NAIBU WAZIRI APOKEA MABEHEWA YA GHOROFA DAR, "MABEHEWA HAYA NI MAJIBU YA MASWALI YA WANANCHI"

  Рет қаралды 25,933

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@benjaminsendama6215
@benjaminsendama6215 Жыл бұрын
Daaaaah magufuri huyu angekuwepo angalau akashuhudia kazi alizoziazishaaa daaah , lakin hata musa hakufika nchi ya ahadi ila aliowaongoza walifika wengine na wengine hawakufika
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Жыл бұрын
Ni mapya au takataka kwa wazungu Tanzania Ni mapya?
@hijazhija316
@hijazhija316 Жыл бұрын
Wivu+chuki=
@RonnieBertin-f7f
@RonnieBertin-f7f 5 ай бұрын
@@hijazhija316 KWA KIINGELEZA HUYU MJINGA TUNAMUITA HATER
@timo.5449
@timo.5449 Жыл бұрын
Mabehewa hayo yamerekebishwa kabisa, na sidhani yana zaidi ya miaka 10 hadi 15. Hakuna kitu kibaya kwao. Mabehewa mapya yana gharama kubwa kwa sasa, kwa hivyo hii ndiyo hatua sahihi kwa sasa. Baadaye, baada ya TRZ kukomaa na kupata faida fulani kwenye uwekezaji, basi tutazingatia mapya. Kwa hivyo kwa wale ambao hupenda kufanya chochote isipokuwa kulalamika, ketini mahali fulani na mupumzike. Tutafika huko tukifika.
@zawadix9574
@zawadix9574 Жыл бұрын
Ukweli baba
@ritamutoka7768
@ritamutoka7768 Жыл бұрын
Lies, lies and more lies. You lie and this level of lie telling is pathological. Mbona ndege zinanunuliwa mpya ? Hii hoja yako ni ya juu juu. Je serikali ina maelezo yapi kuhusu ununuzi wa mabehewa mazee ? Magufuli aliita kupigwa na ndilo lililofanyika kwenye hili jambo. Stop playing with our intelligence 😮
@EmanuelMuna-w2q
@EmanuelMuna-w2q Ай бұрын
Ndg. Eng. Kadogosa, Haya mabehewa mapya ya ghorofa toka Ujerumani yataanza kufanya kazi za usafirishaji wa abiria lini? Je mabehewa 24 yaliyobaki pamoja na vichwa viwili vya treni toka Ujerumani, vitawasili lini nchini? Mbona sasa mabehewa yameegeshwa pale Pugu Station zaidi ya mwaka mmoja, bila kuona uanaji wa kazi na uendeshaji wa biashara ya usafirishaji? Je mwelekeo na msimamo halisi wa mradi wa mabehewa hayo ya ghorofa pamoja na vichwa viwili umefikia wapi? Swali hili linaenda moja kwa moja kwa Ndg. Eng. Kadogosa, Mkurugenzi Mtendaji wa TRC. Majibu yanahitajika haraka.
@keloseko8415
@keloseko8415 Жыл бұрын
Saafiii, saaagii saana
@bensonotiende751
@bensonotiende751 Жыл бұрын
Kwani ni ya gorofa waaah
@josephstephen2047
@josephstephen2047 Жыл бұрын
Yeah ni ya gorofa
@nth3512
@nth3512 Жыл бұрын
Tatizo rangi zenu ndo mbaya, yani uzi wa kijani ni muhimu, alafu hiyo rangi ya udongo iwe kwa asilimia chache hata msitari tu. Lakin white, green na hiyo chocolate ndo ziwe kwa wingi. Au huo udongo uwe sehemu ya chocolate na chocolate iwe kwa wingi kwa niaba ya hiyo ya udongo
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 11 ай бұрын
Hamna kitu unachokijua, we shukuru tu!!
@nth3512
@nth3512 11 ай бұрын
@@MichaelMathew-j3f We unachokijua kimekusaidia nn? Mpuuzi kweli. Sa mbona wamebadilisha kweny vichwa vipya
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 11 ай бұрын
@@nth3512 shukuru kwa yote!! Hata hiyo kidogo we shukuru tu!! Mtu wa Mungu huwa kazi yake ni kushukuru tu!! Upo mzee!! 🤣🤣🤣🤣🤣 Mjinga ww!!!
@nth3512
@nth3512 11 ай бұрын
@@MichaelMathew-j3f Nyie ndo wajinga mnaojifanya watu wa mungu, hamtumii hata akili mnafata tu mambo kiupofu. We nani aliekwambia Mungu anazuia maono ya watu?? We fala kweli unashukuru tu km kondoo. Na izo akili ulizopewa za kazi gani. Acha ufala we mshamba, tumia icho kichwa mshenz, sio tu unakibeba km mzigo na punda
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 11 ай бұрын
Sasa Hawa wajerumani wametuuzia mabehewa vichwa vya Kuvuta haya magorofa hawajaleta au kwa vichwa hivi vya mkorea?
@shuwebmohamed
@shuwebmohamed Жыл бұрын
Hi hello my dear sir shuweb Mohamed subscription
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Жыл бұрын
Kwahizi nawapa mkono wa kongore viongozi wangu naombeni muuenderee kuieshimisha nchi yetu hizi behewa ni nzuri sio kama yare ya mwanzo.
@GMShifo
@GMShifo 8 ай бұрын
Rangi mbaya, Rangi ya Jela 😢
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 8 ай бұрын
leta zako nzuri
@amanafi1288
@amanafi1288 Жыл бұрын
Ni German sioo... Congratulations...
@kulwamadirisha-bs5wx
@kulwamadirisha-bs5wx 9 ай бұрын
Hahahahaha mtumba wa German umepakwa langi kwa umakini duuuuh hii nchi inaahida sana
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Жыл бұрын
MH RAIS HONGERA HONGERA SANA MAMA HONGERA BEHEWA NZURI TUAOMBA ZIONGEZWE JAPO 90 AU 120
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 8 ай бұрын
Mkao wa siti za kizamani bana mambo yakutazamana ya kishamba
@InnocentAlfred-ro1nx
@InnocentAlfred-ro1nx Жыл бұрын
Kilo changu yasje tokea. Kama yaliuojtokeza ktka mardi wa mabasi ya mwendo kasi Hao sekta bnafsi wakae pembeni wapewe jeshi wasmamie
@bentaomari4272
@bentaomari4272 Жыл бұрын
Ndiyo kazi iliyobakia ni kupiga picha na mabehewa tu ila bongo bhana 🤣🤣🤣
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Hakika hizi ndo behewa ndo tunazitaka kwa SGR yetu,, za mwanzo zileee duuuh
@zawadix9574
@zawadix9574 Жыл бұрын
Za kwanza aibu sana
@vicentmigodela190
@vicentmigodela190 Жыл бұрын
Rangi mbayaaaa kwanini wamechagua hiyo rangi au mmechaguliwa
@sultandihomba4359
@sultandihomba4359 Жыл бұрын
Used German
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 Жыл бұрын
Porojo nyiiiingi, Dar - Moro safari zinaanza lini?
@hazmanriess8949
@hazmanriess8949 Жыл бұрын
Colour not good enough.
@ShabaniAthumani-e5w
@ShabaniAthumani-e5w 9 ай бұрын
Hee kumbe uchaguzi unakalibia acheni izo zaukoloni
@FikiriKhalifa
@FikiriKhalifa Жыл бұрын
Nikijaaliwa nitaipanda adi kwetu kilosa
@cidewashington670
@cidewashington670 Жыл бұрын
Bandari iliishauzwa huko
@jitukorofi9517
@jitukorofi9517 Жыл бұрын
Na matako yako pia tutayauza nyau we
@cidewashington670
@cidewashington670 Жыл бұрын
Kumbe mitumba hio, kikosi kazi cha wauza nchi kinaendelea na upigaji
@zawadix9574
@zawadix9574 Жыл бұрын
No common mitumba nzuri tu
@InnocentAlfred-ro1nx
@InnocentAlfred-ro1nx Жыл бұрын
Kilo changu yasje tokea. Kama yaliuojtokeza ktka mardi wa mabasi ya mwendo kasi Hao sekta bnafsi wakae pembeni wapewe jeshi wasmamie
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 30 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 669 М.
FULL KIPINDI  RELI NA MATUKIO  ONGEZEKO LA SAFARI ZA TRENI
25:53
TRC RELI TV
Рет қаралды 3 М.
HATONGOZEKI
9:13
Joti TV
Рет қаралды 396 М.
NJE MPAKA NDANI YA MABEHEWA YA KISASA YA GHOROFA YA SGR
6:23
TRC RELI TV
Рет қаралды 38 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 30 МЛН