Na mm nikipata Pesa nitakodi behewa langu peke yangu
@jabirhamisi80366 сағат бұрын
Kuna tatizo katika kumkagua abiria, Inafika hatua abiria tunapoteza vifaa vyetu pindi unapoambiwa uvivue kama vile mkanda wa kuvaa kiunoni. Unamwambia abiria avue mkanda kabla hajaingia ktk scanner, matokeo yake ni kuvisahau.