Tumemaliza Ubishi wa DRAGON na SCANIA kwa ally's star na Katarama?

  Рет қаралды 43,643

Mabasi Tv

Mabasi Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@JanuaryExperiusi
@JanuaryExperiusi 4 күн бұрын
Napendaga nikipanda bus limwagemoto kweli so linapitwa Kila bus njiani kufa nimipango yamungu mbuzi nyiee mwaga moto mpaka tair inukie kwa ndani ndo napenda sa unapitwa ovyo tuu katalama❤
@victorkimaro5862
@victorkimaro5862 23 күн бұрын
Watafutiwe uwanja wa kushindania wakiwa wenyewe siyo wakiwa na abiria kuovateki kwenye kona hizi na vilima ni hatari. Wasilete mizaha na maisha ya watu
@NgalalaFadhil
@NgalalaFadhil 14 күн бұрын
Scania pistoni 5 dragon pistoni 6 alafu wapo Ivo nani mbabe
@kelvinzegega2242
@kelvinzegega2242 Жыл бұрын
Kuna vita ipo uko mbeya kati ya sauli luxury bus scania na al-saedy golden dragon moto unawaka
@malilaebayoth5776
@malilaebayoth5776 Жыл бұрын
Alsaedy n yutong new model mbon
@ndorojacob783
@ndorojacob783 Жыл бұрын
kwa mlima Cummins huwa inapata shida sijui baada ya hapo kulikuwaje maana dragon hizi huwa moto
@mwitajoseph8315
@mwitajoseph8315 Жыл бұрын
Huwezi kuwalinganisha kwenye kona kama hizo
@alansixbert4653
@alansixbert4653 Жыл бұрын
Buy bodabda akatengeneze chombo yake inabwaga moshi
@nyanchokachacha9954
@nyanchokachacha9954 Жыл бұрын
Duuu hatar sana,Hao madereva lazima wawe Makini sana.
@WazryHija
@WazryHija 7 күн бұрын
Salandaa kubwa aisee
@maalimrajabu8942
@maalimrajabu8942 Жыл бұрын
Huyo dareva wa katarama ni bonge la mjinga
@abubakarykivo7366
@abubakarykivo7366 5 ай бұрын
Akishasababisha ajali ndio atakua mjanja ???
@frimmbits
@frimmbits 10 ай бұрын
Dereva hao ni wapuzi sana. Wanachezea maisha ya abiria
@TanzaniaAllbuses
@TanzaniaAllbuses Жыл бұрын
Kaliwa mtu ! Kaliwa mtu 😁
@abdallahrashidi419
@abdallahrashidi419 11 ай бұрын
Wafutiwe leseni wakaendeshe mikokoteni mtaani
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
Wana-overtake kwenye kona wanahatarisha maisha ya abiria
@MABAASITV
@MABAASITV Жыл бұрын
Hakuna overtake hapo mkuu
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV Жыл бұрын
@@MABAASITV sawa
@agustinopaulo7981
@agustinopaulo7981 Жыл бұрын
cameraman nae kaliwa dadekii
@estheroscar6520
@estheroscar6520 5 ай бұрын
Sasa hapo abiliya wanaona raha sasa aje awamwange katarama nickie abiliya et dereva alikuwa nasipindi kali nitampa makofi maana hapo hata mtu wakupinga cmu simuoni kwahiyo mmelizika
@halidomar9874
@halidomar9874 9 ай бұрын
Msenge kweli sipand tena katarama anapitaje pale kweli
@ChristinaVicent-gu4fg
@ChristinaVicent-gu4fg 7 ай бұрын
ushabiki hasi dreva wa KATARAMA sio makini anaovatekije kwenye kona?????
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 5 ай бұрын
Hiyo gari iliyopita kwenye kona siyo yakupanda kabisa
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Жыл бұрын
Daaah aisee,kwenye Kona😭😭
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg 6 ай бұрын
😮
@officialpaulmabula8346
@officialpaulmabula8346 Жыл бұрын
Haaa vitanivita mura
@eastafricabusesfans3631
@eastafricabusesfans3631 Жыл бұрын
😀😀😀😀Kuna polo na KIPOLO
@OmaryMbweto-eg9in
@OmaryMbweto-eg9in 5 ай бұрын
Kazingua delev wa kataram
@vincentmbilinyi5877
@vincentmbilinyi5877 7 ай бұрын
Katarama suka akili alichambia
@farinhafrank-dm4sg
@farinhafrank-dm4sg Жыл бұрын
Ovatake mbaya sana
@TRIUMPHSARAN
@TRIUMPHSARAN Жыл бұрын
Wazeee wa location wapi?
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 Жыл бұрын
Hii itakua salanda nahic
@jameskyando178
@jameskyando178 Жыл бұрын
Hahahaha hi ligi tamu sana
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 11 ай бұрын
chuma ziende mbeleee
@DanielMagessa-tl9qg
@DanielMagessa-tl9qg 2 ай бұрын
Naqbal ally's
@mahirmohamed3964
@mahirmohamed3964 Жыл бұрын
Kula chuma ichoo
@mwatimamkhoi8279
@mwatimamkhoi8279 Жыл бұрын
Hao wanajuana ndio maana hawaachani kivile
@mayalanduluma4664
@mayalanduluma4664 Жыл бұрын
Watamuua katarama mwambien awaulize kina .dar lux machungwa .moto
@mwatimamkhoi8279
@mwatimamkhoi8279 Жыл бұрын
Weee hizo ni scania za masafa marefu usilinganishe na dar lux mkuu
@jafaribakari4037
@jafaribakari4037 Жыл бұрын
Kataram mkal
@OmaryMbweto-eg9in
@OmaryMbweto-eg9in 5 ай бұрын
Kazingua delev wa kataram
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,7 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 11 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 1,3 МЛН
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
DEREVA MKONGWE AZIPANGA GIA   CHEKI PAKA MWISHO
4:48
DEREVA MKONGWE
Рет қаралды 47 М.
All Battles from film - Afghan Breakdown - (Dir. Vladimir Bortko 1991)
32:22
Kijana Akaza fuvu lakini mwisho wa siku akaachia
5:56
lembukazi
Рет қаралды 1,6 М.
Best of Russian Driving Fails 2019
10:03
Caught on Camera
Рет қаралды 35 МЛН
LATRA YAFUNGIA MABASI YA KATARAMA
8:03
Daily News Digital
Рет қаралды 29 М.
shangwe la wana ally's igunga leo
1:29
Mabasi Tv
Рет қаралды 25 М.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,7 МЛН