TUNDU LISSU AZICHAPA NA MWIGULU NCHEMBA | AMEPATA WAPI HELA YA KUMILIKI TIMU YA MPIRA NA.........

  Рет қаралды 57,302

RAI TV

RAI TV

Ай бұрын

Пікірлер: 76
@FaustineJololo
@FaustineJololo 22 күн бұрын
Wajnga kama mm hatutomuelewa tutamtus na kukomet ujinga ushangaee mh LISU mungu yuko naww❤❤❤🎉
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 16 күн бұрын
Ujinga ni tatizo la hii Nchi mkuu
@ShewaiKiondo
@ShewaiKiondo Ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe umri mrefu rizki nyingi afya nyema ili uzidi kuwatetea wanyonge
@simonshija2476
@simonshija2476 Ай бұрын
kusema mtu anatimu ndo kutetea!
@jesaminzo
@jesaminzo 18 күн бұрын
​@@simonshija2476 huwezi mwelewa Tundu Lissu kwa sababu ubongo wako umechanganyikana na wadudu aina ya chawa
@EzekielMatimbwi
@EzekielMatimbwi Ай бұрын
Wananchi wa nchi hii nisawa na mpira mbovu, utakakopgiwa ndiko utakakoelekea
@Paulkessy-j8n
@Paulkessy-j8n 7 күн бұрын
Umeongea ukweli raisi wangu wa siku zote
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 16 сағат бұрын
Ndo maana hii mizigo mikubwa ya KODI na TOZO wanayotubebesha kila uchawo haiwezi kupungua na kuisha , kwa huu ubadhirifu wa kutisha 😢😢
@FaustineJololo
@FaustineJololo 22 күн бұрын
Wanichi wa tanzania hatutakua waelewa hata tusome kumaliza madrassa na vyuo vyote yani nibora liende naserekal yetu hatuk kubadirka tutanyoka 😅😅😅😂
@SureJR-yd3zm
@SureJR-yd3zm Ай бұрын
Hapo umeongea vizuri mzee
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 15 сағат бұрын
Huyo Mwingulu alitumbuliwa na Mwendazake kwa mambo hayo hayo ya mpira na ushabiki wake ulopitiliza kwa Yanga. Kwanza akamuonya ,chagua moja kati ya mawili ! Aidha chagua ushabiki wako wa mpira Au fanya kazi ya serikali kwa kuwatumikia wananchi Akaendelea kushupaza shingo ... 😅😅😅
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 23 күн бұрын
Wanaibua vipaji kipindi cha nyuma timu ilikuwa simba na yanga tu saiv mpira umekuwa asantn viongz wetu
@robertlary6007
@robertlary6007 Ай бұрын
Mhe. Lissu 😄😄😄 Wenzako wanamiliki team za mpira ili vijana wapate ajira kupitia talents walizobarikiwa na Mungu, Kazi Iendelee 🇹🇿 #NasimamanaSamia
@AlbertLemau
@AlbertLemau Ай бұрын
Hzo Hela za kumilik team wanazitoa wapi , ukilinganisha na mishahara wanao lipwa Serikalini ??? Njoo Kwa hoja amby haitakuaibisha
@DeograsiadNsembele
@DeograsiadNsembele Ай бұрын
Ilike your presentation
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 25 күн бұрын
Mimi sio ccm sio chadema ilo naliweka wazi ila ccm na andazi Mimi nachagua andazi
@lucasdominick3256
@lucasdominick3256 2 күн бұрын
kweli
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 24 күн бұрын
Maneno hayo wanasiasa yanakuhusuni maneno mazito hayo maneno hayo ambizaneni mkaa pamoja msioneane haya
@user-qd7pn2bt7i
@user-qd7pn2bt7i Ай бұрын
Wanyiramba tubadilikeni hawa CCM kero tupu
@PatsonMbugh
@PatsonMbugh Ай бұрын
Osptl biashala zaudi
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 24 күн бұрын
Dhambi mwanasiasa kumiliki timu wakati wa mwalimu alikua mwanasiasa hata biashara haruhusiwi kutokana na kuogopa wasitumie wadhifa wao kwa mali za uma
@NtanduNjiku-ck4kw
@NtanduNjiku-ck4kw Ай бұрын
Watanzania wanechoka ccm,leteni Sera zinazomgusa mwananchi dola mnaipata bila shida,fenyeni tafiti za kisiasa na mwelekeo wa upepo wa kisiasa,punguzeni matusi wapeni nafasi wanchi kusema wale wanayohitaji hakika mtaibuka kidedea
@salumsaid7301
@salumsaid7301 Ай бұрын
Amechemmmmmkaaaaaa kwakweli
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 22 күн бұрын
Na Bashingwa nae anaandaa Tim ya mpira
@ShundeBajuta-xn6yp
@ShundeBajuta-xn6yp 26 күн бұрын
Kazi wameisahau bali wanajaribu kufanya udanganyifu
@JeradiMwalingo
@JeradiMwalingo Ай бұрын
Mpaka mama nae ana timu jaribu kuitafuta itaipata
@MrishoMzelela-xb9bb
@MrishoMzelela-xb9bb Ай бұрын
Yanga sc
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Acha porojo na kusema wenzako .Hizo ndiyo Sera za kutaka nchi .Wewe ultimate kuwa mbunge miaka kumi ulifanya nini?Tundulisu kila
@charlesmsengi332
@charlesmsengi332 Ай бұрын
Facts
@mohamedkidamiharo4887
@mohamedkidamiharo4887 Ай бұрын
Kwa hilo la mwigulu daa nauli zilipandishwa mama yupo nje pesa zinalipa wachezaji
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 16 сағат бұрын
Ndiyo maana yake
@Reynoldsmgaya
@Reynoldsmgaya 29 күн бұрын
Hii nchi ina mambo yake tuuh tuyaache
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 25 күн бұрын
Ni ufisadi2 uliopo ndani ya ccm
@justinjasson7070
@justinjasson7070 29 күн бұрын
Kumiliki timu ya mpira sio dhambi, umekosa hoja
@paulombay6884
@paulombay6884 Ай бұрын
Watanzania wanapenda mpira ko kura zipo hapo mzee
@MartinGao-pq3ed
@MartinGao-pq3ed Ай бұрын
Huyu mtu Hana jipya staafu siasa uheshimike
@user-wh9zj7kf7h
@user-wh9zj7kf7h Ай бұрын
Kwani shida nini tunahitaji sokaikue
@user-pk4qq6kn9c
@user-pk4qq6kn9c 23 күн бұрын
Hakuna sera hapo ni ujinga tu
@Man_of_valor
@Man_of_valor Ай бұрын
Where are the policies?
@suleymanmrutu9498
@suleymanmrutu9498 Ай бұрын
Wewe hunahoja bn achakuingilia mpira kamahujui watu wamepata ajira na niwengisana nahapa ndiotunapandisha sokaletu hayo mengine nimawazoyakotu achawatu wampira wafanyemambo yampira wewe kwenyempira haupo ndiomana unatafuta kiki kupitia mpira
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Shida sio watu kupata ajira watu pesa wametoa wapi za kununua timu ya mpira watu wanaficha hela walizoiba huko
@ramadhankhamis886
@ramadhankhamis886 Ай бұрын
Mwisho utakodi watu wa kukusikiliza
@JumaKiyogomo
@JumaKiyogomo Ай бұрын
Ongea sera
@user-eg9jq5ny3n
@user-eg9jq5ny3n 10 күн бұрын
Mzee chizi huyu
@user-jx3yi9ci7g
@user-jx3yi9ci7g Ай бұрын
Kuna ubaya gani kumiliki team?hapo umechemka
@NtanduNjiku-ck4kw
@NtanduNjiku-ck4kw Ай бұрын
Pambana lisu
@alisuleiman303
@alisuleiman303 Ай бұрын
Hapo unachemka ujue ulitaka wafanyeje kwa jamii
@RehemaSalum-vp6rf
@RehemaSalum-vp6rf 25 күн бұрын
Uyo mama enu kazi yake kuzulula tu ... Ajali lolote
@alyakida5262
@alyakida5262 13 күн бұрын
Ww uliekuwa huzururi umo ndani tu hutoki toka ulipozaliwa unajali familia yako ?
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Tuelimishe,ni makosa viongozi kumiliki timu za mpira?
@mohamedkidamiharo4887
@mohamedkidamiharo4887 Ай бұрын
Mwigulu alipokua wazili awamu ya tano ikapanda singida alipotolewa ikashuka alipolidishwa ikawa big star sasa kanunua ihefu
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Haihitaji Elimu ya chuo kikuu, mtu wa kawaida huwezi kumiliki timu ni gharama sana inahitaji fedha ya kutosha. Usajiri tu ni hatari ndugu, Ihefu wapo mapro wengi kwa mwezi sio chini ya Miloni 100 na zaidi.
@jessalmas2122
@jessalmas2122 Ай бұрын
hawa jamaa wanatuibia pesa zetu hawafai kuiongoza nchi yetu ccm niwezi yani ccm ni kama familia ya panya
@NtanduNjiku-ck4kw
@NtanduNjiku-ck4kw Ай бұрын
Usichukie mwigulu kumiliki timu,kaka pambania hoja za msingi ,Kama maji ,vyuo singida hakuna hata chuo kikuu singida vyuo vya Kati hakuna,viwanda,
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 25 күн бұрын
Ameuliz2 anabiashara gani mpka aweze kumiliki tim ilo ndio swali lake km unalo mjibu
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 16 сағат бұрын
We mpuuzi MWENYE ufinyu wa fikra Hujui kumiliki kwao timu ndio sabab ya wewe kukamuliwa Kwa KODI na TOZO kuongezewa kila wanapojisikia ! Kusoma hujui je hata picha huoni ?
@MILHAJIABDALLAH
@MILHAJIABDALLAH Ай бұрын
Una tafuta kiki huipati Ng,o
@Prisca-ge4ig
@Prisca-ge4ig Ай бұрын
Huna hoo
@ChinaBoy-jh8bm
@ChinaBoy-jh8bm Ай бұрын
Wewe nyamaza aunalolote wewe lisu akuna maali unaenda naiyo
@user-dm6su5ii9b
@user-dm6su5ii9b Ай бұрын
Tafuta sera
@user-jl1ck1zo6b
@user-jl1ck1zo6b Ай бұрын
leta hoja za msingi acha na mpira
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 17 күн бұрын
oja ya msingi pesa wa mezitoa wapi ya kumiliki timu viongozi wa sele kali au auja muwe lewa miliki timu kama una weza mmiliki kocha uchebe uwone zinduka wewe
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 15 сағат бұрын
​@@user-md7sd3hk6l Vilaza kama hawa ndo wamejaa KIBAO hawana wanalolijua juu ya mustakabali wao wa maisha Afu wengi wao ndo walalaHoi, yaani wana tuchelewesha kinoma ! Hajui kama yeye mpiga Kura ana haki ZAKE za msingi inabidi azipate kupitia viongozi hawo wa serikali ndio maana kipindi cha uchaguzi anafuatwa kuombwa kura akiahidiwa aahadi KIBAO atafanyiwa. Lkn baada ya kuwapa Kura yake AHADI hizo zinaota mbawa anachoambulia ni ONGEZEKO la TOZO na KODI kila uchao !!!
@sebastianbenedict3090
@sebastianbenedict3090 Ай бұрын
huna hoja mpira ni burudani tu
@emmanuelkamoli8215
@emmanuelkamoli8215 Ай бұрын
Huelewi
@georgesteven5185
@georgesteven5185 21 күн бұрын
Akili kisoda ww
@user-uo2wh3rk3j
@user-uo2wh3rk3j 17 күн бұрын
Tumbon kaweka nin
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 16 сағат бұрын
Kama lile aliloweka babako , kamulize babako akikujibu 😂😂😂
@alfanmussa3041
@alfanmussa3041 Ай бұрын
Akuna kitukibaya kama kufiliska kifikra
@ThobiasAlex-ez6fj
@ThobiasAlex-ez6fj Ай бұрын
Watanzania wengi bongo zetu zimeharibika,sasa unataka sera gani?
@samwelsimon7392
@samwelsimon7392 Ай бұрын
​@@ThobiasAlex-ez6fjubelgiji ndio chaguo lake
@AmmyMakita-bt4ip
@AmmyMakita-bt4ip Ай бұрын
Kwakwel anapatia hela wap jaman
@SaidAdam-xw3jh
@SaidAdam-xw3jh Ай бұрын
Hapo umechemka
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 23 күн бұрын
Wee umekaa mbunge singida miaka ata kisima tu hukuchimba kazi yako ilikuwa kukosoa
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki Ай бұрын
Na wewe una miliki Nini , wakala wa mashoga au unafikir ujulikan
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
NEET-UG Case Hearing- Live From Supreme Court
2:20:05
Live Law
Рет қаралды 79 М.
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
TUNDU LISSU AMSHIKA KOO RAIS SAMIA KWA KUHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA
5:55
Chadema Media TV
Рет қаралды 29 М.
БАТЯ И ТЁЩА😂#shorts
0:58
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 3,4 МЛН
Why Is He Unhappy…?
0:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 7 МЛН
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 22 МЛН
Why Is He Unhappy…?
0:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 7 МЛН
Пранк над Махачевым🥶
0:19
FERMACHI
Рет қаралды 11 МЛН