#KilimanjaroRestaurant #YiwuChina Kilimanjaro Restaurant ni mgahawa ulipewa jina la mlima uliopo Tanzania na ndio sehemu pekee inayopika chakula cha Kitanzania kwenye mji wa Yiwu China
Пікірлер: 612
@samwelnaal79524 жыл бұрын
Sijui ni mm tu? Kila nikimuona mTanzania mwenzangu amefanya jambo nje ya mipaka nafurahi sana...Mungu akufanyie wepesi usonge mbele zaidi uwe na migahawa kama hiyo China nzima
@lupahmwakabenga75594 жыл бұрын
Kwa niaba ya wenzangu tulioko nje ya mipaka nasema asante sana karibu Zambia
@dullybrown36354 жыл бұрын
Mimi nafurahi sana ila hua nahisi wivu sana nami kutaka kufanya kitu zaidi ya hicho siku moja.
@sofiasofia75574 жыл бұрын
Karibuni mi nipo omani
@samwelnaal79524 жыл бұрын
@@sofiasofia7557 asante
@sofiasofia75574 жыл бұрын
Khery tupo Pa1 kaka
@filbertnashon71604 жыл бұрын
Cha kwanza nikumpongeza AYO tv kupenya Hadi China,give him hi five,afu tumpongeze kijana wenzetu
@pastorbaharia5984 жыл бұрын
YESU NI NJIA YA KWENDA MBINGUN,KAMA UNAAMINI LIKE ZA KUTOSHA.
@godiegodie13364 жыл бұрын
Unatafuta likes kupitia jina la Mungu? kweli ushafilisika
@pastorbaharia5984 жыл бұрын
@@godiegodie1336 ahsante
@mohamedAli-vf8hp4 жыл бұрын
Ni njia yakwenda mbinguni kwa wana wa izrail cio ww
@Andy_tz4 жыл бұрын
Ko ulitaka atafute like kwa jina la bibi ako?😅
@user-nf9cc1hi1t4 жыл бұрын
@@Andy_tz muha una roho mbaya kwel, hilo jibu, hahaaaaa
@hajivuai34544 жыл бұрын
na hapa Dubai ipo moja inaitwa ZANZIBAR RESTAURANT , katika mji wa Deira,yaani very nice vyakula vyote vya Kitz vipo hapo hadi raha,yaani watu wanaweza wakiamua.
@abdullahrashid62974 жыл бұрын
Ndugu yangu ile ya deira inaitwa Daresalaam restaurant ya zanzibar restaurant iko AL aweer... Ya al aweer ndio chakula cha kila aina vya kibongo wako vizuri kwa mapishi
@mligosandrah78514 жыл бұрын
@@abdullahrashid6297 🤣🤣🤣 nimecheka mm nakulaga moja iko deira bufee dirham25
@abdullahrashid62974 жыл бұрын
@@mligosandrah7851 Deira kuna moja iko hotel iitwayo phonecia ni balaa misosi ya kila aina buffet la kiafrica
@rosemaganga39014 жыл бұрын
@Rugamba Shabani plz nielekeze kaka namm nipo Dubai lakin mgen
@rahmaathman74314 жыл бұрын
Rose Maganga rose rose nipe contact zako tuwasiliane
@hurumasilasmwamwezi43513 жыл бұрын
Dafi sana nimependa umeajiri wachina. I love Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@bone1024 жыл бұрын
Millard huyu jamaa aongezewe mshahara anajua kutangaza sanaa
@saadajumanne86564 жыл бұрын
Umeonaa eeeh
@bone1024 жыл бұрын
@@saadajumanne8656 jamaa hatari huyu
@maidammaka81644 жыл бұрын
Anajua mpk anakera yaan yupo vizur
@matingatwaha14394 жыл бұрын
Kabisa mkuu unajuwa kuwaza mbali san
@sophiakasim51534 жыл бұрын
Namkubali sanaaa na sauti yake ina ujazo
@azzaalmaamry764 жыл бұрын
MaashaaAllah nafurah kusikia mtanzania akifungua mgahawa nje ya nchi mungu akupe afya na umri kaka kwa kazi hii
@niyonkurusaidi61574 жыл бұрын
Daaah jama wako vizuri sana, chakula cawo kitamu sana. Thank you kilamanjaro restaurant
@zuhurandauka41664 жыл бұрын
saf
@sabrahally37973 жыл бұрын
Mnipeleke nikale na mim😂😂😂
@kingcobra92384 жыл бұрын
Salute kwako ndg kutoka china maana vyakula vya wenzetu ni balaa nawapata kutoka U.A.E, ABU DHABI gonga like zako zote kama na wewe unapenda african food pindi ukiwa nje ya nchi yako
@lucylucy24043 жыл бұрын
Nimegonga like ila naomb n Mimi nifike hapo ulipo kama utojali
@AllaNetWork4 жыл бұрын
Safi sana my Brother. Songa mbele. As your fellow small business owner abroad, we understand exactly what it takes and what you went thru to get there. Hongera sana na kwa wenzetu wengine walioko abroad na hata nyumbani, tusizime hizo njozi za kuanzisha business. “It can be done my brothers and sisters, it can be done.” Usisikilize kelele za nje. Listen to your heart and thrust forward with your dream.
@mankamasawe11063 жыл бұрын
Nice
@Pihansmo11294 жыл бұрын
Safi Sana.NAOMBA MAWASILIANO YAHUYU KAKA MWENYE HII RESTAURANT NZURI YA KIAFRIKA NCHINI CHINA
@d.a.t33834 жыл бұрын
Google KILIMANJARO restaurant china
@DianaMabaija-bv3ql27 күн бұрын
Naomba namba
@hassanovajunior69724 жыл бұрын
Safi sana My Bro it's So Encouraging 👏👏👏
@sangaTv_4 жыл бұрын
Uuuwiiiii this is soo lovely!!!!
@richardgaya39653 жыл бұрын
Hongera Ndugu....I have noticed a Kenyan customer ..by his wrist band... enjoying his "tilapia" dinner!
Mi huwa napenda combination/uhusiano mnaounyesha, nikiona Watanzania au Waafrica mnaishi ivi uko nje najiskia Raha sana. Sijui kwenye Media tu au ni Real lkn mi huwa napenda sana hii kitu Mungu awabariki wote...
@d.a.t33834 жыл бұрын
Ni balaaa huko nje ngoja utaona competition majungu yataanza
@Tv-rh5mv4 жыл бұрын
Lakini mzee baba sheria za service ufti
@daprince75454 жыл бұрын
Congratulations bro big up for such ideas 👌👌
@georgekasim85343 жыл бұрын
Hongera sana mtanzania mwezetu, godbles you
@mariammgaya75664 жыл бұрын
Nice .....Hongera sana 💪
@hamedamahamd12224 жыл бұрын
Asante sana ayo tv upo vizuri hujawahi niangusha unavija wapo vizuri katika utangazaji
@mathayowilson15254 жыл бұрын
HONGERA KUJANA SHUJAA WA KITANZANIA, TUNAFURAHI KUONA MTU UNAKUWA NA WAZO KUBWA KAMA HILO, KUTOKA KIMARA DAR NIMEANGALIA, HONGERA SAAANA MDOGO WETU...WAAFRIKA TUMEUMBWA KWAAJILI YA MAKUBWA, KEEP ON GROWING TO HIGHER AS MOUNT KILIMANJARO..
@aishasaid57024 жыл бұрын
Maa shaa Allah hongera sana kijana
@khamisjuma50464 жыл бұрын
Salam. Nduguyagu kazimzuri message from USA 🇺🇸👍birian.sisi.wa. zanzibar kwa.biriani.
@khamisjuma50464 жыл бұрын
@@maryammaram2612 alykum.asalam. nduguyagu salamu.nimezipata. sitakuvunja.moyo. zanzibar beautiful a.m miss so.much home 👍🇺🇸
@representativevox26602 жыл бұрын
Jamani zeno tumesoma wote chinese language ♡♡♡
@idrisslewis77534 жыл бұрын
Daah very nice ma bro I like something like that vijana tukiamua kujiwekeza tunaweza aise safi sana
@claysonjulius65203 жыл бұрын
Huyu mtangazaji anajua kazi!! He really knows what he does!
@paschalwilbroad17624 жыл бұрын
Ongera kaka safiii sanaa Mungu akuongozee unaonekana unaupeo wa kuona mbali nitakujutafuata
@coletashirima21934 жыл бұрын
nlichopenda mimi anaongea kiswahili vzur sio wale u know you know ,,, hongera kaka umefanya jambo la muhimu
@issarashid82803 жыл бұрын
Daa kweli kabisa sio awa uk mtu teja lakini abaongea luga za watu
@zubedarichard23113 жыл бұрын
Umenikumbusha magufuli you know
@thurayyaomar6554 жыл бұрын
mashllah hongera kaka , niajiri nitafute 🙏
@mariamahmad82614 жыл бұрын
maa shaa Allah nimeipenda sana sijuu wanaweza kunipa kazi ya kupia 😍😍😍😀😀😀
Kaka mmnahitai kazinimpishi mzuli sana namba ajila nim tazaniya ilakwasasa nipo oman
@omarymohamedy74144 жыл бұрын
Hongera sanaaa kaka mungu azidiii kukuinuaaa
@mkundemsuya25044 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu kwakua na fikra pevu na yakinifu Mungu azidi kukufanikisha
@queenwinnie2563 жыл бұрын
Safi sana Milady Ayo na hongera sana kaka kwa kazi nzuri, mm niko vizuri niajiri tu kaka nami nienjoy mtanzania mwenzangu,
@mtoimohamed67013 жыл бұрын
Yani umeni inspire sanaa Masha Allah,Allah azidi kukupa nguvu na kupanda kiuchumi.
@waukweelinikkon65554 жыл бұрын
Haki vinaonekana ni vitamu sana,Hongera sana broo
@surusuru1994 Жыл бұрын
Masha allah congratulations brother kaz iedelee 🔥🔥🔥🔥🔥
@matthewben21464 жыл бұрын
Huyu Dulla TZA,VIDO VIDOX hawa jamaa Millard ujakosea kuwapa mchongo
@mtaalamwamambo20994 жыл бұрын
Kwel kbsaaa
@eliarichard92184 жыл бұрын
Matthew Ben yaani hawa ni shiiidaaa.
@janesabore29654 жыл бұрын
kilimanhanjaro wana chakula kazuri sana 👏👏👏 napenda
@beatraceketto38804 жыл бұрын
Milad uko juu napenda kuangalia ki tv chako kwanza hunauongo kitu ukweli milad juu mpaka china najua utatoa ndugu zetu wengi kuwapa kaz Mungu akutunze Ar moja iyo
@selemanmuhomba4974 жыл бұрын
Mungu akujalie kwa kazi nzuri na mawazo mazuri ila tafadhali naomba sana usisahau nyumbani Tanzania
@osamashakeeb71944 жыл бұрын
Masha Allah kazi nzuri 👍
@nicemuba49904 жыл бұрын
Anaongea kiswahili ila lafudhi ishakua ya kichinaa ... Amaizng xana congrats💗
@na0m1fes514 жыл бұрын
😂😆😆 kweli lafudhi isha change
@stevenbenard66032 жыл бұрын
Mimi rai yangu kwa serikali za Kiafrika, hakuna haja ya kulazimishana kukaa humu kama naona hali ya nchi yangu haziridhishi DUNIA KIJIJI POPOTE KAMBI. ILA SALUTE BROO FROM CHINA
@carlosmkindi28073 жыл бұрын
Prezoo @bmss aminia sana bro pamoja
@nesielias3173 жыл бұрын
Ukipenda mafanikio ya mwenzako Mungu anakupa yako hongera sana
@talibally87434 жыл бұрын
Big up restaurant nikiend ten nitatfuta... Kikwel tunpt tbu... Like 😘😘😘😘😘
@djkash4664 жыл бұрын
Mashaallah...safi sana
@Mpakauseme4 жыл бұрын
Pesa hiyo, hapa nilipo waafrika wachache sana pasua kichwa , dah ningeanzisha na mimi huwo mchongo big up sn mwana from Taipei in Taiwan
@eddahhawa74714 жыл бұрын
Hongera sana sana,,,mungu akuongezee maarifa na nguvu zaidi
@chiticollemans4 жыл бұрын
Wooooooooow! Woooow! BIG UP
@feiirfan3064 жыл бұрын
Baraka Allah kheir
@masikasaidi880510 ай бұрын
Mungu Akubariki Kazi Yako hongera sana
@hisanmwakijungu104 жыл бұрын
JAMAA ANACHAKULA KIZURI SANA,,, UWA NAKULA SANA HAPO ,, KWANZA HUDUMA ZAO NIPOA THEN UNAKUTANA NA WATANZANIA WENGI MPAKA UNAFURAHI
@froliangrevigian92134 жыл бұрын
Ahaaaaaaaa,, Nimekukumbuka Boss,,kuna siku nilikupa hai Pale Mlangoni tulipishana ukanikaushia kibingwa.... Ila hongera sana kwa kumuunga mkono Mwana...
@giftkaisy30614 жыл бұрын
HahHahhahahHahah
@sintasmarty49744 жыл бұрын
He umeshaenda mwenzangu
@hisanmwakijungu104 жыл бұрын
@@sintasmarty4974 umebaki wew tu!!!
@sintasmarty49744 жыл бұрын
@@hisanmwakijungu10 nipe ofa hiyo niende na mm
@joyceglam46124 жыл бұрын
Great idea 👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼👌🏼
@catherinemmbando69493 жыл бұрын
Ongera sn zeno kutoka mawanda holili mpaka China uko poa sn,good my friend
@lakiabalozi66004 жыл бұрын
Wow Hongeraa aisee good ur so creative
@khadijaathumani56864 жыл бұрын
Faheem mwanangu...Allah akupe hitaji lako
@user-dx5lz6du4y4 жыл бұрын
I love mtangazaji upo vizur kikazi
@shifumponda6664 жыл бұрын
Hongera sana broo mungu akuongoze sana na biashara yako
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
Bro anaongea na yy kama wachina😅😅ila hongera kwake.safi sanaaa 💯💪kaitumia fursa ipasavyo..
@jcomplext.v44094 жыл бұрын
Wawoooooooooo unaniftia brthr uko vizuri mpka nataman ningekuwa hapo
@ifgodsayyes.nobodycansayno17964 жыл бұрын
BIG UP BROTHER KWA KAZI NZURI
@perpetuagodfrey70504 жыл бұрын
Hongera kaka umethubutu ,,na Mungu akupe wepesi zaidi,,,, na sisi unatupa hamasa kwamba ukithubutu inawezekana
@isayasway86333 жыл бұрын
Dahh yan Millard ayo nawamini asilimia buku kwa tarifa zenu ni tofauti na Chanel nyingine
@hidayaswai31193 жыл бұрын
Big and well idea. I wish to work with you my friend
@wahidashabaz59824 жыл бұрын
Nimependa sana kaka mashallah
@mariamramadhani38604 жыл бұрын
Hongera sana naomba kazi kaka
@josephchala44834 жыл бұрын
Big upp sana vijana wa ayo tv kwakutupeleka mpaka china na kumjua mwafrika mwenzetu kuwa ame ivestement huko ase
@glorylimo86954 жыл бұрын
Safi Sana Kaka me too nataka kufungua mgahawa nje Mana Tanzania ndio country yenye chakula kitaam duniani ....na ivi wewe mtu unae unlike sikuelewi una Mana gani
@ms_caramel26884 жыл бұрын
MashaAllah
@michelletv56483 жыл бұрын
Woow l like it ongera Sana kaka mpaka unanitamanisha na mm kuja china
@alexshauri48994 жыл бұрын
Nikiwa usa 🇺🇸 Ongera sana brother wangu Na mimi nimepata wazo Kiukweli brother wangu,ongera mno.
@muniradaudi4404 жыл бұрын
Sn
@hjklhjkl41084 жыл бұрын
Mashallah
@sadajuma98944 жыл бұрын
Wow nice na wish sana kwenda china kufanya kazi ya kupika
@leoniakimati3434 Жыл бұрын
Congrats Zeno,kila la kheri
@partohmsee59924 жыл бұрын
Nakuombea sana kaka Maulana akujalie Baraka tele ili Uweze kustahimili na kuwaelimisha watanzania na watu wote kwa jumla Inshallah
@romanambelle63564 жыл бұрын
Kweli umebarikiwa na upo juu. Hongera sana kaka
@ellysilwani92874 жыл бұрын
Hongera brother..
@salmaiddy60594 жыл бұрын
Hongera kaka
@jozeecharles7824 жыл бұрын
Hongera bro
@mamarafiki2834 жыл бұрын
Hongera zake mungu amzidishie maarifa.
@dioskorimtalo23484 жыл бұрын
Huyo Samaki mmmh , nadondosha mate hapa Kama teja 😋😋😋
@sayunibange89973 жыл бұрын
mh nimecheka
@samsungoman56263 жыл бұрын
Maashallah 😍😍😍😍
@rjjosephat80754 жыл бұрын
Hakikisha unakaa vizur katika IMANI yako wqla usiruhusu mafanikio ya kiMungu kwa wengine yakakukatisha tamaa Wengine wamejikwaa katika maombi yao ...Badala ya kuomba Mungu awabaliki na wao ..Wamebaki wanamnung'unikia Mungu kwa kuwabariki wengine Pia baadhi ya Wakrsto wameanzisha vita juu ya wenzao walio kumbukwa na Mungu katika maeneo mbalimbali ya Maisha yao ya Rohoni na maisha yao yakawaida bibilia inasema kaini akamwinukia Habili na kumwua Ngoja niseme kidogo hapo .... Mafanikio yako hayategemei mafanikio ya mwingine wala sio kanuni ya lazima kwamba ufanikiwe kwanza ww ndipo wengine wafanikiwe.Tambua kuwa hatima yako ni Tofaut na hatima ya mwingine sasa haina sababu yeyote kukasilika sababu ya mwingine kabla yako Maana utakuwa unadhindqna na Mungu alive MPA KIBALI chat.whatsapp.com/C8tApyLwFhN9A2cstIPCBU
@veronicachamle467 Жыл бұрын
Hongera sanaa bro... Imeniispire sanaaaa
@zakayomusa99334 жыл бұрын
Hongereni sana
@misanamohamedi84383 жыл бұрын
Vizuri ndugu yngu endelea kupambana Sana mungu akupe nguvu,Mana najua changa Moto ni nyingi kwnye nchi za watu.tz oyee
@bintialfan21434 жыл бұрын
Nisingeweza kula chochote china dah sio kwa nyoka zile bonge moja la idea big up bro
@ojasoojaso94794 жыл бұрын
China bara kubwa ndugu yangu usidhani ukienda huko utamuona huyu jamaa kwani unaweza kwa mfano kuwa Sudan na huyu yuko msumbiji . Omba utembelee mji aliyopo.Ama cy mh kobe ni wako
@bintialfan21434 жыл бұрын
@@ojasoojaso9479 hahaha kobe tena mie sikuwezi uko bora nijilie zangu dagaa
@ojasoojaso94794 жыл бұрын
@@bintialfan2143 ukisafiri chona usisahau dagaa zako kwenye begi nd yangu
@mamuismaily55044 жыл бұрын
Mtangazaji yupo vizuri
@gracesamwel13383 жыл бұрын
Fireeeee🔥🔥🔥🔥
@teddyewaldmboya52002 жыл бұрын
Zenooo hongeraaaa sana jaman kutuwakilisha China kwa misosi mitamu
@sofiakalinga11003 жыл бұрын
Hongeraaa sana
@michaelkasogela3703 жыл бұрын
Respect to you blazaaa
@maryanaambrocy89762 жыл бұрын
Congratulations bro keep going
@agnesmwau30514 жыл бұрын
Thanks ayo tv
@hipolozo46394 жыл бұрын
aseee mungu akubariki aana kaka nimefurahi sana kuona mtanzaniya mwenzangu unafanya maendeleo
@nellymatalanga50333 жыл бұрын
This has been my wish fr so long hope to do it one day so God help me 😘
@hawaamkubwa20204 жыл бұрын
Hongera kaka pka vitumbua
@emanuelmurumbi69463 жыл бұрын
Safi Sana man nafurahi kusikia mtanzania mwenzetu anatangaza NCHI YETU BONGO