No video

THE CLASSIC CHIDI BEENZ EP 1:BEEF NA PROFESSOR /MWANZO WA KUINGIA KATIKA MADAWA/JE ALITEGESHEWA

  Рет қаралды 18,441

KuviFacts

KuviFacts

Жыл бұрын

Hii ni sehemu ya maongezi ambayo tulifanya na Chidi beenz mwaka mmoja na nusu uliopita ,kama hukuwahi kuiona walau hii ni sehemu ya mahojiano hayo

Пікірлер: 39
@yusuphmakhahala6570
@yusuphmakhahala6570 Жыл бұрын
Brother chid nakuelewa sana Mungu akulinde sana
@bladdavid3356
@bladdavid3356 Жыл бұрын
Inaitwa mmenisoma chid benz
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343
@ujenziwanyumbakisasatanzan6343 Жыл бұрын
Inaonekana ya moto sana hii, tukitulia tutasilikiza
@francismwakalile2310
@francismwakalile2310 5 ай бұрын
Best interview hizi sema fupi sana
@kibakivideos
@kibakivideos Жыл бұрын
One and only “The Legend”🔥🔥🔥🔥
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 Жыл бұрын
Jana tu niliitafuta ile ngoma ya chiku k ft chid benz ya lonely! Aisee chid alikuwa Ni hatari Sana! Ile flow ya verse yake Ni noma Sana! Namna alivyonata na Ile beat na zile swaga daah hatari Sana! Huyu mtu alikuwa Ni shida Sana! Ana uwezo mkubwa Sana!
@wanyalukoloculturaltours5045
@wanyalukoloculturaltours5045 Жыл бұрын
Moja ya playlist zangu. Lonely
@pauljosephtarimo2279
@pauljosephtarimo2279 10 ай бұрын
Ilala,La familia inanikumbusha mbali sana,enzi hizo
@keydeemasinga6986
@keydeemasinga6986 Жыл бұрын
Saut ya dhahabu🔥🔥🔥🔥
@Alhabib_Mohaa_001
@Alhabib_Mohaa_001 Жыл бұрын
Inakua poa sana yaani kumuona braza karidisha mwili wake kweli kuteleza sio kuanguka na kuvunjika Kwa mwiko sio mwisho wa upishi
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 Жыл бұрын
Usimsahau Jose Mtambo mnamtenga sana nyie watangazaji wa Bongo wakati jamaa katika matop 5 dead or live yupo tuletee tumsikie ndugu
@jengadaudi-oe9wq
@jengadaudi-oe9wq Жыл бұрын
Jamaa anajua Sana mtambo aboiiii
@moneythemes
@moneythemes Жыл бұрын
Sure, hauwezi kuweka legends wenye flow kali ukamwacha Jos Mtambo, sema naskia alipata matatizo ya Alcohol, labda kama alimudu kuyamaliza
@KuviFacts
@KuviFacts Жыл бұрын
mtambo tumemtafuta sana hapatikani ni kama mwenyewe ameamua kujiweka nje ya game ,atakapokuwa tayari tutamuita bila shaka
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 Жыл бұрын
@@KuviFacts gud tuko pamoja interview zako ziko hot
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
True, Jose yuko underrated ila flow na uandishi unique sana. Kuvi kama amesikia tuletee JOSE MTAMBO, mtaa unamielewa sana.
@scorpionkiro720
@scorpionkiro720 Жыл бұрын
Interview nzur sema inabidi mna Improve kwenye sound zena km makamasi flani
@maufijose2294
@maufijose2294 Жыл бұрын
Huyu Jamaa Genius 💥💥
@Heismasai
@Heismasai 8 ай бұрын
KAKA SAUTI YA BEAT PUNGUZA UWA UNAWEKA JUU SANA
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 6 ай бұрын
Aliemhusisha Manara na Yanga ni karata Dume mwenyewe Simba wa Morogoro
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 Жыл бұрын
Ukimuhoji Chid ww ndio utakuwa msikilizaji...
@barakajpilly6900
@barakajpilly6900 Жыл бұрын
Chid urithi wake utadumu vizazi na vizazi,mara kwa mara anaongea kuhusu upendo ila wasanii bado hawaelew,angekuwa kwenye dini tungemuita nabii
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 6 ай бұрын
S/o to Q Chilla
@jengadaudi-oe9wq
@jengadaudi-oe9wq Жыл бұрын
Big fanya Mpango mlete Jos mtambo Kumbuka jamaa katoka mbali kabla Yao,,, Ngoma tunaskia ila yy kimya na interview
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 Жыл бұрын
Kawa mlevi kinoma skuhz
@josephjohn8363
@josephjohn8363 Жыл бұрын
Sana aisee yaan ni huruma sana
@pitbullfamily4499
@pitbullfamily4499 Жыл бұрын
Real homboy🦍 💯🔥
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
TUNAMUOMBA NOORAH TAFADHALI,,WASANII WENGINE MNAWARUDIA KILA DEI.
@christophergeorge5490
@christophergeorge5490 Жыл бұрын
Noorah kumpata ni vigum yupo SHINYANGA bize na mishe zake
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
@@christophergeorge5490 😄da
@samirmswahili
@samirmswahili Жыл бұрын
Chid
@hassanikaawizy2597
@hassanikaawizy2597 Жыл бұрын
C ilishapitaga hii
@pitbullfamily4499
@pitbullfamily4499 Жыл бұрын
🦍 #Chidi Beenz
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 Жыл бұрын
hii ngoma iko background ya chid benz inaitwaje
@DrMabula
@DrMabula Жыл бұрын
"Jiachie"
@jonasamos555
@jonasamos555 8 ай бұрын
jiachie inaitwa ina verse moto sanna
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 Жыл бұрын
✊🏿👮🏿
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 22 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 15 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 30 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 24 МЛН
THE ANDREW KIBE - MIKE SONKO INTERVIEW - ANDREW KIBE LIVE
48:26
ANDREW KIBE LIVE
Рет қаралды 118 М.
CHID BENZ HAJAWAI KUONGEA HAYA! Ruge, Sio Marehemu, Bado yupo!
23:02
MY EXPERT OPINION EP # 152 DAVE EAST
2:24:31
MATH HOFFA
Рет қаралды 595 М.
Meneja nimetumia Million Kweli!!
9:24
CHEKESHA TV
Рет қаралды 37 М.
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 22 МЛН