Shida yenu mnakaribisha Wamasai Wakenya,Kuna ng'ombe wengi sana kutoka Kenya,ambao wanatumia malisho ya ngorongoro
@goustonefrancisisole25342 жыл бұрын
It's not easy to weigh the matter......
@FredyRikoyaniMolleld5 ай бұрын
Huyu majaliwa ndio adui namba moja wa ngorongoro
@domikhalifa26822 жыл бұрын
Mama kashakula rushwa
@samperukasaine23312 жыл бұрын
@Domi khalifa ale kabisa rushwa imbeleke mbinguni
@titokibona72642 жыл бұрын
Siyo ugonjwa wa Ndigana, bali na ugongwa wa nyumbu (Malignant Catarrhal fever kwa kifupi MCF). Huu ndiyo ugonjwa unaoletwa na nyumbu kwa Ng,ombe. Ngigana (East Coast fever) huathiri ngombe lakini unatibika na unayo chanjo pia
@blackity102 жыл бұрын
Wamasai wa kenya ndo wanawachochea wenzao, serikali isiwaonee aibu hao wakenya hawana nia njema na nchi yetu yenye amani. Wakafanye fujo zao huko kenya. Na mkiwaamisha wamasai wa tanzania inabidi iwafidie.
@samperukasaine23312 жыл бұрын
Davisa estates your inciting the gvt against it's pple, shame on you wherever your ,we may evn come and strongly hold our brothers in this dificult times
@blackity102 жыл бұрын
@@samperukasaine2331 just leave people's lands alone, shame on your government for using maasai
@blackity102 жыл бұрын
@@samperukasaine2331 just tell your your government to allocate pasture lands for kenyan maasai so they dont have to cross a country to feed their animals and the problem will be solved. Take lands from your ex prime ministers and ex presidents we know they own almost all the land there
@samperukasaine23312 жыл бұрын
@Davisa Estate my friend human life matters alot than that investment of yours ,