RAIS JOHN MAGUFULI AFUNGA MJADALA WA UNUNUZI WA KOROSHO

  Рет қаралды 9,654

TBConline

TBConline

Күн бұрын

Rais John Magufuli ametangaza kuwa, serikali itanunua korosho za wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara kwa shilingi elfu 3, 300 kwa kilo muda wowote kuanzia hivi sasa.
Rais Magufuli ametoa tangazo hilo Ikulu Jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kuwaapisha Mawaziri wawili na Naibu Mawaziri wanne aliowateua hivi karibuni.

Пікірлер: 13
@banzijohn7713
@banzijohn7713 5 жыл бұрын
Aisee wewe umejaa huruma kwa wanyonge ubarikiwe sana mheshimiwa rais mungu akulinde na uishi miaka 100000000000000000000000000 big up big Boss
@dianagerald8802
@dianagerald8802 5 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu rais wetu,unafanya vizur
@miagierumas5576
@miagierumas5576 5 жыл бұрын
Pamoja sana Mungu awe nawe katka kazi yako
@hildamsuya2122
@hildamsuya2122 5 жыл бұрын
Safi sana rais uende tu bodi ya pamba wametunyonya sana na mizani zao za solar.
@allyfutto8763
@allyfutto8763 5 жыл бұрын
Rais anatambuwa mchezo mchafu tunaochezeana wenyewe kwa wenyewe na amejidhatiti kutokomeza ushetani tulionao baina ya sisi kwa sisi.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@edwardgwaspika4943
@edwardgwaspika4943 5 жыл бұрын
He is supper! God bless our president...!
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU tunazidu kukuomba enderea kumuongoz kumrinda kumsimamia kumuepushia yario mabaya kwake kuzidi kuimarisha afya yake ewe mwenyez MUNGU enderea kumpa nuru ya kupendwa na mataifa mengine zaidi nakuzidi kumpa wafadhiri wariyowema kwetu raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu
@mohamedally121
@mohamedally121 10 ай бұрын
Mipango sio matumizi, haya maamuzi sio yakibiashara, yaliua kabisa zao la korosho
@famionlineapdates9371
@famionlineapdates9371 5 жыл бұрын
Karibuni mtwara jamani kumenogaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huku kwetu saizi kama Japan
@miagierumas5576
@miagierumas5576 5 жыл бұрын
Huku zanzibar kilo moja ya korosho iliobanguliwa ni sh 45000 kwenye maduka
@famionlineapdates9371
@famionlineapdates9371 5 жыл бұрын
Mtwara kucheleeeeeeeeee
@kaidrisa2711
@kaidrisa2711 5 жыл бұрын
Camera man unazingua mh akimsifu mtu au akimsema mwonyeshe
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 112 М.
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 47 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 18 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 47 МЛН
HOTUBA YA MAGUFULI KWENYE MKUTANO NA WADAU WA MADINI      22/1/20199
1:12:14
Maneno ya Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa rais Magufuli
13:03
Azam TV
Рет қаралды 95 М.
MAGUFULI ACHARUKA - "Mtaenda Kulimia KOROSHO Gerezani"
49:05
Global TV Online
Рет қаралды 21 М.
MAGUFULI AFUNGA MJADALA WA KOROSHO, ATOA MAAGIZO YA BEI
47:26
Mwananchi Digital
Рет қаралды 122 М.
HOTUBA YA MAGUFULI: ALIVAA JESHI LA POLISI  "DHAHABU ILIPITAJE?"
46:55
Global TV Online
Рет қаралды 15 М.
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 47 МЛН