#TBC

  Рет қаралды 53,148

TBConline

TBConline

3 жыл бұрын

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 22
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 жыл бұрын
Mashalha mzee mpka leo ana dundaa mungu mkubwaaa zid kumpa umriii mzee wetuuuuu
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Hongera TBC ibueni wengi wa utumishi kutukuka. Big up TBC
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 3 жыл бұрын
The General himself.. I liked how Makongo has honored him, as to any other place in the country and outside. #NationPride
@fredrickanathesarakikya1890
@fredrickanathesarakikya1890 4 ай бұрын
Naweza nikapata hii video jamani 😢😢
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 3 жыл бұрын
A historical nugget. Asante sana TBC.
@yusuphmkapa934
@yusuphmkapa934 3 жыл бұрын
NAMSHKRU SANA MUNGU NILIWAHI KUBAHATIKA KUONANA KATKA MOJA YA HAFLA YA KIJESHI HAPA LUGALO MWAKA2008 MIMI NIKIIGIZA SAUTI YA HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA PIA NILIKUTANA NA ALEX GWEBUZA NYILENDA PIA HAYATI JAJI MARK BOMAN ,NAMKUU WAMAJESHI MSTAAFU GEORGE WAITARA .
@sayunindelwa987
@sayunindelwa987 2 жыл бұрын
Asante baba kwa kulitumikia Taifa letu lkn pia nakupongeza hiyo Mandhari iko poa sana.
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 2 жыл бұрын
Mungu akubariki
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Mungu akujalie umri mrefu.
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 2 жыл бұрын
Very humble
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 2 жыл бұрын
MEJA GENERALI GREAT 👍
@samasob8233
@samasob8233 2 жыл бұрын
Good Idea and good presentation. Lakini bado nchi ina udume sana. Huko Jeshini ndio usiseme, but kuna wanawake walioweza kwenda huko na kupata vyeo vya juu kabisa kama brigadier, major general, mfano wakinamma Mwakipunda na Kingazi wastaafu kwa sasa walifika mpaka cheo cha meja generali, Mama Madawili alikuwa ni mwanamke wa kwanza Tanzania kufikia cheo cha brigadier, kwa nini TBC hamuongei na hawa wakinamama? Fanyeni series za wanawake kuifahamisha jamii na kuwafanya watoto wa kike kuelewa kwamba anything is possible! kila kitu kinawezekana bila kujali mwanamke au mwanaume, lakini vipindi vingi mnaonyesha uwezo na kazi za wanaume tu! Tena kwenye vyombo vyetu vya usalama wanawake waliongezeka miaka ya karibuni, asante kwa hao watangulizi wao, maana walihakikisha wanawake kwa elimu na vigezo vyao wanapata ajira za fani mbalimbali ndio wengi wanawake unaowaona sasa wakiwa JWTZ kuanzia vyeo vya uluteni kanali na kushuka chini ndio matunda ya hawa kinamama kwa order ya no1 no2 no3 kama sikosei, ikimanisha ni wanawake wa kwanza kabisa kujiunga na jeshi la Tanzania. Tafadhali nendeni makao makuu au njia zenu mnazopata information za serikali, tuleteeni vipindi vya nyota kuhusu hawa kinamama, hawa ni nyota hasa! Kablsa hatujapoteza historia yao kwa kutowatafuta na kushare rare knowledge/information! Asanteni
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 жыл бұрын
Mwana jesh mwana jeshh tu afu uombe uwe nacheo kama wazeee wetu awa mbona ata ufilkilii kufaaaaa
@rommelmauma8081
@rommelmauma8081 2 жыл бұрын
Signature Tune yenu inachukua muda mrefu sana!
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Mzee ana nguvu kwel yani ana miaka 87 bado yuko hai🙏🙏 na ana nguvu
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 3 жыл бұрын
I wonder why Tanzanians and any other Patriots wont find this piece of documentation as privilege opportunity to learn the history of our beautiful nation, the views and engagements on this film is a disappointment and disgrace to our legends. Kazi Umbea tu!!
@barikimushi8644
@barikimushi8644 2 жыл бұрын
2
@josephatmakuka4860
@josephatmakuka4860 2 жыл бұрын
Hakika
@eventelias3566
@eventelias3566 2 жыл бұрын
Nlikuwa nikimsikia kwa Mzee mmoja marehemu sasa alikuwa anaitwa Mzee Machibya ndiye alikuwa akinisimulia mambo mengi ya zamani ya wakati wa utawala wa Nyerere na Mzee Mwinyi.
@peterchristophernyansambo4959
@peterchristophernyansambo4959 2 жыл бұрын
Machibya aliyekuwa anakaa kambi ya Jeshi Lugalo-Hostel?
@eventelias3566
@eventelias3566 2 жыл бұрын
@@peterchristophernyansambo4959 hapana huyu ni wa Morogoro
@peterchristophernyansambo4959
@peterchristophernyansambo4959 2 жыл бұрын
@@eventelias3566 Basi nimefananisha majina
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 60 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Hitler in Colour (4K WW2 Documentary)
1:10:44
Best Documentary
Рет қаралды 9 МЛН
Hiroshima - the unknown images
52:01
La 2de Guerre Mondiale
Рет қаралды 6 МЛН
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Jenerali mstaafu Sarakikya alizungumzia Jeshi
2:47
Mwananchi Digital
Рет қаралды 15 М.
#TBC1 : MNARA WA KISASA,MTUMBA KUENZI MASHUJAA
26:52
TBConline
Рет қаралды 154
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 60 МЛН