TRENI YA UMEME (SGR) YAFIKA MORO SALAMA, KADOGOSA AFUNGUKA KUHUSU NAULI NA SAFARI KUANZA

  Рет қаралды 32,731

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 107
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 8 ай бұрын
Kazi yako John Pombe Magufuli MWENYEZI MUNGU MWEMA Akukumbuke
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 8 ай бұрын
Na samia acheni ubaguzi wabara😅
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 8 ай бұрын
@@salumabdallah2990 nani kakutuma ujibu comment yangu kiherehere tu
@mkude
@mkude 4 ай бұрын
Asante mama Samia Suluhu asante trc
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 8 ай бұрын
Speed sasa. JPM angekuwepo tungepata kitu bora zaidi sana kuliko huo uchafu mliotuletea.
@thamani5842
@thamani5842 8 ай бұрын
Ahsante Mama , kazi iendelee
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 8 ай бұрын
JPM na Mama Samia Shukran Kwenu Kwa Kuwezesha Ndoto Za Watanzania Kutimia..🙏🙏
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 8 ай бұрын
Hakuna cha mama hii ni kaz ya maguful
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 8 ай бұрын
🎉
@fxmeddy9567
@fxmeddy9567 8 ай бұрын
Aisee hii reri iko poa sana .Ila Muitunze jamani kodi za wananchi hizo.
@PeterBaton-v9z
@PeterBaton-v9z 8 ай бұрын
Hiyo Ndio Kazi Ya Baba Jeska Mungu hakulaze Mahara Pema Peponi 🙏🙏🙏😭😭😭
@SilaMinanda
@SilaMinanda 8 ай бұрын
R.I.P Mzee wetu magufuli
@birianination7097
@birianination7097 8 ай бұрын
SGR ni Jakaya
@SilaMinanda
@SilaMinanda 8 ай бұрын
@@birianination7097 Matako sana we jamaa, unapgwa mwingi mamae unatokea taifa gani?
@birianination7097
@birianination7097 8 ай бұрын
@@SilaMinanda inaonekana unaupeo mdogo wakufikiri, maana unajua matusi kuliko hoja
@SilaMinanda
@SilaMinanda 8 ай бұрын
@@birianination7097 Hoja gani unaitaka wkat umeleta mada ambayo haipo. Huo mradi wa jakaya kaanza mwaka gani na ufisadi amwachie nani, wakat mpka kesho anatamaa na mali za taifa
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 8 ай бұрын
Asante sana serikali yetu
@allythabiti8150
@allythabiti8150 8 ай бұрын
Mama kizimkazi SSH ALLAH Akulinde
@subralugege7019
@subralugege7019 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉mama samia
@AloneChuga
@AloneChuga 8 ай бұрын
Kafanya nini,bila Maamuzi ya musukuma mungefikia hapo
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 8 ай бұрын
Haya bana samia kweli.? But don't forget JPM
@emmanuelrukomwa3992
@emmanuelrukomwa3992 8 ай бұрын
@ayo umeshuka sana mambo ya msingi huyawi moja kayi ya taarifa zako kama treni imetumia mda gani kutoka dat-moro.
@elibaricksadock9562
@elibaricksadock9562 8 ай бұрын
Sawaa amajalibio lakini mme tumia muda gani Dar to Moro
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 8 ай бұрын
JPM ❤❤❤❤ Mungu akurehemu
@MamSerembe
@MamSerembe 8 ай бұрын
Ccm oyeee mama kizi mkazi oyeeeee unyama sana yani kama JAPAN
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 8 ай бұрын
Mama wa kizimkazi😂
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 8 ай бұрын
Upevu wa taifa, ni kweli maana hapo enzi utashi wa kuendeleza kilichoachwa na mtangulizi ulikuwa duni. Pongezi kwa mwendelezo wa kazi hata hatimae Morogoro. Salaam Dodoma_ Mwanza 🐟
@EmmanuelMacha-me1zz
@EmmanuelMacha-me1zz 8 ай бұрын
Je umeme wetu huu mtamudu uendeshaji,au mnazo jenereta zenye uwezo wa kuendesha treni?
@allythabiti8150
@allythabiti8150 8 ай бұрын
HALAFU KUNA WATU WAKAWA WANAPONDA OHH VICHWA CJUI VIPOJE CJUI, Mama anapiga kaz saaana an
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 8 ай бұрын
YAAAN UTATUZI WA MAMBO MENGI NI UTEKELEZAJI WA NDOGO ZA MWAMBA JPM APUMZIKE KWA AMANI.SHIDA YA MGAO JANA JULIUS NYERERE IMEWASHWA USAFIRI WA HARAKA NA COMFORTABLE TREN ZA SGR
@birianination7097
@birianination7097 8 ай бұрын
SGR ni Jakaya brother
@EdwardJohn-xz5oi
@EdwardJohn-xz5oi 8 ай бұрын
Hv mm sjui nani Yuko usngzini mm au ww?​@@birianination7097
@hurumamsuya7122
@hurumamsuya7122 8 ай бұрын
Alijenga au sio??!​@@birianination7097
@Zenny89
@Zenny89 8 ай бұрын
Treni ya umeme wakati watu huku hata Maji baridi hatupati Sababu ya kukatika
@SammyBathoromeoroman
@SammyBathoromeoroman 8 ай бұрын
Mbona hizo bewewa hazijaungana kwahyo wahuku wahuku hawezi kwenda bewewa ingine sjapendaaa ila dua tutaishi nayo❤
@kambamazig02024
@kambamazig02024 8 ай бұрын
Zimeungana, hujaangalia vizuri, mtu anatoka behewa moja kwenda jingine, kuna mlango wa mbele na wa nyuma. Angalia vizuri.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 8 ай бұрын
Mutunze jamani isiwe miaka 2 kil kitu chali😢😢😢
@chrispinmramba7660
@chrispinmramba7660 8 ай бұрын
Hiyo ni mwakyembe iliyoboreshw tren ya kisasa haiwez vipande vipand hivyoo kenya wametuzid mbali sanaaaa
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 8 ай бұрын
Goood
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 8 ай бұрын
Wangeacha tu iwe ya petroli si kwa huu umeme
@mwaget0815
@mwaget0815 8 ай бұрын
Behewa la mwisho limebeba power benk, umeme una hatihati
@nikelaJimson
@nikelaJimson 8 ай бұрын
Nmecheka😂😂😂😂
@Jean-marieNiyonzima-f3e
@Jean-marieNiyonzima-f3e 8 ай бұрын
Kubwa niujio watreni yakisasa hongereni wana tanzania kwahilo
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 8 ай бұрын
Dakika ngapi mumetumia Dar mpaka Moro ?
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 8 ай бұрын
Hivi hamkuwa na uhakika wa hiyo treni kufika Morogoro? Acheni mbwembwe hayo ni mambo ya kawaida sana zilitakiwa ziwepo mda mrefu sana acheni usaniii
@rodgersasu
@rodgersasu 8 ай бұрын
imechukua mda gani hadi kufika Moro??
@richardsaston3285
@richardsaston3285 8 ай бұрын
Naomba kazi ya Grass cutting naona nyasi zimekua sana
@JonathanMteki
@JonathanMteki 8 ай бұрын
Jambo Njema sana kuanza Kwa majaribio ya SGR. Je ina maana majaribio hayo yanafanyika Kwa kwenda na kurudi Dar Moro Dar gari la umeme likiwa tupu?
@IsackBukulijoro
@IsackBukulijoro 8 ай бұрын
Huu ni ujinga haiwezekani wendo wenyewe kama ngujunguju TU ghalama kubwa kazi kuimba ela TU 😂😂😂😂😂
@shabanmahenge
@shabanmahenge 8 ай бұрын
Hogela..mama. Yetu
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 8 ай бұрын
Muda gani DAR TO MOROGORO?
@BarakaAmuri
@BarakaAmuri 8 ай бұрын
Train hiyo imetumia muda gani? Je majaribio hayo yameweza kufika ile speed ya juu kabisa ya 160km/hr?
@daudifungo5521
@daudifungo5521 8 ай бұрын
99
@daudifungo5521
@daudifungo5521 8 ай бұрын
Sawa Dar Morogoro imetumia Mda Gani?Na Nauli ni Sh Ngapi?Tujitahidi Rasilimali Hizi Ambazo ni Ndoto za Viongozi Wetu kwa Manufaa ya Uma Zitunzwe na Zisiwe Mzigo kwa Kuliingizia taifa Hasara km Yalivyo Mashirika Mengine Tuwasaidie Viongozi Wetu Kusimamia Hili
@akbarkisamo8392
@akbarkisamo8392 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@josephfundi-x9z
@josephfundi-x9z 8 ай бұрын
Nauli shingapi
@HusseinNkuna
@HusseinNkuna 8 ай бұрын
Mbona mabehewa ni kama ya deluxe?😂
@shizmansamuel022
@shizmansamuel022 8 ай бұрын
Wameleta ya kienyeji wanasema niyakisasa😂😂
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 8 ай бұрын
2:43 kumbe ana safiri kutafta ela 😂😂
@Justinmax-p7n
@Justinmax-p7n 8 ай бұрын
Izi ture zina powa bank jamani tusije tukalazan polini
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 8 ай бұрын
😀😀😀😀
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 8 ай бұрын
Kama ndio hyo hakika tumepigwa kama tulivyo pigwa kwenye ndege ya mizigo hyo sio TREN tuliyo ambiwa na JPM
@HussainMaula-d1g
@HussainMaula-d1g 8 ай бұрын
Tunataka kujua imetumia muda gani hadi morogoro kwa sababu maendeleo ni Kuwahi unapokwenda sio kupanda treni ya umeme isije ikawa kama mwendo Kasi safari dk 10 kituoni tunakaa masaa 2 kingine mmejipangaje kutoa huduma ?????????????????? Isije tukakata tiketi alafu safari siku mbili tunasubiri.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 8 ай бұрын
Wakati wa kuchwkeyana umeisha asiyewajibikq out siyo kuhamishwa kituo
@far_hard1301
@far_hard1301 8 ай бұрын
Majaribio majaribio tumechoka na majaribio hayo
@toptopress4909
@toptopress4909 8 ай бұрын
Mabehewa bhana mmezingua
@HalimaJuma-v8g
@HalimaJuma-v8g 8 ай бұрын
Hamjasema mmetumia muda gani? Dar to Moro?
@far_hard1301
@far_hard1301 8 ай бұрын
Inshort hapo shughuli bado mpaka mwezi wa nane ndio chuma kinaanza kazi hata moto nayo tena hatuna nyie hata mkisema mpaka 2050 itaanza fresh tu mbona tumeshawazoea
@victaboy7273
@victaboy7273 8 ай бұрын
Umeme upo?? Au ni ubabaishaji
@abiudkarume938
@abiudkarume938 8 ай бұрын
Mna power bank
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 8 ай бұрын
MHongera sana kwa hatua hii lakini mabehewa mmmmmmhhhh muundo uleule wa mg.?
@mathiasshayo6348
@mathiasshayo6348 8 ай бұрын
Imetumia mda gani kufika morogoro?
@futurekibingu69
@futurekibingu69 8 ай бұрын
10 years
@birianination7097
@birianination7097 8 ай бұрын
Mradi sasa upo mwanza
@mathiasshayo6348
@mathiasshayo6348 8 ай бұрын
@@futurekibingu69 mi nimeuliza tu jamani ya nini makasiriko😁
@nurdinmusa8390
@nurdinmusa8390 8 ай бұрын
Hamna kitu hapo
@Kabeya410
@Kabeya410 8 ай бұрын
Tatizo wandishi maneno meeengi tunataka kuona mabehewa ndani nje mwendo viti na kila kitu mngetaka maneno mngerusha ktk redio siyo tv upuuzi tell vision maana yake ni kuona siyo hadithi ya mtu let people see
@EXCELMASTER-Wiseoption
@EXCELMASTER-Wiseoption 8 ай бұрын
Ila mabehewa ni mabaya tuzungumze ukweli. Aliyenunua haya alizingua sana
@lukasmsafiri-dc4vh
@lukasmsafiri-dc4vh 8 ай бұрын
We farakwer
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 8 ай бұрын
Mabehewa y kizamn aisee
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 8 ай бұрын
Kama vile jina lako lilivyo la kizamani
@MamSerembe
@MamSerembe 8 ай бұрын
Lete yako
@filimonmpinge6039
@filimonmpinge6039 8 ай бұрын
Kila siku ipo kwenye majaribio 😅😅😅😅
@alphayoonesmo8023
@alphayoonesmo8023 8 ай бұрын
Mbona treni ipo slow sana au
@libetztanzania-kiswahilina2845
@libetztanzania-kiswahilina2845 8 ай бұрын
MMETUMIA MASAA MANGAPI KUFIKA MORO?
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 8 ай бұрын
Kiongozi uchafu watu wawe wasafi sio kubeba mahindi kula ovyo itakuwa historia kuwa kuna tren ya SGR inauchafu ipo Tanzania
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 8 ай бұрын
😂
@jumashedafa
@jumashedafa 8 ай бұрын
Tupen dron picture
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 8 ай бұрын
Wachina wanalipua huku seke isaka
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 8 ай бұрын
Nchi ihii bwana 😂😂 eti mwez wa 7 mwishoni 😂😂
@nth3512
@nth3512 8 ай бұрын
Icho kituo kimetulia
@vibetz9991
@vibetz9991 8 ай бұрын
Mabehewa ya mtumba
@rereshap9416
@rereshap9416 8 ай бұрын
Nunua mapya ulete
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 8 ай бұрын
Tuambieni imetumia muda gani kufika Moro😂
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 8 ай бұрын
Magufuli. Mkumbukeni bac!! Mbn ni kama mnajitahidi sana kutusahaulisha?
@birianination7097
@birianination7097 8 ай бұрын
Mradi ulianzishwa na Jakaya,
@hurumamsuya7122
@hurumamsuya7122 8 ай бұрын
​@@birianination7097Alijenga??! We jamaa bhana
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 8 ай бұрын
@@birianination7097 hahahahaha lile fisadi?
@ayoubpapiy6692
@ayoubpapiy6692 8 ай бұрын
Mbona hainakasi kama tulivozoweya kuziona treni za umeme "!!??? Nilitembea nchi kama Honkong,Paris Yani ukiona treni ya umeme ukipwesa machotu imeshakupitazamani, Sasa hii ya kwetu kulikoni? Inaenda slow sana. Sizarau vya kwetu ila hili wengiwetu watapata faida ya kujua ni kwanini.
@callicevallice7383
@callicevallice7383 8 ай бұрын
Sasa mbona speed ndogo..??😂😂
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 8 ай бұрын
Elewa maana ya majaribio achana na ujuaji uliokuzidi kimo😂😂
@jumaabas6837
@jumaabas6837 8 ай бұрын
Majaribio ni hatuna huwez anza kwa speed yoteee wanakagua njia Iko salama kwanza
@callicevallice7383
@callicevallice7383 8 ай бұрын
@@modestwenceslaus9 nimechoka, kimbinyiko ina speed kuliko hio treni, haha
@callicevallice7383
@callicevallice7383 8 ай бұрын
@@jumaabas6837 unajaribu njia na watu wako ndani, safety yao ipoje..? Mna akili kweli nyie..?
@dork8749
@dork8749 8 ай бұрын
😂😂​@@callicevallice7383
@annamushi4722
@annamushi4722 8 ай бұрын
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 22 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 125 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 12 МЛН
2 MAGIC SECRETS @denismagicshow @roman_magic
00:32
MasomkaMagic
Рет қаралды 27 МЛН
HII HAPA  SAFARI SGR  DAR HADI MORO, NDANI YA TRENI YA SGR
10:07
TRC RELI TV
Рет қаралды 40 М.
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
TRC RELI TV
Рет қаралды 13 М.
BABA LEVO AFICHUA MAISHA YA ROMA AKIWA MAREKANI
17:49
Mbengo Tv
Рет қаралды 19 М.
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 22 МЛН