No video

Dola Ziko Wapi?| Uchambuzi Kuhusu Uhaba wa Dola, Nini Chanzo? Nini Suluhu? | Mtazamo wa Pili (Ep 02)

  Рет қаралды 1,446

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Juni 13,2024, serikali ya Tanzania itasoma bajeti yake kwa mwaka 2024/25. Moja ya mambo yanayosubiriwa ni mkakati ambao serikali imesema itauweka juu ya upungufu wa dola. Tumefanya uchambuzi juu ya hali ya upatikanaji dola na kuonesha baadhi ya suluhu, karibu ufuatilie:
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 8
@justinmtengela403
@justinmtengela403 2 ай бұрын
Well done 👍 good analysis. Nadhani ni wakati sahihi kama nchi kujenga uwezo na kuongeza uzalishaji wa Chuma(Nyanda za Juu Kusini), Dhahabu(Kanda ya Ziwa), Madawa(Kanda Mashariki), Mbolea(Kanda ya Kaskazini) na Oil & Gas exploration ilituweze kupunguza uagizwaji mkubwa wa bidhaa hizo nje na kuongeza upatikanaji wa Dollars. BoT iendelee kununua Dhahabu(Gold reserve) kwa wingi iliiweze ku hedge against the Dollar.
@charsm8778
@charsm8778 2 ай бұрын
Here are some additional points to consider: - Tanzania's government has implemented policies aimed at increasing local ownership and control in key sectors, which can limit foreign investment and affect access to US dollars. - Uganda, on the other hand, has pursued a more liberal economic approach, encouraging foreign investment and trade. - Kenya has invested heavily in its financial sector, making it a regional hub for banking and investment. - Corruption and bureaucratic red tape can also affect the ease of doing business in each country, with Tanzania and Uganda facing more challenges in this regard. - Additionally, the three countries have different economic priorities, with Tanzania focusing on industrialization, Uganda on agriculture and oil, and Kenya on technology and innovation. These factors all contribute to the different business environments and access to foreign currency in each country. Your research is shedding light on these important differences!
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 ай бұрын
Tunanunua tu kutoka Ulaya magharibi na Marekani hili nj jipu kubwa mno ili tuepuke hilo lazima tutumie sarafu zetu za ndani kuuziana sisi kwa sisi ili kuepuka hilo pengine
@charsm8778
@charsm8778 2 ай бұрын
Tanzania has stricter financial controls and more regulations governing business compared to Uganda and Kenya, which can make it harder for businesses to operate and attract foreign investment. This can lead to a shortage of US dollars in the country, making it harder for businesses to import goods and services. Here are some key differences in the business environments of the three countries: - Tanzania: Stricter regulations, higher taxes, and more bureaucratic hurdles. - Uganda: More business-friendly environment, with fewer regulations and lower taxes. - Kenya: Known for its entrepreneurial spirit, with a more developed financial sector and stronger investor protections. These differences can affect the ease of doing business, access to foreign currency, and overall economic growth. Your research highlights the challenges Tanzania faces in attracting foreign investment and maintaining a stable supply of foreign currency. Keep up the good work with your research!
@user-pf2qk8fz9o
@user-pf2qk8fz9o 2 ай бұрын
Safi saaana mchumi mahiri kwa darasa huru tunaoishi mpaka nia haina shida kivile😊😊
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 2 ай бұрын
Jibu rahisi hatuweki pesa bali tunanunua kila kitu cha nje kwa dollar tungekuwa tunauza raw materials kwa dollar hapo zingepatikana .
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 2 ай бұрын
Asante sana ❤❤
@user-bv1jd6qw7z
@user-bv1jd6qw7z 2 ай бұрын
Msisaha kama Tunaelekea Kuleee Kwenye Pesa Digitale habari Ya Pesa CASH INAONDOKA
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 50 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 19 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 25 МЛН
What is Turkey's agenda in Africa?
10:51
GZT
Рет қаралды 162 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 383 М.
CHANZO CHA UMASIKINI - Part 1
13:47
Success Path Network
Рет қаралды 324 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН