MENAGER WA KATARAMA AMETOA YA MOYONI SISI ATUNA BIFU KABISA NA ALLY'S BUS

  Рет қаралды 19,430

MABASI TZ

MABASI TZ

Күн бұрын

TANGAZA MABASI HAPA
_______________________________________________________________________________
0757 693 982
0769 657 582
_______________________________________________________________________________
#MABASI TANZANIA #MABASITV

Пікірлер: 20
@DadysBoy.
@DadysBoy. Жыл бұрын
nimepanda bus la allys star kwenda mwanza na kulud na katalama n bus zuri na ilinibidi nikate ticket mapema mana abiria walikuwa wengi. tatzo ni moja ya ilo bus kwa wale abiria tunao penda kukaa mbele ilo neno katalama limeziba mpaka uwez kuona iyo ndo chamgamoto nliopita lakini huduma ni nzur ❤‍🔥
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 Жыл бұрын
Safi sana Meneja umeongea ukweli kwani ktk biashara ya usafirishaji ni kutoa huduma bora na sio mabifu na mwenzako na kama akifanya hivyo basi ni hafai kiushindani
@NICOLASSMWSNDU-ir2sy
@NICOLASSMWSNDU-ir2sy 10 ай бұрын
Tupo pamoja na katarama
@JosephMizeth
@JosephMizeth 9 ай бұрын
Nimependa sana kampuni ya katarama 0:58
@NICOLASSMWSNDU-ir2sy
@NICOLASSMWSNDU-ir2sy 10 ай бұрын
Watu wanauliza katarama anakaaa wapi nanimzaliwa wa mkowa gan
@edrickniwamanya5665
@edrickniwamanya5665 9 күн бұрын
Mzaliwa wa kagera wilaya muleba kata nshamba kijiji bugarama au ruziinga📌✅️✌️
@anastaziamaduka-ux4nt
@anastaziamaduka-ux4nt Жыл бұрын
Nauli sh ngap jamn??
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc Жыл бұрын
Acha uwongo abiria mda huo unampata wp
@khamisomar1130
@khamisomar1130 Жыл бұрын
kama hujui kitu nikheri ukakaa kmy tu ushawahi kufka mbezi usiku au unaongea tu abiria weng wamikoa ya mbali weng wanalala stend
@christianhussein5128
@christianhussein5128 Жыл бұрын
Mimi nimetoka dar juzi nilikosa tiketi katarama zimejaa
@tycoon9540
@tycoon9540 10 ай бұрын
Kama hujui kitu kaa kimya Watu tunasafiri mpaka na mabasi ya saa8 uck na hapo usopofanya booking mapema gari utakuta zimejaa
@PhilipoAgustino
@PhilipoAgustino Жыл бұрын
Huk katarama tumeanz ujenz wasanam lake
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc Жыл бұрын
Hi kampuni itakuwa kama Dar Lux hmna kitu gari zinaenda tupu
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Жыл бұрын
We kuma kaa kimya kama hujui kitu Tena koma na uishie hapo
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc Жыл бұрын
@@bakarikayugwa3295 kuma kama ww nimeshawala sana choco mmoja
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc Жыл бұрын
@@bakarikayugwa3295 imekuuma ee
@leviticustaballo9550
@leviticustaballo9550 Жыл бұрын
Naipenda katarama akitoka mwanza saa 9 usiku anafika dar saa 3 usiku mapemaaaaaaaaaaa
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc Жыл бұрын
Kwli huyu jamaa noma Scania ni moto
LATRA YAFUNGIA MABASI YA KATARAMA
8:03
Daily News Digital
Рет қаралды 29 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 59 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /40/ #love
23:10
BabaJoan
Рет қаралды 37 М.
WALINZI WEZI WA SIMU NDARO NA STEVE MWEUSI UTACHEKA
12:48
Ndaro Tz
Рет қаралды 469 М.
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 252 М.
PART 2: CHANUO APIGIWA SIMU LIVE, AMUWAKIA MADEBE, WAJIBIZANA LIVE
16:13
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2 МЛН