Millard Ayo mko vizuri sana kwenye kupromote wabongo waishio nje.. Hongereni sana 👏👏👏
@rehemahramadhani34285 жыл бұрын
asante
@romzget18924 жыл бұрын
@@rehemahramadhani3428 mdada umebadilisha namb whatsap maan sikupati jack ap
@deniskaijage18575 жыл бұрын
Kitu kimoja kinawafamya muwe bora zaidi ni kutoa habari za ukweli wala siyo uzushi uzushi
@khalidballeth59575 жыл бұрын
Huwa naitumia saana hii kampuni ys Silent Ocean kunisafirishia mizigo yangu Big Up saaana S,Ocean👏🏼
@hajikhatib88405 жыл бұрын
Khalid naona comment yko hapa !! But plzz naomba tuwasiliane nitafute kwa hii nomber plzz +974 30170668 plzz
@khalidballeth59575 жыл бұрын
Haji Khatib sawa mkuu
@ghalibmansour78575 жыл бұрын
Khalid huwa wanachaji kiasi gani kwa cbm moja ? Au kwa kg ? Garama yote mpaka Tz inacost vp?
@khalidballeth59575 жыл бұрын
Ghalib Mansour huwa wanachaj 380 na kitu Usd kwa CBM moja Yaani almost 400$usd kwa cbm moja
@ghalibmansour78575 жыл бұрын
@@khalidballeth5957 Khalid mm cbm siifahamu ukubwa wake ... unaweza nifahamisha ukubwa labda au ni mfano wa kg ngapi tuseme
@muniradaudi4404 жыл бұрын
Mungu nijalie niende china n mm
@zanzibaronetv9885 жыл бұрын
Licha yakua mnafanya kazi kujipatia Riski lkn pia hongereni na Ahsante kwa juhudi mnazozifanya Ahsante sanaaaa
@beijoozessence10485 жыл бұрын
Dahhh haah ukweli nimefuraishwa sana kwa kweli silent.oceAn mkombozi wa Mtanzania akiwa china ivi mbona muna moyo mzuri ivooioooo""live longggg
@internetmarketing27853 жыл бұрын
moyo mzur wakat wanapga pesa???
@dronemiguel22305 жыл бұрын
Kweli mnakiu ya habr hongereni sanaaaaa Kwa investment yenu
@josephinekimenye21924 жыл бұрын
kwa kweli mungu awabariki kwa kazi yenu nzuri. kwa mfano akitaka kuagiza mzigo toka china na hajui aanzie wapi mnamsaidiaje
@michaelngadi81785 жыл бұрын
Habar kaka nimeipenda xana kazi na huduma ya Silent ocean na huwa nafatilia, naomba kujua kama wanahusika na kutuma bidhaa zingne kama Poultry cages coz hapo naona tu ni nguo
@eminentmnzavas44633 жыл бұрын
Cheki video ya kwanza kuna phone number zao na web site yao
@renatusdeogratias21085 жыл бұрын
Hakuna kama silent ocean na ijumaaa wananipakilia mzigo wangu thanks we support you
@hamzamussa87275 жыл бұрын
Your contact Jenny
@sabinaluyego44085 жыл бұрын
Nawapataje
@fatmamajid79083 жыл бұрын
@@sabinaluyego4408 kwa whatsApp wanapatikana
@yasintaisaya60452 жыл бұрын
Namba zao
@sendeesupriydewoochiagaliy74745 жыл бұрын
great a lot research wa tanzania Tuige kwa wenzetu
@JuliusTanzania5 жыл бұрын
Hongereni sana vijana mliopo pande za China nimejikuta nikivutiwa sana na kuingia katika Biashara hii kwani nitaweza kununua biashara yangu China, kuisafisha kwa kutumia agent wa uhakika mpaka unafika Tanzania kisha naenda kuufuata kwenye Godown lao kwa mara ya mwisho.
@nalyismail99154 жыл бұрын
Nipo kwenye groups za kuagiza mizigo China na huwa tunatumia silent ocean kiukwel wapoo vzr Ila natamani Sana Mungu anipe uwezo siku moja na mm niwe mfanyabiashara mkubwa hata niende mwenyewe kufuata mizigo inshallah
@fatmamajid79083 жыл бұрын
Group lipi ? Naomba kuona bidhaa zenu
@mohammedrajabumwamba1322 Жыл бұрын
InshaaAllah allah atujaalie sote tunufaike na Silent ocean
@RitbayRitbay9 ай бұрын
Wapo vzr na bei ni nzr na mzigo inachelewa.
@kriegerfrieden5 жыл бұрын
Nice sanaaa milad Endelea kutufunza vitu vizur
@mselematrans3474 Жыл бұрын
Hongereni saana kwakuturaisishia usafirishaji
@sellah46035 жыл бұрын
Millard Ayo kama uko nayee chin mwambie anifanyie mpango w canon uko nibei chee awake kwenye begi nitakuja mpoke 🤝
@moviesentertainment39535 жыл бұрын
+8615571693022 to order
@ahmadiakili2615 жыл бұрын
MillardAyo itabaki kuwa juu
@OmarBaabdeTz5 жыл бұрын
Silent Ocean itabaki Kuwa Juu Kama Kamaida Tunakimbizaaaaa Mgaddam Mgaddam Nakuona Generally ukitoa Survey Unatishaaaaa
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
Hakika mmetusaidia sana kwenye hili safi sana. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@MavaziClothing5 жыл бұрын
Wageuzieni kibao hao Jamaa ndiyo mtakuwa juu bongonians. Mkifuata maneno yangu mtakuja kunishukuru baadae.
@elizabethkayinga11495 жыл бұрын
Duh hamjauliza hata bei labda tungepata ujasiri wa kwenda kuchukua mzigo China waandishi wengine bhana
@salumsalum29015 жыл бұрын
Hongereni sana silent Je kama niko zanzibar upo uwezekano wakunifikisha mzigo wangu hadi zanzibar
@ringotv49185 жыл бұрын
Salum Salum upo uwezekano mm mwenyewe naishi zanzibar naletea
@salumsalum29015 жыл бұрын
@@ringotv4918 hapa zanzibar office ya Silent iko wapi?
@ringotv49185 жыл бұрын
Unafuata bandarini
@djmossikahayodjmossikahayo8537 Жыл бұрын
Good News millard tv
@zuuothman91705 жыл бұрын
Tuleteen na huku oman tunapata tabu sana tunaibiwa mizigo yetu haifik salama
@romzget18924 жыл бұрын
mdada nakutafuta vepe whatsap ckupati ume change whatsap number me n jackson umenipata?
@michaelmathew83095 жыл бұрын
Safi sna Millard Ayo
@salummuhija44355 жыл бұрын
Ujawauliza bhana kuhusu gharama za malipo ya usafirishaji mzigo kutoka China to Tanzania
@michaelngadi81785 жыл бұрын
Jaribu kumuuliza kama wanahusika na bidhaa katika sector ya kilimo na mifugo pleaz
@lordrichreuben14463 жыл бұрын
Safiiii mnatupatia vitu vizur
@EphraimJoseph-zp1yi6 ай бұрын
Naulizia kwa kontena Moja LA mzigo wanasafirisha kwa shingapi please nisaidie
@msambaoneАй бұрын
hakika nimefurahiwa sana, je? nikitaka kuagiza mzigo mdogo kwa mimi nisiye na uwezo inakuwaje?
@DumperClassic4 ай бұрын
Safi sanaa
@emyemy22294 жыл бұрын
Duu naipenda hivi bila kwenda inawezekana
@deking965 жыл бұрын
Je? Naweza kuagiza mzgo bila kwenda uko na nikaupata mzgo
@romzget18925 жыл бұрын
yes you can do without to go china
@pastorjacobgasper46455 жыл бұрын
Romzget how?
@romzget18925 жыл бұрын
@@pastorjacobgasper4645 0713089612 call or tsap for more bro
@@hamzamussa8727 No siusiki silent ocean sema uwaga nanunuaga vitu online mala kwa mala
@allymohd48845 жыл бұрын
Mtangazaji sauti inafanan na millard mwenyew au mdog wako
@anoldamarini97885 жыл бұрын
Yupo vizur sana ok
@ماجكموزجوني5 жыл бұрын
Okay from China to Dar. But we've only see one part. China. How about the rest. From Ocean to the Port to DAR warehouse to the customer... Needs to follow up not let it hanging on air. That what they call it about that job
@secilialyimo60704 жыл бұрын
Nicee Ayo
@kingjafu77595 жыл бұрын
We jamaa Umekula shrimp 🍤
@aishaaisharagp93813 жыл бұрын
Jee kwawale waliopo Zanzibar wanafaidika vipi nahuduma hizi
@adelynemizengo15145 жыл бұрын
Safi sana aisee
@YonasKatabaz3 ай бұрын
Natamani kuwa wakala wa kuuza magari kutoka china mnanisaidiaje
@fatwimamakungu54565 жыл бұрын
Yani huduma nzuri sana wallah mm uku Dubai nasumbuka na mizigo mpaka basi Kwanzaa mizigo unafunga mwenyewe usafiri wa kupeleka bandali mwenyewe uandike majina na no yasimu mwenyewe yani
@ramadhannasibu77535 жыл бұрын
Silent Ocean na huko Dubai wapo kwa jina la KILIMANJARO CARGO
@fatwimamakungu54565 жыл бұрын
Ramadhan Nasibu naomba no zao
@ramadhannasibu77535 жыл бұрын
+971543478776/+971589399892
@fatwimamakungu54565 жыл бұрын
Ramadhan Nasibu shukran
@rafaeltem25255 жыл бұрын
Fatwima Makungu ndugu yangu niko Tanzania songea nafanya biashara naomba nisaidie natamani kuja huko
@jennykwayu78804 жыл бұрын
One day yes RIP my mother
@gadafigadafi44645 жыл бұрын
Broo tembelea Dubai kujuwa soko lale na urahisi wakazi zake asant
@shabansalum92835 жыл бұрын
ooohnimefurahisana
@umtweve45015 жыл бұрын
Laaa! Mchizi Wa kichina anabonga lugha nimependa hyo
@trophywilson72112 жыл бұрын
Ni Mtanzania huyo
@stellahmatondwa71684 жыл бұрын
Ifikie mda na ss tuexport na sio kuemport tu Ni hasara kubwa Kwa Tanzania
@massawejacob4 жыл бұрын
Naomba contact za huyu op manager hapo
@samirasleiman35082 жыл бұрын
Silent ocean mbona sim zenu hazipatikani?
@zainabusaidi95005 жыл бұрын
Kwa dubai mpo sehem gani na gharama zenu ni kiasi gani
@mohamedsheealom87454 жыл бұрын
Wah hij millard ayo naikubali vile wanavyosafiri nchi mbali mbali kwa ajili ya habari kupromote nchi yao kenya kwetu kazi zao ni corruption tu kuongelea serekali badala ya biashara
@heshimabigete37354 жыл бұрын
Content
@arafakiloli7495 жыл бұрын
Nimejifunza. iposiku
@barakahchogo55334 жыл бұрын
Je ,wanaweza kumsaidia mtu kumnunulia mzgo
@jibabahbah51884 жыл бұрын
Ningenda kupata no yako manager ahmed tamim pls nitafurahi sana nataka kuanza biashara
@saidimgawe65482 жыл бұрын
👍
@mwananchipress35693 жыл бұрын
Kumbe Tabia za makuli zinafanana tuu ahha matumbo wazi
@husseinheri43635 жыл бұрын
Nimekubali
@fatwimamakungu54565 жыл бұрын
Mashaa Allah yani
@abedkarume90883 жыл бұрын
Air ticket from tz to China Ni dollars ngapi....na jee huduma hii from China to Mombasa Kenya mzigo utafika port ya Mombasa ama itabidili kuupokea mzigo wako nimpaka uufuate dar
@OmarBaabdeTz5 жыл бұрын
Ndivyow Karibuni Sanaaa Silent Ocean
@maryamhussen43315 жыл бұрын
Tupatie nambq kaka
@ramadhannasibu77535 жыл бұрын
Tamim: +8615975300400
@maryamhussen43315 жыл бұрын
@@ramadhannasibu7753 asante
@umuvugaukurilaveritejustel26215 жыл бұрын
@@ramadhannasibu7753 viipi kuusu uagizajyi wa mzigo adi Burundi Bro ?!
@yasintaisaya60452 жыл бұрын
Wengne mataleli humu
@jibabahbah51884 жыл бұрын
Naomba no za simu zenu pls nataka kuanza biashara
@anethjoseph45422 жыл бұрын
Tunaomba namba
@samueldavid52085 жыл бұрын
Mbona me sielewi yaan gharama. Zao zipo vipi?
@muharamkigogo29555 жыл бұрын
Hivi miladi ayo tulizie kiasibganinkusafirisha mzigo au garama zao
@mywater67965 жыл бұрын
wanatuma na accessories kama simu na laptops tusaidie na address yake au wechat
@moviesentertainment39535 жыл бұрын
+8615571693022
@taanimedia64895 жыл бұрын
good work ayo
@rukiyahussan41905 жыл бұрын
Naomba unisaidie namba ya uyo meneja
@ramadhannasibu77535 жыл бұрын
Tamim: +8615975300400
@atubeka93175 жыл бұрын
safi
@keagleeagle8215 жыл бұрын
Daah so sad tumeshindwa kushona nguo
@trophywilson72112 жыл бұрын
Huwezi fanya vyote,material hatuna
@lidialameck55905 жыл бұрын
Milard Ayo, hao silent ocean hatupati mawasiliano yao, maana hata ukiingia google haipati useful info, please tupe mawasiliano, tunawahitaji sana. Nice job
@jumachabai28745 жыл бұрын
Lidia Lameck weka email yako nitakupatia mawasiliano ya wahusika
@hajikhatib88405 жыл бұрын
@@jumachabai2874 plzz me naomba hayo mawasiliano ya wahusika !!! Email.yng ni amour.turbo@gmail.com
@lidialameck55905 жыл бұрын
@@jumachabai2874 pklameck@yahoo.com Ahsante
@hamzamussa87275 жыл бұрын
@@jumachabai2874 nitumie namba zao kazibureh@gmail.com
@fridafungo9484 жыл бұрын
Lidia Lameck ingia Instagram silent ocean
@faidhamyovela1795 жыл бұрын
Huyu anaongea kam ayo
@MathiasLukanda Жыл бұрын
Watukumbuke na watu wa Egypt hata mara 1 kwa mwaka
@kingaweys3 жыл бұрын
Kumbe kuna wacheina wabeba mzigo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nyangipatrick56655 жыл бұрын
Naomba kupata namba zako ww mtangazaji mana nahitaj nikuulize vitu kadhaa plz naomba sana
@wizydeko14965 жыл бұрын
Makuli adi China waapo sio poa
@petermarco95595 жыл бұрын
😁😁😁
@wizydeko14965 жыл бұрын
@@petermarco9559 awee acha tu
@banshbansh23295 жыл бұрын
Njaa iko kila sehemu duniani
@OmarBaabdeTz5 жыл бұрын
We Unajua China Ndio Yenye Population Nyingi Duniani Asa Hao wote wawe Matajiri Mhhh! 😂
@kassimrajabu78055 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Wizy Deko
@isackcharles33104 жыл бұрын
Nitumie no ya mmoja mtz
@aishaaisharagp93813 жыл бұрын
Sasa mmnatamani kufanyahio biashara nahitaji niwenakiasi gani kwaajili hakutuma hela bilayamm kufika namba ya cimu yahuko naomba jamani
@mohammedrajabumwamba1322 Жыл бұрын
Inategemeana na biashara unayo taka kuanza kuiuza na suala la kutuma hela wao silent ocean hawausiki mpka uwasiliane na muuzaji wako kisha ndio atakupa link ya malipo na ww ndio utafanya malipo kisha akutumie mzigo wako Katika ghala za silent ocean
@juliusringo24935 жыл бұрын
Millard Ayo tutafutie contact za kuwasiliana na Ahmed Tamim
@eligiuselias44695 жыл бұрын
Jamani nimefurahi sana na ninampango wa kuanza bihashara je nafanyaje ili niweze kuagiza na kupata mzigo bila kuja China?,nisaidie maana nimefurahishwa
@eligiuselias44695 жыл бұрын
Na mawasiliano yangu ni eligiuselias1212@gmail.com
@rachelmjema28603 жыл бұрын
@@eligiuselias4469 hlw
@RitbayRitbay9 ай бұрын
Ah usiamini mzigo bila sehemu kwenda mwenyeo.
@rajabuhassani45044 жыл бұрын
Ayo bwana we acha 2
@augustinopanga96223 жыл бұрын
Ago ni TABIA GANI HIYO KUTUWEKEA CLIP YAO BILA MAWASILIANO YAO?
@ukweliunauma45704 жыл бұрын
Niko senegal vipi wanatuma mzigo west africa au east africa tu
@burudani99014 жыл бұрын
Wanatumia app gan
@mwanaishamlima20473 жыл бұрын
no zao
@islamubakarpba95615 жыл бұрын
Huyo meneja ni wawapi mbn anaongea kipemba
@salumjadi49385 жыл бұрын
Pemba sio ktk Tanzania ????
@jumbeink31734 жыл бұрын
Mtu wa songea huyo
@frankebella67625 жыл бұрын
Safi lkn mbona muna muiga sauti ya milard hayo
@hamadndege90165 жыл бұрын
Galama za usafirikwenda na kurudi pesa NGAPI za madafu nataman kufika
@RitbayRitbay9 ай бұрын
Weka milion tano kwenda juu mbali ya mzg maana tiket huwa inafika mpk milion tatu kupanda na ikate tiketi mapema huwa bei inashuka
@davisamark85155 жыл бұрын
Tunapataje mawasliano ya cm ili tuweze kuwatafuta hiyo kampuni
@ramadhannasibu77535 жыл бұрын
Tamim: +8615975300400
@nuhurajai19925 жыл бұрын
Miladi acha ubaili ongeza bum kule ili Mambo yaende sawa bin sawiya
@walterswai68295 жыл бұрын
Kama nilivyokwambia
@christianalex3415 жыл бұрын
Itabidi nije huko nitafute kibarua hata cha kusafisha godauni