Barikiwa sana mkufunzi mwenyezi Mungu akuzidishie elimu zaidi ili uweze kutufunza nasi zaidi maana hakika tumeteseka sana na maadui kuturudisha nyuma na kutuangamizia familia zetu kichawi hakika uchawi aujengi bali umesimama tu kwaajili yakurudishana nyuma kabisa hata Mwenyezi Mungu angewapa uwezo wakuweza kuzifunga falme hizo za kichawi zinazorudisha watu nyuma hakika ingekuwa vyema
@LAZORANAILS7 ай бұрын
Hata Mimi hapa sijaelewa, chumvi na maji na kopo, je natupa vyote au namwaga maji na karatasi
@magdalenalaban88956 ай бұрын
Ameen
@IbrahimDarlingsaloon4 ай бұрын
Amen
@LesikaKoneАй бұрын
Amen
@mrsmushii6571Ай бұрын
Amina
@AbaAbaa-t6h7 ай бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho Muzuri
@medytsuut35436 ай бұрын
Good education thank you
@MasikaSashaSharline7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atubariki Sisi sote 🙏🙏
@lovecostantine739123 күн бұрын
Asanteee xn mtumishi wa Mungu!! Mwenyezi Mungu azidiii kukubarikii
@Kapandetv6 ай бұрын
Mungu akubariki japo hata kwa sura hatujawahi kukuona nahitaji kukuona
@sarahfeni18667 ай бұрын
Asante kaka yetu kwa mafundisho yako mazuli
@ireneomerion7 ай бұрын
Ahsante kaka kwa mafundisho yako mazuri
@ZakayoMachumbu2 ай бұрын
Ubarikiwe kwasomo zuri Mungu aendeleekutia nguvu.
@happyjacline9887 ай бұрын
Daah sijui hata tumewakosea nini unafanyiwa vibaya mtu anakufunga bila sababu.
@HashimuHashboy-bo2wl6 ай бұрын
Hawa wapo kila mahali sasa wamekuwa ndugu wa damu moja
@clememallya42576 ай бұрын
Acha tu ni wivu tu watu wengine hawataki mafanikio ya wenzao.
@aboudijaaboudija6 ай бұрын
ukion hivyo nyota yako kali nami nipo kweny vita kali na watu ambao sijawah kuwakosea
@HashimuHashboy-bo2wl5 ай бұрын
Na ndugu ndio hatari hawawezi kukuacha salama nihatari sana na wanaroho mbaya sana
@priscilladama86865 ай бұрын
Imagn yani mtu hataki ufankiwe😢
@violethNamz6 ай бұрын
Asante sana mtumishi.
@michaeldianga7 ай бұрын
Shukran za dhati kwa Mafundisho juu ya adui zetu. Barikiwa sana
@mildredalalia146 ай бұрын
🙏🏼🙏🏼 .. Thanks, And blessings 🙌 ..
@MatuloDaffa6 ай бұрын
Amina na mm naenda kufunguliwa kwa uwezo wa mungu
@Carolina-sm5zt6 ай бұрын
Amina
@merymahu45007 ай бұрын
Asante Sana kea mafundisho ya mazuri barikiwa sana
@neemaswai77073 ай бұрын
Mungu akubarikiiii Sanaa. Je kama mtu unamdai ufanyejeeee????
@RoseGwandi6 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka
@soniaramadhani6687 ай бұрын
Asante na ubarikiwe
@subirapeter32904 ай бұрын
Kumbe.... Asante sana nateseka saana
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
Ni kweli kabiza Asante sana
@FARAJIFADHILI-v6x7 ай бұрын
Ubarikiwe kwa jina la yesu
@ChantalSebutiri4 ай бұрын
Asante sana kaka kwamafunzoyako 🎉🎉🎉
@sophietoya4617Ай бұрын
Amiina shukrani sana kaka kwa mafundisho
@samuelchiumia90546 ай бұрын
Asante sana
@ZabronGabriel-xq8ky6 ай бұрын
Asante Sana ndg mungu awe nawe daima umeponya wengi ,binadamu tungangamia Sana Kwa kukosa maarifa.asante Kwa maarifa yako.
@alihamis-m9pАй бұрын
Thx a lot zidi kutuelimisha ndugu malipo yako utalipwa na mungu inshaAllah
@mahababoy6 ай бұрын
Asante kwa funzo zuri ubarikiwe
@belinegriffiths74276 ай бұрын
Amina.Ubarikiwe sana kwa mafudisho .Naamini
@AmaniSelese97 ай бұрын
Asante sana kwamafundisho mazuri
@FARAJIFADHILI-v6x3 ай бұрын
Mwenyezi mungu ninaomba nisaindie nimefungiwa Sina biAshara na nikipata pesa inayeyuka na kuisha bila kitu
@neemamujunangoma79167 ай бұрын
Mungu akulinde
@kassimhashi496 ай бұрын
safi sana
@veronicanyabuto49156 ай бұрын
Asa ti sana barikiwa ndugu
@chichiereyh6 ай бұрын
Barikiwa mtumishi♥️🙏🏾
@FaustaPonera17 күн бұрын
Amina aminaa
@AbdouMroudjaeАй бұрын
Asante sana kaka balikiwa sana leo leo naenda kuwateketeza adul zangu nimeteseka sana mm n'a mwanangu asante mungu akubaliki kaka❤
@gabriellaurassa55832 ай бұрын
Thank you so much teacher
@yessemjeshi82147 ай бұрын
Asante sana naamin katka jina kuu la MUNGU.
@katherinekatherine247 ай бұрын
Asante sana kaka ukabarikiwe sana
@AquileraKaria7 ай бұрын
Hata Yòshua aliyaponya maji Yale kwa chumvi naamini.Asante mtumishi
@MagidarenaNyakitari11 күн бұрын
ubarikiwe mtu wa mungu
@usrahismail31967 ай бұрын
Katika imani ya Kiislamu basi nawashauri msitupe chooni sababu hayo maandishi yana jina la Mwenyezi Mungu sababu hii ni shirki kwa kumfurahisha shetani,atakuponya atakupa mali kwasababu umemkubali na kumtupa Mungu chooni Chooni haifai kuingia na chochote kilicho na matukufu ya Mwenyezi Mungu kama kitabu,pete,nguo,vyatu nk
@PhylisAyuma-qo5cl6 ай бұрын
Inafaa utupea wpy
@Nyotajada3 ай бұрын
Sasa ukitaka kuoga chumvi utaoga nje au usipotoshe
@lilianmarcotimbuka96632 ай бұрын
Unatupa wapi
@AidathRweyongeza2 ай бұрын
@@Nyotajadaukitupa chooni maana yake umeaasi
@mchungajikiwiyaАй бұрын
Kwani umeambiwa umtaje Mungu kwenye karatasi?
@JosephMbunju-y7x6 ай бұрын
Ahsante kwamafundisho
@elizabethzegge3630Ай бұрын
Amina na iwe hvyo
@BeatriceBakari-c5p27 күн бұрын
barikiwa sana
@JangarampotoallyAllyjangaraall2 ай бұрын
Asantekwa kutufundisha elimu
@SalmaHatibu-xn1qi6 ай бұрын
Shukrani kwa mafundisho maana tulikuwa hatujui
@SitelaKyamata2 ай бұрын
Asante ubarikiwe namungu
@sefrozasibuti91947 ай бұрын
Asante baba ❤
@EdnaMkoma7 ай бұрын
Ahsante sana kwa maarifa haya.
@salmaprice91006 ай бұрын
Barikiwa Kwa jina LA yesu
@MagdaIssa-vx6fm7 ай бұрын
Asante sana kaka
@rosjm13777 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa mafunzo more blessings
@CharlesMmbaga-x2f14 күн бұрын
Amina
@TUNUMNGONIGANI2 ай бұрын
Amen bila Mungu atuweyzi
@Asha-x7t7 ай бұрын
Be blessed bro❤❤❤
@WINFRIDAKUSONGWA3 ай бұрын
Amina sana nimeamini katika jina la yesu
@ROGERNTANYANYA-g4d6 ай бұрын
Asante saana kabisa nitafanya hivyo
@ElizaCharo3 ай бұрын
Asante Kwa mafundisho
@MariaKigabo6 ай бұрын
Amen
@yassinking8204 ай бұрын
Asante sana kaka Mungu akubarki sana ❤❤
@davidngumbao61446 ай бұрын
Asante kwa funzo hili
@SuzanMoshi-m1s7 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka Mungu akubariki mno 🙏🏾
@alwinamgomath91597 ай бұрын
Asante ubalikiwe na mungu akatutende vivyo hivyo.
@josephinasilvester6 ай бұрын
👏👏👏🙏
@mercy-jay6 ай бұрын
I'll try this,,nyota yangu ishaenda guys😢😢😢
@JackilineJoeli6 ай бұрын
Komaa hivo itarudi
@FatumaShabani-k6x3 ай бұрын
Asante kwa mafunzo yako mungu akubaliki❤
@DastanChami2 ай бұрын
Barikiwa mungu akupe maarifa utufundishe zaid
@LoveInamugisha-cm7yw5 ай бұрын
Asante kwa ujumbe mungu azidi kukupa uzuji kutoka kwake
@PatrickMarwa5 ай бұрын
Asante Sana kwa kufundisha Dr
@TehsHdhdh-lm3ow4 ай бұрын
Asante kwa mafunzo be blessed
@WandeMagembe6 ай бұрын
Asante
@JenifaMapega2 ай бұрын
Asante kwa somo zuri je kwa sisi akina Mama tunaweza kufanya tukiwa period?
@JudithGeorge-mw7fe5 ай бұрын
Asante sana barikiwa sana 🙏🙏
@dorenfaria80856 ай бұрын
Be blessed
@geraldsiame29415 ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@WilliamMlegu7 ай бұрын
Ntafanya na nitafanikiwa Kwa uwezo wa Mungu
@leonardmakwela55516 ай бұрын
Asante sana ndugu! Je kama hakuna choo cha shimo , Nikitupa jalalani itafaa??
@GodfreyMwamaso4 ай бұрын
Amen ubarikiwe
@MariamMbetsa4 ай бұрын
Amiin inshaallah shukran tena sana
@TeblaMuyava6 ай бұрын
New followers niko na wewe tu na mungu akubariki sana
@AbaAbaa-t6h5 ай бұрын
Asante kwa.mafunzo mazuri❤❤❤❤
@lucianamwangi498626 күн бұрын
Mungu nisaiidie na mm
@MabulaJelly3 ай бұрын
Mungu akubariki
@LeokadiaAloyce2 ай бұрын
Narikiwa sana
@ApproniaPhilipo3 ай бұрын
Amina Mungu akatende na kwangu kama alivyotenda kwa wengine Amina
@NganyirendeObedy2 ай бұрын
Mungu akubaliki
@piusdonald7 ай бұрын
Barikiwa Sanaa sanaaa
@Mr.HassanHussen7 ай бұрын
Amina 🙏🙏🙏🙏
@EricMuganwa2 ай бұрын
Ubarikiwe dans amen
@EpaMkwamti-yg5zo11 күн бұрын
fin
@ADOLPHEMBOKA7 ай бұрын
Asante.
@BorchertWilliam2 ай бұрын
Barikiwa kwa elimu unaoitwa..
@EshafadhiliIsmail2 ай бұрын
Asnte sana kaka ubarikiwe sana kwa hilii
@FelistusNdalawa2 ай бұрын
Amen mungu akusidisher imani
@GilbertLagilwa3 ай бұрын
Amina Nina amini kwa iyo
@JijiRamadhan5 ай бұрын
Thx
@zamoyonandrew72395 ай бұрын
Barikiwa Sana🙏
@RosetteNakajambiАй бұрын
Na amini ,iye ivyo kwa jina la mwenyezi mungu.
@ApproniaPhilipo3 ай бұрын
Amina Mungu anatenda kwenye maisha yangu juu ya maadui zangu Amina