Tazama Mwili wa Hayati J.K Nyerere Ulivyoingizwa Kanisa Kuu la Mt. Yosefu Ukisindikizwa na Maaskofu

  Рет қаралды 181,706

Jugo Media

Jugo Media

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@ndelishomoshi8489
@ndelishomoshi8489 2 жыл бұрын
Baba wa Taifa aliagwa kwa Heshma sana. Mungu ampe pumnziko la milele
@mdl6463
@mdl6463 2 жыл бұрын
Daaaah nenda kwa amani Huku tuko vizuri ulituacha salama hatujawahi hata kukunjiana ngumi huku
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Mungu awalz mahal pema Maraisi wetu wote Waliotangulia Amina
@barikibenson4678
@barikibenson4678 3 жыл бұрын
Maisha ni hadithi Duniani. IPO siku bayana litakuwa wazi, Mungu tuongeze maarifa🙏
@shuubenpeter4769
@shuubenpeter4769 2 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@deogratiusisaya1094
@deogratiusisaya1094 3 жыл бұрын
Kristo, Huu wimbo Wa mwanzo waliimba watanzania kweli
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 3 жыл бұрын
Ndiyo waliimba watanzania. Ni lugha ya kilatini ambayo ni lugha rasmi ya kanisa katoliki. Ila kwa Sasa ni watanzania wachache wanaoweza kuelewa kilatini. Hususani watu wazima.
@renatusmatungwa6506
@renatusmatungwa6506 3 жыл бұрын
Kilatini hicho
@josephkayugumya83
@josephkayugumya83 3 жыл бұрын
Always legend never die.Amain.
@mariamasia3341
@mariamasia3341 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba wa Taifa letu😭
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 3 жыл бұрын
Historia... Iliandikwa
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba yetu.
@fredleonardo739
@fredleonardo739 3 жыл бұрын
R.I.P baba wa Taifa .R.I.p karume R.i.p Dady MAGUFULI
@emmanuelmsafiri4485
@emmanuelmsafiri4485 3 жыл бұрын
Vip mkapa
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 3 жыл бұрын
@@emmanuelmsafiri4485 amemsahau
@andreaa.nyundo8333
@andreaa.nyundo8333 3 жыл бұрын
Kristo,huu wimbo wa kilatini wa mwanzo unaitwaje ndugu,
@StereoSingasinga
@StereoSingasinga 3 жыл бұрын
Unaitwa Requiem Aeternam.
@chrishara1590
@chrishara1590 3 жыл бұрын
Requiem aeternam = Rest in eternal peace.
@andreaa.nyundo8333
@andreaa.nyundo8333 3 жыл бұрын
@@StereoSingasinga nashukuru ndugu
@andreaa.nyundo8333
@andreaa.nyundo8333 3 жыл бұрын
@@chrishara1590 asante sana sasa nimeupata
@machiavelshakur8939
@machiavelshakur8939 3 жыл бұрын
Ki italiano
@chrismbut4990
@chrismbut4990 3 жыл бұрын
Endeleen kutuletea kumbukumbu hizi kwan vijana waliozaliwa miaka ya 2000 hawajui chote kuhusu nyelele hata kama waliokuwepo ni ni wachache walio fuatilia matangazo ya moja kwa moja sababu tv na na mitandao ya kijamii haikupo,tv wache sana waliokuwa nazo hususani vijijini wengi walifuatilia redioni .
@aishaanthony4508
@aishaanthony4508 2 жыл бұрын
Hata mm nilikuwa bd sana nilikuwa dara la nne nikasikiya raisi watazania kafariki ndonikawa najiuliza raisi donn jamani
@tinnyboy979
@tinnyboy979 2 жыл бұрын
Tutakukumbu daima
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 3 жыл бұрын
R.i.p baba wa taifa R.i.p karume R.i.p mkapa R.i p magufuli
@silverrichard2975
@silverrichard2975 3 жыл бұрын
enzi hizo nina miaka 12 tu R.i.p Nyerere,mkapa na Magufuri
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Mm enzi hizo ninamiaaka 10 R.i.p Marais wetu wote mliotangulia mbele za haki Mungu awapunzishe kwaAmani🙏🏻
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 3 жыл бұрын
Mnatukumbusha majonzi dah r.i.p baba yetu
@florameza9529
@florameza9529 3 жыл бұрын
Hakika alikuwa baba wa Taifa nililia mimi wenye busara wanaondoka Mungu tusaidie
@michaelmgaya5191
@michaelmgaya5191 2 жыл бұрын
Da kumbukumbu nzur xana
@mwalukojohnjohn6467
@mwalukojohnjohn6467 2 жыл бұрын
Pumzika kwaaman shujaa wetu mwalima nyerere
@jameseliasi7984
@jameseliasi7984 2 жыл бұрын
Rest in peace baba wa taifa
@ZawadiMwaituka
@ZawadiMwaituka Ай бұрын
Mungu amlaze pahara pema Amina😂😂
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 3 жыл бұрын
Yes
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 2 жыл бұрын
Baba wataifa iombeee nchi yetu leo hii inaongozwa vibaya mno
@evancetilya5140
@evancetilya5140 3 жыл бұрын
Apumzike kwa amani
@kibwekibwe6478
@kibwekibwe6478 3 жыл бұрын
La’natullah Nyerere
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 2 жыл бұрын
Kwann Unasema hvo naww
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 2 жыл бұрын
Huna haki ya kusema hvo Allah ndie muhukumu
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 2 жыл бұрын
Mwaka 1999 Nipo Darasa la 3
@bboyclassictz4097
@bboyclassictz4097 2 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani baba wa taifa letu la Tanzania
@majigeelieza6222
@majigeelieza6222 2 жыл бұрын
Rip hakika kila nafsi itaonja umauti
@omanphone3455
@omanphone3455 2 жыл бұрын
Daaaaah 1999 ninamiaka 3
@mohammedally5185
@mohammedally5185 3 жыл бұрын
Mb zangu zimeenda kialali kabisa.. Izi ndio crip za kuangalia.
@mwlsimonitvchannel1577
@mwlsimonitvchannel1577 Жыл бұрын
hakika mazishi yalikua ya heshima
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Rest in peace the first icon in Africa and world
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Dunia mapito, sababisheni vifo kwa wenzenu mkidhani hamtakufa
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Tusihukumu japo vyauma
@jainevangogo1373
@jainevangogo1373 2 жыл бұрын
Wale wa vizazi vya 2000 tunacoment wap
@JugoMedia
@JugoMedia 2 жыл бұрын
Ahhahaha hapa hapa tu tutawapokea
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 2 жыл бұрын
Umeona eeeh. 😁😂
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 2 жыл бұрын
Nlikuwa na miaka 7 Pekee ila nakumbuka yote kuanzia alivyoukuwa anaumwa tunahabarishwa mpaka anakufa,Video ya msiba nilishuhudia mwaka 2000 ikiwa imerekodiwa kwenye tape video
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 3 жыл бұрын
Lana ya mungu ikuinamiye huko uliko
@farajagordon4724
@farajagordon4724 3 жыл бұрын
Wewe ninani hadi utoe laana?
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 3 жыл бұрын
@@farajagordon4724 huyo ni pepo faraja....ashindwe na alegee!!!
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 3 жыл бұрын
Ulaniwe wewe unayeabudu madhetani msikitini.
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 3 жыл бұрын
@@sarafinafranci8481 nyoo umeyaona hayo mashetani msikitini ulaniwe wewe unayelipigia magoti sanamu la mmarekani kanisani unamfanya mungu usiye na akili
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 жыл бұрын
sabiha...Mungu si Mwanadamu.. Wala hawezi amrishwa na Mwanadamu kiumbe wake... Tusifikiriane na kutakiana mabaya... Dini Ni upendo... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 3 жыл бұрын
Sote ni kwamba tutarejea kwake tu
@sahiltvontheline5560
@sahiltvontheline5560 2 жыл бұрын
Aloooooo izi clip umezitolea wap
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@christopherleroy4759
@christopherleroy4759 3 жыл бұрын
Kila jambo ni ubatili, Muhubiri anasema
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Mmmmmh kvp
@schorasticaldeus5443
@schorasticaldeus5443 2 жыл бұрын
Imeniuma sana nyelele magufuri na mkapa mungu pokea hawa wanao
@edwardwangombe2358
@edwardwangombe2358 3 жыл бұрын
Very old vedios
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄Long time 💦😭
@yohanachiristopher3087
@yohanachiristopher3087 2 жыл бұрын
Nina miaka mitatu tu daaaah nyerere+magufuri mmmh inatosha hamkupasa kutukimbia mapema nitawaenzi kivyovyote vile eee mwenyezi mungu nisaidie
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 131 МЛН
Kardinali Rugambwa ndani ya Dayosisi ya Karagwe. Ateta na Ask. Bagonza.
24:28
ELCT-Karagwe Diocese
Рет қаралды 35 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
HOZANA N'ELU KACHA ELU -  Conducted by +Godfrey Igwebuike ONAH
11:11
+Godfrey I. Onah
Рет қаралды 470 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26