MWANZO - MWISHO | TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE KUHUSU LUHAGA MPINA KUDHARAU MAMLAKA YA SPIKA NA BUNGE

  Рет қаралды 2,475

TBConline

TBConline

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 3 ай бұрын
Hata kiswahili kusoma inakuwa tabu jamani wamemchaguaje huyu jamaa.asome
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 ай бұрын
Ustawi up ogopa MUNGU Tozo petroleum hazishuki matbab juu maisha magumu tunadaiwa songesha huku nipigetafu we mna vx za m 500 sukar juuu et ustawi
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 3 ай бұрын
Duuu
@gasperchacha1838
@gasperchacha1838 3 ай бұрын
Duuuhhh
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 3 ай бұрын
Tunawasubiri mtaani Mpina pole sana usihofu
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 3 ай бұрын
Kumbe Mpina alikua sahihi
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 3 ай бұрын
Hivi huyu mwenyekiti watu walikaa wakamchagua awe mbunge wao kweli!
@henricomuhoja3368
@henricomuhoja3368 3 ай бұрын
Huyu kweli ndiye Mwenyekiti wa kamati ya Maadili kweli inasikitisha sana hata kiswahili tu hawezi kusoma,Mpina tunamkubali na ndomana anamiaka 19 bungeni mnapoteza muda tu,wote waliojjadili hoja wamepangwa,Bashe ajifunze japo ametetewa
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 3 ай бұрын
WAGONGE HIZO MEZA POLE JAMANI POLE WATAZIVUNJA HAWAJUI NI KODI YETU ?
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 3 ай бұрын
Hicho kiingereza jamani! Eeh!
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 3 ай бұрын
Wabunhe kama nyie ndio mnamuharibia mama Samia
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 3 ай бұрын
Jamaa anakiri kwamba vifungu vya Sheria vinampa shida kuvisoma, ni nani alimpanga kwenye kamati muhimu kama hii na hatimaye kuonekana ndiye Bora zaidi ya wajumbe wengine hata wakaona ndiye mwenyekiti wa kamati
@JammalMuhammad
@JammalMuhammad 2 ай бұрын
Hatukuwahi kuyaona hy, lkn ss tunaenda mbele. Iko siku nyinyi ccm mtatow haki tuu
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 ай бұрын
Kwasasa nadhani ingekuwa ni mimi chombo cha taifa wala nisingerusha maudhui haya kwasababu mbalimbali ikiwemo kuacha uchunguzi wa kina kwanza kabla ya adhabu
@ramadhanisaadi4792
@ramadhanisaadi4792 3 ай бұрын
Hii ndio TBC tunayoijua, habari hapo kwahapo
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 3 ай бұрын
Nani anaangaliaga.TBC ? KUMBE BADO IPO ?
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 3 ай бұрын
Tunataka kujua kama Mpina amesema uongo
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 3 ай бұрын
Ndio tatizo la bunge la upande mmoja.jeshi la mtu mmoja huyu Ni RAMBO WA CCM. WANAPAMBANISHA USUKUMA NA USOMALI..bunge haliangalii hata Hali ya sukari huku nje.wabanchi tunakandamizwa na kunyanyaswa kwa Bei ya sukari .Bei Ni kubwa..ingekuwa vizuri Kama mngemfukuza,alafu muone joto ya jiwee ...wabunge wa ndiiooo tunewazoeaaaa
@amanijampion3045
@amanijampion3045 3 ай бұрын
Yaani mwenyekiti wa kamati kwa kiingereza hicho anaweza akajenga hoja kweli? Bashe hajajadiliwa wala kutajwa! Spika hakutofautisha uspika wake na kuwa kiongozi wa bunge
@josephmchila6467
@josephmchila6467 3 ай бұрын
Kweli Kiingereza ni shida
@nestor384
@nestor384 3 ай бұрын
Tuna bunge la ajabu sana
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 3 ай бұрын
Tuko nawe mpina
@BenardSambilo
@BenardSambilo 3 ай бұрын
Hivi nyie wabunge mnaoabudu chama mtaishi milele bungeni?😊
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 3 ай бұрын
Mnamridhisha tu speaker
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 ай бұрын
Ubabe wao hata Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe kwn sukari c imepanda mnakataa nn au manabebana, Farao Firaun aliangamia ubabe hivhiv,nyie mtembelea vx za m 500 mmeshiba, ndomana mnakataa katiba,ili mtese raia,
@lalafamily5290
@lalafamily5290 3 ай бұрын
Hata kusoma hajui!! Mnatia hasira sana nyie viongozi!! Ni wabishi na waongo kuikinga serialized ya CCM. CCM mnatia hasira sana hamna hoja kabisa matapeli wakubwa!! Tangu magufuli afw mnajifanyia mambo yenu kihovyohovyo tu!!
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 3 ай бұрын
Mmmmmh??????
@LeonidasStephano
@LeonidasStephano 3 ай бұрын
Tunawasubiri mtaani mbwa nyie tukutane 2025😒
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 ай бұрын
Sawa nguruwe,endelea kusubiri
@anaelnanyaro3634
@anaelnanyaro3634 3 ай бұрын
Mwenyeketi hata kusoma shida hiyo report kandaliwa tu aje asome geresha😅
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 3 ай бұрын
Tuko na wewe mpina
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 105 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,1 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
Mpina ataka wizara nzima ifukuzwe kazi kuanzia waziri hadi mfagiaji
9:06
Mwananchi Digital
Рет қаралды 13 М.
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 17/10/2024
27:48
BBC News Swahili
Рет қаралды 13 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57