Jamani ndugu zangu Watanzania, naomba mtuangalie juu ya suala la mkopo ukweli maisha magumu naomba mnisaidie sina maisha yakufanya niendelee na ngazi hii Tena ya elimu. Sababu kubwa Sana sikuwa mnufaika kabisa wa mkopo na maisha kweli ni magumu upande familia yangu kwa ujumla naomba umma inisaidie jamani ninateseka Sana Sana.. asante by ELISHA HEZRON STEPHANO Niko chuo kikuu Cha Mtakatifu Augustini Mwaza, msaada wenu ndio maendeleo yangu ya elimu kwa ngazi hii.
@EdgarKakuru-vv1lc Жыл бұрын
Mh Tulia unaelewa jamani Mungu akubariki
@EdgarKakuru-vv1lc Жыл бұрын
Naomba nisaidiwe niweze kupata mkopo Ili niweze kusoma
@ElisifaYeremia Жыл бұрын
Jaman serikali ituangalie kwa jicho la pili maana tunateseka sana maana hatuna mikopo. 3:44
@ElisifaYeremia Жыл бұрын
Jaman wazazi wengine hawawezi kulipa ada kwahiyo serikali itusaidie
@EdgarKakuru-vv1lc Жыл бұрын
Naibu waziri upo bungeni kitutetea usiseme uongo. Ni kweli tuliosomea private school hatujapewa mikopo
@EdgarKakuru-vv1lc Жыл бұрын
Naibu waziri tunalala njaa nimekosa mkopo japo kuwa nimeappeal
@EdgarKakuru-vv1lc Жыл бұрын
Mimi nina ulemavu wa macho na sijapata mkopo jamani
@GeraidinaJonathan Жыл бұрын
Sasa tuyaamishe mawazo yawekwe kwenye utekelezaji yaasiishie hapo ikawa.