Daaaaaaah yani chombo ulichonunua mwenyew kinakuua wewe mwenyew tena ni sawa na kumfuga mbwa alafu akaja kukun'gata mwenyewe..............eeeh Mungu mkono wako wa hasira tunaomba upunguke juu yetu tunatambua kuwa maovu yanaongezeka kwa sasa lakini tunakuomba uturehemu sawa sawa na fadhili zako kiasi cha wingi wa rehema zako,uyafute makosa yetu kama neno lako katika zaburi 51:1 lilivyo🙌🙌🙌🙏🙏🙏,pole sana baba Mungu akutie nguvu na kukufunga mkanda ktk kipindi hiki cha majonzi🙏🥹🥹🥹🥹
@JoyceMwita-e3w18 сағат бұрын
Duh kweli kifo hakina huruma pole baba Mungu akutie nguvu kwa kipindi kigumu kwako na Mungu azilaze roho za wapendwa pema peponi😢😢😢
@LucyRafeali4 сағат бұрын
Pole Baba angu Mungu akutie nguvu
@MohamedIbrahim-bn1gz15 сағат бұрын
This Man is strong
@FatumaMwage16 сағат бұрын
nimeumia san maan huyu baba anaumia sana mungu akubariki san mungu akupe nguvu
@ainessfoya446311 сағат бұрын
Pole mno kwa familia yote..mungu awape faraja..hongera mno kwa uaminifu wa maaskari waliohifadhi na kukabidhi .mungu awabariki saana
@RajabuMkonje17 сағат бұрын
Pole sana mzee mission impossible but don't give up, umejua kujikaza kiume kama sio mfiwa🎉🎉🎉🎉🎉
@PendoMarco-x3u15 сағат бұрын
Mungu akutie nguvu baba yangu, shetani hapendi kuona familia inapata furaha
@iviejustified81092 сағат бұрын
Muhimu kuombea familia .... Tuwe tuna utamaduni huo!
@farajisureman992513 сағат бұрын
Pole sana Mzee.Kufiwa na Mke na tena kwa Umri huu ni mtihani mzito sana.Ushinde tu.Mwenyezi mungu akupe subra
@NeemaJohn-ek8nf14 сағат бұрын
Mungu akutie nguvu babangu na akupe faraja jammnnnnn wapumzike Kwa amani wapendwa wetu
@catherineemmanuel873917 сағат бұрын
Pole sana mzee kufiwa na mke wako na mtoto wako
@melvinkanje706 сағат бұрын
Ila Mungu Anasababu zake Duh!! Tukanyage hi Dunia pole pole😭
@benardotuoma5919 сағат бұрын
Baba pole sana inauma sana,Mungu akutie nguvu uko kwenye kipindi kigumu, duniani tunapitia mengi,imagine unafanya kazi mpaka unastafu unanunua gari siku ya kwanza inakutoa uhai duuuhh,
@FloraHamisi-n7o14 сағат бұрын
Muda.wakusherekea mafanikio mungu nae anapanga yake 😢😢😢 pole sana
@monicastephen87965 сағат бұрын
Poleni sana wafiwa hasa baba. Tunaomba baraka za Mungu zisitukatishe maisha ktk jina la YESU
@AmosiMakori-wd2zm17 сағат бұрын
Pole Sana Bwana akutie nguvu, Dunia hii tunapita kama wasafiri tumaini letu ni yesu.
@sein.2084 сағат бұрын
Jamani Mwalimu wangu kipenzi Mungu akulaze pema penye wema🤲🏽 😭💔
@radhiarajabu45843 сағат бұрын
mungu kawapenda zaidi faraja zake I kinga na mwongozo Kwa bb pigo ni kubwa pole sana
@user-qq7pg6jk15 сағат бұрын
😊pole sana baba,Mungu akutie nguvu, hili nalo litapita,
@ntambisamwel443657 минут бұрын
polee sana mzee wangu..akupe nguvu
@anithamsoke232913 сағат бұрын
Duh! Jamani duniani kuna mapito jamanii, duh, Mungu pekee ndiye faraja yenu maana duh, hii ni ngumu kuikubali kiubinadam. Poleni sana wanafamilia wotee
@chittamileissa16504 сағат бұрын
Pole sana mzee wangu MUNGU akupe utulivu zaidi kwenye hiki kipind kigumu sana unachopitia
@elizabethismile682712 сағат бұрын
😢😢😢😢😢jamnii kischo ridhiki hakiliki jmnii Unafurahia ndoto ya muda mrefuu alafuuu sku ya furaha yako ndo sku umauti unakufika khaa . MUNGU JMNII😢
@zainabukimolo58273 сағат бұрын
Pole sana mbise jmn nakosa cha kusema kbs mungu pekee akufariji na watoto
@WiselightOfficialСағат бұрын
Ppole baba Mungu awe upande wako siku zote za maisha yako😢
@kiluiWanguvu13 сағат бұрын
Innalilah wainna ilahirajiun Allah Subhanallah Wataalla akupe subira na akuongoze
@AbiaWilliam-s1s15 сағат бұрын
Poleni sana wana familia 😢😢Baba Mungu akutie nguvu
@sarahezekiel517013 сағат бұрын
Poleni Familia,ukoo,Rip mwalimu,mtoto,dereva rafiki.Kazi imeisha,Mungu awe Faraja kwa waliobaki.
@LeonardKimwa17 сағат бұрын
Pole sana mzee mze wangu nais umejiuliza mambo mengi sana kuusu iyo gari imekupotezea familia yako pole sana ndoto yako aikutimia,
@lilianmnkondya15015 сағат бұрын
Pole Baba Mungu Akutie Nguvu😢😢
@IbrahimMwantona14 сағат бұрын
Pole sana baba mungu akupe Amani ya moyo Amen.
@MonicahMassawe3 сағат бұрын
Jamn mwalimu ayo kanifundisha uwiii mbn mwisho wako umekuwa mbaya jmn mungu akulaze mahali pema pepon
@Happizo4 сағат бұрын
Pole mzee naomba niwe msaidizi wako😢😢😢
@JudithAdonis13 сағат бұрын
Pole Baba na familia Mungu awe faraja kwenu 😢😢😢
@SubiraJohn-v9s9 сағат бұрын
R.i.p Mom & Son ! Mwenyezimungu akufariji Baba Pole sana!
@linahtairo18593 сағат бұрын
Pole sana baba Mungu akupe Nguvu
@AlexLaizer-h7x16 сағат бұрын
Pole sana baba mungu akutie nguvu Kwa wakati huu mgumu
@DudddyWhyCant7 сағат бұрын
Pole sana ndugu, jamani hii ajali ni mbaya sana. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
@ibrahimKimati17 сағат бұрын
Ni kweli siku ikifika miti yote huteleza kwa hili nimejifunza kumbe nikinunua gari sipandi na dereva anayesafirisha wengine hawana uzoefu huyo inaonyesha dereva alikuwa mchovu au usingizi pole sana mzee kwa kupoteza familia mungu akutie nguvu kwa kipindi hichi kigumu.
@IdarousPossy16 сағат бұрын
Akili zako bn .siku ikifik ni imefika tu
@YacnMwacha2 сағат бұрын
Pole sana mzee 😢
@joshuaeliakim215716 сағат бұрын
Pole sana mzee ukweli nimetoa machozi ni msiba mzito ...MWENYEZI MUNGU AKUTIE NGUVU
@danielmaeda50748 сағат бұрын
Pole Sana Mzee Mungu akutie nguvu katika hili jaribu.
@momosaid61936 сағат бұрын
Jackson ww 😢😢 juz tu hapa umemaliza chuo 😭😭 Allah akupe kauli thaabit
@simbeyekingsministrytv90357 сағат бұрын
Pole sana kaka kwa YOTE .. Bado Mungu ni mwema
@charlesadolf106213 сағат бұрын
Mungu akupe faraja na akupe nguvu maana hili pigo ni kubwa mnoo. Mwenyenzi awape faraja wote ndugu wa marehemu. Mungu awape pumziko salama la milele
@lordorcas934415 сағат бұрын
Poole , Poole saana Kaka mpendwa alafu hiyi ni habari mu baya Damu ya watu watatu muke mupenzi waka , mutoto wako na Ki jana wa batu mi na liya ,machozi ya Damu tena na Uchungu sana roho yangu inauzunika kueli Basi ndu acha mwenyezi Mungu a endeleye na wewe Kuku Chunga na Nguvu yake basi uchunge famillia yenye inabaki ,,ile njo habari ya Dunia ha tuna kia kufanya ni Mungu Tu tena na changaa Courage uko na yo kueli uko muana Ume Courage , Courage
@rogersiddy15 сағат бұрын
Pole sana mzee🙏🤲
@Bilioneabichwa3316 сағат бұрын
Siku ikifika imefika tu, Asante Yesu
@rahmasultan579610 сағат бұрын
Jamani pole sana Mungu awape subra na nguvu wafiwa wote sisi ni wa Allah na kwake tutarejea💔🥹
@rahabnkya827618 сағат бұрын
Ni huzuni tuuu! Kwamba mungu amewapenda watu Hawa, mama mwl kastaafu vizuri oooh
@realrzzocmg4853 сағат бұрын
Pole baba jamani mungu akutie nguvu
@Aida-qh3jq8 сағат бұрын
Pole sana baba angu mwenyezi mungu awe nawe popote pale
@sarahkinyashi62138 сағат бұрын
Mungu akutie nguvu 😭😭😭🙏🙏🙏wapumzike kwa amani
@JanethJames-eo1go8 сағат бұрын
Pole sana baba ang mungu akutie nguvu na akawe faraja kwako
@AishaAisha-w1v12 сағат бұрын
Inalilah wainalilah rajiuna
@rehemamasanja88756 сағат бұрын
Pole sana baba Mungu awe faraja kuu ktk kipindi hiki kigumu.😭😭😭
@eddytheophil76269 сағат бұрын
😅😅😅pole sana brother..
@omaryadam68844 сағат бұрын
Angalia emoji za kutumia kwenye hii taarifa, hapa umetumia vibaya
@SabrinaRamadhan-s9u4 сағат бұрын
Baba pole sana 😢mungu akutie nguvu😢😢
@festinamwakipale391917 сағат бұрын
Mungu atulehemu baba akufunge mkwamba imeandikwa uzaniapo pana amani.ndipo uharibifu ukujiapo kwA ghafla nimeumia sana duu! Kweli mwanadamu ni upepo
@gadielshedaffa333315 сағат бұрын
Baba pole! Watu wameongea uongo mwingi( kumbe ni gari la kwanza} Bwana akufariji! Na tunatubu kwa ajili ya maneno mengi ya wanadamu
@moulyreenmdemu949015 сағат бұрын
Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu Daah 😢😢
@SalhaZakaria-r4n16 сағат бұрын
Pole sana baba mungu akutie nguvu katk kipind hich kigumu
@KhadijaMwenda8 сағат бұрын
Daah pole sana kwa family 😢
@LabaniAkyoo4 сағат бұрын
Pole sana Baba,
@crismtete88374 сағат бұрын
Askari mpuuzi kutoa taarifa kwa njia hiyo. Hiyo ni kazi ya ndugu
@Shen_tz20 сағат бұрын
Innalillahiwainnailaihirojiun duuuh kifo jaman
@katherinasamwel393719 сағат бұрын
Duu pole Sana Baba kwa msiba mkubwa
@joycejackson23204 сағат бұрын
Mungu akufariji babaa
@FatmaMohammed-s3k9 сағат бұрын
Pole sana baba msiba mzito mungu atakuvusha Salama
@sophiakimaro517414 сағат бұрын
Jamani jamani!!unawezasema kwa nini alinunua lkn ni Mungu ndiye ajuaye.Poleni saana ndugu zangu
@AshaMwamba-m5x5 сағат бұрын
Poleniii sanaa jamaniiii.inaumaaa kweliiii
@SophiaKamgunda13 сағат бұрын
Poleni sana inauma sana ila tumkabidh M/Mungu
@BeathaSwai17 сағат бұрын
Polen sana baba Mungu akupe farajaa
@rukiyamohammed294516 сағат бұрын
Inauma sana japokuwa kazi ya mwenyezi mungu haina makosa.
@kanaelikanuya79199 сағат бұрын
Mungu akutie nguvu baba pole sana
@annamathias-t5g15 сағат бұрын
Pore sana baba mungu akupe ufumirifu
@vero5713 сағат бұрын
Dereva alikua amechokaa , poleni sana sana wafiwa
@makkawi429412 сағат бұрын
Subhannah Allah 🥹 ama kweli duniani sio kwetu sote tuna pita pole sana baba wawat😭😭😭😭
@AlexMkwama15 сағат бұрын
Pole sana Mzee. Pia hongera nyingi kwa Jeshi la police kwa UAMINIFU
@maureenlilykiwia151516 сағат бұрын
Poleni sana Familia Mungu awape faraja yake
@charlesmbise234416 сағат бұрын
Pole sana brother mbise kwa kupoteza mke na mtoto, safari ni moja
@GdFf-ik2eo16 сағат бұрын
Pole Sana Mzee kwa msiba
@fatumashabani912213 сағат бұрын
Pole sn kaka mungu akupe nguvu ya kusubiri
@SemeniPius-s9k11 сағат бұрын
Pole sana babangu mungu akupe moyo wa subira. Amemi.
@LeodigerBeda-o2p19 сағат бұрын
Pole sana baba mungu akutie nguvu
@adelinelyaruu303618 сағат бұрын
Amina
@AnnaUrio-x1b9 сағат бұрын
Pole sana Mungu akutie nguvu
@mercyemmanuel853615 сағат бұрын
Pole baba....
@OmariBwagizo9 сағат бұрын
Daah kiukwel ni mtihan sana yaan mama amepokea mafao mwenyewe ajipongeze na gari kumbe kifo ndio kinamuita jaman tuen makini sana na hii Dunia
@verowilly58225 сағат бұрын
tuombee hiv vyombo vya moto mungu atusaidie jmn..umepata furaha mara umauti tena dah
@SharonJovin-k5q12 сағат бұрын
Pole sana mzee wetu mungu akawe faraja kwako
@justinegabrielofficial32108 сағат бұрын
Mungu akutie nguvu mzes wangu 😢😢😢😢😢
@siwemamichael69018 сағат бұрын
dereva ni bonge la handsome
@abdalahngozi545518 сағат бұрын
Mwehu wee 😂😂😂
@salmamlokela198717 сағат бұрын
Sijui huna Akili gani
@amedeusfredrick161416 сағат бұрын
Umalaya
@IreneMsile4 сағат бұрын
Nikajua nimeona mimi peke yangu😢😢
@اسيف-ح6ط3 сағат бұрын
Pole
@marthaswai118514 сағат бұрын
Polisi uko vizuri.
@ammaaaar6 сағат бұрын
God bless you
@QueenGlory-f8e8 сағат бұрын
Mungu akutie nguvu jmn
@geofreybalyobalyo453810 сағат бұрын
sema Mungu bwana..kaona mzee abaki
@DanielMfinanga-t6z12 сағат бұрын
Pole sana mzee wangu mungu akutie nguvu
@CatherineLekule-l7z18 сағат бұрын
Basi za kampuni ya Ester,Burdan na KSK mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Tanga na pwani zinaitwa chinja chinja, zinaua watembea kwa miguu na bodaboda mno
@leokamil628411 сағат бұрын
Trafik alikimbilia kusema mwenye makosa ni gari ndogo kwa kulinda Esther maana ni bus la .....wakati shahidi anasema lile bus lingine lilipiga gari ndogo kwa nyuma kisha likaenda upande wa esther likawaburuza .ila trafik alisema ni hilo gari ndogo lililokuwa linaovertake kitu cha uongo kabisa wanatunga bila uhakika.
@DudddyWhyCant7 сағат бұрын
Ila kusema ukweli madereva wa mabasi wajeuri sana, hata mimi ni dereva, ukiwa uko mbele halafu basi liko nyuma yako, utaona anavyo kusogelea anakuwashia taa umpishe, hata pasipo stahili, yaani wanakuwa wana haraka sana, pia wanadharau magari madogo.
@leokamil62846 сағат бұрын
@DudddyWhyCant Ndio hata Malori
@DudddyWhyCant5 сағат бұрын
@@leokamil6284 hapana madereva wa malori wataarabu kidogo