Nimeona kamsalimia apo nihao lakini mchina kakausha
@emmanuelmasanja6040 Жыл бұрын
Kamkataa kwelikweli,wanadharau wachina
@JK-uq1tv4 жыл бұрын
Ndio maana Rais wetu anataka tubadilike tuchape kazi maisha ni kupanga na kuchagua tu.
@gilbertrutayuga46764 жыл бұрын
Watanzania tunapenda sana kusifia Vya wenzetu. Wenzetu wamefikia hapo kwa kujituma kufanya kazi na kutumia rasilimali zao kwa maendeleo ya taifa lao.
@vaghoghontweki98273 жыл бұрын
Acha wasifiwe mana wamefanya vitu vzr,,,usposema ukwel ni roho mbaya 2,,ukweli ni kwamba wametuacha mbali sana
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Kwanini usiwasifie acha roho mbaya
@smartcreationpro_5034 жыл бұрын
Ahsante Milladayo
@pyzzocatto1829 Жыл бұрын
Zile zakuscan za mwendolasi mbona hazifanyikaz hahahha Tz🙌🙌🙌
@frankbizulu91793 жыл бұрын
Huyu mtangazaji kapotelea wapi siku hizi
@hawaynatimam9824 жыл бұрын
Nazani mii ningekuwa mjinga hata kuonyesha apo pakupitia
@valenakomba9218 Жыл бұрын
METRO NI METRO, NA TREIN NI TREIN , NA TRAM NI TRAM
@agnesoqwaa98484 жыл бұрын
😂😂😂inapendeza sana wachina hawataki shobo
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Ndio ni kweli kama umezoea sana tz huwezi kuishinao hao
@josephemmanuel31753 жыл бұрын
Wachina sio wambea Kila mtu na Mambo take ssa njoo Africa uone
@celinelawrence20774 жыл бұрын
Huku gongolamboto .pugu ipo tren ya umeme🤣🤣🤣
@soudbako59252 жыл бұрын
Kha ha ha hiyo bakini nayo tu
@mtakimjinja23283 жыл бұрын
Sema wachina wanaloho mbaya!
@natafutapesa96783 жыл бұрын
Duuh wako juu sanaa
@williamrdeus28084 жыл бұрын
Huo ndo usafiri naopenda kutumia mara nyingi nikiwa china coz is too express
@mdbosco16403 жыл бұрын
Nakubali kijan unawez
@allycassim58163 жыл бұрын
Big up mirad
@freduallughano23013 жыл бұрын
Katika jamii za watu weupe angalau mzungu yupo humble kuliko jamii zingine japo nao ni wabaguzi.
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Ni kweli wachina ni wabaguzi zaidi
@mackenzie80374 жыл бұрын
Hivi huyu jamaa mtangazaji yupo wap sikuhizi? Anajua sana
@omanmuttrah41324 жыл бұрын
USiseme China tu Asilimia NCHI ZA watu Weupe WANAGA SHoBo NAMTU NISISI WAKIJA KWETU TUNAWASHOBOKE SISI WATANZANIA NIWACHESHI SANA POPOTE TUNAKONDA LAZIMA MTANZANIA UTAMJUWA TU KWAUKALIMU
@krizofrancisco12872 жыл бұрын
Sisi siyo wacheshi SEMA hatuna kazi za kufanya
@khadijahali48372 жыл бұрын
@@krizofrancisco1287 🤣🤣🤣🤣
@sharf3203 Жыл бұрын
Good
@rajabuhondo49733 жыл бұрын
Kwer noma
@youmemeyou29762 жыл бұрын
Intrest 😂 Entrance kaka
@khamisipetro63854 жыл бұрын
Duuh ukiwa na pesa raha bhana duuh duuh
@jeremayajeremaya50115 жыл бұрын
Mkuuu Unatembeaaa duuuuu
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Watz wameshazoea airports, feriws na Mwendo kasi. Itabidi Wamasai na Wagogo wasahau sime na mundu na marungu. Hayati JPM alishaandaa hayo yote . R.I P JPM.
@mwajumaabeidy81374 жыл бұрын
Wabongo tujifunze ukauzu na sisi..
@Hussainkhan-ml7zq3 жыл бұрын
Itabidi
@jifunzemengi16205 жыл бұрын
Mkuu nataka tukutane hapa china
@florianmbena5804 жыл бұрын
Sio bize tu hao wanakaubaguzi ka rangi
@awadhrajabu14033 жыл бұрын
Ndivo Alivotaka JPM Kazi Nawashangaa Viongozi Wetu Wanaotaka Kuingia Mkataba Mkubwa Awajui Kua Wachina Ukimalizana Nao Baada Ya Mkataba Awana Taimu Nawe
@braystuskibassa30773 жыл бұрын
Hongera sana
@ireneassey36854 жыл бұрын
Watu makauzuuuu busy na sim tuu
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
We umetumia nn kuandika hivyo
@mohammedmhina39734 жыл бұрын
Ndo walivyo dada tena ukiingia hapo kweny subway ukiingia gaunzhou kila mtu 😂
@claramhina96053 жыл бұрын
Haya ndio Mambo JPM alitaka Tanzania iwe na kuzidi Pumzika JPM atatokea tu kama we we tunapambana watoto wasome
@beatricecharles4424 жыл бұрын
Ukiwa na ndani kumbe auwezi kuzm smu km kwenye ndege
@blackmamba75534 жыл бұрын
Hivi kwenda china ni sh ngap
@januarimagobe594 жыл бұрын
Buku 246789073
@arnoldrukwembe41463 жыл бұрын
Mirady hayo amewaambia mumuige sauti yake
@loner_wolf3 жыл бұрын
Sasa point yako ilikuwa nini maana nimatazama nikijua labda kunaissue kumbe shobo tu za kifala..... Mxew
@tiktoktdmdynamo31004 жыл бұрын
Mbele ni mbele tu kidadeq
@JK-uq1tv4 жыл бұрын
Chini ya uongozi wa JPM tutafika huko soon.
@tourismtourism92044 жыл бұрын
Tayari ipo
@hanifawaliya79764 жыл бұрын
Kwa mfano hiyo sehemu ya kupita na token. Je hamuwezi tumia token moja watu wawili ??? Yani unakaa mgongoni mwa mtu akipita tu na wewe upo nyuma yake unamfata
@heriraymond42414 жыл бұрын
😂😂😂😂
@michaelsiweya65004 жыл бұрын
Kwani huku kadi au karatasi ya mwendo kasi inatumiwa na watu wawili?
@mahersaid2584 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@ismailyusuph7404 жыл бұрын
Huwezi yaani imesetiwa kufunga Kwa hatua yako utayopiga’ ikifunguka inaweza kuchelewa kidogo mpk kupita ’ Lkn ukikatiza tu ‘ mbaaaa imefunga...!...hivyo hata ukae na BAMPA to BAMPA hamuwezi kupita wawili...! Lkn pia CAMERA zipo’ ukileta za kiduanzi za kipimbipimbi ‘ unajiona ushatusua’ ghafla utashangaa wazee wa nongwa hawa hapa’ wanakupiga FAINI afadhali FAINI ya MBOWE ..!
@saudaissa42214 жыл бұрын
😂😂😂
@eliudijastini6454 жыл бұрын
Duuu wenzetuuu makauzuu hatasalamu🤣🤣🤣🤣
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Wanaogopa kuchafuliwa mikono nangozi nyeusi
@pericykiko61984 жыл бұрын
Mm napenda maisha yao wako busy lkn hawana Roho mbaya, ss tunasalimiana lkn ndo chanzo Cha fitina ugomvi wivu kuibiana
@Hussainkhan-ml7zq3 жыл бұрын
@@pericykiko6198 🤔
@pericykiko61983 жыл бұрын
@@Hussainkhan-ml7zq Abee
@omanmuttrah41324 жыл бұрын
KOKOTE TUNAKONDA NIWACHESHEI
@mosilep5504 жыл бұрын
Kudadeki hadi tuje tufukie hatua hiyo ni baada ya millennium kupita
@ernestsinje86934 жыл бұрын
mbona kuna nchi za kiafrika wanazo sio ishu ni kuamuwa tu kwani hiyo BRT watu walijuwa itakuwepo ?
@mosilep5504 жыл бұрын
@@ernestsinje8693 hizo nchi za kiafrika zilianza muda mrefu ten inawezekan kwenye miaka ya 2000s ila wenzetu hao wameanza kitambo so hata tufanye vipi kuwafikia sio kazi nyepesi
@ernestsinje86934 жыл бұрын
@@mosilep550 China imeanza kuendelea hiaka ya 1990 singapore imeanza kuendelea 2000 hiyo inategemea na wanachi wenyewe wakiwa ni wakujituma na kutaka maendeleo yanakuwepo kama uyoga tu Dubai imeanza kuendelea lini?QATAR lini? wako vizuri hata bongo yenyewe na Kenya si unaona kabisa Bongo inakimbia kwa speed kumzidi Kenya yote ni maamuzi tu
@cholowao4 жыл бұрын
Muekeni Tundu LISSU baada ya miaka 1000 ndio mtapata treni JPM FOR LIFE
@mosilep5504 жыл бұрын
@@ernestsinje8693 fuatilia vizuri historia za hizo nchi kati ya china na Singapore ndo utajua walianza muda gani kuweka msingi wao imara hadi sasa unawaona wako na uchumi mzuri.
@justinbieber86684 жыл бұрын
Msituletee korona uku kaha uko uko
@neyjoseph8134 жыл бұрын
😂😂😂jamani hii video ni ya muda mrefu sana
@fatemaligalawa41514 жыл бұрын
Mbona kama kuludi uyu
@nellywizz96314 жыл бұрын
Kijijital
@nellywizz96314 жыл бұрын
Hahaha au ki digital
@mrizzy54243 жыл бұрын
kidijitali huna akili wewe
@masoudkipara50534 жыл бұрын
Mbn husemi uko china maji gani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hamisiissa59454 жыл бұрын
kaa pembeni ww acha kuleta uzaramu wako ww
@joshuasamson41744 жыл бұрын
Huo ni ushamba wako mwandishi mpira
@eliarichard92184 жыл бұрын
Kwani kazi ya muandishi ni nini
@joshuasamson41744 жыл бұрын
@@eliarichard9218 Unakaaje na moka ya dhamani bora uende na wakati
@frankmlowe48194 жыл бұрын
ndio kula yake hiyo sisi ametuchangamsha akili kwanza. basi usingeangalia