Tazama kisanga cha mzee aliyetishia kumletea nyuki Mkuu wa Mkoa Dodoma

  Рет қаралды 120,742

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 жыл бұрын

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, kama ambavyo mzee huyu anayefahamika kama Shabani Nyambo aliyehamishwa eneo la Mzakwe jijini Dodoma miaka kadhaa iliyopita kupisha eneo la hifadhi ya bonde alvyoeleza namna ambavyo walifanya dua na kuleta nyuki zlizozinga waliotaka kubomoa nyumba yake pamoja na kuzuia miti kuota kwenye eneo hilo wakidai wapewe ardhi ili mambo yawe sawa.
ikumbukwe kuwa eneo hilo aliwahi kupanda miti Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa makamu wa Rais, huku Makamu wa sasa Dk Philip Mpango naye akienda mara kadhaa kufuatilia na kuelekeza ipatikane suluhu ya upandaji wa miti kwenye eneo hilo jambo lililopelekea mkuu wa mkoa wa Dodoma kwenda na wataalamu mbalimbali pamoja na Wadau ili kupata suluhu miti inayopandwa kwenye eneo hilo kukauka

Пікірлер: 111
@mako331
@mako331 Жыл бұрын
Nafikiri Mzee anachosema ni kwamba unapotenda haki hata Mungu wa mbinguni anafungua baraka zake, ni hesabu rahisi tu
@allymwaipopo3429
@allymwaipopo3429 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@sillasmsenga1414
@sillasmsenga1414 Жыл бұрын
Duh! Leo Serikali imepatikana 😁😁😁Toeni tuu huyo Kondoo Miti iote.
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Safi sana mzee umefanya kitu kizuri wamezidi dhulma viongozi wa kiafrica, asa kwenye upande wa Ardhi
@kenyamoja755
@kenyamoja755 Жыл бұрын
Nataka number ya huyu mzee
@ammaherman3391
@ammaherman3391 Жыл бұрын
Wazee kama hawa ni hazina kubwa sana. Cha ajabu vijana wanawakimbia huko vijijini kuja mjini badala ya kuomba kupata ujuzi ili kuokoa jamii zao. Safi sana mzee, wanyooshe siku nyingine wakija kuleta fujo wakute kuna bahari.
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@balozmussa9444
@balozmussa9444 Жыл бұрын
Nitapaje namba yake nin shida nae
@sulemanmndeme8961
@sulemanmndeme8961 Жыл бұрын
Nyie viongozi,jaribuni kutenda haki. Mzee anaelezea waliyotendewa. Badala ya kutafuta suluhisho na nani alihewadhulumu mnasema achia. Tena nami naomba Mungu asimamie hilo,miti isiote mpaka mtoe haki zao.
@stevenbupamba4161
@stevenbupamba4161 Жыл бұрын
Mzee mcheshi sana..Mungu ampe furaha na uzee mwema.
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын
Mzee amewapa live na liwalo liwe. Mzee we ni king 👑
@agustinocharles2650
@agustinocharles2650 Жыл бұрын
Mzee hajasoma lakini ana Elimu nyingne na wasomi hawaijui iyo Elimu nyingne
@eliasmmari1480
@eliasmmari1480 Жыл бұрын
muheshimiwa nakukubali sana mzee unaye busara sana......usiishie kuwa mkuu wa mkoa tu....
@cheleosymon1802
@cheleosymon1802 2 жыл бұрын
Serkal Iache Kudhurum.... Iman OG za Kiafrika/kikush ziko Makin sana...
@ghataligetama6369
@ghataligetama6369 Жыл бұрын
Safi sana mzee, nimekuelewa sana
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Safi Sana mzee, Nakuomba utuuliwe hawa mafisadi walioleta hizi tozo
@yusufurhobi9678
@yusufurhobi9678 Жыл бұрын
Safi Sana mzee ulionewa mungu akakutetea
@swaggzflavour8034
@swaggzflavour8034 Жыл бұрын
Mungu Nimwema Hamtupi Mjawake Serikal Achen Ubabe Kwa Mali Zawatu Mungu Anawaona
@issackakulyaudukwa7969
@issackakulyaudukwa7969 Жыл бұрын
Wanyoshe mzee hao wameota vitambi vya dhuluma sana
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
kweli mzee ukiomba dua Allah hakawii kuitikia ulichoomba
@balozmussa9444
@balozmussa9444 Жыл бұрын
Kabisa tena ukiwa umedhulimiwa
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Nimempenda babu
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 Жыл бұрын
Mzee endelee kuwatimulia nyuki iliwaaingie akili waache dhuruma
@jameskileo955
@jameskileo955 Жыл бұрын
Huyu mkuu wa Mkoa alikua mtu mzuri sanaa jamani tenaa alikua na busara mno
@abbymkombozi4382
@abbymkombozi4382 Жыл бұрын
Piga kisomo mzee Tozo ziondoke wanatutesa Hawa wanaoupiga mwingi,
@Zahrazahra-ue7bp
@Zahrazahra-ue7bp Жыл бұрын
Mzee 💯💯💯💯 tuma makombora eshima idumu wasitumie cheo kuzurumu watu wa chini
@kazikazini1042
@kazikazini1042 2 жыл бұрын
Haki hudaiwa kwa njia mbalimbali. Hapa ilichelewa na sasa imefika
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Walipeni jamani hao wazee mtapata madhambi dhulma.siyo nzuri
@abubakariyahya804
@abubakariyahya804 Жыл бұрын
Vzr sana
@MusaKolwa
@MusaKolwa 2 ай бұрын
😂😂😂Mzee wa wa mjini huyu nimemkubali hataki dhulma mwenyezimungu akujaakie kubri mzee ili wanao kudhulum unawapiga dua tu
@geriadmgoba1689
@geriadmgoba1689 Жыл бұрын
Du mzee noma karoga aridh isioteshe miti
@billmike8441
@billmike8441 Жыл бұрын
Ukisiliza maongezi Mzee shambani anaonekana msomi zaidi ya hao wanao muhoji
@Zahrazahra-ue7bp
@Zahrazahra-ue7bp Жыл бұрын
Mzee enderea kudumisha mira serikari imezoea kuzurumu mwananchi inatakiwa wakuripe aridhi na wakujengee kwasababu wamekukuta kwenye nyumbe
@sandalathobias5015
@sandalathobias5015 Жыл бұрын
Kwenye nyuki hakuna cha bunduki utaitupa tu nautapita jia ambayo huijui
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Mzee umesema ukweli ardhi siyo kitu cha kudhulumu mungu ametoa jibu kwa maombi yenu
@froma3732
@froma3732 Жыл бұрын
Watu watakasirika unamtaja Rais wanyoge vibaya ukweli usemwe tuu
@emmanyahubah2074
@emmanyahubah2074 Жыл бұрын
Mtaka wetu ! Huku Simiyu tumekumiss !!!
@majariwahabibu7319
@majariwahabibu7319 Жыл бұрын
mze, umenikumbusha, mbali, hata Mimi nizulumiwa, pampu, yakumwagilia, bustan, na. Mkuu. Wa wilaya. ila najuwa. Alla. Atanilipa. hata. Siku za. Mwisho
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 Жыл бұрын
hakika mzee dumisha mila. Mungu yupo kwaajili yetu
@balozmussa9444
@balozmussa9444 Жыл бұрын
Haswa wasizoe dhuluma
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Tatizo Ukweli Usio Na Shaka Watu Wengi Wanatamani Uyo Babu Awachanje Tambikeni Mizimu Ilisaidia Wakati Wa Ukombozi Wa Taifa Hata Mkombozi Wa Taifa Analijua Ilo
@isaacmollel345
@isaacmollel345 Жыл бұрын
Milioni kumi yakuanza maisha hapo mungu atabariki hiyo aridhi
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 Жыл бұрын
Hawa wazee noma jamani kama hamkuwasikiziza wanachosema hamfanikishi
@isaacmollel345
@isaacmollel345 Жыл бұрын
Wapeni aridhi yao familia ngapi hapana pakuishi wazee msikubali kuchinja mpewe aridhi nakujengewa pamoja miundo mbinu yote km shule zahanati maji barbara
@eunicewillie3566
@eunicewillie3566 Жыл бұрын
Leta hizo nyuki hapa Kenya tupatie mtu Fulani mwenye sitataja jina lake
@balozmussa9444
@balozmussa9444 Жыл бұрын
Sio nyuki tu na radi pia inafa kazi aache kudhulumu kenya wanapenda kudharau ila wakitafuta watapata tiba .
@faustadonasian2777
@faustadonasian2777 Жыл бұрын
Yaani serikali iangalie sana uongozi wa jiji la Dodoma. Waliokuwa CDA Dodoma na viongozi waliopo bado wananyanyasa sana watu. Kweli kama una nyuki unawaachia tuu waumwe
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
safi sna mzee
@mwakwelisaid3152
@mwakwelisaid3152 Жыл бұрын
Safi sana mzee wanyoroshe hao
@nkurunzizaachel1357
@nkurunzizaachel1357 Жыл бұрын
Huyu mzee ana sauti kama ya malehu Magufuli nimempenda saaaaana
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 6 ай бұрын
Huyu mzee namjua tunakaa nae sehemu Moja ni mEe mwenye busara sana ila mtata
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 2 жыл бұрын
Mzee kamuwa kuwapa ukweli serikali iwatowe sehem zao za kuishi bila kuwapa aridhi na kuwalipa hii ni dhuluma ni bora alivyo amuwa kuwa shitakia kwa m.Mungu yy ndie atakae waacha washidane nae
@damymzuri9989
@damymzuri9989 Жыл бұрын
Hayo mambo yapo , yataendelea kuwepo , kila kabila , kila sehemu na ukibisha utangukia pua , mlizeni nyerere anajua vzr babake alikuwa chifu walichofanya mkoloni kachia tz kwa hiari yake
@williamgideme2689
@williamgideme2689 Жыл бұрын
Hata Yesu alitoa sadaka kwa ibilisi ili aondoke kwa yule mtu aliyekuwa na kundi la pepo na kuwapa nguruwe.
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu Жыл бұрын
Mmmh we jamaa wacha urongooo
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
U jasir mnatoa wapi kubomoa nyumba za watu mbona roho mbaya haiishi
@adanado874
@adanado874 Жыл бұрын
Mpe mzee ardhi.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Viongozi wa Afrika roho mbaya na tamaa
@kanobayirelambert8400
@kanobayirelambert8400 Жыл бұрын
Duh!Mie napita kidogo
@nkurunzizaachel1357
@nkurunzizaachel1357 Жыл бұрын
Natamani kupewa hata namba ya huyu mzee kwakweli nigeweza kuongeya naye maaana kesho tutabaki kizazi hatuna hata ulidhi….wazungu japo kuwa waliyuleteya vitabu milazao hawakutupa kamwe .niulizeni mimi hapa
@ejfilm2118
@ejfilm2118 Жыл бұрын
😃😀😃😃wazee
@zuwanahemedy9170
@zuwanahemedy9170 Жыл бұрын
Mie naomba no ya Mzee shambani
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Kitambi hicho ni cha mshahara tu?
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Kiufupi baadhi ya viongozi wa Serikali wajitahidi kuwa waadilifu,maana kuchukua haki ya mtu ni kitu kibaya sana na ukizingatia kila mtu ktk Dunia hii anatalanta yake ,Sasa yanini kupata hasara kumbe jambo lenyewe ilikuwa ni kuwafidia haki Yao kama walivyofidiwa wananchi wa maeneo mengine wa Tanzania ,na Kuna kitu watu wengi hatujui manabii walitufundisha kuwa tuogope machizi na Dua ya mtu aliyedhulumiwa.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
NA NINYI SERIKALI NI WAOGA HIVI KWELI KIBABU ANAWACHANGANYA HADI MNAMLIPA KONDOO NA NG'OMBE? WALIPENI WATU HAKI ZAO! MSIDHUEUMU MTU YEYOTE AWE MCHAWI AU MWEMA WATENDEENI HAKI.
@beatrice3671
@beatrice3671 Жыл бұрын
Kimewakuta kitu 😄
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 7 ай бұрын
Mlipeni nyumba yake milioni 60 mzee amekasirika mlipeni amtafanikiwa miti kuota
@allymwaipopo3429
@allymwaipopo3429 Жыл бұрын
Kweli muwape aki zao
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Жыл бұрын
Fateni haki mmalizane na mzee
@majaliwa_tz5004
@majaliwa_tz5004 Жыл бұрын
Wazee Kama Hawa Ndio Tunaotaka
@ramadhanigoagoa6430
@ramadhanigoagoa6430 Жыл бұрын
Wanyooshe mzee usiwahurumie
@saadmbaraqa5272
@saadmbaraqa5272 Жыл бұрын
Ushirikina uwo
@husnaameen9309
@husnaameen9309 2 жыл бұрын
😃😃mkubwa hachutami mpeni haki yake hayatatokea
@ibrahimsuleiman1644
@ibrahimsuleiman1644 Жыл бұрын
Hikikizeesiokichawilakini?
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Жыл бұрын
Mzee anaongea Sana huyu
@kenyamoja755
@kenyamoja755 Жыл бұрын
Nataka number ya huyu babu mimi
@simongalahenga6858
@simongalahenga6858 Жыл бұрын
Sasa mwendelezo wake ukoje?mpaka sasa
@boazambokile2587
@boazambokile2587 Жыл бұрын
hahahhahahaaaa
@orastomapunda8559
@orastomapunda8559 2 жыл бұрын
Saf mzee
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Huyu mzee kaniacha hoi
@nowelaraymond5986
@nowelaraymond5986 Жыл бұрын
Huyo ni mzazi wenu jamani.
@inukauleunywe5717
@inukauleunywe5717 4 ай бұрын
Matambiko ni hasara
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 Жыл бұрын
Msizarau wazee mkiwa kwenyevyeo
@erickmasao6932
@erickmasao6932 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@avitusdamian3232
@avitusdamian3232 Жыл бұрын
That is a science
@samsonmpinge5269
@samsonmpinge5269 Жыл бұрын
V
@exaverykalinga1487
@exaverykalinga1487 2 жыл бұрын
Mummhh makubwa.
@ezekielkandonga9238
@ezekielkandonga9238 Жыл бұрын
Hii Serikali hiko kishenzi Sana,Mnatumia nguvu Sana kuliko Akili na Uzalendo Sijui Shetani gani bado anawakumba Viongozi wa Tanzania,You are educated but you are not helpful,Patriotism is Zero 100 percent. May you please wn you are looking for advantageous Position respect the Residents(Civilians) as well,we are all Tanzanians. Being a Leader does not mean to oppress others,Ukimfuatilia huyu mzee ana hekima Sana but ninyi Kila kitu ubabe tu Upuuzi Upuuzi tu na Marushwa,hacheni mambo ya kishetani😒
@naimgeo189
@naimgeo189 Жыл бұрын
3tw
@naimgeo189
@naimgeo189 Жыл бұрын
Ddd
@attunelson8828
@attunelson8828 Жыл бұрын
Magu aliwazulumu hawa wananchi,walitia huruma sana wawape ardhi.
@mazengolucas5205
@mazengolucas5205 Жыл бұрын
Sio magu, kilikua kipindi cha mwisho cha mkapa, na mwanzoni mwa kikwete
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 Жыл бұрын
@@mazengolucas5205 Sasa Magu mtetezi wa wanyonge alikuwa hajui udhalimu ulioenea kila idara ya serikali? Huko ardhi na mahakamani kama huna hela za kuwalishia wakubwa unanyang'anywa haki yako kimachomacho.
@isaacmollel345
@isaacmollel345 Жыл бұрын
Acheni ubishinserikali wasikilizeni wananchi
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Жыл бұрын
*Huyu mzee ndugu mtangazaji aishi Dodoma mahala Gani nataka nikamtembelee amjuwe mungu wakweli sio Huyu anayemuamini yeye akazuia maendeleo*
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
komaaaaa
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Sasaivi Viongozi Wa Dini Wameganda Kwenye Nyumba2 Za Ibada Kwasababu Binadamu Tumetoka Mbali
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Wapeni watu haki zao msiwafanyie watu hadaa fedha za serekali mnazila watu hamuwapi stahiki zao haifai hatutapata neema
@naftalimutahi5591
@naftalimutahi5591 Жыл бұрын
Siungi mkono kamwe kutoa kafara kwa miungu wegine hiyo ni laana . pili serkali musinyanyase wanachi ni laana kubwa pia. kwa jumla hayo ndiyo inaleetea Tanzania laana ama taifa lolote laana.saburi 1:1-5. Suluhisho : serikali msidhulumu wananchi wapeni haki Yao .na nyinyi wazee muache uchawi. Nyote serikali,wazee tumbunini dhambi zenu na miti itanawiri na Tanzania itabalikiwa na nchi yoyote pia kwa jina la bwana yesu Kristo. amen
@williamgideme2689
@williamgideme2689 Жыл бұрын
Wew hujui hizo nguvu zote siyo za shetani ila kama mambo yakifanywa kwa nia ovu. Watu wasipagawe tu na Yesu bila maarifa hata Yesu alikuwa mganga kuna uganga wa Mungu ( ukuhani) na wa shetani zote ni nguvu moja ya haki na nyingine ya uovu. Nani asiyejua uchawi umezungumzwe kwenye biblia na uganga pia?
@yousirsports7482
@yousirsports7482 Жыл бұрын
upo sahihi ila mi sielewi kitu inasemekana maandiko yanasema watu walikuwa wakikosea wanachinja na kuteketeza wanyama ndan ya moto ili kupata msamaha vip ilikuwa laana naje ibrahim alivyotaka kumchinja isumail kama kafara akaletewa kondoo na akachinja kama badala ya mtoto vip ilikuwa laaana shida ni maalifa ndio maana imeandikwa watu wang wanaangamia kwa kosa maarifa
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Kama wanaabudu mwenge wanashindwa vipi
@karyori69
@karyori69 2 жыл бұрын
Mzee anapiga "ramli chonganishi"! Hajui anajishitaki kwa serikali.
@omarimamboleo6990
@omarimamboleo6990 2 жыл бұрын
mzee hajishtaki ila.ameishitaki serekali kwa.mungu na mungu amemkubalia maombi yake hakuna ramli.chonganishi hapo? tuache imani potofu mungu yupo naanaitikia.maombi ya wanaodhulumiwa wewenukidhulumiwa na hauna.lakufanya utakimbilia wapi zaidi ya.kwa.mungu wako?
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 Жыл бұрын
Acha uoga
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Жыл бұрын
Miungu iko mengi sio Mungu akiyeziumba mbingu na nchi
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 Жыл бұрын
Dua ya mwenye kudhulumiwa haina pazia,,kwa iman na mafundsho ya kiislam,,, mzee yuko sawa
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Жыл бұрын
Watamfanya nini hao serikali
@Zahrazahra-ue7bp
@Zahrazahra-ue7bp Жыл бұрын
Mzeee kausha adi majani wao wanategemea kusoma kwao
@inukauleunywe5717
@inukauleunywe5717 4 ай бұрын
Matambiko ni hasara
WAZIRI BASHUNGWA Akabidhi Magari Mawili kwa Majenerali
16:11
Ulinzi Channel
Рет қаралды 74 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Ndugai: Kuna siku nchi itapigwa mnada
3:11
Mwananchi Digital
Рет қаралды 473 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН