Tatizo lenu motivational speakers wa Tz mnajisifia sana na kukosoa sana badala ya kuwapa watu moyo...Joel nanauka anajielewa sana na anajua sana kutia watu moyo na kuwapa ushauri tofauti na wengine
@chrispinechristian2385 жыл бұрын
Mr. Anthony somo lako zuri sana limeweza kunipa mtazamo chanya ya kwamba nikitaka kufanikiwa ni lazima nifkrie zaidi kuliko ajira niliyonayo thankx my braza nayafanyia kazi siku moja nitakuja na ushuhhuda maana umenihamasisha kweli. mwisho Mr. Anthony & Joel Nanauka may god bless you forever for inspiring people on how to success in their life.
@muhsinyahaya47635 жыл бұрын
Thanks Brother kwa kunifngua macho
@richardlugata5767 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana ndg
@lameckmileka2276 жыл бұрын
ahsante sana mc luvanda napenda inspiration zako hakika nazidi kujifunza but tunakukabilibisha mkwawa University uje utoe elimu
@graciuosmhavile22896 жыл бұрын
Hongera vizuri sana kaka tunashukuru sana msolwa secondary
@engelbertliberati71277 жыл бұрын
kaz nzuri keep it up $ go on
@johnissa29306 жыл бұрын
Ahsante brother najifunza mengi
@khalfaningeleja65796 жыл бұрын
You nailed Bro i really appreciate.
@nyanzalakaporo42196 жыл бұрын
so lovely and powerful my Brother .... you keep my life up and i know how to start.
@stevenchusi85595 жыл бұрын
Kaka nashukuru kwa mafundisho yako mazuri,,, lakini nashauri ungekuwa unakuja hata vyuo vya IRINGA , mimi nipo mkwawa university natamani mafundisho itawasaidia wengi.
@chalimacochali61336 жыл бұрын
Nashkuru kwa elimu nzuri tok kwako
@veralxalx34447 жыл бұрын
thanks very much for give me a light be blessed
@daudmasui88905 жыл бұрын
Dah!it's naked truth Mr ..Ata mageti sikuiz yanafunguliwa kwa Simoti so walinz ajira inapotea polepole
@nyanzalakaporo42196 жыл бұрын
Naimani Biashara zangu za ubuyu na kalanga zitaendelea vizuri kabisa , ume nitia moyo sana na umenipa nguvu kubwa sana ya kuendelea mbele zaidi na zaidi kaka ubarikiwe sana.
@aasiyaasia6825 жыл бұрын
nyanzala kaporo hongera sana,uckate tamAa endlea kusonga mbele,m pia n mchanga ktk biashara ya Ubuyu waweza kuniambia mbinu unazotumia katika kuusambaza?
@shafimotivation72157 жыл бұрын
I love this one brother, thinking of redoing it there #gamechangerTv
@robertgwelela65817 жыл бұрын
Thank you for your teaching mc Luvanda.
@stephenmuthui58456 жыл бұрын
Antony what u have doesn't belong to Tanzanians only.very important wow!!!
@maikomstafa31007 жыл бұрын
Mc ur so intelligent coz ur inspire me too much iwish to meet with you
@bahathkamchatka30167 жыл бұрын
Bahathkamchatka192@gmail.com
@getrudenyamvula35116 жыл бұрын
Antony keep it up from kenya nasoma kupitiakwako
@TonyInspirationalTalk6 жыл бұрын
Getrude Reda Thank you
@mohamedothumanhussein2792 Жыл бұрын
Thnx
@barikipeter7216 жыл бұрын
Thank you for spirit
@kagemuloschool7 жыл бұрын
More inspired mentor
@jacksonkinange46056 жыл бұрын
Good Uncle Luvanda
@victormwakenja63347 жыл бұрын
nakukubali sana boss
@gamechangerstz2577 жыл бұрын
focus
@bahathkamchatka30167 жыл бұрын
Safi sanaaaaaa
@barakalapoi37917 жыл бұрын
Unajua sana
@totonmeshack51625 жыл бұрын
Much appreciation
@shadrackmahewa15606 жыл бұрын
Thanks I wiil find u, when I be mature in my bznesss
@mozaomar89452 жыл бұрын
Yaani Mc Luvanda serikali ingebidi iandae curriculum tukafundishe haya mambo ni muhimu mno. One day napenda tuonane mubashara.
@mariammasalu38316 жыл бұрын
Asante kwa masomo bro
@busiziabdoul12638 ай бұрын
Hi
@stevenraymondofficial_mrut89007 жыл бұрын
right broo!!
@davidmasanja95266 жыл бұрын
Bro punguza Kingereza sna kwenye kuelezea mambo
@magnusbugingo74716 жыл бұрын
David Masanja shinda ni kwamba anaandaa speech na material kwa lugha ya kiingereza alfu kuna baadhi ya maneno ya kiswahili ni magumu kutamukika kilas kwa lugha ya kiingereza so simple to pronounce
@andreamlwafu70686 жыл бұрын
Your very serious
@gabieltangson737 жыл бұрын
thanks for encourage
@mussashabani89157 жыл бұрын
Tangson G video
@robertgwelela65817 жыл бұрын
Nimekupata vzuri mwalimu.mimi ni mmojawapo wa wale wanaojengwa na haya mafundisho.Mungu aendelee kukutunza na kukupa maisha marefu.
@thomasenockgogomoka60566 жыл бұрын
You're doing great job. Very helpfully and much inspiration. I wish to have your contact
@getrudenyamvula35116 жыл бұрын
hio ya kucopy imeweza@😂😂😂
@magnusbugingo74716 жыл бұрын
Getrude Reda unapaswa kuelewa kuwa tuna utofauti mkubwa sana in terms of iq , talent, presention skills, confidence nk
@nhoutyeddycole75065 жыл бұрын
kwahiyo watoke vyuoni na madarasani ,waachee kusoma waje kupata darasa la ujasiliamali?
@lugiko7 жыл бұрын
Lin muce utakuja?
@khalfanomar76654 жыл бұрын
Unafahamisha vzr ningekuomba punguza kuongea kingereza I'll na. sisi mbumbu tukuelewe kwani hata hao unaogea kunawengine umeshawamwaga njiani
@annamazengo9757 ай бұрын
Sijaelewa vizuri mbona kama unawakatisha watu tamaa ya kusoma,ina maana kila kitu sio muhimu?
@nurdinimndeme29126 жыл бұрын
AH ' nawaonea huruma sana ndugu zangu million waliokufa wakati tunakimbilia Yai tumboni kwa MAMA ' but wasiali kwa kuwa niliwashinda NITATIMIZA malengo yao pia JAPO hawaishi . haha