No video

Saida Karoli: Nimeshanyanyaswa Sana na Kudhalilika, Tunapiga Show Mamilioni napewa Elfu 5 na Meneja.

  Рет қаралды 85,311

TimesFMTZ

TimesFMTZ

7 жыл бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 82
@user-mf1jw8ho5w
@user-mf1jw8ho5w 7 ай бұрын
❤ diamond ndo mtapeli wa nyimbo za watu
@AlascoSylla-if7tm
@AlascoSylla-if7tm 3 ай бұрын
Hi family GE am Ivorian jem pia muziki wa kipenzi chetu Saïda ndoto yangu ya kuona yetu Saïda kabla ya kufa tafadhali nisaidie kukutana na Saïda
@samsungandroid9277
@samsungandroid9277 7 жыл бұрын
Woo!! Swafii sana mama
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 жыл бұрын
Inasikitisha sana watu wanayotajirikia kupitia sauti za wengine so sad. Angekuwa mbali sana dada huyu.
@mahmoudmugaga3466
@mahmoudmugaga3466 6 жыл бұрын
Jamani daaah
@yassinm69
@yassinm69 3 жыл бұрын
The iconic saida karoli
@davidomach6082
@davidomach6082 5 жыл бұрын
Kilicho na sifa, na lipewe sifa ,Saida Sauti unao,# from Kenya with respect
@barakamtonyole6555
@barakamtonyole6555 7 жыл бұрын
Saida hongera kwa kurudi tena kwenye game Sasa tazama mbele zaidi
@user-fo1mj6ct9b
@user-fo1mj6ct9b 2 ай бұрын
Mungu akupe afya njema
@peacemwesiga
@peacemwesiga 5 ай бұрын
❤❤❤saida kipaji alichokupa Mungu ni haki yako tu love Tanzania 🇹🇿 🇹🇿
@andrew29468
@andrew29468 7 жыл бұрын
asaidiwe apate ridhiki yke jmn,nampenda sana hyu dada,mpole sanaa
@AlascoSylla-if7tm
@AlascoSylla-if7tm 3 ай бұрын
GE suis ivoirien GE suis un grand fan de Saïda longue vie santé bonheur prospérité bouco argent a Saïda ke Allah te protège
@munaongoeliebamongi8128
@munaongoeliebamongi8128 3 жыл бұрын
Mimi nota ongeza wengine watoto naye bibi saida please madame i love youuuu
@tarmoealoyt4835
@tarmoealoyt4835 5 жыл бұрын
Nakupenda sana Saidaaa
@edwardmwaipopo2203
@edwardmwaipopo2203 7 жыл бұрын
naipenda sana nyimbo ya maria Salome
@najma3268
@najma3268 7 жыл бұрын
Nakupenda sana mamy saidia Karoli
@user-mf1jw8ho5w
@user-mf1jw8ho5w 7 ай бұрын
❤kani kama saida big love from Kenya
@africanspotless
@africanspotless 7 жыл бұрын
Nakuombea mafanikio. Mungu akusafishie njia zako!
@swidatyomary1380
@swidatyomary1380 6 жыл бұрын
Una saut ya kipekee mamy.... Muhaya wetu.. Miss wetu..... Tumekumiss
@hopehope5830
@hopehope5830 6 жыл бұрын
Mungu akusaidie mamy! Nakupenda Sana ni mtafutaji
@andersonlugemalila3281
@andersonlugemalila3281 7 жыл бұрын
show Kali ndio hii MTU mzima n mzima tu
@user-if4yq4lw3y
@user-if4yq4lw3y 5 ай бұрын
Hongera sana mum ,, MUNGU akubariki sana
@munashmahmoud6264
@munashmahmoud6264 7 жыл бұрын
daah nmeipenda i see mama saida BIG-UP MAMA
@alexandrinadomaino1085
@alexandrinadomaino1085 7 жыл бұрын
Asanteeee mama Saida.
@biyamungu1021
@biyamungu1021 7 жыл бұрын
dada yangu saida ana hakili sn,nimempenda si mtu wa kulalamika naamini kuna waliomwangusha kisanii lkn mungu ni mwema
@alfanabdul161
@alfanabdul161 7 жыл бұрын
kwani mona ni mtangazaji
@yuzarsiifdeclassic5579
@yuzarsiifdeclassic5579 7 жыл бұрын
Big up saidi karoli
@user-fq6xx4ww4c
@user-fq6xx4ww4c 5 ай бұрын
Nikiskia nyimbo zako najikuta nipo school
@ericakataraihya7315
@ericakataraihya7315 5 жыл бұрын
Saida karoli, Alikiba, Diamond platnumz.. need to link up . And give us a song... They should take notes. From Nigerians..🇹🇿🇹🇿
@johnmassay9712
@johnmassay9712 7 жыл бұрын
Dah ase historia ya huyu mama imeni touch kinomaa
@elizatarimo2074
@elizatarimo2074 7 жыл бұрын
safi mama
@ngongashadrack1192
@ngongashadrack1192 3 жыл бұрын
Dada saida, ahsante Sana. Ninakupenda sana. Nyimbo zako zanituliza moyoni!!
@adelinoligoriosalimo7119
@adelinoligoriosalimo7119 Жыл бұрын
Mãe grande eu amo ela porque ela foi a primeira cantora que eu assisti Moz
@franklazaro7660
@franklazaro7660 7 жыл бұрын
big up Saida bwana
@AwadhiJuma-mn7iv
@AwadhiJuma-mn7iv 3 ай бұрын
Napataje nyimbo zako vidio
@Bintluckas3918
@Bintluckas3918 Жыл бұрын
Waoooh una saut nzur Saida Karoli
@AlascoSylla-if7tm
@AlascoSylla-if7tm 3 ай бұрын
Mon rêve de voir Saïda avant de mourir ke dieu me montrer ce jour
@kaizamulinda633
@kaizamulinda633 7 жыл бұрын
So far Orugambo stands out the best song to me
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 жыл бұрын
Mashallah, ng'ombe azeeki maini, kizazi sana.
@rosemdimu3651
@rosemdimu3651 Жыл бұрын
dada nampata vizuri
@jescaedwardkurumela4333
@jescaedwardkurumela4333 2 жыл бұрын
Love u Saida
@fetilishazomar4799
@fetilishazomar4799 7 жыл бұрын
napenda sana ww
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 6 жыл бұрын
Anaimba live vizuri sanaaaaaaaaaaaaa
@ramadhaniduruduru3153
@ramadhaniduruduru3153 7 жыл бұрын
mm nawewe tumetokaa mbaliii .unatisha said a kaloli.
@hassanlyimu9211
@hassanlyimu9211 7 жыл бұрын
Nimekukubali dada saida
@paulinakebacho5971
@paulinakebacho5971 7 жыл бұрын
mimi nawewe umenikumbusha enzi dada angu anaolewa tulichez huo wimbo nilikua mdogo niliku bi harusi mdogo acha weeeeee
@skywillsolutions6856
@skywillsolutions6856 4 ай бұрын
Maria Salome I love the song just don't know the meaning
@fidetomas4507
@fidetomas4507 2 жыл бұрын
Mungu atakuripa tu
@nurumanyota8447
@nurumanyota8447 7 жыл бұрын
nampenda sana saida
@josephmateru8892
@josephmateru8892 6 жыл бұрын
Jaman Kwa Hit Hz Bdo Ujatoboa du Kweli Wamekunyonya Cnaaa
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Жыл бұрын
nampendaga huyu mama yetu
@samboreeadam4273
@samboreeadam4273 5 жыл бұрын
Sauti mayai sana kwa mama yetu
@husnamarandu8380
@husnamarandu8380 7 жыл бұрын
aaaah! hatari sna Dada nasaut ojiiii! lve ww saidaaaaa
@catherinemsofe8020
@catherinemsofe8020 7 жыл бұрын
nampenda sana
@josephmateru8892
@josephmateru8892 6 жыл бұрын
Jamani Nimejikuta Naumia Moyo Wngu duuu Lakin Mungu Nimwema Hanamakusudi Pia
@josemalugu3432
@josemalugu3432 6 жыл бұрын
Safiii
@ibrahimgagasalim3152
@ibrahimgagasalim3152 7 жыл бұрын
mama Saida huyo, ✌👏
@user-fo1mj6ct9b
@user-fo1mj6ct9b 2 ай бұрын
Saida dadaangu ninakukubali sana yan sijui niseme nn
@ericakataraihya7315
@ericakataraihya7315 5 жыл бұрын
Wow thats realy sad.. to hear that.. they will reap what they sow..
@AyyubMboga-jg8fy
@AyyubMboga-jg8fy 9 ай бұрын
Ss Tanzania 🇹🇿 akumsaidia huyu mama kulipwa ama nyinyi msiangazie mkafkisha habar kwa kampuni ya Hollywood huyu mama akalipwa
@sarahkabwelile3619
@sarahkabwelile3619 7 жыл бұрын
nice
@muhsinmahindukila9093
@muhsinmahindukila9093 2 жыл бұрын
saida kiboko bwana
@fatmanasser6829
@fatmanasser6829 7 жыл бұрын
dada msitarabu mpaka rahaa yani Anajiheshim xana
@youmanndayi5547
@youmanndayi5547 7 жыл бұрын
original
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 3 жыл бұрын
Penda San saida kaloli
@asiaokeay1654
@asiaokeay1654 5 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👊👊👊👊👊
@mouradradmou7696
@mouradradmou7696 7 жыл бұрын
hio movie inahitwaje
@kherryserera9451
@kherryserera9451 7 жыл бұрын
Mourad Radmou Movie inaitwa PEEPLES...Kazi n kwako kuitafuta
@kherryserera9451
@kherryserera9451 7 жыл бұрын
Mourad Radmou ,ukiipata nenda mpaka dakika ya 6:55
@user-vk2ir7vn5q
@user-vk2ir7vn5q 7 ай бұрын
Kiukweli mtu anaimba watu wanapiga pesa kupitia nguvu za wengine
@CarolNangila-qs3bv
@CarolNangila-qs3bv Жыл бұрын
Caroline
@jaquilineayuma3715
@jaquilineayuma3715 7 жыл бұрын
What's the title of that movie, sad though she received nothing
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 7 жыл бұрын
👏
@ndubivincent2823
@ndubivincent2823 7 жыл бұрын
hiyo nyimbo mapenzi ukitoa tu basi unitumie Kwa email yangu sawa mama angu iluv u
@beatricesisso5530
@beatricesisso5530 7 жыл бұрын
hiyo movie inaitwaje
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Mae mpola bojo nashasha muno
@bakarilikimua3019
@bakarilikimua3019 7 жыл бұрын
mama yuko poa sana
@salhayussuf5148
@salhayussuf5148 7 жыл бұрын
saida bado hujachelewa
@annemakee249
@annemakee249 6 жыл бұрын
+54lots of love mama
@mouradradmou7696
@mouradradmou7696 7 жыл бұрын
huyu mdada wa mic 1 umenimaliza
@brightonymartin2541
@brightonymartin2541 7 жыл бұрын
penda sana ww
Mjue Msanii Wako: Saida Karoli
10:15
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 60 М.
Saida Karoli anaendelea kuweka Historia kwenye Tigo Fiesta.
19:49
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 85 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 12 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 44 МЛН
Saida Karoli - Baba Tajiri (Official Audio)
10:01
WMJ STUDIO - CHIPMUNKS
Рет қаралды 1,5 МЛН
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
YahStoneTown
Рет қаралды 466 М.
Saida karoli alimwatusile orginal
11:31
Saidakaroli_original
Рет қаралды 243 М.
maria salome by SAIDA KAROLI
7:28
smokemygranny
Рет қаралды 3,2 МЛН
ROUND 1: Kama ulimmiss Saida Karoli kwenye Stage
22:21
Millard Ayo
Рет қаралды 181 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 85 МЛН