Nawapongeza mhe. DC na wazee wote wa Ngara kwa kudumisha amani upendo mshiikamano na udugu wetu wanangara na Tanzania . Kamwe uchu wa madaraka usitugawe . Koo zote za Ngara tudumishe upendo na mshikamano daima na viongozi tujisahihishe pale tulipokosea. Mungu ibariki Ngara na Tanzania Amani daima
@tithophilemon87696 ай бұрын
Mheshimiwa DC kongore sana kwake aisee. Mungu azidi kumlinda kwaajili ya Ngara. Ninakupenda sana
@CharlesCaptain-tp2tg6 ай бұрын
Nice job
@syliakusprimu80586 ай бұрын
Siasa za Ngara ni ngumu sana 😂🙌
@rashsport29306 ай бұрын
Nipo live hapa namfuatilia MH DC kiukweli ameongea mambo ya msingi sana