KIPINDI MAALUM CHA MAENDELEO YA UJENZI WA RELI NCHINI

  Рет қаралды 23,216

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@ibrahimkambi8622
@ibrahimkambi8622 6 жыл бұрын
This is it, I'm feeling proud to be Tanzanian 💪💪💪👍👍👍👏👏👏
@boashamah3642
@boashamah3642 6 жыл бұрын
Malengo ya Bwana RAis Magufuli, yatawafukuza wakoloni, well done my people my big up to you all, especially Mkurugenzi wa TRL
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
Home kunaweza kuwa kama ULAYA hasa kwa mambo haya💪💪💪NGOSHA NDIYO HABARI YA TZN
@JohnDoe19xx
@JohnDoe19xx 6 жыл бұрын
Tanzania inabid tujifunze tofauti kati ya. Serikali na rahisi . Hizi project zinajengwa na serikali na zilipangwa more than five years ago. So the president is just implementing an already planned and organised project so please waambieni watanzania ukweli msijeuze projects za serikali kua campaign za kisiasa
@kassimourio6879
@kassimourio6879 6 жыл бұрын
Alichoanzisha Mwenyezi Mungu anajua namna ya kuimalizia
@pascoalphonce2911
@pascoalphonce2911 6 жыл бұрын
Tanzania is my Country l love it soo Much
@aryouclassic4296
@aryouclassic4296 6 жыл бұрын
Hongera serikali ya awamu ya tano
@t1910j
@t1910j 6 жыл бұрын
Safi sana. Hapa kazi tu
@amanimbwambo8194
@amanimbwambo8194 6 жыл бұрын
Jaman mwenye taarifa sahihi za nafac za kazi kwnye mrad huu anisaidie
@TRCRELITVTANZANIA
@TRCRELITVTANZANIA 5 жыл бұрын
GONGA LIKE TUUNGANE NA RAIS WETU DR .JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA KULIJENGA TAIFA LETU.
@wcbwanatishakiranikirudiab2349
@wcbwanatishakiranikirudiab2349 6 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU enderea kumuongoza raisi wetu
@edwardedward2520
@edwardedward2520 6 жыл бұрын
Big up sana Mh. Rais JPM Naiona Tanzania mpya inayo move kuelekea kwenye maendeleo!
@gilbertalex1651
@gilbertalex1651 6 жыл бұрын
Good👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@joellumala3206
@joellumala3206 6 жыл бұрын
He is the men aisee
@jescastantanily7155
@jescastantanily7155 6 жыл бұрын
Super sami
@shindapapaya9194
@shindapapaya9194 6 жыл бұрын
Shikamoooo awamu ya 5 chini ya Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli au the Bulldozer wetu 💪 💪 💪 ✊ ✊ ✊ 👍 👍 👍 👏 👏 👏
@prospermakundi2787
@prospermakundi2787 6 жыл бұрын
Safi sana chapeni kazi kubadilisha tz yetu
@IbrahimMohamed-fk5cc
@IbrahimMohamed-fk5cc 6 жыл бұрын
Kwa njia hii 2025 Nyumbani patakuwa super hasa Dar itapanda thamani sana
@salummuhija4435
@salummuhija4435 6 жыл бұрын
Well done
@boashamah3642
@boashamah3642 6 жыл бұрын
I live katika inchi za wa koloni huku Australia , mnanifanya kupanda ndege kurudi Tanzania kabisa
@idrisashelimo307
@idrisashelimo307 6 жыл бұрын
Safi sana rais wetu
@stephenntinginya1062
@stephenntinginya1062 6 жыл бұрын
sekta hii ya usafiri itakuwa mkombozi mkubwa wa uchumi wa nchi yetu,Tanzania.Zidumu fikra na misimamo madhubuti ya JP Magufuli.
@jayissakwakala9884
@jayissakwakala9884 6 жыл бұрын
Hakika This Time Watanzania 2mepata Rais Anaethamini Watanzania. MUNGU Mbarki JPM ktk Utendaji wa kz Zote ktk Awam Yke Hii Ya Uongoz.
@fanueliwilliam6492
@fanueliwilliam6492 6 жыл бұрын
Hapa kazi tu akuna longo longo
@marcuskapinga4017
@marcuskapinga4017 6 жыл бұрын
Rais yupo sawa
@CosmicWorld2024
@CosmicWorld2024 6 жыл бұрын
KWeli hapa kazi tu.
@wcbwanatishakiranikirudiab2349
@wcbwanatishakiranikirudiab2349 6 жыл бұрын
Sisi ni wamoja sisi nI watanzania mwenyezi MUNGU ametuzawadia sisi watanzania raisi pekee ewe mwenyezi MUNGU turindie enderea kumuongoza zidi kuimarisha afya yake raisi wetu raisi wetu raisi wetu
@godfreyleonad7437
@godfreyleonad7437 6 жыл бұрын
MUNGU atutangulie kwakila jambo, watanzania tushika mane neema inakuja
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 4 жыл бұрын
mko nyuma ya ratiba ..2020 mpaka Dodoma haiwezekani...ongezeni bidii
@michaelmathew8309
@michaelmathew8309 5 жыл бұрын
Yeah yaan ni zaid ya furaha
@michaelmathew8309
@michaelmathew8309 5 жыл бұрын
Cna la kusema mana nayafurahia maendeleo ya nchi yetu
@aniphalijimasebo1465
@aniphalijimasebo1465 6 жыл бұрын
Poa sana magu
@ambrosonesmo9281
@ambrosonesmo9281 6 жыл бұрын
hadi raha
@jastinaderick2911
@jastinaderick2911 6 жыл бұрын
Inapendeza sana
@emmanuelkubambala9806
@emmanuelkubambala9806 6 жыл бұрын
Echo hon JPM
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
kwaio mpaka uganda, burundi & rwanda itfika lini yaani baada ya muda gan?
@adsonmgala6430
@adsonmgala6430 6 жыл бұрын
mw
@bbmediafirm
@bbmediafirm 6 жыл бұрын
Steshen mbaya
@mapundafratela8948
@mapundafratela8948 5 жыл бұрын
Mbaya wewe
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 43 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 698 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 40 МЛН
MASANJA MKANDAMIZAJI ATAPELIWA NA WEZI WA MITANDAO.... Wampa ujumbe wa kwenda kanisani KWAKE
11:04
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 784 М.
0CTOBER 31,2016 ZIARA YA MH RAIS MAGUFULI NCHINI KENYA PARTY ONE
56:16
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 285 М.