ndo njiwa? 😀😀
@JRS268
@JRS268 3 жыл бұрын
Gari sio bei dili wewe nguruwe huku italy hizo gari ni used wabongo mnajidanganya sana mie kalibia naleta ramborghini hapo tz alafu sio maarafu wala nini....kenge wewe
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 жыл бұрын
@@lameckmichaelmagazi6345 nenda ukaombe kazi Kwa boss
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 3 жыл бұрын
@@lameckmichaelmagazi6345 aliahidi nani na aliandka wapi
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 3 жыл бұрын
@@JRS268 hutuongei na waswahili masikini walio kimbia kwao
@jarukhan_tz1326
@jarukhan_tz1326 3 жыл бұрын
Mr. Ayo, ukiendelea kutoa taarifa za namna hiyo baada ya miaka 2 mbele utakuwa umeshapoteza weledi wako, acha mengo tv 📺 watoe, tunataka taarifa zenye logic kutoka kwako.
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 3 жыл бұрын
CADLLAC Escalade black One 2020🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥👹👹👹🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿#swahiliNation again 🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
@naimayusuph1448
@naimayusuph1448 3 жыл бұрын
Nowma sana chibu
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 3 жыл бұрын
@zaidi Issa nina maisha yangu ya kubeba box sihitaji kuishi na domo najiweza Alhamdulillah
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 3 жыл бұрын
@zaidi Issa hawezi kunilipa mie atawalipa haohao kina lokole laki 3
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Mungu humoa amtakae.Ndo ivoo
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 3 жыл бұрын
Mwenye tangazo ndio kauza gari , 😇
@chavdagrande2379
@chavdagrande2379 3 жыл бұрын
Safi
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 жыл бұрын
Kwa kuwa Ayo kasema sasa nakubali
@salminibarakati172
@salminibarakati172 3 жыл бұрын
Jaman ndege imezuiwa natrafki angani
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Mungu humpa amtakaee,ndo ivoo
@twayzo6207
@twayzo6207 3 жыл бұрын
Noway out lazima ukitaka content lazima uongee kuhusu diamond hamna jinsi tena #SIMBA
@nasirabdalla8646
@nasirabdalla8646 3 жыл бұрын
Latest ni 2021 ambayo inajiendesha
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Simbaaa 🔥🔥🔥
@karumekanisius8144
@karumekanisius8144 3 жыл бұрын
Wasiopenda maendeleo ya watu niwatu ndo maana kila kukicha utasikia ubaya umeibuka
@festokillingo8912
@festokillingo8912 3 жыл бұрын
Diamond acha hawa chawa waongee, ambao walishindwa hata kumlea flora ,watakuweza wewe, usiwajibu chawa,
@Nufaila442
@Nufaila442 3 жыл бұрын
Sadala huna hele sasa acha akuuneshe Makali ya hela
@beipoaquality9159
@beipoaquality9159 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nikolausshirima8663
@nikolausshirima8663 3 жыл бұрын
Simba 💎 wakalishe mpaka was jute kukujua au sio
@Anitajoseph792
@Anitajoseph792 3 жыл бұрын
Kwahiyo umeshindwa hata kujua bei halisi?
@lovenessitiku6293
@lovenessitiku6293 3 жыл бұрын
Tunamjaza tena ili ajae anunue gari inayotumia umeme hyo hamna kituuuuu🤣🤣🤣🤣
@ramsodavidson6011
@ramsodavidson6011 3 жыл бұрын
Bongo kweli bado tuko nyuma sn Uku kwa Mwarabu mpaka maeneo km Tandale Cadillac zipo vichochoro zimepaki hazina ata wa kumstua
@justinemgeni8716
@justinemgeni8716 3 жыл бұрын
Hahahaha sijui unaongea nn
@ramsodavidson6011
@ramsodavidson6011 3 жыл бұрын
@@justinemgeni8716 kwani nimeandika kihindi hapo
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Ila Mond anajua kunyoosha mpaka mtu anajkuta hajui anaongea nn 😂😂
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 3 жыл бұрын
Wanyooshe mkomavu waseme tena umenunua kwa mtoto wa Bakhresa
@gptwins1139
@gptwins1139 3 жыл бұрын
Mapeeeeemaaaaa
@issashabani9840
@issashabani9840 3 жыл бұрын
Hivi jamani nduguzangu mnajua dunia njia maisha yapo kaburini
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 жыл бұрын
Sio haramu kutumia na hainajaandikwa mwisho na limit ya kutumia
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Umefata nn huku
@josephchacha2844
@josephchacha2844 3 жыл бұрын
Bro mapastor umejazika..kaburini Amna uhai..tatuta pesa uishi kabla ujafa. Ayo mengine ni Iman batili mlizo uziwa tokea udogoni..
@mediotanzania2165
@mediotanzania2165 3 жыл бұрын
Endelea kupiga domo hbaba na mwenzio jaku mwenzio kwake vitendo
@fatumamfaumeilawatafulia834
@fatumamfaumeilawatafulia834 3 жыл бұрын
🔥👏🙌
@sadicklukungu9905
@sadicklukungu9905 3 жыл бұрын
H baba kwapatwa na mhao
@cisselamerverille5286
@cisselamerverille5286 3 жыл бұрын
Uber ya marekani
@hypemcjoskieyfavoured5835
@hypemcjoskieyfavoured5835 3 жыл бұрын
The greatest Man in history, had no servants, and yet they called Him Master. He had no degree, and yet they called Him Teacher. He had no medicine, and yet He was called the Healer. He had no armies, and yet kings feared him. He won no military battles, and yet He conquered the World. He committed no Crime, and yet they crucified Him. He was buried in a grave, and He is alive today. And His name is Jesus Christ in Greek, and in Hebrew Yashua HaMashíach' (Messiah) Confess Him with your mouth as your savior and believe in your heart that He died and resurrected for your sins and you will be saved. God's Love Letter to you is found in JOHN 3 : 16; For God so loved the world that He gave His only begotten Son, that whoever believes in Him should not perish but have everlasting life.
@kceevannyboytz7217
@kceevannyboytz7217 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🦁🦁
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 3 жыл бұрын
Hongera
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
Kumamae zenu nyote mnaobishania utajiri wa wenzenu, mnafirwaa. Hangaikieni maisha yenu acheni usengerema.
@saidisudi6129
@saidisudi6129 3 жыл бұрын
Kumaaamae zae wote wakina mwijaku na shoga ake h mama mikundu yao
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Naona umeumiaa utakomaaa
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
@@afterfull-time1348 utakoma we matako
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
@@avitusmichael5 😂😂Mond wahurumie hawa wapmbav waliotaman kuona ukiwa maskini alaf maombi yao yamefel saiv wamebaki kam vicha😆😂
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 3 жыл бұрын
Umeongea broo yani mikunduyao wote wanao bisha vibaya kwa simba
@borisisaac5974
@borisisaac5974 3 жыл бұрын
Izi zina fanya Uber dubai
@idrissaabdallah1296
@idrissaabdallah1296 3 жыл бұрын
Tajirii Kija mond saiv ni vitendo tyu
@MtuSafi
@MtuSafi 3 жыл бұрын
Sasa gari mond mbona anazo za bei kuliko hii halafu promo yake kama ya billion.
@idrissaabdallah1296
@idrissaabdallah1296 3 жыл бұрын
@@MtuSafi hyo nayo nj ya bei zero kilometre
@MtuSafi
@MtuSafi 3 жыл бұрын
@@idrissaabdallah1296 Sasa unafikiri ni sh ngap hii gar?
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Tafta pesa ipunguze kuongea na vimisemo pia vipunguee
@idrissaabdallah1296
@idrissaabdallah1296 3 жыл бұрын
@@afterfull-time1348nina wasi wasiii na uwezo wako wa kufikilia kwaniii mm nakula kwenu
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 3 жыл бұрын
Hii ndo raha ya kupambana bwana yan unatesa watu bila kuongea vijana tutafte pesa tupunguze kuongeaaa na vimisemoo mara kipensel sijui sadala n umaskin ndo husababishaaa
@andrewmichael8716
@andrewmichael8716 3 жыл бұрын
Mond toto tandale billionear
@salumulongwa9461
@salumulongwa9461 3 жыл бұрын
Simbaa🦁
@shedrackshaibu5619
@shedrackshaibu5619 3 жыл бұрын
Simbaaaaaa
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 3 жыл бұрын
Kikukuu
@ezekielwilliam1710
@ezekielwilliam1710 3 жыл бұрын
H mama cjui hayasikii haya embu njoo bwana uongee porojo kigogo
@FxTtroy22
@FxTtroy22 3 жыл бұрын
Million 180 watu wana miliki ndinga million 600 mchezo hayo mambo ya kawaida
@jessicabrown5885
@jessicabrown5885 3 жыл бұрын
Iyo gari ni ya 2015 Uyu mtangazaji ana sema 2020
@erickomondi007
@erickomondi007 3 жыл бұрын
@@jessicabrown5885 hilo gari ni la 2021,jamani peleleza mtandaoni kwanza usije ukawa hasidi asiye na sababu.
@erickomondi007
@erickomondi007 3 жыл бұрын
Milioni ishirini pesa taslimu za huku kwetu Kenya...
@jessicabrown5885
@jessicabrown5885 3 жыл бұрын
@@erickomondi007 🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️ Embu apo ulipo type Cadillac Escalade 2021 afu uone kama lina fanana na ilo Then ukimaliza type Cadillac escalade 2015
@erickomondi007
@erickomondi007 3 жыл бұрын
@@jessicabrown5885 kweli...nimethibitisha,yanatofautiana kwenye mataa. Wataka kumaanisha Chibu kanunua gari la mtumba...asalaaale,
@hubbyximba4850
@hubbyximba4850 3 жыл бұрын
💎💎
@rahiminamsangi8558
@rahiminamsangi8558 3 жыл бұрын
Milad acheni ujinga sasa gar gani hiyo yakututangazia. Nina miaka 33 boyfriend wangu ana miaka 24 tunatembelea gari ya tsh milion 600 na tuko kimya tunaish kwenye nyumba nzur na hamtutangaz huyo ni super staa na ananunua uchaf mnatangaza acheni ushamba kwanza ingia angalia gar na bei gani Ndio miwadanganye hao wa tz ambao hawajasafri so wanaona kama ninkitu kikubwa Hilo gari. Njoo uone gar na bot letu Ndio ujue pesa ipo haipo
@ndaganoanastazia2658
@ndaganoanastazia2658 3 жыл бұрын
Pumbavu wa buzaaaaaaa💩💩💩
@omarymohamed6015
@omarymohamed6015 3 жыл бұрын
Wewe ndio mshamba si ukae kimya tuu kama unalo kuzidi hilo,yeye kupost ni sehemu ya kazi yaka ya sanaa acha undezi
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Instagram inapatikana wapi?
@mbigokabwere5251
@mbigokabwere5251 3 жыл бұрын
Uko wapi Hbaba na mwijaku
@mo_hustler9099
@mo_hustler9099 3 жыл бұрын
H,Baba alishakimbia toka muda sasaivi hakusanyi vimaiki Uchwala
@nkowe_one
@nkowe_one 3 жыл бұрын
Sasa ivi bongo atuna uteam 🙏🙏🙏
@bonnyalphonce1082
@bonnyalphonce1082 3 жыл бұрын
Acheni wivu jaman ivi bong xix 2koje ata m2 afanye mazur kiax gan bado wataxema mmmh ivi amjui waxanii wa bong wanapo fanya mambo mazur kama haya wanainuwa inchi ye2
@felixaugustino3515
@felixaugustino3515 3 жыл бұрын
Kweli ukiwa na hela hushindwi kitu
@dominicksundayditus5776
@dominicksundayditus5776 3 жыл бұрын
Hapo nje ya lango ( getini pachafu sana
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 3 жыл бұрын
Tena nyumba ya kupanga
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 жыл бұрын
Anatafuta mfagiaji nenda ukaombe kibalua Kwa boss simba
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 жыл бұрын
Mjomba mchumali mwijaku na h baba wakaombe kazi ya kufagia uwanya Kwa boss
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 жыл бұрын
@@hejmabohejhej9 nendaukaishinae
@ludovickhenry2316
@ludovickhenry2316 3 жыл бұрын
Mpeleke tembo akafanye usafi
@dominicksundayditus5776
@dominicksundayditus5776 3 жыл бұрын
Ajengee apafanyie usafi angalau pafanaie hadhi yake kushusha gari Shem chufu hivyo ni aibu
@ramahaji9342
@ramahaji9342 3 жыл бұрын
✅✅
@jaroga6040
@jaroga6040 3 жыл бұрын
Alie pata kapata mwisho wasiku heshima tu mjini
@hamadsaid9531
@hamadsaid9531 3 жыл бұрын
Aliyoepewa kapewa tu huwezi mpokonya
@victormushi6641
@victormushi6641 3 жыл бұрын
SUBIRI VIJANA WAKULIPE MJINI MAANA NIMESHAONA PORSCHE MBILI, NDIO UTAJUA UJUI
@dastanstarshine
@dastanstarshine 3 жыл бұрын
Simbaaaa🦁🦁🦁🦁
@jacksondaniel5577
@jacksondaniel5577 3 жыл бұрын
Haya sasa na hii mseme kanunua kwa mtoto wa bakhresa
@mudighurayra
@mudighurayra 3 жыл бұрын
Umeona hii ime oneshwa mbka ina toka ndan ya contena bc naile kwa sifa zao tunge onesha ila ukwel ulkua vile vile ame uziwa hapa hapa tukubal 2
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 жыл бұрын
@@mudighurayra wataseme pia imeagizwa na mtt wa mo
@mudighurayra
@mudighurayra 3 жыл бұрын
@@zaidiissa3714 hahhaa sw bana
@stevenmichaelmaganga4828
@stevenmichaelmaganga4828 3 жыл бұрын
Hiyo na iliotoka mwaka 2020 ziko tafauti kabisa hizo za mwaka 2016 acha kupotosha dunia kama Kijiji ukingia google utajua
@athumanhassani805
@athumanhassani805 3 жыл бұрын
Hahahahah hata kwenye vitabu vyadini tuliambiwa tufanye kazi nimoja yaibada
@issabakari1916
@issabakari1916 3 жыл бұрын
AlipoAnza kutembea na ma body gud, Walisema, mshamba, Sasa Kuna watu watapasuka vifua ngoja tucheck 😂
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 3 жыл бұрын
MSAFARA two ESCALADE with BODGAD and ROY ROYCE with THE ONE AND ONLY DIAMONDS PLATINUM between.#,Swahili_Nation again🤣🤣🤣🤣
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 3 жыл бұрын
BAADA YA CADLLAC ESCALADE 2, IKIFIKA ROY ROYCE YA PLATINUM MSAFARA UTAKUWA UMEKAMILIKA SASA ITABIDI MABODIGADI WAONGEZE NA ITAKUWA #HARMONISE_H_BABA_na_MWIJAKU🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣#swahiliNation for #diamindplatinums
@abdulljuma7277
@abdulljuma7277 3 жыл бұрын
Hii Inaitwa Iga Ufe
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Siri ya mafanikio kwa daimond nini atuambiae vijana wenzake mbona wengine tunafanya kazi mpaka vipara vinatuota kichwani hatuna hata nyumba moja
@jacksonmakasi
@jacksonmakasi 3 жыл бұрын
Soma
@daudyernesty2512
@daudyernesty2512 3 жыл бұрын
Apoumenena ndug simba atali xana
@bidadijuma5696
@bidadijuma5696 3 жыл бұрын
Chuma mpyaaa
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 3 жыл бұрын
Ila mil200 kawaida sana kusema ukweli.
@davidfrank1644
@davidfrank1644 3 жыл бұрын
Noo 1bilion+
@davieed1427
@davieed1427 3 жыл бұрын
@@davidfrank1644 Mil 200+
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 3 жыл бұрын
Kuziandikatu huwezi acha unafiki
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 3 жыл бұрын
@@zaidiissa3714 we ndo hujui kuzisoma ndo mana hujui kama nimeziandika vizuri.
@mashakanyenzi904
@mashakanyenzi904 3 жыл бұрын
Hili la kwake au tunapanda wote
@abuuhilary4609
@abuuhilary4609 3 жыл бұрын
Mwinjaku kaja nakipi tena jama
@rastokapunji7191
@rastokapunji7191 3 жыл бұрын
H Baba upo??umeamini sasa?
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Simbaaaa
@jumanatosa89
@jumanatosa89 3 жыл бұрын
daaa aise mirad hebu acha uongo hiyo gar kwel ni ya bilionea au milionea
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 3 жыл бұрын
Wewe nae aujui Bei ya magari kausha tuu!!
@Myplusbee
@Myplusbee 3 жыл бұрын
Na wewe unayejua, hadi unaingiza barabarani hiyo thamani yake itakuwa ngapi?!
@kaluzione2231
@kaluzione2231 3 жыл бұрын
Kwel bhna watu hawajui bei ya magar jilo halfk hata billion
@mudigames5479
@mudigames5479 3 жыл бұрын
Kwani ukitupa jiwe sitemirror ikapasuka itakuaje? Bwakila akimuuliza Mkude
@kiswantatv3817
@kiswantatv3817 3 жыл бұрын
Kaamua kuwajibu kwa kitendo....safi sana
@mudighurayra
@mudighurayra 3 жыл бұрын
Ndio yale yale tu atuoneshe kilometers kama ipo 0000000
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 жыл бұрын
Jamani samahani mie nauliza tu ivi hapo ndiyo nyumba yake au ndo alipopanga?????
@hamudsaid8589
@hamudsaid8589 3 жыл бұрын
Nyumba ya kwake
@mussajeremiah715
@mussajeremiah715 3 жыл бұрын
Kapanga mbezi beach kule kwake madale hakai yeye ..
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 3 жыл бұрын
Amepanga uyo mikochen ila apo nikwake
MJENGONI KWA HARMONIZE NJE MPAKA NDANI ANGALIA PAKISHUA SANA
10:16
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 125 МЛН
Mpaka Home MAISHA YA RAYVANNY NA JUMBA LEKE LA KIFAHARI UTAPENDA
10:32
ALIKIBA ANUNUA BUGATTI 2021,,,TAZAMA HAPA TAMBO ZAKE NA UTAJIRI WAKE,,,
10:26
ONA DIAMOND,ALIKIBA NA HARMONIZE WAVIMBIANA KWENYE MAGARI KAWE
1:37