Watanzania tunathamini kazi zenu kwa ajili ya usalama wetu na nchi yetu tunawapenda
@msafirially784921 күн бұрын
Kazi mzuri,muwe na miyo yenye afya bila hofu,tuwe na heshima na amani
@farajalimenyimana32613 жыл бұрын
Uwepo wenu ni amani kwa ssi Tanzania.....asante sana JWT💝💝💝💝
@camycamilo3163 жыл бұрын
Tupo kwaajili yakuwalinda watanzania wenzetu
@allymohamed11824 жыл бұрын
Allah kulinden namaadui ,na kila atakae tiya puyake kwa lengo baya tuwapat kwa urahis nakuwatokomeza, ewe mola wape afya njema jeshi letu la TANZANIA. Allahumma amiin.
@lucassalvatory72515 жыл бұрын
Thank you for serving our country
@depsmilindi84244 жыл бұрын
Naona ndugu zangu wa tz bado mpo kwenye theory..... Kwetu 🇨🇩jeshi lina ishi practices tu day after day... Ndio maisha ya kila siku... Ila hongera kwa mazowezi
@ababuumwana51025 жыл бұрын
Safiii kama walijua nchi hii ni kama kijiwe cha bangi waone kwamba Tanzania inamajeshi yake na wanafanya kazi nzuri dunia nzima inatambua kazi ya jeshi letu
@husnauthman76095 жыл бұрын
Wako vizur sana mungu awatangulie
@leokamil62845 жыл бұрын
Ahh Uganda wanatujua 1978 ilikuwa balaa
@mgodinalipa3935 жыл бұрын
Ababuu Mwana
@rizikihamisi89545 жыл бұрын
Ababuu Mwana haifiki kenya
@ababuumwana51025 жыл бұрын
@@rizikihamisi8954 wewe ni mkenya au Mtanzania? Kama sio mwanajeshi unajuaje kazi za jeshi? Unaonekana hufahamu unachokisema labda unaongea ushabiki lakini kiukweli Jeshi LA Tanzania linaongoza kiweledi na kulinda amani Africa
@justusgration86954 жыл бұрын
Jambo AFANDE!!!!! Nzuri Sana.Pongezi kwenu.
@rashyramy80665 жыл бұрын
Najisikia vibaya Sana kuona watu wanavyobeza jeshi... Sijui ni watanzania kama Mimi Au ni wa nje.... Maonesho ya kijeshi si Sawa na onesho la muziki... Ukionesha kila ulicho nacho ni sawa na kutoa siri za mafanikio yako (jua hutofanikiwa tena) Nna Imani jeshi ni imara, lenye nguvu Kazi makini pamoja na silaha makini.... LMG, RPG pengine hata little boy, na vingine vingi.... Hakuna wa kujivunia JWTZ kama sio sisi watanzania wenye.... One love to TPDF.
@imanyotz5895 жыл бұрын
RPG IS OUTDATED NOW. HGUIDED MISSILES NI UPDATE NOW DAYS
@iddyamri26295 жыл бұрын
Rashy Ramy Watajua nn hao watoto bro! Acha wabeze hajawahi kuona vita wanasikia tu
@rashyramy80665 жыл бұрын
@@iddyamri2629 pamoja Sana mkuu..! Wanadanganyika na movies za kina Rambo, ambapo vifaa na baadhi ya technolojia vinavyotumika ni vyakufikirika na sio vya kweli kiulimwengu.!
@rashyramy80665 жыл бұрын
@@imanyotz589 nimegusia tu RPG as mfano sababu hata katika hiyo video haijapata kuonekana...! Again I say onesho la kijeshi sio wasafi festival...! Soma why Britain collapsed as world workshop (moja ya sababu ni EXHIBITION.... Today she is no longer a world workshop)..... Hope you have copied Comrade.
@jospinniyonkuru92795 жыл бұрын
Rashy Ramy Is
@andreymalisa16255 жыл бұрын
Mungu bariki jeshi letu
@saidyramadhani98745 жыл бұрын
I love you Tanzania 🇹🇿🇹🇿
@bonabonala555911 ай бұрын
ttz leo nii jeshi shinndwa wasomi niwengi sio lile la nyerere la kumpiga adui nduli idi amini
@richadopanga53374 жыл бұрын
nakubari sana jwtz mungu nisaidie
@goodlucklutabila75275 жыл бұрын
Wananchi wenzetu, Frontline soldiers, wananchi wote wa Tz tunalojukumu la kikatiba kuilinda nchi yetu, Tuendelee kuilinda nchi yetu, nchi yetu nchi yetu, Tanzania ndo nchi yetu tuilinde Tanzania. Katika kulinda tuilinde nchi kwa manufaa ya wananchi wote wa Tz. I LOVE JWTZ, stay safe brothers and sisters.
@mohammednaeem27345 жыл бұрын
Hapana nchi hii si yetu sote wenyewe ni ccm vikitokea watakwenda wao
Apo ndpo pa kujiuliza Kenya inaingilia wapi? Ata Mimi nashangaa
@ramamtetu23274 жыл бұрын
Si tu JWTZ ni Jeshi la Wananchi wa Tanzania Bali Limekuwa likijitolea Kulinda Amani Maeneo Kadhaa Katika Bara la Afrika Penda sana JWTZ
@mohamedmhina77955 жыл бұрын
Safi kabisa ubora wawe wanazitumia hata kwa mazoezi ya kujiweka fiti manake hizo silaha huwaga zinalipukaga wenyewe huko kambini zikikaa mda mwingi bila kutumika mfano si kule mbagala na gongolamboto unafikiri tutasahau ile ...hatuwezi kusahau kamwe.
@lusese15 жыл бұрын
Ha haa haaa, Mohamedi unamamboooooooo!!!
@nasrihamza57665 жыл бұрын
Duuuuh tuombe game moja na allshababu
@munuoisaack4185 жыл бұрын
Mbavu zangu kumbe mnakumbuka mbagala
@RithaJoshua-qx5dt14 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@yeasrmsafi71525 жыл бұрын
Hivi na RC WA Dar na Yeye mwanajeshi au Yeye mwanasiasa
@jonaspatrick28714 жыл бұрын
Tunaitaji technology mpya silaa zetu vimepitwa na wakati sana.
@nbfchisotta37495 жыл бұрын
Nilichogundua mpaka sasahvi, jeshi litatumiwa kisiasa hasa serikal hii #trust
@davidcurtis85565 жыл бұрын
Acha mawazo ya ajabu unadhan ni rahisi kihivyo jesh kuhusishwa na siasa? Hao sio mgambo wala polisi soma sheria japo kidogo utaelewa
@nbfchisotta37495 жыл бұрын
@@davidcurtis8556 Najua lakni fikiria + na - ➕&➖
@nbfchisotta37495 жыл бұрын
@@davidcurtis8556 lakn ni maoni yangu hayo, imekuwa poah kama yamekufikia
@ibrayakub4765 жыл бұрын
Duh silaha zenyewe sijui kama wenzetu bado wanazitumia
@ibrayakub4765 жыл бұрын
Sasa ivi ukitengeza nyuklia ndio unaonekana uko vizuri hiyo yote ni mapinduzi ya mwanadm na mtume alitabiri dalili za kiyama moja wapo silaha hatari zaidi kuundwa kabla ya kutokea vita aijapata tokea toka dunia imeumbwa
@damianmakala29135 жыл бұрын
Ukitaka kujua kama silaha inatumika au haitumiki kaweke matako yako mbele ya mtutu wakati ina piga hapo utajua inatumika au hapana
@upendohalisi805 жыл бұрын
Ibra yakubu, na wengine wote waliocomment sms za mtazamo hasi, poleni kwanza pia kwa kawaida mjifunze nchi yetu ni ya amani pia inajeshi zuri sana kupita mengine yaani tuko vizuri asilimia zaidi ya 100 pis kiufupi huruhusiwi kuonyesha siraha zotr hadharani.. Pia lazima wafurahie kutesti kidogo mali zao zao!! Kama jeshi unaona feki siku upinzani fulani ulete vurugu harafu waachiwe jeshi sio polisi hapo jeshi hilo la mabaka litulize fuje uone ndani ya sekunde wote mumejisaidia ghafula!!
@danielmwijage30455 жыл бұрын
Kwani hiyo inakwangua tu?
@reinfridmzaga66315 жыл бұрын
Unajua maana ya Silaha ww? Unaijua vizur SMG ww? Pole sana.
@samsontimotheo26114 жыл бұрын
Nimeipenda hii
@eliyawilliammagesamarwa84135 жыл бұрын
Wapi vifaru achana na mizinga wapi ndege zisizo Kua na lubani nchi yetu ni kubwa tujilinde na silaa za kisasa My TZ
@salummuhija44355 жыл бұрын
Safi safi jeshi letu
@sashasasha39055 жыл бұрын
Hongera zenu
@meditationrelaxing62094 жыл бұрын
pongezi @MIllard Ayo kwa kutembelea kikosi na kutuletea habari wewe sio kidogo ................
@snipertz29055 жыл бұрын
ALLAH ALITIE NGUVU JESHI LETU LA TANZANIA
@nelibaba4 жыл бұрын
mko vizuri JWTZ
@stewartmsamila56914 жыл бұрын
wako vizuri.
@anafisuleimani70835 жыл бұрын
Safi sana hata marekani nae juzi amefanya maonyesho ya zana zake
@abdillayussufamour64615 жыл бұрын
Lokal sana silaha zetu
@papayatnzania10054 жыл бұрын
@Abdilla hilo jina tu we ni mkimbizi sema asanteni watanzania maana ungekuwa kwenu hata mifupa ishaoza muda huu upo TZ unatujazia toilet zetu kwa kula na kusaza eti hizo siraha zime Expaya tanua mkundu uone kama haijatokea upande wa pili na uwache kula Nguruwe mchana kweupeee ona sasa hasara yake
@youngdady79015 жыл бұрын
Nimeangalia hapa nikakumbuka zile vita za wajapan na wachina kwenye movie 😁😁
@eliyawilliammagesamarwa84135 жыл бұрын
Zilipedwa😄😄😄
@emmanuelanael69344 жыл бұрын
Hahahahahah Hahahaha Hahahaha Hahahaha
@msofelighitrider57485 жыл бұрын
Hivi ipo siku tuta rusha kama Yale ya Korea na marekani ? Man's wezetu wakituma salamu kama hizo unasikia wamerusha roketi linalo tembea kilometa 45000 ila kama tumeweza kurusha dream line inawezekana 💪💪
@kisulaabas26145 жыл бұрын
Safi sana jeshi la Tz ila sasa Weapons za kikoloni sana mu update weapons bunduki kama za askari pori mlete kama lela la Rambo 4 kwenye gari pale limjegejo
@msaniamosi4384 жыл бұрын
Hahhahahahaha
@aidanfrancis44823 жыл бұрын
Kwan umeambiwa hazipo
@hajiharuna7865 жыл бұрын
Nzuri makamanda wangu
@deusmauka96265 жыл бұрын
Tunataka kuona yale makombora ya ICBM maana Dunia ya sasa mambo ni dot. com,tunawakubali sana JWTZ. Rasilimali tulizonazo, ni muda muafaka sasa kujilinda kwa mitambo ya kisasa zaidi.
@khamiskhamis3515 жыл бұрын
Deus Mauka sio kila silaha huonyeshwa kwenye krip
@judaspantaleo97794 жыл бұрын
Haiwez kuonyeshwa hapa ipo ila uwez mwonyesha adui nn utatumia atarajie kisu kumbe una bastora
@lebronmbando2014 жыл бұрын
@@khamiskhamis351 mbona korea China Russia ikifika sikukuu zao Wana onesha silaha zao na Bado wakali
@lebronmbando2014 жыл бұрын
@@khamiskhamis351 uliza Korea China Russia India Iran Wana onesha Kila siku silaha zao mpya na Bado wakali
@omarsultan44265 жыл бұрын
Sijawahi ona vita na kuona uwezo wa jeshi lakn kw kupiga wananchi pakitokea fujo kwnye uchaguzi apo nd wanaoesha uwezo wao lakn kwa kesi ya kupiga wananchi bas ilo si jeshi jeshi linatoka kwa Allah lkn kw kuiilinda nchi kidgo litkuwa ni jeshi
@mandegoro93225 жыл бұрын
Comment haileweki.
@safariadrien53485 жыл бұрын
sema silaha kubwa munazo ni zazamani sana Army ahipo update Duuuhh na technology ya sasa
@noreentv20345 жыл бұрын
Ww nyamaza kama nchi yenu inaonyesha siraha n nyny cc hatuna tamaduni za kutoa siri za nchi ukitaka kujua zpo updated chokonoa mana wakenya mmezidi na hao tausi mtarudisha mnaongea sna
@honekisebwa2265 жыл бұрын
@@noreentv2034 mwambie uyo
@heavenlightabel52234 жыл бұрын
Mbaba hiyo ni show tyme afu pia jua nkambi ya pemben
@daudhenry89094 жыл бұрын
Hujuwi chochote
@michaeleustach97694 жыл бұрын
Atakuwa mnaa huyoooo
@maticsleokas17855 жыл бұрын
hizi silaha labda vita ya wenyew kwa wenyew....maana za kitambo sana
@Mokiwa5 жыл бұрын
Matics Bwaiy kasimame mbele yake tupime ufanisi wake 😇😇😇😇
@amouramour97124 жыл бұрын
k
@salmaothuman97625 жыл бұрын
Safi SANA 💪💪💪
@ezekielnjau88305 жыл бұрын
Safi, kaz kaz jwtz
@kasarambajuma2704 жыл бұрын
Nimependa kuona ukakamavu wajeshi letu
@deusmauka96264 жыл бұрын
Fanyeni mipango kila mtanzania awe ni mwanajeshi itapendeza sana.
@jamesphilemon53395 жыл бұрын
Hapa kazi tyuuu
@adammakoye41985 жыл бұрын
kma ndiyo siraha zetu hizi aisee ! tusiwe wachokozi kbsaa !
@januarymshana80155 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha ha ha
@pilijuma94285 жыл бұрын
Hahahahahah
@amnemkubwa73535 жыл бұрын
Wacha woga uo😁😂😂🤣
@juliusgombo42325 жыл бұрын
Hatari ndugu yangu,tuwe wapole kabisaaa
@gine90115 жыл бұрын
Nilitaka niseme hivyo😀
@tumainbeatus32825 жыл бұрын
Kutishana tu😁😁😁😁😁😁 Wengine waoga bana!!!
@gilbertidi96825 жыл бұрын
Weeeee acha kupanik
@abdulkarimhamissi37555 жыл бұрын
Ila wazungu Bana walituaminisha kila kitu mpaka kwenye kupigana tunatumia fire 😁😁😁😁
@issackjoseph64364 жыл бұрын
Mjomba ground ya battle c poa lazima utumie neno lenye muhamasiko
@aminamfaume42445 жыл бұрын
Awatu wanasura zakutisha jamani.ukikutana nao hawa porini hunabahati.Tanzania juuuuu
@mzalendotz33975 жыл бұрын
Hahahahah we Amina Acha uogaa
@aminamfaume42445 жыл бұрын
Mmmmmh uwoga muhim ndugu
@idawakisambivi77475 жыл бұрын
Movie za hollywood zinawadanganya sana wabongo.... angalieni nchi ambazo ziko vitani waasi na majeshi ya nchi husika yanatuamia bunduki gani.... Watanzania muache dharau
@hendrickmaganga48245 жыл бұрын
Naiona AGPMG- najuwa hamjaelewa maana ake Automatic General Purpose Machine Gun, af watu mnasema old weapon mnajuwa mziki wa hyo machine gun,,, au mnatafsiri matire hayo ya mizinga,,,, na pemben hapo kuna RPG
@lucascharlescarter5 жыл бұрын
Acha ku2danganya ww hakina siraha mpya hapo kwanzia 75Mm recoires lifle ,12mm mpaka iyo 40mm zote zimetengenezwa miaka 1940-------
@aliboss27365 жыл бұрын
Daah silaha bdo zazamani ivo daah bongo nyosso
@damianmakala29135 жыл бұрын
Boya wewe kula ugali ulale and then ukaharishe choon maana hujui lolote
@shadrackngovano11075 жыл бұрын
ali boss una vita na nani wew unataka silaha za kisasa au unaropokwa tuu unafikiri silaha zinatilewa tooo ikipigwa hiyo unakunya kunya tuu
@lebronmbando2014 жыл бұрын
@@damianmakala2913 yupo sas hihi
@hijjamuhidini15425 жыл бұрын
Bado vifaaaa hatuna
@mwigakatumpula21755 жыл бұрын
Nimejaribu kuchunguza comments mbali mbali zilizopostiwa juu ya hii clip nimebaini kuna uelewa mchache wa wa tz kuona wanashindwa kulithamini jeshi lao ambalo hadi ivi sasa linaendelea kufanya vzr ktk kuhakikisha nchi inakaa salama ,kwaiyo niwashauri kwa wale wachache wasoitakia mema nchi yetu wangekaa kimya kuriko kuanza kudhihaki kwa maneno ya kejeli juu ya jeshi letu kwani jeshi always lipo imara sana na litazidi kuwa imara sana.
@castatomatovu33625 жыл бұрын
Mwiga Katumpula wengine mamluki sio raia wa bongo so relax brother usiumize kichwa
@mwigakatumpula21755 жыл бұрын
@@castatomatovu3362 kweli ndugu ukifuata ya kwenye mitandao utajikuta unavunjika mgongo
@kibojewee27105 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe lakini kama kuna kosa lazima umeambie kam wewe "kuriko" kuliko..
@devidpanja1154 жыл бұрын
Bora useme ndugu mana watz wengine ni waajabu sana..pamoja na ubora mkubwa wa jeshi letu bado wanaonesha uwezo mdog sn wa akili kutambua hilo
@devidpanja1154 жыл бұрын
Tell dem
@kanukanute15144 жыл бұрын
Kz nzr
@cyruskabira71045 жыл бұрын
Kenya haitumi k47 sana Kwa njeshi labda polisi. Lakini watu wa Tanzania wanapenda inchi Yao Sana Lakini tupendani na tuwe tayali kushika tuunde afrika mashariki Jumuia moja basi Sisi no watu wamoja
@ramiatengano40344 жыл бұрын
Hizo ni mbinu Jeshi la Tanzania ni jeshi la siri hutakiwi kujua linamiliki silaha gani
@ibrahimissango10834 жыл бұрын
Unaweza ukatumia teknolojia na ukapigwa kama mkwawa alivyowapiga wajerumani
@mushiliawadhimbeweka35945 жыл бұрын
duuuh! silaha za mwaka na 80 bado mpka leo tunatumia
@hainesurasa15035 жыл бұрын
Haijalishi kumbuka amani wanailinda wa vifaa hvyo hvyo na unakua salam
@rojamo73944 жыл бұрын
Akili zako hata kuongoza kuku hazifai
@nassororamadhan87564 жыл бұрын
bado tuko nyuma sana kwajeshi
@drmuha54195 жыл бұрын
Hongereni majeshi yetu ya Tanzania Sisi watanzania halisi tunauona ubora na umuhim wenu kwetu kama TAIFA
@sudysaidykamonongo75495 жыл бұрын
APA hamna kitu machine zenyewe ni chakavu wakat wenzetu anakupiga yupo anakunywa kahawa
@loyafrica15525 жыл бұрын
hahahahaha
@rojamo73944 жыл бұрын
Leta yakwako tuone fala we
@sudysaidykamonongo75494 жыл бұрын
@@rojamo7394 ww unafirwa kuma ya mama ako
@beckarorlando83764 жыл бұрын
Izi siraha zinazotumika hapa bila ya Tija ya msingi ni kodi za watanzania ilo zoezi lao naona kama miyayusho
@peterchula19905 жыл бұрын
JWTZ NAWAKUBARI SANA AKIPITA NYOKA USIMCHEKEE PIGA AFU NDO UTOE TAARIFA anayewabeza achokoze aone mziki wake
@kibojewee27105 жыл бұрын
Wewee "nawakubali"
@linusmakut67325 жыл бұрын
Tecnorojia hiii Kwa sasa imepitwa na wakati bado yuko nyuma sana kitecrojia
@mohammednaeem27345 жыл бұрын
Kama nyinyi mupo na wenzenu wapo ndio maana munaletwa kwenye masanduku ngojeeni uchaguzi muje mutupige makwaju jeshi la ccm
@rojamo73944 жыл бұрын
@@linusmakut6732 unatombwa ww leta tecnolojia yako sasa
@papayatnzania10054 жыл бұрын
@Roja mo sio anatombwa mimi nafirana na mama yake muda huu anaukatikia ile mbaya mijiushanga kiunoni yaani utamu juu ya utamu chezea Boro la kirugulu mamaeee
@anthonymaganjo16465 жыл бұрын
Bure kabisa.JWTZ nawatumia AK hali majeshi ya nchi wameendelea
@danielmwijage30455 жыл бұрын
Mpaka sasa ndio silaha bora duniani kama huelewi
@raymondkanyama63874 жыл бұрын
😅😅😅😅km muvi la check Norris mwaka 80....dah mciwe mnatuonesha upumbavuu huooo
@wilsonuhenge19265 жыл бұрын
Mazoezi mazuri lakini mjitahidi kupanda miti kwa wingi ili hiyo carbon mnayoizalisha ipate kupungua na mazingira yawe rafiki kwa viumbe hai
@rashidisaidi77444 жыл бұрын
Munaamu yavita makamanda wetu munamidadi hatari namoli namizuka yakuua maadui
@ndukulusudikucho_4 жыл бұрын
Wapeleke Afghanistan majaribio tuwaonyeshe Taliban Sisi Ni balaaaaa, ila Afghanistan Mbali saaana peleka Somalia wote hao
@minaside67175 жыл бұрын
Bora mfanye hivyo ili zisije fanya mahafa kama g/mboto na mbagala
@faridahhamza87045 жыл бұрын
Mhhhh jamani tuombe mechi na Alshabab 😀
@damianmakala29135 жыл бұрын
Omba mechi na hawara yako
@samutykuntathebantu84024 жыл бұрын
Kabisa wavuke boda hadi somalia
@djnangaxtwo29754 жыл бұрын
KUMBE MPO VZR TUOMBE VITA ATA CONGO
@johndamas88804 жыл бұрын
Bado ni ziro
@shukururichard32805 жыл бұрын
Tanzania mambo moto
@haizobankstudios30854 жыл бұрын
naziona ak
@applestru_cape22195 жыл бұрын
Bro mirlad ayo naomba pitia coment halafu ............
@donaldelias66895 жыл бұрын
C tuombe ata mechi ya kirafiki ili tuzitumie vzri
@zeddybass66724 жыл бұрын
Kumbe hii mizinga ya kuwasha kama generator
@johnmkunde8735 жыл бұрын
kwann uchaguzi ukifika mazoezi ya kijeshi yanakuwa mengi sana mhh
@makongoronyerere25954 жыл бұрын
Wanajua kuw Kuna zamb wanazifanya kwenye kuiba kura , hivyo Wana tutisha ili waibe vzr
@madamcolethaa6415 жыл бұрын
Mnaosema siraha zakizamani mnazani wao wapumbavu kama Iddiamin Dada waonyeshe kilakituhadharani wacheni ushamba
@idawakisambivi77475 жыл бұрын
Movie za akina Rambo zinawadanganya sana vijana
@rashyramy80665 жыл бұрын
@@idawakisambivi7747 kabisa ndugu yangu....life in movies ndio inawavunjia hadi ndoa zao.... Wanadhani yakwenye movies ndio kila kitu
@madamcolethaa6415 жыл бұрын
@@rashyramy8066 mnanimaliza mbavu zangu
@2pacshakur9125 жыл бұрын
Sio ushamba watu wana mfumo mzima wa anga na wanasilaha za kisasa
@2pacshakur9125 жыл бұрын
Kuna midude bara hadi bara hahaha ww unaonesha silaha za idi amini
@alexnatojeshilamtummoja6895 жыл бұрын
tuko vzur
@elfannantv36774 жыл бұрын
Hizi silaha mara ya mwisho kuziona nakumbuka ni kwenye movie ya McBain
@lucaspaschal76914 жыл бұрын
Matukio yare
@ashurafabby19815 жыл бұрын
Wanaopewa salam kna nan
@allyderossi97425 жыл бұрын
Ashura Fabby;:Uhakika zimetumwa KENYA,BURUNDI,UGANDA ww ulizani zimetumwa KOREA YA KASKAZINI au IRAN na URUS,,,,,ukiwa ww ni mbuzi unaomba pambano na paa yann ukamtafute TEMBO.
@samutykuntathebantu84024 жыл бұрын
Watz si mvuke boder hadi somalia mtest na mshow force huko kidogo kama wakenya,uganda na ethiopia.
@yusufsamwellugendo97574 жыл бұрын
Hao waganda unaowasema sisi ndio tumelfndsha jeshi lao pale tulipomuondoa IDD AMIN NDULI DADA
@samutykuntathebantu84024 жыл бұрын
@@yusufsamwellugendo9757 😂😂😂 hi ni uganda ya sasa sio ya kitambo wajaribu sahii mtaona chamtema kuni
@rithadonatus81105 жыл бұрын
Amuwezi kuwafikia Korea ya kusini na vifaa vya zamani
@rashyramy80665 жыл бұрын
Exhibition is not a conclusion...!
@damianmakala29135 жыл бұрын
Malaya wewe kula ugali ulale hujui kitu
@rashyramy80665 жыл бұрын
@@damianmakala2913 😂😂😂 unesomeka Mike...
@subrynerysegerow13235 жыл бұрын
Ritha Donatus this is Tanzania bro what u talking about?
@burudanitv8745 жыл бұрын
Ritha Donatus ndgu ww nchi gani
@obedmeek51313 жыл бұрын
Napenda sana jeshi lkn nimekosa refarii jmn kama kuna mtu humu ndani anajua namna aniambie jmn number zangu 0768575087
@baadwingervas10534 жыл бұрын
Mmh
@elishamusa51935 жыл бұрын
Toka nizaliwe hakuna kaz nayoipenda kama hii nkiwaona hao jamaa apo pichani nataman ningekuwa nao
@abdulrahman2825 жыл бұрын
Mizinga ya kuvuta kamba miaka hii wenzetu wapo na out Kazi ipo
@victorkhaoya63644 жыл бұрын
aki n ya miaka 1782 kitambo xai ni computerize
@hisanmwakijungu104 жыл бұрын
Iv ukikaa hapo Kwa mbele unakufa kweli
@stanleymathias78774 жыл бұрын
Hufi kabisa
@dulahshabani81595 жыл бұрын
Sio poa
@claudsanga21295 жыл бұрын
Kweli mpo
@anoldwako1022 жыл бұрын
Kwani bado mnatumia AK 47 tafuta bunduki ya maana
@kibojewee27105 жыл бұрын
Hizo machine gun zenu sasa haziwekwi chini zinawekwa juu ya magari kama za Land cruiser na nyengine kama wanavyo tumia Syria
@kibojewee27105 жыл бұрын
@FatherJay Badman : kwani huangalii U tube vita bya Syria na hapo zikipigwa risasi au motar basi mbio wanawacha kilakitu upo nyuma wewe kwa habari
@hollysprings33774 жыл бұрын
Ila wew na we ndo kweli,,,,unadhan movie yenyew hyo,unachoona kweny movie ulitaka uone humu,🤔🤔🤔🤔Kaz kwel
@arnoldrwegoshora4495 жыл бұрын
Hao ndio baka baka sasa. Wakiongea wote tunafyata aswaaa hao sio polisi ni bakabaka wenyewe mamaeeeee
@undersonmwombeki84944 жыл бұрын
Babaka baka ndo nini ?wambie waombe mechi bs ya kirafik ata na mataifa angalau kama siyo korea kusin au urus au marekan au kahalika tuone ukamanda kama upo kweri
@omarmukhtar86635 жыл бұрын
Hata aibu silaha Za mwaka aliozaliwa yesu
@bintiiddy70435 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😁😁😁
@damianmakala29135 жыл бұрын
Pele mkundu wako mbele ya hizo silaha uone kama hujamwagwa mavi boya wewe
@madamcolethaa6415 жыл бұрын
@@damianmakala2913 imwmkomesha
@bintiiddy70435 жыл бұрын
@@damianmakala2913 povu
@damianmakala29135 жыл бұрын
@@bintiiddy7043 peleka matako yako uone moto wake boya wewe unaropoka kama umetoka chooni eti silaha za zamani ! Peleka tumbo lako mbele uone mavi yanavyokutoka
@fakihhija94975 жыл бұрын
Duh mbona silaha za kizamani lkn
@stewartmsamila56914 жыл бұрын
sio za kizamani, silaha za jeshi la ardhini ndo zilivyo
@lebronmbando2014 жыл бұрын
@@stewartmsamila5691 acha ubishi zaki zaman hizo
@joshjulius81334 жыл бұрын
@@lebronmbando201 Hizo za zamani ndizo wanazoruhusu kuwaonesha kwenye Tv ila zile mpya wanazificha hawawezi zionesha wazi
@lebronmbando2014 жыл бұрын
@@joshjulius8133 unaficha za nn wakati siraha zenye tume nunua kwa nchi nyengin tunge kuwa tume tengenez wenyew saw kuficha
@oscarezekiel18265 жыл бұрын
Hawana lolote hao,sikuwatakayoambiwa wende wakasaidie Somalia tu,wote watajitia ugonjwa wasipelekwe... Kazi yao kutumikia ccm tu
@ommietrendz71755 жыл бұрын
Hujui kitu wewe Hawa watu wako sawa sana na wanaenda mission nyingi tu Achilia mbali kukaa mipakani vita inapoanzia
@kahugentobi97345 жыл бұрын
Hapo chacha
@canibalgazaboy83255 жыл бұрын
Kwa kuwa wew huna chembe ya uzalendo wa inchi hii ndo maana unaona Kila kitu nikama unavofikiria ila jua Kuna watu hawalali ili wew ulale jinga wew siku ambapo hutolala Kama Syria ndo utakapojua maana mtu kama wew hufai kuwa kwenye hii inchi maana ndo mafisadi wenyewe wew maana hamna ata chembe ya uzalendo na huruma
@shadrackngovano11075 жыл бұрын
Huna akili wew kula ukanye mawazo yako mafupi kama kimba lako