Mungu azidi kukupa umri, Mzee wetu Joseph Sinde Warioba,,,,ili uweze kuona mengi na kushauri katika mustakabali wa Taifa letu,,maana ni wachache saana,,,
@josephatkajange871410 сағат бұрын
Wazee waliobaki Tz ni Warioba, Butiku, Shivuj,Lwaitama na Jenerali. Wazee hawa wabarikiwe sana. Mungu awazidishie maisha!
@francisjohanes30279 сағат бұрын
Wapo lakini nani anawasikia au nani anawaelewa
@mawerecarpaintsandaccessor21857 сағат бұрын
Great Thininker sec Mwalim Nyerere😅
@EliyaPaulo-uf6hh7 сағат бұрын
Kuna zee moja hivi limezeeka lakini bado linaendekeza uchawa (Wa...si..ra)
@FidelisGambishi3 сағат бұрын
Hata baba yako hujamuweka orodhani
@usembiphonedar56323 сағат бұрын
Kuna kichawa hapo jirani na mzee Waryoba, chenyewe huwa kinang'ata na kupuliza! Ukikiona hapo utafikiri kiko pamoja na wanaharakati kumbe ni chawa mkubwa wa serikali! Ba-li-li!
@RaphaelElikana10 сағат бұрын
Nakushukuru sana mzee Warioba kwa kuusema ukweli bila kumung'unya maneno. Wahusika jisahihisheni
@edwindezidery6326 сағат бұрын
Ongera Babu yetu warioba mungu akupe maisha marefu Mzee wetu watanzania wanakupenda sana ujawai nyamaza kwenye maovu hata bibria inasema. Wafalme wakitenda yasiyo yahaki nichukizo
@lusajomwaikambo60586 сағат бұрын
Mungu akubariki sana.Mzee Warioba,hakika umeonyesha uzalendo Mkubwa wa kuipenda Nchi yetu.nakuamua kutoa ushauri kabla Mambo hayaja haribika.🙏
@NNONGWA4 сағат бұрын
Tumzingatie sana Mzee Warioba
@levinageofrey776610 сағат бұрын
Mungu akubariki mzee wetu unaongea point serikali yetu inahitaji itafakali upya msitakabari wa nchi tunakoelekea sio salaama
@ZaitunNgailo4 сағат бұрын
Safi
@willeydavis52919 сағат бұрын
Huyu mzee ni hazina kwa taifa,mungu akupe maisha marefu mzee warioba. Hakika unatabir yajayo endapo serikali haitachukua hatua
@kiswantatv381710 сағат бұрын
Mzee wetu wa Taifa mungu akuweke
@richardnganya23118 сағат бұрын
Hawasikilizwi
@mgeninyimbile545246 минут бұрын
Mzee Warioba Mungu akubariki sana mzee wangu kuona tatizo na kuliongea hapo umeilinda Tanzania na watu wake
@festokemibala583211 сағат бұрын
Mzee Warioba, pamoja na kuundww Tume ya haki jinai bado tamko lilitolewa kama ulivyosema kwamba "wajiandae" means bado hatuna msimamo. Mimi binafsi imani yangu ni kuwa damu zinazomwagika tunazifurahia, tuna maslahi yumkini tunaneemeka!! Viongozi wa dini wamesema lkn bado masikio ya watawala ni mazito hawana hofu ya Mungu. Huu ndiyo ukweli tuuseme, tutubu ili Mungu atusamehe
@boscomfundo79533 сағат бұрын
Mungu akubariki Baba Warioba
@venancerutta68754 сағат бұрын
Mungu akuongezee maisha mema unasema ukweli
@walterbhoke79356 сағат бұрын
Tunateseka sana mzee watawala wako tayari kuuwa watanzania ili waendelee kukaa madarakani
@yohanampamba6013 сағат бұрын
Yaani inauma Sana juu ya hili Jambo, watu wapo radhi kukatisha uhai wa mtu ili wabakie madarakani.
@philchiputa242511 сағат бұрын
Mungu akubariki mzee Warioba. Uishi maisha marefu
@ndimimaskati364111 сағат бұрын
TANGANYIKA ni nchi ya KIDIKTETA. Jeshi la. TANGANYIKA lilishiriki ZANZIBAR kupora uchaguzi 2020.
@yohanampamba6013 сағат бұрын
Mzee wetu Warioba upo duniani kwa makusudi mazima ya mwenyezi MUNGU, hawa watawara masikio yao wameziba nta. Viongozi wetu wa dini mbalimbali ukiachilia mbali viongozi wa kisiasa pamoja na wanazuoni wamesema lakini Serikali imelifumbia macho. Ishi sana mzee wetu Warioba wewe ni urithi wetu daima.
@MwatijaFikoti10 сағат бұрын
Mzee wa busara Mungu akuongezee muda wa kuishi.
@jonathanakhabuhaya16933 сағат бұрын
Asante sana Mzee Warioba.Tulitegemea haya uliyosema yasèmwe na Rais wetu mstaafu aliyebaki Jakaya Kikwete.Kunyamaza kimya (kwa faida yake binafsi yoyote ile😢) kunaendelea kudidimiza "legacy" yake na ukoo wake.Taifa linategemea viongozi wastaafu kukemea vitendo hivi viovu vya wizi wa kura na kuuawa wananchi. Wastaafu hawa tunaolipia kila mwezi mabilioni kwa kodi zetu wakinyamaza, basi wajue fika kuwa wanatenda "uhaini"?
@FrederickThadeo10 сағат бұрын
Mzee mungukubali sana katika taifa letu wasila mungu ashugulika nae
@kambalakafuko76955 сағат бұрын
Mzee miaka 80 na anaongea bula kusoma , big talent
@hamisijuma32762 сағат бұрын
Ni KICHWA na hazina kubwa, Wazee wengine wako wp?
@denisnjaila21824 сағат бұрын
Halafu kuna profeza mmoja yaani ni kma kile kitokacho baada ya kula. Babu mzee Sinde hongera sana na asante sana Mungu liponye Taifa utuondolee walio na kiburi kwa kuvimbiwa
@urioxidetz88939 сағат бұрын
Mzee ataki siku Mungu akimchukuwa akaulizwe maswali na Baba wa Taifa Mzee Nyerere
@shakiru-y7g7 сағат бұрын
mzee walioba,uko vzr,wasila ndiye konki wa mbinu za wizi wa kura,na ndo wanamipango mibaya juu ya chaguzi zetu.
@bardenMwamalumbili6 сағат бұрын
Mungu akubariki baba Walioba sijui , sijui kama watanzania wankuelewa??
@yohanampamba6013 сағат бұрын
Tunamuelewa Sana!
@knight67578 сағат бұрын
Asante sana Meheshimiwa Mzee Warioba..M. Mungu akupe umri mkubwa na Afya njema tunakuhitaji baado ndiokati ya wazee wliobaki kuongea yaukweli. Wananchi ni watulivu mnoo...ila wenyenchi 🤔.... M. MUNGU YUPO NA WASTAHAMILIVU 🙏.......
@BritonNdishi-g6o3 сағат бұрын
Hii kali mungu atusaidie kwa hiyo mzee warioba ana maana kuna chama kimeonewa?
@AllyHassan-e2m10 сағат бұрын
Tokea vyama vinqi vianzishwe ushindi WA urais Zanzibar unaporwa na dola kwa nquvu ya kumwaqa damu za watu na mateso na hii Hali inaendelezwa kila baada ya miaka mitano hii Hali ifikiriwe inatisha inaoqopesha Sana ifike mwisho watu waheshimiwe Haki zao za kuchaquwa ila si hivyo kuwe na chama kimoja Tu watanzania waelewe hivyo kuliko madhara Kwa binaadamu wenzao uchaquzi imekuwa kama vita wallah
@hezekiamtera35597 сағат бұрын
Rais wangu Samia Suluhu Hassani.Tumia busara yako iliyopewa na Mungu kama mama, ninakuomba huu uchaguzi uufute.Leta upendo katika nchi.Acha legacy.
@ndimimaskati364111 сағат бұрын
Waachieni wananchi UHURU wa kuchaguwa viongozi wanaowataka, mapolisi na vyombo vya dola wasijihusishe katika Uchaguzi.
@alfredmwaswenyaСағат бұрын
Mzee Warioba Hongera sana Unaongea vizuri na Ukweli Kabisa Likini huwezi kutenganisha kati ya Serikali na Chama cha Mapinduzi. Rais wa Serikali ndiye Mwenyekiti wa CCM Mbona hajakemea wala hakuwawahibisha waliokosea???
@FrancisBena5 сағат бұрын
Mzee Mungu akubariki san a kwani weqe ni faraja kwetu , ubarikiwe sana
@Obwago5 сағат бұрын
Mzee ubarikiwe sana, umeamua kushinda unafiki tunajivunia kuwa na wewe
@AmonEzekielMesomapya-q5t9 сағат бұрын
Tunu ya Taifa mungu amuweke mda mrefu atatuunganisha
@IbrahimuAzizi6 сағат бұрын
Asante warioba waliojipanga wameshinda wameumbuka
@edsonkahesi86032 сағат бұрын
Nadhani hii press ni muhimu zaidi kwasasa kuzingatiwa na viongozi wakuu wa ccm ambao wamekuwa wakifanya uonevu mkubwa kwa sapoti ya viongozi wa tamisemi, polisi, migambo, watendaji na tume ya uchaguzi dhidi ya wananchi. ccm wanatayarisha vyombo vya ulinzi na usalama mapema kwenye chaguzi kwakuwa wanajijua maovu yao hivyo wanaandaa vyombo hivyo ili kudhibiti hasira za wananchi ambao hawaridhishwi na dhuruma za wazi za chama tawala dhidi ya haki zao. Ngoma ikilia sana....wenye mamlaka acheni kubet amani ya nchi kwa namna hii. Huyu mzee amejaribu kuponya vidonda vya wananchi wengi na inabidi tumchukulie kama tunu ya taifa.
@DanielMgeni-x1z3 сағат бұрын
Ubalikiwe Mzee
@AllyFaraji-r4y4 сағат бұрын
Mzee anaongea point uyu
@prosperalphonce75405 сағат бұрын
He is so composed👏👏👏
@kitomaryjr5354Сағат бұрын
Mzee umemjibu vizuri sana Huyo Kada wa CCM Anayetafuta Uteuzi ndugu BALILE
@Leo-i9x8 сағат бұрын
Mungu baba wa Mbinguni akutunze sana, hakika wewe ni tunu ya Taifa letu
@dennisungonella20511 сағат бұрын
Huyu mzee ni mzalendo sana kwa taifa letu.Huwezi mwona kikwete akizungumzia haya
@JumaNjiku-df1fd7 сағат бұрын
Kikwete ndiye adui wa kwanza katika mchakatako wa katiba mpya! Yeye ndiye aliyewaruhusu wajumbe wa bunge la katiba kubadilisha, kuondoa, kuongeza , kukataa yale yote ambayo yangeathiri maslahi ya CCM. Ni yeye ndiye aliyezuia katiba mpya. Huyu ni adui wa mabadiliko katika nchi yetu. Huyu ndiye mshauri wa Samia. Huyu kwake CCM ni muhimu kuliko nchi yenyewe! Ni kikwazo cha democracy Tanzania!
@ErickJonson-d2q5 сағат бұрын
Safi sana mzee wetu
@Neemathomas-b3e5 сағат бұрын
Ndugai kasema ukwel kaonekana m baya saivi anaongea mzee wetu ukweli,mungu akupe maisha malefu sana
@jumasuleiman717111 сағат бұрын
Ccm wamesha iharibu nchii sasa munataka kurudisha nitabu saivii hakuna tena uchaguzii ni maigizo tuu malim sefu wa Zanzibar alishida sana Zanzibar ila mulifumbia macho sana saivii Tanzania nzima ccm wamesha ivuruga ndio munashtuka
@IssaAlly-lp4uf8 сағат бұрын
Wasituragai kujipanga na ujao
@yohanampamba6013 сағат бұрын
Kauri ya mzee wetu Warioba imeniponya majeraha ya uchaguzi na kunipa moyo wa kuendelea kupambana zaidi kwani waliopo madarakani wapo radhi kuawa raia ili waendelee kubakia madarakani.
@MuhammadHassan-xp6dc7 сағат бұрын
ongea ukweli mzee japo kuna wengine mashavu yatavimba
@nanguniMtaita-hz4zt10 сағат бұрын
Mzee Warioba, niyakweli unayoyasema mbele yetu, uko sahihi kabisa. Swali letu, hayo maelezo yako unamwambia nani ayafanye? Unagusa gusa tu, mwambie Mama Samia Suluhu uwazi, niyeye anaye uwa watoto wetu, ni yeye aliyemtuma mkwewe eti ana kifua kipana. Kwa vipi? Mama SAMIA hawezi EPA, yy ni MARDER Muuaji halisi. Sasa kazi yetu iliyobaki ni maombi kwa Mungu Muumbaji wa vyote. Amtie chango huyu mama naye afe. Kama Mwendazake. Inshallah.
@shinipapaya84610 сағат бұрын
Itabidi kuanzia leo tujue wapi unaishi
@johnsonfredrick9 сағат бұрын
Mzee wetu anasema ukweli ila sasa sijui kama kuna wanao muelewa nashauri aongezewe ulinzi
Ccm imefika muda wake wa kuondoka madarakani, imeshindwa kuendesha nchi inatumia vyombo vya dola kuiba kura.
@ThadeoJohn-ds6sg8 сағат бұрын
Selikali ndo hiyohiyo ya ccm hamna chama kingine kinacho shika dola zidi ya ccm
@akramissa339311 сағат бұрын
Mzee pekee aliyebaki na Busara zake. JK hawezi sema neno kama haya
@AliSalim-yu4mo4 сағат бұрын
CCM watamchukia sana Warioba masna wao ndio wanaoandaa fujo na vurugu kwasababu wamepoteza imani na wananchi hivyo wanalazimisha kutawala kwa kutumia vyombo vya dola!
@festokemibala583211 сағат бұрын
Mzee Wariiba sisi hapa kwwtu mtaani, aliyewekwa kuongoza kwanza ni "mtoto" kwa maana ya nenonlenyewe!! Hakupiga kampeni, hakunadi sera wala kuulizwa maswali na kujibu atafanya nini tofauti na mtangulizi (naye aliwekwa hakuwa na uwezo), hajui changamoto za mtaa, ana siasa za chuki za kubaguana. Mtangulizi wake alibagua watu kwa maeneo naye inaonekana anatembelea humo!! Tuna mashaka kama ataweza kuitisha mkutano wa mtaa na hatuna uhakika kama atacomply na sheria kwa kutusomea mapato na matumizi (mtangulizi wake hakuwahi kufanya hivyo na kama alifanya basi alijificha ktk kuwaita wanaomuunga mkono tu)!! Ni janga kwa huu mtaa ambao upo hapa Dsm, Ilala , Ukonga!!
@richardnganya23118 сағат бұрын
Sasa Warioba atafanya nini ?
@marthaswai118511 сағат бұрын
Huyu Baba ni mtumishi wa Mungu,mjumbe toka mbinguni. Mwenye kusikia na kutendea kazi kwenye nafasi yake atapona. Miaka yako Mungu airudishe nyuma ,tuweze kuendelea kuwa na wewe .Mungu akubariki Jaji Warioba
@HamisiKing-m4v10 сағат бұрын
Kuhusu uwekezaji wa Bandari hajatuambia kinacho endless anahamisha mada. Msipendi kumshirikisha mungu
@abelgodfrey85422 сағат бұрын
Kweli kabisa
@paulomwabusila12814 сағат бұрын
Huyu ni hazina kubwa sana ambayo kama watanzania tunaweza kumtumia kutatua changamot nyingi sana zilizopo katika Taifa letu anajua na ameshiriki katika mambo mengi sana, katiba ,waziri mkuu, issues za common wealth na nk
@adamuemanuel13384 сағат бұрын
HUYU MZEE ATAFIKA MBINGUNI YUKO REAL SANA HAYA MENGINE MACHAWA NJAA ZINAWAFANYA KUPINDISHA UKWELI SASA JAMANI MLISIKIA VILE VYAMA VYA CHOONI VILISEMA UCHAGUZI ULIKUWA MZURI HAUNA SHIDA VYAMA VYA KUJIKOMBA AISEE HUYU MZEE MUNGU ANA MAKUSUDI NAYE
@DandasiKundi10 сағат бұрын
Mimi nionavyo huwezi kutenganisha serikali na ccm viongozi wote wanawekwa Kwa masilahi ya chama Cha ccm
@adelinelyaruu30369 сағат бұрын
Hii Serikali ni ya CCM. They are one and the same thing
@simonnjovu5868 сағат бұрын
He is playing safe about ccm. Lakini shida kubwa ni CCM kuwa chama dola na kujaza uccm katika sector ya umma na nepotism. Hivyo ccm na serikali ni kata na mtungi tu. Askari ni makada, ndio maana askari wengi kabla na baada ya kustaafu wanateuliwa kwenye nafasi zenye uswahiba na ccm kv udc, urc, ukurugenzi, mashirika ya umma na taasisi mbalimbali hadi ubalozi.
@IbrahimJumanne-d5l3 сағат бұрын
Sema babu inchi yangu imearbika
@MuhammadHassan-xp6dc7 сағат бұрын
tumuombe sana mwenyezimungu atupe amani mzee anazungumza ukweli mtupu.
@realswahilicultural814010 сағат бұрын
Nikiwa raisi wa Tanzania nitakuwa dictator na sitawaurumia watanzania..❤
@simonnjovu5868 сағат бұрын
Utapinduliwa asubuhi tu.
@ipyanamwasampeta6539 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Mzee Warioba. Sasa nina imani polisi na CCM watakuelewa. Serikali hii ni hatari sana ina tupeleka kubaya sana hasa hii wizara TAMISEMI ni hatari sana.
@ChalesLukumai8 сағат бұрын
Jiulize zaidi. Kwanini hii wizara iwe ya hatari, ilhali Iko chini ya Rais?
@ipyanamwasampeta6537 сағат бұрын
@ChalesLukumai badhani tayari jibu unalo na una lijua.
@festokemibala583212 сағат бұрын
Hizo damu za wstu 75 na hizi za juzi ktk huu uchafuzi zinatutafuna!! Mungu anamwambia Kaini, damu ya ndugu yako inanililia! ....dhambi iko mlangoni mwako inakungoja, yapashwa uishinde!! Hatuna viongozi wenye hofu na Mungu, walioweke Neno la Mungu moyoni bali tunao watu ambao kwao damu kumwagika ni neema. Hawajui wanamtumikia shetani, hawajui kwamba hizo damu ni kafara na ndicho chakula cha majini!! Kwa maana hiyo hawa si wa kwetu, walishajitenga nasi tangu zama hizo. Wanaye Mungu wao wanayemtumikia, sisi tu ndo hatujang'amua. Tutubu tumrudie Mungu
@StephenMpallange8 сағат бұрын
Mheshiwa Kinana alitudanganya Watanzania kusema ATI Mh.Rais ana dhamiri njema na Uchaguzi huu wa TAMISEMI,kumbe ikaja kuwa tofauti kwa maagizo yake Rais "Kesho mjiandae kwa Uchaguzi" kweli Jeshi la Police limejiandaa vema,kwani majina ya Uteuzi mahali pengine wameteuwa wao na kubandika u matangazo ya Uteuzi Kama kule Kilimanjaro.
@IssaAlly-lp4uf9 сағат бұрын
Mzee anasimamia haki ata akifa leo kwenye ukumutake itakua tofauti na wengine
@ProsperReuben-fg6uh7 сағат бұрын
Mzee hoñggera lkn yule aliyekupigaga sasahiv anangivu ila matukio ni nyuma ya camera chunga mzeee wangu tunakupenda
@josephjulio61127 сағат бұрын
Tanzania ina wazee 4 tu wengine walio baki ni hasara ya taifa
@mkushioriginalsillo507410 сағат бұрын
Mh.Mzee Warioba usimumunye maneno ,chaguzi zimefanyika nyingi hapakuwa na huu uhuni huu ulio asisiwa na Maremu JPM.Kwa mtu mwenye akili za kawaida ni vigumu kuamini kwamba Mh.Hahusiki
@IssaAlly-lp4uf8 сағат бұрын
Sana jpm ndio sababu
@asungushepatrick54147 сағат бұрын
Kikwete jifunze kwa huyu mzee
@Neemathomas-b3e5 сағат бұрын
Huyu mzee nimemuelewa sana,bora utusaidie jamani na huyo ni wa ccm,kasema ukweli mungu amsaidie jamani maana tuna viongozi magalasa halafu eti wanajisifia
@philchiputa242511 сағат бұрын
Hao wazee wastaafu wa CCM wanapaswa kukutana kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi yetu na serikali iwe sikivu. Wafikirie kuhusu vizazi vijavyo.
@adelinelyaruu30369 сағат бұрын
Waombe appointment wakamuone Rais. Yaliyopita si ndwele tugange ya sasa na siku zijazo. We are answerable to the current and future generations
@simonnjovu5867 сағат бұрын
Huyu SSH hawezi kuwasikiliza, atawakubalia mdomoni lakini atawakatalia moyoni. Mangapi kaambiwa, na hata kuwakubalia mdomoni? Katenda lipi? Si huyuhuyu aliahidi uchaguzi huru na wa haki? Kwani alikuwa hasikii kelele za wagombea kukimbiwa na wasimamizi wasaidizi (maafisa watendaji) wakifunga ofisi na kuzima simu? Si msikivu kabisa.
@raphaelkessy73606 сағат бұрын
Hao wa staafu walisha maliza kazi zao watulie majumbani kwao MAMA KAZI ZAKE acheni unafiki wakati wa Kile CHUMA huyo Mzee hakuongea
@kirungekirunge59205 сағат бұрын
sawasawa mimi Niko na wewe eti haki hapa sio mbinguni tupo duniani Kwa manufaa sio luchekeana raisi akupe ukurugenzi arafu utangaze mpinzani mama we sema tu nyonva huyo atasweka kama mdude@@raphaelkessy7360
@PetroMggalu3 сағат бұрын
Anae mjua Mungu na mwenye hofu ya Mungu ndiye anaweza kusema kweli na kwa hekima kubwa kwa kuwa ana tarajia kiishi Tena milele mbinguni, na bila ya kweli na hekima kimungu haiwezekani hata kuichungulia mbingu. Mzee wangu mtumishi wa Mungu kaza mwendo kusema kweli malipo yako ni mema kwa Mungu japo wanadamu watakutenda maovu sana.
@EmmySanga-h3o6 сағат бұрын
❤
@digiD-Talk10 сағат бұрын
Kati ya wazee wa maana tuobaki nao katika taifa hilii lenye viongozi wengi washupaza mashingo
@JeremiahMwampamba5 сағат бұрын
Mzeee yuko saiii kabisaa
@OsianaMwakigar4 сағат бұрын
Mwacheni Mzee apumzime kama hamna uelewa acha tuongozwe na wanao elewa,katiba mpya iisubirini inakuja apo mlipo mlipo kaa
@kwambokamkisii387010 сағат бұрын
Haki itendeke kwa wapiga kura, japo chama tawala kina nguvu, demokrasia ifuatwe tu. Iwepo haki ya wapiga kura kuamua nani awaongoze. Na sio haya yanayoendelea. Watu wa ccm wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana uhuni na uonevu ndani ya chama. Watendaji na viongozi wa kata hasa katibu kata sio waaminifu.
@patrickkaite38225 сағат бұрын
😭😭😭😭😭 Mzee umenitowa machozi
@NyerereWomen7 сағат бұрын
Baba Warioba uwaunganishe wajadili mustakabali wa taifa letu. Vijana watambua umuhimu wa usalama wa kila raia bila kujali itikadi wa vyama. Hali hiyo haitamnufaisha mtu yeyote awe mtawala au raia au vijana. Wadau wanachelewa kujitokeza kunusuru uhai wa vijana wa taifa letu.
@malindimalindimerinyo16325 сағат бұрын
Mzee Warioba ukovizuri sana mimi binafsi kweli kabisa huwezi kutenganisha ccm na serikali kwakuwa mwenyekiti wa ccm ndiye rais wa serikali hii ...na wewe mzee sio kuwa hauelewi kuwa kuwa ccm ndiyo serikali na serikali ndiyo ccm ila unakwepa kwepa kwa hekima yako na busara yako
@Marry-v8e4 сағат бұрын
Ukweli humweka mtu huru,ubarikiwe Sana .
@JohnMalina-k7o10 сағат бұрын
Kama watanzania hatutatumia hazina kama Warioba na Butiku,labda vizazi vya 2090 vitajitambua!
@StephenMpallange8 сағат бұрын
Hata Sheria Mpya ya Uchaguzi iliyopitishwa ni kiini Macho kwani inapingana na Katiba tuliyo nayo.Tulipaswa kwanza kubadili au kurekebisha Katiba kwanza ndipo tutunge Sheria mpya ya Uchaguzi ili iendane na Katiba.Cha kustaajabisha ni kwamba Sheria mpya ya Uchaguzi haiendani na Katiba tuliyonayo vinapingana.
@SKY-fk3fz3 сағат бұрын
Mzee wa busara na hekma ndo hazina yetu iliyobakia Tanzania katika siasa
@AbdulGaguti-p7b9 сағат бұрын
Mzee Warioba ni CCM ipi unayosema haikibaliani na wizi wa kura, na uenguaji wa gombea wa upinzani? Hivi Raisi Samia siyo M/kiti wa CCM? hivi aliyesimamia uchaguzi si Wizara ya Tamisemi hivi Waziri Mchengerwa siyo mwanachama wa CCM? Unatuambia CCM haiusiki? Kivipi sasa?
@StephenMpallange7 сағат бұрын
CWahusika wote walioharibu Uchaguzi wajihoji wajitafakari na kuchukua hatua ya kujiuzuru.Wakuu wote wa Wilaya,Wakurugenzi wote,na Watendaji wote wa Vijiji na Mitaa.Tupate Watendaji wapya kabisa.
@DandasiKundi11 сағат бұрын
Mzee hapa nilipo watu walioshinda tumeletewa sio viongozi walioshindanishwa wameimgizwa na tumelazimishiwa viongozi ambao hawatufai ilaungu yupo atajibu tu tutapiga sala.
@omarimsangi40755 сағат бұрын
POLE SANA NA HONGERA KWA USHUJAA WA KUSEMA UKWELI NI USHUJAA MKUBWA SANA
@AllanLyombile5 сағат бұрын
Mzee Warioba anajuwa wazi kwamba CCM ndio wanaoituma serikali kufanya uharamia kwenye chaguzi ila anajaribu kulinda heshima ya chama ingawa ni ngumu mno.
@hassanhamud-pw1qp7 сағат бұрын
Hii ndio maana yakua msomi...heshima kwako mzee warioba taifa limekusikia huna deni kwa watamzania babu yetu
@bezarelchilewa406210 сағат бұрын
❤👍
@MkJj-m7g3 сағат бұрын
Bila ccm imara nchi itayumba. Kwa sasa nchi inayumba kwa vile uimara wa ccm umeisha. Ndio maana inaogopa sanduku la kura.
@benedictnkini4 сағат бұрын
It is difficult for deaf ear tolisten
@nelsonmwavipa9761Сағат бұрын
Mzee umesema ukweli binafsi sina hamu na uchaguzi wa tz wala hauleti hamasa.
@nassorsharifu98373 сағат бұрын
CCM wanachukulia utulivu wa watanzania kama ni uoga ila watambue kuwa uvumilivu wa kuonewa una Kikomo.
@WilsonChamhene10 сағат бұрын
Ni kweli kabisa.Huyu Mzee Warioba ni tunu yetu.Mungu aendelee kumpa afya njema.Anahofu ya Mungu.Tuendele kumwombea.
@uwandanet93827 сағат бұрын
Umesema. Ukweli Mzee Warioba nchi sio Mali ya chama Fulani tuu, Bali ni Mali ya watanzania wote bila kujali chama kiwe chama Tawala au chama Pinzani vyote vina uwanja sawa wakati wa uchaguzi. Hili linawezekana Kwa kuwa na Time Huru ya Uhaguzi.
@levinageofrey776610 сағат бұрын
42:47
@AbdulhaamisSoud12 сағат бұрын
Niserekali inayoingiza polisi ktk siasa sio CCM kwan iyoserekali ipo chini ya chama gani?rais nitu kutoka chama gan?
@SalumSaid-r7p10 сағат бұрын
Ongeza akili ufahamu hekima.
@KibwanaMohamed-v8n11 сағат бұрын
mzee unasema kweli jakaya anafanya komedi ana maoni yoyote akemei anajifanya zuga. tuu