Naenjoy kuona nilichokifanya !! Napenda san ng'ombe
@ramadhanmwanyange4324Ай бұрын
sekta pekee ninayoipenda kuliko sekta zote
@efrahimphilipo4337Ай бұрын
Hii kazi na unenepeshaji ukiwa na mtaji inakupa faida mapema sana
@AlmasMpanda9 күн бұрын
Nmependa sn makala hii ndg mtngzaji ila nilitamani sana ungezungumzia kinda kiundani zaidi kuhusu namna anavyowalisha ng'ombe zake pia kuhusu majani ya juncao ,,