Рет қаралды 109
TBC Online
Mawasiliano ya barabara ya Kunduchi Mtongani na Bahari Beach mkoani Dar es Salaam yamerejea baada ya kukamilika kwa kazi ya kujaza mawe kwenye kingo za daraja la Kunduchi Mtongani na kuelekeza maji kurudi katika mkondo wake.