TAZAMA ULINZI MKALI WA BONI YAI AKITOLEWA MAHAKAMANI KURUDISHWA MAHABUSU

  Рет қаралды 949

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024 wa dhamana ya aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai.
Uamuzi huo utatolewa baada ya upande wa mashtaka leo Alhamisi, Septemba 19, 2024 kumfikisha mahakamani na kumsomea mashtaka mawili.
Mbali na mashtaka hayo, awali waliomba Mahakama uzuie dhamana yake kwa muda. Hatua hiyo imeibua mabishano ya kisheria kati ya mawakili wa upande wa Serikali na wale wa Boni Yai.
Mchuano huo wa mawakili wa kila upande kutetea hoja zake umehitimishwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakaka ya Kisutu, Franco Kiswaga anayesikiliza kesi hiyo kusema atatoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024, saa 5:00 asubuhi. Boni Yai amepelekwa mahabusu.
Mashtaka yanayomkabili Boni Yai likiwemo la kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana.
Pia, Serikali ikawasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti yake ya X ili mpelelezi aweze kuviingilia na kuvifanyia uchunguzi.

Пікірлер: 2
VURUGU MARA  !!! KONDAKTA , ABIRIRIA 16 WAMPIGA ASKARI  WAKAMATWA
2:16
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
MDUDE CHADEMA ATEMA CHECHE NJE ya MAHAKAMA Baada ya KUACHWA HURU..
4:20
Global TV Online
Рет қаралды 22 М.
WEZI WALIOIBA NYUMBANI KWA MENGI WAKAMATWA "WALIJIFANYA NDUGU"
5:02
Watatu mahakamani tuhuma za mauaji ya mama na mwanawe Dodoma
2:13
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
KISA KASOMA NAE
10:57
Joti TV
Рет қаралды 156 М.
Need a confidence boost? 'Try This.'
16:56
Washington Post
Рет қаралды 1,6 М.
MAMBO MANNE YA KUFANYA KILA ASUBUHI UAMKAPO Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris
42:19
LATRA YAFUNGIA MABASI YA KATARAMA
8:03
Daily News Digital
Рет қаралды 29 М.