Hivi huyuu rais anapata usingizi kwelyi yanayifanyika tanzania ahoni hata wAkina butiku Nyerere foundation amemwambia samia afute viongozi wote kuanzia agp na waziri masauni na upande wa usalaama
@helencyprian8745Ай бұрын
Analala maana alisema yy ni chura majini hasikii kelele
@batwelimahenge7850Ай бұрын
Namba Moja wakwa za kujiuzulu ni sipka wa binge tulia
@brownmarwaАй бұрын
spika! spika! spika kweli umeamua kutusaliti wananchi kwa kipande Cha makate??
@SylvesterKameoАй бұрын
Shida na chanzo cha kadhia hii ni Bunge letu kupitisha sheria zisizozingatia maslahi ya wananchi linalowawakilisha badala yake kukumbatia matakwa ya tabaka tawala.
Mpaka sipika kwely anasali dini gani ahoni uchungu ja Mani kma.spika
@Mima-cl2imАй бұрын
Polisi wamewaangusha watanzania. Wengi imani yawo imeshuka sana. Mambo ya afande kuamulisha kubakwa kwa binti. Mambo ya watoto kulawitiwa na polisi kushindwa kuchukuwa hatuwa. Mambo ya kutoka ama kushindwa kuwachukulia hatuwa. Watanzania kwa sasa wanaishi na hofu ya kutopata haki
@ParadisomwagalaАй бұрын
TLS tunaomba nguvuzaidi ya kishelia sisi WATANGANYIKA tupotayari kuanza kuunda serikali tunayo ihitaji tofauti na haya mabumunda yanayotuongoza sasa
@MOSESIMCHUNGUZIАй бұрын
Spika wa bunge ndio chanzo nae ajihuzuru
@jarnskorelly464Ай бұрын
Spika wa bunge she is nothing ndugui alisema wakamwambia aombe msama kwa huyo mama yenu ndio maana munaonewa 😢😢
@DaudiMakazaАй бұрын
Spika anafuata upepo wa raisi mama akiuzunika na yy anauzunika mnatak afanyaje wkt mkuu wk mnajua awapendan lzm afuate hv hv ila anahuruma
@jarnskorelly464Ай бұрын
Ni kweli vkosi kazi ni wabaya sana😢pia polisi hawana utu kabisa
@MussaAlly-d4cАй бұрын
We unasema vikosi vivunje lakini ndo vinakulinda weee kaaa bila kulindwa kama utatoboa mambo mengine 2muachie mung kama imefikavimefika2 kikubwa 2siwe masemaji 2achie dola 2😂😂😂😂
@StevenGendo-vx9joАй бұрын
We nii mpumbavu Tena kilaza kabisa unalindwa na nani ww au hujuwi hata kinachoendelea
@jarnskorelly464Ай бұрын
Spika ajiuzulu kabisa mbungu lianze upya wale ambao hawafai watoke nimewamiss ndugai sana
@msafiriomary893Ай бұрын
Saizi watanzania kra mtu awe na siraha kwa ajiri ya kijirinda tumefikia pabaya