Tazama Mapokezi ya Tundu Lissu/Wanachama Waimba "Rais"/Wananchi Wajitokeza Njiani

  Рет қаралды 59,117

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

4 жыл бұрын

Пікірлер: 115
@premierleagueswahili5853
@premierleagueswahili5853 4 жыл бұрын
Wabongo kwakujazana sumu😁😁😁😁ngoja october 28 utacheka haswaaa
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
😅😅😅wajumbe hao sio watu
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
@@neemakilomoni4258 cham la wahuni hilo ndg
@johnmatiko2596
@johnmatiko2596 4 жыл бұрын
Wajumbe hao 😂
@rubinabangili5924
@rubinabangili5924 4 жыл бұрын
Hao wajumbe kabisaaa
@emmapaul1766
@emmapaul1766 4 жыл бұрын
Jifariji tutawanyoosha tu machoko nyie
@alexmavindi2104
@alexmavindi2104 4 жыл бұрын
Duuhh hivi msiba upo kweli au ndo ushaisha maana watu wanaomboleza uwanja was Uhuru huku njiani wanapiga matarumbeta ya kelele za kumpokea lisu
@babalababalao983
@babalababalao983 4 жыл бұрын
Watanzania wanafiki mno wanaweza kukupaka mafuta kutumia mgongo wa chupa
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Hapana kuogopeshana,acheni kuwawekea maneno midomoni.sema weww mnafiki na si watz..
@user-cx9es4yj7q
@user-cx9es4yj7q 4 жыл бұрын
we ndo mnafki sio kila mtu
@MalegesiMakunja
@MalegesiMakunja 4 жыл бұрын
Wananchi hawataki maelekezo msiba wa Taifa umehamia Uwanja wa Ndege
@kisasarob751
@kisasarob751 4 жыл бұрын
Wajumbe kama wajumbe kama kawaida yao....wasubirie katk kura ssa
@premierleagueswahili5853
@premierleagueswahili5853 4 жыл бұрын
Umeniwahi yaan
@riderwadil8977
@riderwadil8977 4 жыл бұрын
Tunduu mwenye lisuu zake.. 💪💪💪
@hamisichristopher4250
@hamisichristopher4250 4 жыл бұрын
Wajumbe kama wajumbe!!!
@khamisiiddi9321
@khamisiiddi9321 4 жыл бұрын
Karibu nyumbani kamanda tupo pamoja ✌️✌️
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
Aah mjumbee 😂😂😂
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Asante Mungu wetu wa mbinguni kwa kumponya Tundu Lissu umemkinga na mauti iliyokuwa imeandaliwa dhidi yake umeweza kumrudisha salama ktk nchi yake ya Tanzania.Ila kwenye Urais hautapata kabs Rais wetu ni Magufuri.Magufuri baba lao.
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Tumbo joto
@paulamani3936
@paulamani3936 4 жыл бұрын
Kwa upande wangu siyo kwa ushabiki wa kichama, nimefurahia jambo hili Lisu alistahili kufarijiwa hakustahili kushambuliwa kwa namna ile
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 4 жыл бұрын
Fact hii
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
Peoples president
@temkezatv4381
@temkezatv4381 4 жыл бұрын
"Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
@babalababalao983
@babalababalao983 4 жыл бұрын
Aisee umeongea pwenti mno umetisha mag mbele kwa mbele
@mariamdaudi2315
@mariamdaudi2315 4 жыл бұрын
Magu namba moja
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 4 жыл бұрын
Tundu Lissu for President 2020
@godfreythomas3931
@godfreythomas3931 4 жыл бұрын
Siasa cio uadui
@michaelevarist5518
@michaelevarist5518 4 жыл бұрын
Wajumbeee nawaonaaa sio watu wazuriiiii
@emmanueljoseph3292
@emmanueljoseph3292 4 жыл бұрын
Watanzania kwel unafik upo ila Mungu ambaye anaangalia tofauti na mioyo ya wanadamu majibu yako hayawez kukusudiwa kwa fikra isiyo pevuka sitakuja kuwa mnafiki mbele Za Mungu na kwa watu .nchi Ina amani na Mungu ameshatupa mtu sahihi tangu 2015.sion mwingine
@margaretfestokessy7470
@margaretfestokessy7470 4 жыл бұрын
HAKIKA YESU KRISTO UMESHINDA MAUTI, KWA KUPIGWA KWAKO YESU LISSU AMEPONA! MAOMBI YANGU MAPENZI /MAKUSUDI YA MUNGU YATIMIE DUNIANI
@hamzahassan273
@hamzahassan273 4 жыл бұрын
Usimtaje yesu au mungu kwenye siasa hizi za kinafk ndugu
@margaretfestokessy7470
@margaretfestokessy7470 4 жыл бұрын
@@hamzahassan273 YESU/MUNGU NI MSIMAMIZI WA KILA KITU KIZURI DUNIANI. MABAYA YANATOKA KWA SHETANI
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Ameeen
@paulamani3936
@paulamani3936 4 жыл бұрын
Uhai wa mtu ni zaidi ya kura, mambo ya kura ni baadae kwa sasa rais wa Tanzania tunamjua mimi hata siwazi mambo ya kura namshukuru Mungu kwa kutunza uhai wake
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Ubarikiwe
@lordsmenas3267
@lordsmenas3267 4 жыл бұрын
Any way Hongeren Kwa Kujifariji
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 4 жыл бұрын
Hamna watu wabaya Kama Wajumbe wanakupigia kelele ukiamini una watu wengi Ila kwnye kura unakuta wale 100 wanakupigia 10 Hv ndivyo walivyo kwa ss watanzania....
@makindyeboy3624
@makindyeboy3624 4 жыл бұрын
Chadema wanafki tunaomboleza wao wanashangilia, hata aibu hawana eti corona mbona hawajavaa barakowa , hahaaaaa
@karimmkejina980
@karimmkejina980 4 жыл бұрын
Aliekufa amekufa2 ila lisu bado yupo hai nae ana haki zake kwa watu wake!
@cawiseancestors7107
@cawiseancestors7107 4 жыл бұрын
🔥🔥✌
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 жыл бұрын
Swali jingine kwa chadema hua bado mnasema kuna corona barakoa zenu ziko wapi social distance mnayoisemaga iko wapi?? Au hua mnataka kuziona kwa ccm tuu
@mao9622
@mao9622 4 жыл бұрын
Wote wameamini Tz hakuna korona
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 жыл бұрын
Hao wote walioenda kupokea lissu ni majuha . Wakapimwe akili kwanza. . Eti rais . Labda rais wa jinsia moja. Rais anajulikana jpm peke yake wengine wanafuata upepo.
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Tumbo joto
@onlyonetztv610
@onlyonetztv610 4 жыл бұрын
Hamna zaidi ya Magufuliiiiiiii
@Jimmymanasseh_Official
@Jimmymanasseh_Official 4 жыл бұрын
Hiii yenyewe
@josej9888
@josej9888 4 жыл бұрын
Mwamba!🔥
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Haki huinua taifa.Mithali 14:34
@mariamm2724
@mariamm2724 4 жыл бұрын
Nashangaa sana , kuona hivo na huu msiba sijui mpo dunia ya ngapi .
@iutv2469
@iutv2469 4 жыл бұрын
Subirini wajumbe muda wao ufike lisu atashangaa sana. Wajumbe siyo watu!
@zkiduku4068
@zkiduku4068 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@edgarmbehikya8150
@edgarmbehikya8150 4 жыл бұрын
Hii nchi mkombozi ni mmoja tu. Magufuli. Hakuna mwingine
@babalababalao983
@babalababalao983 4 жыл бұрын
Safi magufuli ndie kila kitu kafanya makubwa kwanza hana maneno mengi yeye ni bitendo tu baba magu kaza mpaka wanye
@khadijatonge3636
@khadijatonge3636 4 жыл бұрын
Magufuli ndio mkomboz WA Nchi ye2
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Tumbo joto
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
@@babalababalao983 tumbo joto
@shadowhatory154
@shadowhatory154 4 жыл бұрын
Hapa Magufuli tuu💪💪💪💪 Maneno ya kasuku tumuachie Tundu Lisu🤔🤔
@ramahfundy7308
@ramahfundy7308 4 жыл бұрын
Tunampend kupita maelezo
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 жыл бұрын
Ignorence is a bliss
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Tumbo joto
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 4 жыл бұрын
coming home,,,,, (noooo)
@talibsaid8081
@talibsaid8081 4 жыл бұрын
Mzungusheni Dar aione kabla hajaanza kusema uongo
@salmaramadhan5386
@salmaramadhan5386 4 жыл бұрын
Umeona eeee🤣
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
😂😂😂
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
Na ubungo apite mshenzi huyu
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Risasi ndo sera yake!JPM ni mavituzi! Kazi ipi ndani chadema😂😂 huyu risasi,huku jonfaru😂😂😂
@patrickherman1906
@patrickherman1906 4 жыл бұрын
Hahahaaaaaa
@SmartBrainTv2020
@SmartBrainTv2020 4 жыл бұрын
Ni nouma
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 4 жыл бұрын
Haya mambo tuliyashuhudia 1995.Hope karne hii tutaona MABADIRIKO YA KWELI NA HILI NENO RAISI RAISI RAISI.
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
Aaah wapi wajumbe hao tu sio watu Magufuli ndio raisi wa Tanzania 🇹🇿
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Ameen
@yusuphntegakaje5667
@yusuphntegakaje5667 4 жыл бұрын
Baba njoo utuongelee wanachuo tunateseka na mambo yanayoendelea
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Uko madrsa gani?
@majaliwajohn7319
@majaliwajohn7319 4 жыл бұрын
Lisu umekusanya kijiji
@scayroad8500
@scayroad8500 4 жыл бұрын
RAIC WA WAPI HUYO AU WA JINSIA MOJA?
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
Hahhaahhaahahah
@mariamdaudi2315
@mariamdaudi2315 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@mussabulugu6319
@mussabulugu6319 4 жыл бұрын
Urais wa jamhuri ya muungano wa tz atauckia tu kwenye magazet .hawez kupambana na jpm .alikuwa anaichafua nchi yetu mbona na yeye karudi humuhum alijua akiichafua nchi atakaa huko milele .wazungu cyo ndugu zako nao wanamatatzo yao
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 жыл бұрын
Had kiziz kitolewe ndio Chama kingine kitaingia madarakan LA sivyo mmmmmm!!!
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
Watanzania lazima tubadili mindset zetu. CCM na Jeshi la Polisi Tanzania ndilo mara kadhaa limekua linasababisha vurugu kwa kuwapiga Watanzania wa vyama vya upinzani bila sababu. Watanzania wa ndani na nje niambieni kumpokea Tundu Lisu leo mumeona vurugu gani haswa. Kwanza viongozi wa CHADEMA wao wenyewe ndio walikuwa wanawaongoza wanachama na wafuasi wao bila shida na kwa bahati nzuri Watanzania ni waelewa na wasikivu sana. Tatizo kubwa sana kwa CCM ni kwamba wanayo matumizi mabaya sana ya fedha za Serekali hivyo hawapendi watu wakihoji. Tanzania ukihoji Serekali ya chama cha CCM iliyopo madarakani maisha yako yanakua hatarini. Mimi naweza kusema kufanya Siasa za Tanzania unatakiwa uwe na roho ngumu sana. Kiukweli MBOWE ni jabari na jasiri sana na ndio maana CHADEMA kipo hadi leo. Baadhi ya vyama wameingiwa hofu mpaka wanaunga mkono juhudi za CCM kwa kutokuweka wagombea kwenye Urais. Hii si kwa sababu hawana wagombea lakini ni kwa kuwa wamengiwa na hofu ya kwenda gerezani kila unapokuwa mpinzani wa CCM. Kila chama cha CCM kinapochukua wabunge wa upinzani na hasa wa CHADEMA wanafikiri utakuwa ndio mwisho wa chama hicho kumbe ndio kwanza kunajitokeza vijana wapya wa kukiimarisha chama. CHADEMA kiukweli ndicho chama pekee cha upinzani Tanzania ambacho kina viongozi na wanachama wasiotetereka. Mimi nawashauri vyama vingine vya Siasa Tanzania viige juhudi za viongozi na wanachama wa CHADEMA. Vinginevyo nawashauri waunganishe vyama vyao wakati wa uchaguzi waweke mgombea mmoja tu apeperushe bendera ya upinzani na wanachama wahakikishe wamejiandikisha sio kuwa washabiki tu wa kusindikiza misafara. CCM mda wake umepita na ndio maana wanatumia nguvu kubwa sana kwenye mikutano na kampeni zao kuwashawishi Watanzania kuwachagua kwa kuwapa nguo bure na kuwatumia wasanii maarufu kwenye majukwaa. Hata sielewi kwa biashara zao wanazofanya CCM wanatoa wapi fedha za kununua nguo za kugawa bure nchi nzima na za kulipa wasanii wasindikize mikutano yao hasa wakati wa Kampeni. Kuna wasi wasi mkubwa sana kuwa kodi za Watanzania wakiwemo wa vyama vya upinzani zinatumiwa vibaya na CCM kwenye maandalizi ya kila uchaguzi nchii Tanzania kwa sababu Rais wa nchi hiyo ni Mwenyekiti wa CCM. Dunia nzima imewasamehe wafanya biashara kodi kipindi hikicha COVID19 lakini Tanzania wafanya biashara wanaandamwa sana na kodi. Kuna baadhi ya nchi Duniani zimewapatia wafanya biashara mikopo na fedha za kujikimu. Tanzania hizo ni ndoto za alinacha. Utakuta Sekta kama ya Utalii hawajafanya kazi toka December mwaka jana lakini bado Serekali inawaandama kwa kodi. Watanzania jaribuni kubadilika mnashidwa kujitambua na nchi ndogo kama Malawi. Ukipita mitaani watu wanalia shida kila pahali lakini kuchukua maamuzi magumu kwa Watanzania labda mpaka waombewe. Waoga sana wa kufanya mabadiliko.
@rubinabangili5924
@rubinabangili5924 4 жыл бұрын
Wewe hayakuhusu tuache na Tanzania 🇹🇿 yetu unajua Nini wewe au unataka Kila kitu kiwekwe mitandaoni koma kabisa .mdomo mpana Kama chai jaba nyambafu
@chrissmkumbo2167
@chrissmkumbo2167 4 жыл бұрын
Hiv kumbe wapo wanaompiga magufuli duhhh
@karimmkejina980
@karimmkejina980 4 жыл бұрын
Tatizo sio magufuli Babu CCM ndio imetoka kwenye mioyo ya watu akiondka magu wanarudi kulekule wale kwenye ufisadi wao
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
October ndo mtajua J PM ni nani!
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
No retreat no fear
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
Mimi ni MLUTHERI na wala sitetereki wala kuhofia kitu. Lakini tunavyoendeshwa na hii serikali chafu ya kiBaguzi ya ccm ni UONEVU mkubwa wa haki za raia. Serikali ya ccm ya KIKATOLIKI ndio iliochukua Utawala baada tu ya uhuru ( uhuru wa bendera ) hadi ivi sasa ccm ya KIKATOLIKI wanaendelea kutawala inchi. Hakukuwepo wala musitegemee kuwepo na Raisi kutoka dhehebu jengine inchini Tanzania. Ata hao waislamu ni mizuzu tu isiojitambua hadi Leo hii. Wengi ndio waliopigania uhuru. Wengi ndio waliouwawa kwenye mapambano. Lakini wengi wao ivi sasa wanatumika kwa ajili ya KURA. idadi yao ni kubwa kwenye visanduku. Kwavile wanajulikana ni Maboya tu. Akili hakuna na Elimu hakuna. Tunaelewa agenda ya serikali ya ccm tokea ianzishwe ni KUWAWEKA WAKATOLIKI INCHINI NAFASI ZA JUU KATIKA KILA MAENEO. JESHINI. POLISH. MAGEREZA. WIZARANI.IDARANI. VYUONI. MAENEO NYETI YA IKULU . MAENEO NYETI YA UCHUMI. MAENEO NYETI YA MIHELA . Uyo aliefariki tunamjua ni mtu aliekuwa akiendeleza na kusimamia AGENDA na MAAZIMIO ya Mzee kambarage. Hatushangazwi kuona mazishi yake yakigarimu maBilioni ya hela za inchi katika kipindi ichi kigumu cha UCHUMI . Embu tusubiri mazishi ya Mzee ruhsa watamfanyia nini ^^^ ccm ni chama cha WAKATOLIKI ..kimeasisiwa kwa malengo malumu. Wapumbavu na Wajinga wataendelea tu kukipigia kura ili wapate kofia na sh 20, 000 .huku wakiendelea kula dagaa wakavu na sembe. Nguo zao viraka vitupu. Elimu kwao inaishia darasa la saba. Ili awe tu mjinga Asione mbele. Hakuna MLUTHERI aliepo ccm ila atakuwa zezeta hilo. Lk
@charlescosmas7823
@charlescosmas7823 4 жыл бұрын
Pumba kabisa
@sememakolo9360
@sememakolo9360 4 жыл бұрын
Tulikuwa unakuja na mme wAko umekuja peke yako
@lucaskasonde648
@lucaskasonde648 4 жыл бұрын
Jembe limerudi kulima
@michaelmashamba3674
@michaelmashamba3674 4 жыл бұрын
Makn
@mwinjanavil
@mwinjanavil 4 жыл бұрын
eti bila akili mnamuita raisi.. ivi raisi gani anaezunguka kwny vyombo vya habari vya ulaya kuisema vibaya nchi yake? asubiri hukumu ya kesi yake maana waliomuwekea dhamana mpk leo hawajatoka kw ajili ya kumuwekea dhamana mtu asiydhaminika
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Tumbo joto
@msafiriamani5748
@msafiriamani5748 4 жыл бұрын
Mavi yanagonga chupi
@kizinja7873
@kizinja7873 4 жыл бұрын
miujiza ya mungu yani wenye afya wanakufa lkn aliepigwa risasi kibao anadunda kama chuma jembe kama jembe tundu kama tundu nikikuchagua kua raisi wangu wala sio zambi na wala cjavunja sheria na katiba ya nchi
@yusufuvea5311
@yusufuvea5311 4 жыл бұрын
Kawaida sana
@husnasalim5739
@husnasalim5739 4 жыл бұрын
Baaadae watalalamika wameibiwa kula wakati ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi ao ni washangiliaji tu na sio wapiga kula Utashangaa wajumbe wanavyokuangusha
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Tunajua matumbo joto
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 4 жыл бұрын
Acheni kufanywa kama misukule nyie .munatumiliwa to au mumerogwa .kujielewa muhimu kweli. Mana angekuwa MAGUFULI powa mana amefanya tanzania mpya majumba ya kisasa na mji wa kisasa
@mariamdaudi2315
@mariamdaudi2315 4 жыл бұрын
Kunawatanzania hawajielewi baathi
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Tumbo joto
@martinejoseph6098
@martinejoseph6098 4 жыл бұрын
Wajumbe hao😂😂😂
@amanbarack2784
@amanbarack2784 4 жыл бұрын
hahaaaa😂😂😂
@isaachayes9783
@isaachayes9783 4 жыл бұрын
Raisi hamna zaidi ya Magu, Huyu ni wa mabeberu ndio maana Anatokea huko kwao
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Tumbo joto
@naimaabdul142
@naimaabdul142 4 жыл бұрын
Akili ni mali
@mariamdaudi2315
@mariamdaudi2315 4 жыл бұрын
Kila mtu anazakwake
@mrh2812
@mrh2812 4 жыл бұрын
kwani anagombea ubunge au???
@patrickherman1906
@patrickherman1906 4 жыл бұрын
Hahahaaaa
@meshackkwigize9848
@meshackkwigize9848 4 жыл бұрын
Tumbo joto
@mao9622
@mao9622 4 жыл бұрын
Halafu watasema hakuna demokrasia.Nyoo
@denismassawe9255
@denismassawe9255 4 жыл бұрын
Hapa ingekua ni magifuli wangesema social distance hakuna ila kwa wao ni sawa tu
@johnvenus7507
@johnvenus7507 4 жыл бұрын
Waangalie vizuli asije kuwa mzimu
@salmaramadhan5386
@salmaramadhan5386 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
Harris slams Trump at her first presidential rally
17:25
BAADA YA MATOKEO SUGU AFUNGUKA YAKE || MSIGWA NAE ASEMA YAKE
5:47
Mwananchi Digital
Рет қаралды 18 М.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
Di Balik Ambisi Jokowi dalam IKN | Narasi Explains
16:08
Narasi Newsroom
Рет қаралды 582 М.
Proteste gegen Massentourismus: Warum die Wut der Einheimischen wächst
11:34
ZDFheute Nachrichten
Рет қаралды 913 М.
Kamala Harris speaks at Delaware election headquarters: FULL SPEECH
18:59
FOX 4 Dallas-Fort Worth
Рет қаралды 687 М.
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 42 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 407 М.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН