Hongereni sana. Bwana Mungu aendelee kuwabaribariki na kuwaongoza daima katika mahusiano yenu ya kindugu na Kiimani.
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@FRWPresscom Amen 🙏
@maprosokelly29863 ай бұрын
Sasa ushirikiano kama huu utatupa matumaini wakristo wengi san ikiwemo mimi pongezi keen👍👍
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@maprosokelly2986 Amen 🙏
@ibanzatvonline3 ай бұрын
Hongereni sana ELCT KARAGWE Media kwa huu Uinjilishaji.Ni jambo jema sana undugu kama huu
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@ibanzatvonline Amen 🙏
@EfesoSichinsambwe3 ай бұрын
Askofu Lugambwa you are very humble. May God exalt you always
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@EfesoSichinsambwe Amen 🙏
@margarethhovokela24123 ай бұрын
Kwa kweli Mungu wetu ni Mmoja na anapenda tuwe pamoja katika kazi ya Mungu.
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@margarethhovokela2412 Hakika
@tegemeakyangenyenka61113 ай бұрын
Huu ni mfano wa kuigwa hongereni sana wana Karagwe, mh kardinary Mungu akuzidishie upendo
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
Amen
@godlovechagulilo69323 ай бұрын
Ecumenical gathering; may we stay in Unity just as Our Lord Jesus Christ pleased!
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@godlovechagulilo6932 Amen 🙏
@JohnBosco-d3g3 ай бұрын
Really,,,,, It is wonderful, with God's Love his people have no boundaries so 💋💋💋
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@JohnBosco-d3g Thank you
@SilveryMasaluАй бұрын
Mungu wa mbinguni uibariki Diocese ya Karagwe, umbariki baba yetu Dr Bagonza, umbariki baba yetu Rugambwa na uibariki Kagera yote kwa ujumla, aamina
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
🙏
@begumisachristopher46973 ай бұрын
Ni ziara ya baraka sana Kanisa la Mungu linahitaji Ushuhuda wa Jinsi hii.
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@begumisachristopher4697 Amen
@MWANDAMIZI3 ай бұрын
Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa. Hongera sana Baba askofu Kardinali Rugambwa na Baba Askofu Bagonza. Huu ndio Ukristo na nyie ndo mfano wa maisha ya Kristu🙌🏻🙌🏻
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@MWANDAMIZI Hakika
@tobanguvila83553 ай бұрын
HONGERA SANA ASKOFU DR. BAGONZA PAMOJA NA CARDINAL PROTAS LUGAMBWA,HII NI HEKIMA NA UPENDO WA AGAPE
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@tobanguvila8355 Amen 🙏
@TibihikaGerad3 ай бұрын
Wahaya historia yetu ni kubwa sana 👏👏
@Registon-ed8sy3 ай бұрын
Hawa sio wahaya ni wanyambo usitudanganye
@TibihikaGerad3 ай бұрын
Lugambwa ni munyambo🥹
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@TibihikaGerad 🙏
@edwardedwardbuberwa37013 ай бұрын
Hiyo ni sawa na kusema kuja na njoo@@Registon-ed8sy
@nyerere12593 ай бұрын
Wanyambo 🎉
@speratusrushekya89013 ай бұрын
Baba Cardinal Mungu akubariki sana
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@speratusrushekya8901 Amen 🙏
@dicksonulotu74273 ай бұрын
Hongereni sana Mababa Askofu. Umoja wenu udumu daima
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@dicksonulotu7427 Ahsante
@josephlorri4313 ай бұрын
Wanafalsafa wamekutana... Dr Bagonza aliwahi kwenda Vatican
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@josephlorri431 Ilikuwa siku nzuri sana
@josephlorri4313 ай бұрын
@@elct-karagwediocese4244 episcopal Church (mnyoororo toka St Peter) na protestant Church wamekutana
@AmanNdabatunga-l7b3 ай бұрын
Kristo!Uekumene ndio silaha yetu.Asante sana Mwadhama na Dr.Bagonza
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@AmanNdabatunga-l7b Amen 🙏
@gracemrema-y6t3 ай бұрын
Watumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo. Tunawaombea msonge mbele katika kuhubiri neno la Mungu. Pia nasi tuzidi kukua kiroho. Kazi yenu sii bure. Fanyeni wito mlioitiwa na Bwana. ❤❤❤
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@gracemrema-y6t Amen 🙏
@ananiaj.ndondole36643 ай бұрын
Ecumenical gathering. Be blessed
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@ananiaj.ndondole3664 Amen
@EDWINNDYANABO3 ай бұрын
Pia asante baba askofu Bagonza.mungu azidi kuwa tia nguvu ktk utume wenu.
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@EDWINNDYANABO Amen
@angelomfilinge86623 ай бұрын
Hongera sana Baba Cardinary Rugambwa na Askofu Bagonza kutujenga umoja katika Kristo
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@angelomfilinge8662 Amen 🙏
@jeanmusamba8448Ай бұрын
Upendo wa Baba Kadinali unanifurahisha sana
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
@@jeanmusamba8448 🙏
@paschalpaul38623 ай бұрын
Safi sana karidinali kwa kudumisha upendo mbali na tofauti za madhehebu
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@paschalpaul3862 Ahsante
@ChaseGabagambi3 ай бұрын
Waooooo❤ amazing
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
Thanks 🤗
@abdimkwizu14143 ай бұрын
Safi sana. Nimeipenda hiyo.
@barakaabel4823 ай бұрын
Watumishi wa Mungu......
@sarahkadugu43673 ай бұрын
Ni Baraka kubwa sanaaaa! Mwenyezi Mungu umlinde
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@sarahkadugu4367 Amen 🙏
@TITODOTO3 ай бұрын
Asante baba
@leahogutu98183 ай бұрын
Safi sana wana wa Mungu nina waelewa sn watumishi wenye mshikamano huu Mwenyezi Mungu azidi kuwapa ekima
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
Amen 🙏
@severimkatomutegeki69302 ай бұрын
Kweli Ask. Bagonza na Mhadhama,Kard. Rugambwa ni vinara wa upendo muendelee kutufundisha kuwa KRISTU NI TUMAINI LETU, mmeonyesha upendo na umoja Sisi Walei tutakuwa muda wote tunaewaombea kwa Mungu aendelee kuwaimsrisha, hii nii ishara ya umoja Katika Kristu.
@elct-karagwediocese42442 ай бұрын
Amen 🙏
@geofreysamson60513 ай бұрын
Mungu ni mmoja, kikubwa makanisa yaabudu katika madhehebu ya kweli
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@geofreysamson6051 Hakika
@YonahMwakalobo3 ай бұрын
Mungu awabariki sana tena sana.
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@YonahMwakalobo Amen 🙏
@fabianwenga88923 ай бұрын
Hongereni sana,hakika Mungu ni Pendo daima.
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@fabianwenga8892 Amen 🙏
@eliasmollel80173 ай бұрын
Keep Shinning Omukama Bagonza
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@eliasmollel8017 Ahsante sana
@erickmtasingwa77316 сағат бұрын
Aseee nmempenda 🙏🙏🙏
@kizitoshitah78533 ай бұрын
Nimependa sana hii viongozi wetu mmeonesha njia ya upendo wa kweli.Mungu awabariki sana .
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@kizitoshitah7853 🙏
@SebastianNgimba3 ай бұрын
okay,huu ndio ukristo tunaotuka,
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@SebastianNgimba 🙏
@aderickanatorypesha40043 ай бұрын
🎉🎉🎉inapendeza Kumutangaza kristo Kama ndugu bila kutoonyesha udini.
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@aderickanatorypesha4004 Mungu ni wetu sote . Amen 🙏
@leonardmrope95283 ай бұрын
Great!!
@SilveryMasaluАй бұрын
Hili ni tukio lisilozeeka kila nikifungua naliona jipya asanteni sana wachungaji wetu. Katikati yenu wawili namuona Yesu Kristo.
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
Amen
@beatricepallangyo28213 ай бұрын
Hallelujah!!!!
@aloycejames48623 ай бұрын
Nmebarikiwa sana
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@aloycejames4862 Amen
@chesconkwera20053 ай бұрын
Full hekima Mungu awalinde
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@chesconkwera2005 Amen 🙏
@MichaelKingazi-wm7xj3 ай бұрын
Wonderfully Get more together, God is good. Eimen
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
Amen 🙏
@francismbotomrutu27843 ай бұрын
Ni ushindi Mkubwa ktk mwili wa Kristo.Ni Watu wachache wenye moyo Huu wa Umoja .Mungu Awabariki Sana
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@francismbotomrutu2784 Amen 🙏
@FracksonPhilibert3 ай бұрын
Asante kwa kuipasha kasheshe na karagwe kwa ujumla
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@FracksonPhilibert 🙏
@JuliusMugyabuso3 ай бұрын
Mbarikiwe Baba katika kazi yenu hii takatifu.
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@JuliusMugyabuso Amen
@josephatdionisii3 ай бұрын
Mwenyezi mungu uwasaidie maaskofu wetu Hawa baba rugambwa pamoja na baba bagonza.amen
@elct-karagwediocese42443 ай бұрын
@@josephatdionisii Amen 🙏
@IgulusiloPrimaryschool3 ай бұрын
Amina sana, viongozi wetu wateule wa mungu mbarikiwe